Тёмный

MAMA ALIYEKWENDA GEITA KWA WANAE LIOPOTEZANA NAO MIAKA 50 ARUDI DAR NA KUTUELEZA MAISHA YA GEITA 

Geah Habibu
Подписаться 367 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Nimeenda kumtembelea mama huyu ambae alikuwa geita kwa watoto wake ambao alipo tezana takribani miaka 50 ambapo kupitia kipindi cha LeotenaCloudsfm alifanikisha kuwapata sasa tangu arudi kutoka Geita nilikuwa sijaonana na,nimeenda juzi kumuona .Kutaka kufahamu baada ya kufika huko maisha yamekuaje na watoto wake hadi amerudi
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Опубликовано:

 

12 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 97   
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 2 года назад
Gea tupe mrejesho wa yule mama mwingine aliyetoka Kenya nawanae aziza na baba yao mdogo taji
@dommyomolo9678
@dommyomolo9678 2 года назад
Duuuh kwl bwana tupe mrejesho gea
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 2 года назад
Aseee kweli jamn gae fanya uende
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Babu anajuwa kupenda mashaalah mungu azidishiye iman amepe mri mrefu na afya nje ishaalah
@faisalwaafrica7478
@faisalwaafrica7478 2 года назад
Mapenzi yalikua kwa wazazi wetu wazaman, mzee mashallah
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 года назад
Mi nnayo mbona 🤩
@evakiwia1052
@evakiwia1052 2 года назад
Hata mm mama yangu ananipenda hatar
@faisalwaafrica7478
@faisalwaafrica7478 2 года назад
@@evakiwia1052 good 4 u na ww mpenda sana🙏
@hfjfjhfjffj455
@hfjfjhfjffj455 2 года назад
Umeona eeee
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Allah atujaalie tuwe ni wenye kudumu ktk ndoa zetu na mapenzi yasiyoisha sijui tunakwama wapi vijana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Babu anampenda sana mke wake aisee uruma sana. Bahati wamepata familia yenye upendo pande zote mbili
@shamzone388
@shamzone388 2 года назад
Alhamdulilah mungu amrehem huyo mama amin Sisi pia tumelelewa na mama wa kambo alikuwa mtu mzuri sana tena sana...tunamkumbuka sana allah amjalie janat firdous ulya yarab amin Namkubuka sana kwa mapenzi na malezi yake ya dhati juu yetu...
@zainabusaid8730
@zainabusaid8730 2 года назад
Nimemtamani Sanaaa bi mkubwa Mimi Nina Kaka yangu pamoja na Dada Angu wa Tumbo moja walipelekwa kwa baba yao wakiwa wadogo Mpaka leo hii Ni Miaka 32 Sijuhi nitawapataje na Ndugu Atuna habri yoyote Kama wpo Hi....Mungu Atufanyie Wepesi wairah
@khadijatanzania8040
@khadijatanzania8040 2 года назад
Zainabu Said Mtafute geah uongee nae ujielezee unaweza wapata
@kiri5807
@kiri5807 2 года назад
Lucky mama yuko hai Alhamdulillah .
@enterenter1921
@enterenter1921 2 года назад
Mashaa Allah babu anauliza mda waswala km tayar 🤲🤲ALLAH amjaalie mwisho mwema
@fatumamuya2139
@fatumamuya2139 2 года назад
Amiin
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Allah humma aamein
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 года назад
Amin
@abumoyo5341
@abumoyo5341 2 года назад
Amin rabil amin
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 2 года назад
Mash Allah God bless you ameen 🙏
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 2 года назад
Ma shaa allah , jaman wazee wetu wana mapenzi jaman hadi raha
@zainabohus4903
@zainabohus4903 2 года назад
Mashallah mashallah hongoera sana kwa kazi nzuri dada G
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 2 года назад
Mungu ambariki huyo mama uko alikooo
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 года назад
Mama wakambo asilimia kubwa huwa Ni waziri tatizo huwa linakuja watoto wakijua huyu sio mama yao hapo ndo shida huanzia
@roseatieno6691
@roseatieno6691 2 года назад
DA Geah kweli ulifanya vizuri kwa kukutanisha hii familia. Nakupenda kweli maana kwenu tanga na kwetu Kenya ni majirani. Yaani kutoka tanga mpaka Mombasa msambweni karibu kuliko tanga hadi Daresalaam.
@raiye5621
@raiye5621 2 года назад
💗💗Allah ni mwing wa rehma ❤❤
@waminzashunu831
@waminzashunu831 2 года назад
Wasukuma kwa kuiba watoto hawajambo
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Masha Allah
@a.856
@a.856 2 года назад
Mashaallah
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 года назад
Mashaallah mashaallah wapendanao
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 2 года назад
Maa Shaa Allah, Alhamdulillah,
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
Alhamdulillah
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 2 года назад
MashaAllah, Mungu ampe kauli Thabit mama aliowalea hao watoto kama wanae wa kuwazaa🤲🙏🙏🙏
@Manka-g5y
@Manka-g5y 2 года назад
Mungu ni mwema
@omantimes9699
@omantimes9699 2 года назад
Babu alivyo sikia kurudi mwakani Katulia tuli😆😆
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 года назад
MashAllah daeya mwenyezi .mungu akupe maisha marefu kwakweli unayapambaniya maisha ya watu wenye mateso. Mama mungu awabariki na watoto wenu
