Тёмный

#LEOTENA 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 20 тыс.
50% 1

#LEOTENA MAMA NA WANAE WAANGUKA BAADA YAKUONANA KWA MARA YA KWANZA TANGU 2009

Развлечения

Опубликовано:

 

6 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 98   
@user-zz5ng1yb8d
@user-zz5ng1yb8d Месяц назад
Aise alie waza kuanzisha hiki kipindi mungu ambariki sana, kumbe niwengi sana maskin wanachangamoto hizi
@ivyroses9019
@ivyroses9019 Месяц назад
Saaana...
@EustaceRimoy-sg6lc
@EustaceRimoy-sg6lc Месяц назад
Jaman duh so emotional mungu awa bariki Hawa walio gundua wazo la hii radio🥰🥰🥰
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Месяц назад
Hongera stella kwa kuvaa majukumu ya kulea wadogo zako
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u Месяц назад
Hongera dada ake prisca kwa ujasiri na moyo wa kulea wadogo zako
@OliverNtiruhungwa
@OliverNtiruhungwa Месяц назад
Daaah yaani nalia kama nimefiwa jamani, Mungu awabariki clouds
@user-ck3sj6ni4z
@user-ck3sj6ni4z Месяц назад
Me mwenyewe nimelia sana
@ameenamohammed4413
@ameenamohammed4413 Месяц назад
huyu binti amepitia mazito kwakaeli mpka analea wadogo zake nyie 😢
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Месяц назад
Malkia wa nguvu wala hakuwatupa wadogo zake❤❤
@RachelMgimba-ge4jh
@RachelMgimba-ge4jh Месяц назад
nyinyi clouds mungu anawaona na hakika atawalipa😢😢
@user-eo1nu2qc4i
@user-eo1nu2qc4i 27 дней назад
Pole sana wote mlio pitia ili tatizo pole mwajina Stella ❤
@user-sb1fs7wf8q
@user-sb1fs7wf8q Месяц назад
Nalia usiku wa manane huu Alooh😢😢😢😢😢😢😢😢
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 Месяц назад
😭😭😭 Jamani hizi situations zingine usikie tu kwa mwenzako,poleni na hongereni kwa kukutana tena,ila pongezi zaidi kwa Stellah na mumewe kwa kuwakusanya wadogo zake na kuishi nao... it's so emotional kwa kweli
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Месяц назад
Hakika ni wachache wenye moto huo
@a2core-wn2wk
@a2core-wn2wk Месяц назад
Huyu ni mwanamme wa kuigwa kwa kweli kwa moyo alionao Mngu amfanyie wepesi kwenye utafutaji wake kila penye uzito pawe na wepesi
@mashaally3391
@mashaally3391 Месяц назад
Haya mambo yanaliza sana, mi sijui kama nitaweza kumuachia mtu watoto wangu😢 nilipo watakuwepo mpaka kifo daah!
@user-ck3sj6ni4z
@user-ck3sj6ni4z Месяц назад
Acha kabisa uuuuuwih 😢😢
@theonestinamutole8549
@theonestinamutole8549 Месяц назад
Sanaaa
@JamalKhan-le9ud
@JamalKhan-le9ud Месяц назад
Mwenyenzi mungu awatie nguvu Hongera Sana clouds
@ozuabrahamu8079
@ozuabrahamu8079 Месяц назад
Kiukwel nimejikuta tu machoz yanatiririka da so emotional
@user-eo1nu2qc4i
@user-eo1nu2qc4i 27 дней назад
Jamani Mungu awabariki sana. nimelia sana nakosa cha kuongea kwani na mimi nimepitia hayo maisha ya kupotezana na wazazi kweli inauma nilimtafuta mama mpaka Uganda 😭😭😭
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Месяц назад
Clouds nyie ni Noma🙌🙌💪
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Месяц назад
Duh, nimelia sana 😢
@alodiadiocless3546
@alodiadiocless3546 Месяц назад
😢😢😢😢😢 nimelia Kama ni Mimi vile jamani
@user-sz3rj5bv7q
@user-sz3rj5bv7q Месяц назад
Nina miaka 20 sasa siwajui kaka zangu tumeshea mama natamani siku Moja niwaone 😢😢
@muddyramadhan3255
@muddyramadhan3255 Месяц назад
Jamn inaskitisha ila kiukweli hapa clauds mko sawa mungu3atawalipia
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Месяц назад
Anahekima Sana bint,namungu mkubwa anajubu maombi
