Тёмный

KAKA ASHANGAA KUPOTEZANA NA MDOGO WAKE MIAKA 41,WAFANYA SHEREHE "NIMEZALIWA SIJAMUONA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 52 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 127   
@asiasaid-y4h
@asiasaid-y4h Год назад
Hongera mrembo umeamua kusamehe Angel and don't think otherwise ❤ ukimuamgalia mama anajiona anamakosa nivile tu ataki kusema.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Год назад
Mama alikosea mno
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Год назад
Hongereni clouds kukutanisha watu,kazi nzuri sana,mungu aonae sirini awabariki
@maryhanspeter8459
@maryhanspeter8459 Год назад
Hakika brother Mfinanga hongereni sana Kwa kumpàta Dada yenu naa inatia moyo inafurahisha na inaonyesha ni jinsi gani mlikua hudhuni yakutoonana na dada yenu hamkumjua alipo hamkujua yuko hai au laa kweli ni jambo MUNGU aendelee kuwapa Moyo wa upendo huo.
@stellamwasha1409
@stellamwasha1409 Год назад
Mi nadhani ungekuwa nao siku zote Wala usingependwa hivyo ilokiwa tuu njia ya Mungu kuonyesha upendo wake kwako 🥰
@fatma1456
@fatma1456 Год назад
Hayo ni maoni yako.kwni kila mtu anaroho ngumu kama ww😅😅
@stellamwasha1409
@stellamwasha1409 Год назад
Hivi mnakurupukiaga wapi
@marykatoba1440
@marykatoba1440 Год назад
Una mawazo mapana wewe
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Год назад
Hongera sana dadangu mwenyezi mungu ametenda kwa wakati.Wakati wa mungu ndio wakati sahihi.
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Год назад
Pia dada Angel abarikiwe sana ktk juhudi za kumuomba mungu amkutanishe na mamake,kweli nani kama mama!!!!!haijalishi walipotezana kwa namna gani hawa wandugu but ndo wakati sahihi wa Mungu kuwakutanisha,wakati wa jambo ukufika hakuna wakuzuia
@christaoman8890
@christaoman8890 Год назад
Hongera san ndugu kuonana tena❤❤
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Год назад
Mama yenu ndio alikuwa na tatizo hakutaka mkutane
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
umeongea ukweli ndugu yangu🤔 yaan huyu mama anaroho🤔
@monicaalex1948
@monicaalex1948 Год назад
Kumbe na we umeona eeh
@monicaalex1948
@monicaalex1948 Год назад
Yan hat vibe lake si lile la kiiiivyoooo mtt ndo anafurah sana
@deboramassawe5143
@deboramassawe5143 Год назад
Yaani kwakweli huyu mama ni BOMU.
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Год назад
​@@deboramassawe5143 😂😂😂😂😂
@HidayaKarim-wy9yc
@HidayaKarim-wy9yc Год назад
Umefanana na dada yako kabisa ongera sana
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
Wanafanana na mama japo Mama ni mweusi. Hongereni Sanaa.
@anitamahwago4374
@anitamahwago4374 Год назад
Tyggffvvv
@marundakisaka2637
@marundakisaka2637 Год назад
Ukweli hakuna sababu ya kutafuta mkosaji hapa, cha kufanya ni kushukuru Mungu na kuendeleza maisha
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Год назад
Pua zimefanana sana
@mwajumahamisi2006
@mwajumahamisi2006 Год назад
Bol huyo kaka kaeleza kidogo lakin hilo mama ni jangili halina hata furaha
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 Год назад
😂😂😂😂Jangili tena😁
@catherinenjeeri649
@catherinenjeeri649 Год назад
😂😂😂
@jamilahabibu9299
@jamilahabibu9299 Год назад
😂😂😂😂😂😂yooo
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣Mbona umenichekesha jangili haaa🤣🤣🤣🤣
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Год назад
Sijaelewa jinsi walivyotenganishwa ila nahisi aliindoka na baba, yaani baba na mama walitengana. Nadhani taarifa haijakaa vizuri kipi kiliwatenganisha, je alipotea? ama alichukuliwa na mzazi mmoja baada ya kutengana....
