Тёмный

LIVE: KIMENUKA, BODI YA SUKARI WANAJIBU YOTE, MPINA ALIPULIWA VIKALI, "NI MPOTOSHAJI" 

Uhondo TV
Подписаться 579 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

#uhondotv #uhondotv

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 4 дня назад
Watu wanaiba kama hakuna serikali. Watu wanateseka, bunge limetekwa. Wananchi wanaotetea Mali za wanatanzania wanaambiwa wabebe Mizigo yawo watóke bungeni, utafikiri bunge ni la watu binafsi. Uwongo juu ya uwongo. Wabunge wote wakianza kutowa hoja zawo wanamushukuru Mwenyezi Mungu, huku hawatetei haki. Ni Mungu kisha Rais Samia. Wenye akiri zetu wan amps Rais sifa za uwongo. Wanaosema ukweli na watetezi wa haki wanafukuzwa bungeni. Haki iko wapi?
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga 4 дня назад
Kiongozi unakosea xn lkn pia unamkosea mungu acha kila mtu aubebe msalaba wk hicho unacho jaribu kufanya acha kbx
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 4 дня назад
Wezi wanatamba hii nchi bana utazani haina jeshi
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 4 дня назад
Napita tuu
@froma3732
@froma3732 3 дня назад
Huyu ameweka wazi kila kitu lkn Kuna wingine hawataki kufahamu kwahivo tuwaache vile Munavofahamu
@ABUYSELEMAN
@ABUYSELEMAN 2 дня назад
Uyo mpina anamajungu anachuki binafsi na Bashe acheni upuuzi msioelewa
@ABUYSELEMAN
@ABUYSELEMAN 2 дня назад
Bashe anapambana sana ila wabongo hawana fadhila
@AdelinaAloys
@AdelinaAloys 2 дня назад
Wewe nawe una majibu ya uhongo nchi hii ni hatsrishi kilichofanya unatoa kibari tofauti na wazalishaji wakati muda wa kufika mzigo wao bado na tukichunguza leseni zao zilikatwa kwa muda mfupi ili waingie mchongo wa biashara Richmond nyingine kwenye akili akikusikiliza anagundua uhongo wa bodi
@nestor384
@nestor384 4 дня назад
Huyu naye anaongea upuuzi gani.. they are lying Ukweli wote Mpina alishausema.. Full of lying😌
@DonaldMasunga-l6d
@DonaldMasunga-l6d 4 дня назад
Zee zima halafu lichawa.
@isayasemunguruka103
@isayasemunguruka103 4 дня назад
Amna kitu hapo mchongo
@yassinmuamba2526
@yassinmuamba2526 4 дня назад
Huyu ni mpumbavu sisi tunaelewa tutakutana mahakamani
@protasreshola9744
@protasreshola9744 4 дня назад
Mchakato kauli kujilnda
@protasreshola9744
@protasreshola9744 4 дня назад
Hoja mkuu tumia kiswahili au wewe si wakwetu kwani aass eea yaaa naa si kiswahili
@methuselamiligo614
@methuselamiligo614 4 дня назад
Mochongo
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 4 дня назад
Hakuna majibu yeyote. Ni kukingiana vifuwa na kuwafanya watanzania wajinga
Далее