@merinachillonwa6646
@merinachillonwa6646 29 дней назад
Mungu awabariki sana mliowaza kuanzisha kipindi hiki. Mmerudisha furaha za familia hizo jamani. Be blessed
@user-qw2kg3dh4k
@user-qw2kg3dh4k 27 дней назад
Mungu awabarki clouds nataman na mimi nimuone baba yangu
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u Месяц назад
Jaman wafipa uwiii babangu pia mfipa kaniacha tangu mwez mmja mpka leo 24yrs
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Mtafute
@SharifaMohammed-el3ug
@SharifaMohammed-el3ug Месяц назад
Anaitwa nani jieleze?
@farajaphilipo8844
@farajaphilipo8844 Месяц назад
Yuko sumbawanga wap
@mageolomi3735
@mageolomi3735 Месяц назад
Pole sana MUNGU akufanyie Wepesi na wewe nenda Claus
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 Месяц назад
Stela ni wife material sana mcha mungu sana
@samuelmuhindosivamwanza4988
@samuelmuhindosivamwanza4988 Месяц назад
C'est très émotionnel. Merci beaucoup.
@NaftaliMhagama
@NaftaliMhagama Месяц назад
Hikitu nawapongeza sana Clouds
@CecileDeo-dm1nz
@CecileDeo-dm1nz Месяц назад
Yani nimilia sana kma ndio mm jamn ledio mungu awabariki sana😊
@AgnessDaud-jk7ro
@AgnessDaud-jk7ro Месяц назад
Mungu awabariki san kwa hich kipind
@mageolomi3735
@mageolomi3735 Месяц назад
Mungu awabariki Claus
@user-wk8ju9xg4m
@user-wk8ju9xg4m Месяц назад
kweny mziki mmezngua ndo nni sasa mnalazamisha mm sijapenda
@marymakame241
@marymakame241 Месяц назад
Yaani ndugu watangazaji mnafanya njema sana mungu awatunze awape maisha marefu nyie ni watu wa dhamani sana machoni pa mungu
@jamesonduma6064
@jamesonduma6064 Месяц назад
Congratulation studio welcome kenya
@JerusaMkuyu-pw1zo
@JerusaMkuyu-pw1zo Месяц назад
Stella muheshimu sana huyo mume wako wanaume wa hivyo hawapo wakulelee ndugu muombee mume wako
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Месяц назад
Ningekuwa mtangazaji ningekuwa nalia.mpk mwisho
@user-bo5qp9gz8m
@user-bo5qp9gz8m Месяц назад
Mawazo yako kama yangu apa tu nimelia hadi kichwa kinauma
@banguha
@banguha 3 дня назад
Hata mm Yan hapa nalia
@Natashawaziri-bv2xl
@Natashawaziri-bv2xl Месяц назад
Wallah tunalia wote kwa kweli daah
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 Месяц назад
Jaman mbna huyo kaka haongeagi kutangaza ninyie tu wadada muwe nayeye mnamuachia nafas kidogo jmn😅😂😂😂
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Месяц назад
Eeh nimelia mm jmn daaaa
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 10 дней назад
Gea hongera
@agneskapwani3484
@agneskapwani3484 Месяц назад
Watu wanapitia mengii😭😭
@jarsjam8894
@jarsjam8894 Месяц назад
Ondoweni music
@KhamisiMkwizu
@KhamisiMkwizu Месяц назад
Mungu atawalipa clouds
@gracemurugi5275
@gracemurugi5275 Месяц назад
Nashindwa kujizuia jamani,asamte Mungu
@andreashayo6266
@andreashayo6266 Месяц назад
Daaaaaaa inatach sana
@uwimana6533
@uwimana6533 Месяц назад
Niuchungu mkubwa sna , nimelia kweli 😭😭😭😭
@user-sj8hn7jt7g
@user-sj8hn7jt7g Месяц назад
Jamani Mimi naitwa Stella natafuta watoto wa mjomba Wangu sijawai waona Ila baba yao alimpa mama yangu picha zao mabinty wawili Kwa majina siwajui la baba yao Ni Mzee mgeta Bita mkama na kwasasa baba yao hayupo hai popote pale wawasiliane namimi stella
@tatukatembo7564
@tatukatembo7564 Месяц назад
Jamani inasikitisha sana Mwanao jamani
@user-se8hb2qr7y
@user-se8hb2qr7y Месяц назад
Hii situàtion ni ngum sana
@rajabuhamisi9675
@rajabuhamisi9675 Месяц назад