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Год назад
Baba na mama walitengana na baba akamuomba mwanae amlee alikuwa na umri wa miaka2 hawakuonana tena mpk sasa mtt anamiaka 41
@emmycharles8463
@emmycharles8463 Год назад
Natamn kujua pia chanzo chake ilikuwa nn
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
​@@emmycharles8463 baba alitaka mwanae ndo akamuacha yy akaondoka
@happymilangasi5904
@happymilangasi5904 Год назад
@@emmycharles8463 story kamili ilianzia leo tena kipindi cha clouds kiko hapa youtube jaribu kusearch utakiona
@VeronicajTemba
@VeronicajTemba Год назад
Ww hujafuatilia tulia
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 Месяц назад
Hakuna mkamilifu duniani mama asilaumiwe kikubwa ni ibafa kumshukutu mungu🙏
@praygodmtui1407
@praygodmtui1407 Год назад
Be blessed mfinanga family vyote Kwa vyote mnajitambua Ila ni uzembe wa wazazi tuu pia shule imechangia na nyie mkafikia malengo yenu
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 Год назад
Mashaallah mungu mkubwa sana
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Mashallah, Mashallah
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Год назад
Dah wamefanana sana dental formla aisee.mdomo ni sawa sawa
@aminamavura6834
@aminamavura6834 Год назад
Enjoy yeye mweupe jamani sijui Kafaanan N mshua
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Huyo ni Kaka wa Mama mdogo
@sifaupindo
@sifaupindo Год назад
Baba ake ni wasingida
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Год назад
Huzuni kubwa sana imechanganyika furaha nashangwe kubwa
@ifadatalizam8607
@ifadatalizam8607 Год назад
Huyu mama sjui km sio mchawi mn hta yale mapenzi ya mama kwa mtt hana….mama mtt wako miaka 40😥😥hta kwa kusota angefika dar lkn mhhhhh Allah anisamehe kwa kumwita mama wa watu mchawiii lkn ht km sio mchawii ila na features za kichawi
@jamilahabibu9299
@jamilahabibu9299 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅🫵
@theopistachialo6750
@theopistachialo6750 Год назад
Huyu mdada anaupendo ❤️ Angela. Hana haja ya kujua walitengan kwa lipi yeye anamtak mama ake bas
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Год назад
Masikini anafuraha kweli
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 Год назад
Alipotea vip? tupe mkasa mzima!
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 Год назад
Mungu ambariki sana huyu mdada.
@jacksonwilson5772
@jacksonwilson5772 Год назад
Mi nmependa huu upendo jamani. Ama kwa hakika huu ni wakati mwafaka wa kukutana na ndugu zako. Huenda msingetengana nao huenda ata wasingekuzingatia, mshukuru MUNGU kwa wakati huu sahihi kabisa na kwa upendo wa ndugu zako, familia zingine ndugu wangevuta midomo iyo adi ingewaanguka kwa kuchukia.😂
@hildaernest1090
@hildaernest1090 Год назад
Ila mama mzazi wa enjo anamoyo kabisa kweli uzae mtoto uumpe baba sio mbaya ila toka hapo ata usifatilie mtoto wako ata kumuona jamn,uyo mama anajikaza ila aibu anayo sana ni vile tu mtoto anahamu nae,,,mama ulieingia leba jmn utafutwe na baba je itakuwaje,Pole enjo kwa kumpt mama ako
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Mashallah mbk nimelia kwa furaha jmn
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Год назад
Mashaallha mwenyezi mungu ni mwema
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Kaka kafanana na mamake masha'allah 💓
@leonardinabalenzi4005
@leonardinabalenzi4005 Год назад
Hata Angel namna anavyotabasam anafanana nao 😍😍
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Mungu mwema 😍❤️
@salimmwinyihaji7172
@salimmwinyihaji7172 Год назад
Hatari hii. Imagine hawa ndugu wangekua wapenzi😢
@christophernzige3913
@christophernzige3913 Год назад
Mungu awabariki wote
@marundakisaka2637
@marundakisaka2637 Год назад
Mnafanana sana aisee, Mungu awalinde
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Год назад
Mashaallah wamefanana Sana
@andrewlimbe-vo8tg
@andrewlimbe-vo8tg Год назад
Aah hapo kuna kitu hakiwekwi wazi ,frankly speaking kuna matatzo kwa wazazi ,haiwezekani miaka yote hio mama hakumtafta mwanae pia mtoto alikua hamtafti mama yake,,lait kama mgeweka wazi kila kitu,,mgeisaidia jamii ,
@victormtauwa4687
@victormtauwa4687 Год назад
Naomba no zenu
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Год назад
Mmefanana sana hasa pua😂😂
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
hata lips
@marykatoba1440
@marykatoba1440 Год назад
Na wanafanana midomo na meno ,damu nzito sana
@zuzuutv8782
@zuzuutv8782 Год назад
wanafanana saaana, dental formula sasa aisee
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Год назад
Kabisa,
@sianamushi3574
@sianamushi3574 Год назад
Mungu azidi kuwakutanisha nawengine tena
@donaldnzigo1730
@donaldnzigo1730 Год назад
Arusha banaaaaa.kwa mtukio tu aaaaaa mko vzuri
@judithhmakao
@judithhmakao Год назад
Hongera kukutana
@lightnessmariki4313
@lightnessmariki4313 Год назад
Midomo yenu inafanana sana.