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 2 года назад
Mashallah
@kilizajumainn826
@kilizajumainn826 2 года назад
Babu maashaallah anauliza muda WA salaa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
maa shaa Allah
@AdoAshu80
@AdoAshu80 2 года назад
MashaAllah 👌🏾
@aliaden5512
@aliaden5512 2 года назад
Mjukuu ako sawa
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 года назад
Ma sha Allah
@razikimustapha4731
@razikimustapha4731 2 года назад
MA SHAA ALLAH
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
Maa shaa Allah
@samsungoman5626
@samsungoman5626 2 года назад
Maashallah
@sylviermuhonjah8411
@sylviermuhonjah8411 2 года назад
Furaha babu hadi,,amulize secretary wake bibi😀
@sheriibrahim6753
@sheriibrahim6753 2 года назад
Mashallah.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Big up
@alijuma675
@alijuma675 2 года назад
Nimempenda njukuu geah
@hawaamkubwa2020
@hawaamkubwa2020 2 года назад
mashaallah tabaraka
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Год назад
Mashaallah wajukuu wazuri
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 года назад
Allah Kareem
@eggysulle7988
@eggysulle7988 Месяц назад
Wapo bado wamama wanaolea watt😂 wa kufkia kama watt wao
@hadjamlkong0851
@hadjamlkong0851 2 года назад
Ata mmi nilipoterewa na mma yangu miaka 20 lakini tukaonana. Nilifanyiws sherehe kubwaa uko kijijini masasi lindi
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Год назад
Weèeee
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 2 года назад
Mtu chake bana 😂😂😂😂😂 babu
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
babu balaa🤣🤣🤣🤣
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 2 года назад
Masikini wazazi wao waliwalea kwa Upendo,lakini wasukuma hawanaga maneno Wala uswahili,walasema Mtoto wa mume ni wako,
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 2 года назад
Mashaallaah babu alishitukia mchezo
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@saadenassor4830
@saadenassor4830 2 года назад
Kweli Walitaka kumchukua bibi
@khazinawaziri1402
@khazinawaziri1402 2 года назад
Mahabba hayo
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 2 года назад
Mimi ushauri wangu hichi kipindi kiwe endelefu daima kiwepo akitokea mtu ana shida yake asirejeshwe kusubiria hiyo sherehe au hiyo May
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 2 года назад
💕💕💕💕💕😍
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
Allah awarehem wote🤗🤗😥
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 года назад
Mungu mkubwa
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 года назад
Bibianamwili mzuri tu
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Bass haya
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 года назад
Mashaallah mtu na ubavu wke bhana watu Wazaman Wana mahaba htr 🙏🙏
@sweetie6934
@sweetie6934 2 года назад
Yaani wee acha tu
@kiri5807
@kiri5807 2 года назад
ingekuwa hawa wengine ungekuta mwenzako ndani vitu vyako viko upenuni vyapigwa na mvua .
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Aisee we acha tu sasa hivi pasua kichwa
@kiri5807
@kiri5807 2 года назад
@@Mpakauseme 😂😂😂
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 года назад
@@Mpakauseme hta cm yke usingeipata yaan ndio ingekuwa hbd yke 🤣🤣🤣kwakulala nje anabadilisha tu magesti hkn wazee wala vijana wote chefuuu
@themagadir
@themagadir 2 года назад
Mimi namtafuta kakaangu huko kwenu TZ. Mara ya mwisho nakumbuka alikuwa akiishi Ruvu Juu. Mamake anaita Kidawa alikuwa akifanya kazi spitali ya Muhimbili. Jina la kakaangu ni Jumanne Ahmed Mzee
@issakessy1821
@issakessy1821 2 года назад
Namjua huyu kaka jumanne anaishi kinondoni mkwajuni kwel kabisa Dada angu
@themagadir
@themagadir 2 года назад
@@issakessy1821 ana umri gani?
@salehfakih4848
@salehfakih4848 2 года назад
Chukuwa namba za kina geah utatangazwa
@issakessy1821
@issakessy1821 2 года назад
hee unataka nikamuulize au
@themagadir
@themagadir 2 года назад
@@issakessy1821 kakaangu kwa uchache atakuwa katika miaka 60 ushei
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 2 года назад
Da gea kama ninashida na wewe nakupataje? Maana na Mimi Nina shida km hiyo
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 2 года назад
Geah kumbe wa nyumbani 💕💕
@enockmaige8936
@enockmaige8936 Месяц назад
Af mrembo sura Hadi rahaaa ❤❤
@tatutatu1570
@tatutatu1570 2 года назад
mtu chake babu analia wivu🤣🤣
@jeygayanijosewimboumenifar4256
@jeygayanijosewimboumenifar4256 2 года назад
Mungu mkubwa jmn babu Yani Hadi rahaa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Aisee dah nimemkumbuka babu yangu 😓
@RahmaRahma-xp9jr
@RahmaRahma-xp9jr 2 года назад
Mashallah
@raziqashban345
@raziqashban345 2 года назад
Mashallah
Далее
Отец Проводит Тест с Сыном 😂
00:48
skibidi toilet 76 (full episode)
08:11
Просмотров 9 млн
Bwana harusi atapeliwa Mke ...!!
16:02
Просмотров 26 тыс.