Huyu dada kapita kwingi lakini ilipofikia kwa mw/kiti wa mtaa Dahuu kaguna mpaka sisi tumesikia sijajua nini maana yake
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 Месяц назад
Ctaki tena kuangalia hv kipindi. Najickia vibaya sana kinahuzunisha mno nabak tu kulia
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 Месяц назад
Jaman wa mama cc.
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Sijui unapataje usingizi kuwa mbali na watoto wake bila hata kuwasiliana nao lol
@johnsilivin5947
@johnsilivin5947 Месяц назад
Mnafanyakazi kubwa hongeren
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Месяц назад
YAAAANI CLOUDS MUNGU AWABARIKI SANA KWA KIPINDI HIKI TULIOPITIA HIII KADHIA NDIYO TUNAJUA FURAHA NA MACHUNGU YAKE NA ALIEBUNI KIPINDI HIKI PEPO INAKUHUSU
@AgnessMgaza
@AgnessMgaza Месяц назад
@user-zz5ng1yb8d
@user-zz5ng1yb8d Месяц назад
Maskini huenda aliolewa kwasababu ya shida ya ulezi wa ndugu zake
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Ndo hivyo hivyo, sio rahisi kulea wadogo zako wanne ! Anastahili hongera
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 Месяц назад
❤❤
@user-cl1po8pj5c
@user-cl1po8pj5c Месяц назад
Ss mm nalia nn😭😭
@AlodiaDeogratius
@AlodiaDeogratius 27 дней назад
Jamani nalia kamavile nimimi
@user-ec2yl7hv6z
@user-ec2yl7hv6z Месяц назад
Inauma eeh mungu
@KalundesaidiKalunde
@KalundesaidiKalunde Месяц назад
😢😢😢 nimelia sana jaman
@SizzoSela29-sh8nz
@SizzoSela29-sh8nz Месяц назад
Jamani nimelia Mimi
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 Месяц назад
Cloads mungu awabariki sana
@dariamama5206
@dariamama5206 Месяц назад
😢😢
@SharifaMohammed-el3ug
@SharifaMohammed-el3ug Месяц назад
Nani alikuja na hili wazo zaidi ya clouds
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Месяц назад
😮😢
@MTUMZIMADAWA
@MTUMZIMADAWA Месяц назад
😢😢😢😢😢😢
@aishatest4451
@aishatest4451 Месяц назад
😢😢😢😢
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs Месяц назад
😪😪🇹🇿🙏
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Месяц назад
Nalia mimi uwii
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Месяц назад
Kwa kweli inauma sana jamani
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Месяц назад
Mm shuka limelowa
@alfredinafelix836
@alfredinafelix836 Месяц назад
Wazuri wenyewe
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Месяц назад
Wana hicia
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Mama analia kwa aibu au uchungu?
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Месяц назад
😂😂😂 aibu gani sasa
@jarsjam8894
@jarsjam8894 Месяц назад
Inatowa machozi
@MagdalenaMatiko
@MagdalenaMatiko Месяц назад
Ila nyie wamama mna roho ngumu hv kweli mpotezane na mtoto miaka yote hy bila kuwa mmefungiwa geezani
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Ndo nashangaa! Na mko nchi moja!
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Месяц назад
Stella atakuwa kapitia mengi mno.. kwa kuwa kalea na wadogo zake...mama hajasota
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Месяц назад
Hongera stella kwa kuvaa majukumu ya kulea wadogo zako
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Месяц назад
Mi kila nikiangalia hiki kipindi machozi yananitoka sababu huwa nakumbuka nami njia hiiii
@AllyHamadi-iq7jx
@AllyHamadi-iq7jx Месяц назад
Hii inauma sana
@zouzouzoubaida1850
@zouzouzoubaida1850 Месяц назад
😢😢😢😢
Далее
UTAMBULISHO WA VIWANGO VYA JUU KABISA
2:10
Просмотров 4,8 тыс.
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49