@marthajohn9120
@marthajohn9120 Год назад
Raha sana kumshukuru Mungu wote mko wazima na kuonana tena
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Год назад
Hapa mwenye tatizo ni huyu mama ,kwani si alijua ni Nani alizaa naye? Alikosa utu huyu mama
@preciousprince9159
@preciousprince9159 Год назад
Naombeni namba ya clouds
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Год назад
Wamefanana sana
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 Год назад
Haswa mdomo mbaka Meno ya mbele
@collinmhema5443
@collinmhema5443 Год назад
Naomba namba za huyo dada nimpongeze
@gloryndakidemi3243
@gloryndakidemi3243 Год назад
Teacher mfinanga hongereni
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 Год назад
Ka Enjo kanadeka hako damwanii.
@EzekielMichael-mv8ij
@EzekielMichael-mv8ij Год назад
Naomba namba ya adija
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 Год назад
Wanafanana kumdomo
@anethmollel6564
@anethmollel6564 Год назад
Watoto wake wako wapi????
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 Год назад
Lakini kuna sehemu ambayo mambo ni safi kwa upande mwingine hizo shangwe siyo za kawaida
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 Год назад
Dada anaonekana mambo safi
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Год назад
Kwani mlipotezanaje? Mimi siwaelewi miaka miwili aje?
@majigwajohnsonndillah2405
@majigwajohnsonndillah2405 Год назад
Hayo ni makosa ya Mama yenu palikuwa na tatizo kubwa kati ya Mama na Baba yake
@erizahashimu2100
@erizahashimu2100 Год назад
Hakuna kama mama jamani
@user-zm8nr9hu7i
@user-zm8nr9hu7i Год назад
Sasa hao watu mpaka miaka arobaini jaman
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
Mapenzi ya mama yake aliyokosa akiwa Mdogo hawezi kuyapata tena it is too sad, Tz mngetunga sheria ndoa au mahusiano yakivunjika mtoto abaki kwa mama maana mtoto ni wa mama Ukiangalia kwa undani ni mama ndio anajua nani ni baba wa mtoto, na hamna mwanaume au mwanamke wa kambo anaweza kumpa mtoto upendo wa mama kama mama yake wa asili. Kuna kitu cha kujifunza hapa . Baba yake huyo alifanya kosa kubwa kwa kumkosesha mapenzi ya mama yake
@georgekibassa4720
@georgekibassa4720 Год назад
Hapana. Hapa naona baba ni mtu mwenye roho nzuri sana. Inaonekana mama ndiye aliyemsusia baba mtoto akaondoka. Baba huwa hawazuii watoto kwa mama zao ila mama huyu anaonyesha alijenga chuki kali sana kwa baba hata hakutaka akae na alama yoyote ya kuwaunganisha na huyo baba. Akina mama walivyo na upendo kwa watoto angalia hakuweza kutaka kujuwa mwanaye yuko wapi kwa miaka 41 hiyo siyo kawaida. Ni kwasababu ya chuki aliyokuwa nayo kwa baba wa mtoto. Mimi nasema Baba wa dada huyu ni mtu mnzuri sana. Kwanza angemkataa dada huyu tangu mimba hadi kuzaliwa mtoto
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
@@georgekibassa4720 unaongea usichokijua tunaongelea miaka ya zamani mawasiliano ya ovyo haki za wanawake zilikuwa hamna , huwezi kujua huyu mama alitishwa nini au alifanywa nini na huyo baba , lazima kuna sababu kubwa ndio maana kama imekuwa hivyo . Mama amesema alimtafuta mtoto wako ili alishindwa kumpata na huwezi kujua msongo gani wa mawazo huyo mama amepitia
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
@@georgekibassa4720 huyo baba hana roho nzuri angekuwa na roho nzuri amgemtafuta mama wa mtoto mtoto akiwa mdogo ili mtoto apate malezi ya mama yake wa kweli na sio mama wa kambo !
@mabrozacpmstancesa1207
@mabrozacpmstancesa1207 Год назад
@@kabwelasutiviraka4765 Kulingana na stori alivyoongea dada baba aliwahi kukutana na mama wizarani lakini mama hakuonyesha haja ya kutakakujua mwanae alipo maana hakuchukua Ata contact ya baba
@annamitumba3981
@annamitumba3981 Год назад
Sema ungekua huna sura ya pesa usingependwa hivyo😂😂😂😂😂😂
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 Год назад
dada anaonekana mambo yake mazuri ana sura ya pesa ahahaaa
@modestamanyerere3545
@modestamanyerere3545 Год назад
Mama ndiyo akupenda kumutafuta motor wake mungu akubariki Dada kwa upendo wa kuwatafuta ndugu zako
@njuka3515
@njuka3515 Год назад
Hata mimi nashangaa kwanini hata mama asimtafute huyo mtoto?
@salummbunga4167
@salummbunga4167 Год назад
@@njuka3515 mama alisema kuwa alikutana na baba angel wizarani baada ya miaka minne ya kumuachia mtoto so akamuulizia kuhusu mwanawe lakini baba angel akawa na majibu ya kurusharusha mwisho akamkimbia, hapa inaonesha baba ndio tatizo
@mwanjinzara8009
@mwanjinzara8009 Год назад
Hivi kwan wamezaliwa baba mmoja au ndo wamekutana kwa mama
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 Год назад
Wakati Angel anazaliwa tayari mama yake alikuwa na watoto watatu. Angel ni wa nne kwa mama yake na ni wa kwanza kwa Baba yake
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML Год назад
Kumbe ni mtoto wa mama mkubwa na mdogo!mi nilijua ni ndugu wa kuzaliwa tumbo moja
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Ni ndugu hao wa kalibu sana na tazama sura zao wote jinsi wanavyofanana
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Год назад
We nae kiazi
@GsmtzOriginaltz-fo8yy
@GsmtzOriginaltz-fo8yy Год назад
Uyo sister mbona mzur ivyo
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 Год назад
halafu ana miaka 43 ahaha
@jamilahabibu9299
@jamilahabibu9299 Год назад
Sana❤❤❤❤
@wettykznznhuioploko1571
@wettykznznhuioploko1571 Год назад
Kaniuzitu ajavuwa mewani
@monicambuya-sq9ms
@monicambuya-sq9ms Год назад
Kwani ilikuwaje miaka 40 mama na mtoto wasionane?na mama yake alimuacha wapi?
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Год назад
Yamenikuta hayo
@monicambuya-sq9ms
@monicambuya-sq9ms Год назад
@@easternyerembe7271 pole
@Switielie
@Switielie Год назад
Halafu mpaka hair style zenu na dada yako
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 Год назад
😂
@salomegomano1788
@salomegomano1788 Год назад
Huyo kaka nywele ziko wapi🤣🤣🤣
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
​@@salomegomano1788 😂😂😂
@AK-rd5zr
@AK-rd5zr Год назад
Hawa mandugu nikwamba wako na baba tofauti ama babayao ni mmoja?
@DaynessSteven-yr4ud
@DaynessSteven-yr4ud Год назад
Nathani mama mmoja baba tofauti
@vincosmeticsmarvin
@vincosmeticsmarvin Год назад
Wanafanana sanq
@verombwambo3703
@verombwambo3703 Год назад
Wanafanana sana midomo
@sifatiiman
@sifatiiman Год назад
kabisa
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Год назад
Hongereni clouds kukutanisha watu,kazi nzuri sana,mungu aonae sirini awabariki
@preciousprince9159
@preciousprince9159 Год назад
Naombeni namba ya clouds
Далее
В GEOMETRY DASH СДЕЛАЛИ GTA
00:27
Просмотров 452 тыс.
СДЕЛАЛА БРЕКЕТЫ ДОМА
01:01
Просмотров 1 млн
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 153 тыс.
Mashindano ya Skauti part 1
2:15
Просмотров 7 тыс.
NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA
15:01
Просмотров 194 тыс.
В GEOMETRY DASH СДЕЛАЛИ GTA
00:27
Просмотров 452 тыс.