Тёмный

Live: Power Breakfast na Feisal Salum "Fei Toto" I Fei Toto Anafunguka..! I Ajilipua 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 222 тыс.
50% 1

Clouds digital ipo mubashara kutokea Zanzibar kwa ajili I a mahojiano maalum na mchezaji Feisal Salami "Fei Toto"

Опубликовано:

 

30 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 583   
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Sisi tunaofanya kazi za kuajiriwa tunamuelewa sana Fei, Yani amezungumza maneno mepesi ila ukiyatafakari ni ya msingi, kiukweli hata mimi siwezi kufanya kazi sehemu ambayo siko comfortable,hakuna asie lijua hili.
@binallyamuz6895
@binallyamuz6895 Год назад
Dogo nimekubali msimamo wake! Dah Hongera sana Feisal
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 Год назад
Ww n wa upandde wa pili
@thebroski9763
@thebroski9763 Год назад
Bora ungeenda fanya interview na salama
@jesuinababili2280
@jesuinababili2280 Год назад
Nimeipenda hapoooooo Akiondoka raisi wa Yanga NARUDI Msema ukweli ni Mpenzi wa.....👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽 Piga 👏👏👏 kwa Feiiiiiii
@mosseskanini255
@mosseskanini255 Год назад
Bora yeye aondoke ila siyo rais wetu
@crespokimath7185
@crespokimath7185 Год назад
Yan rais alietuletea mayele, aziz ki, musonda, lomalisa, djuma shabani, yanick bangala, Khalid aucho, diara, kocha professor NABI, yani rais huyo nd aondoke ili yeye arudi 😁 😁 😁 😁 akafie mbele huko
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Год назад
Pia amesema Yanga alicheza kwa moyo na moyo hautaki tena Je akiondoka raisi moyo wake ndio utarudi ?Au
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Год назад
Amejibu hawez ondoka yanga hersi 😂😂😋
@alphonceaugustin1252
@alphonceaugustin1252 Год назад
Naomba clouds media mfanye utaratibu tupate interview ya Fei na Eng maana hatuwezi sikiliza kesi upande mmoja na naamini kwa kutumia njia hiyo tutapata ukweli na pia pengine mlenge kuwapatanisha . Asanteni
@chax_Bill
@chax_Bill Год назад
Kuna haja ya hawa wachezaji kuwa na wasemaji issue kama hii angekaa msemaji wake ambaye ni professional kwenye taaluma ya usemaji
@FatihuJumaa
@FatihuJumaa Год назад
Akiwapo msemaji hatoweka wazi yte yamkutayo bora awepo mwenyew 🙄 but hawa wachezaji wtu wananyanyaswa asee
@khalidsoud235
@khalidsoud235 Год назад
Kweli bro
@enosdamas9345
@enosdamas9345 Год назад
Waandishi wa habari wana chakujifunza kwa masoud sanaa namna ya kuuliza hata kutaka kujua ukweli. Bro your the best
@emmanueldaudi3797
@emmanueldaudi3797 Год назад
FEI anafundishwa chakuongea kabla ya hii interview 😂😂😂
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj Год назад
Fei ungevumilia we ni mtu mkubwa mbn watu tunavumilia hizo changamoto za kaz au umerogwa😢
@JamesKazilo
@JamesKazilo Год назад
Pole xana kaka feisal yanga ni timu inayonyanyasa wachezaji duuh! Mungu akuzindixhie uwezo wa kupambn na hyo kesi
@harunamroboto2635
@harunamroboto2635 Год назад
Kama nawe umekuja kuiagalia hi video wakati umisha sikiliza sauti za nyuma ya camera gonga like 😂
@eugenbaraka250
@eugenbaraka250 Год назад
Nipo hapa
@hakimboss899
@hakimboss899 Год назад
hakuna kibay kilichongeleww nyuma ya pazia acha ufala ww
@clarencemasaki4223
@clarencemasaki4223 Год назад
😂😂😂Isidingo
@mkata_umeme_kante
@mkata_umeme_kante Год назад
@@hakimboss899 wew hijielew
@lungusii
@lungusii Год назад
HAMKUWA MUME JITAYARISHA KABISAA ..HII SIO PROFESSIONAL KABISA MUDA MWINGINE MJIANDAE NDO MUWEZE FANYA INTERVIEW , SASA HIVI DUNIA IMESOGEA SANA
@mariamukaiche-xp4cn
@mariamukaiche-xp4cn Год назад
Wee mtoto muongo wewee ivi manyanyaso hayo ufanyiwe wewe tu kwakuwa wewe ni nani haswa,hakika wewe mungu anakuona kwakweli naatakulipa inshaallah
@harunncheye1909
@harunncheye1909 Год назад
wewe ilikuwepo??
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 Год назад
Msilaumuu kama kaongopa tunasubili heriss athibitishee
@simpleboytz255
@simpleboytz255 Год назад
Aliefanya hii kazi ya kuedit amezingua Sana tena sana
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 Год назад
kweli kabis
@enosdamas9345
@enosdamas9345 Год назад
Na kweli bro umelowaaaaaa
@rashidumwijagesuleiman2089
@rashidumwijagesuleiman2089 Год назад
Eng. Hersi anaonekana kama ndo tatizo la fei na Yanga..... Anyway yote kwa yote ngoja tusubili mahakama ndo itahukumu....🔥🔥🔥
@raybirry3816
@raybirry3816 Год назад
Muongo hana tatizo na Yanga,ni TAMAA ya ahadi alizopewa na AZAM sasa sheria imembana tu,kageuka mfa maji.
@robertmisako
@robertmisako Год назад
Away jamaaa ni was eng kweli Kweli et Wana mpanga Cha kusema ila wameumbuka saaana2 nimeamin mungu fundi duuuh
@abdulrahimomar8554
@abdulrahimomar8554 Год назад
Nakubali mzee babaaaa, msimamo nimeukubali
@Scholasticagraduationnasri
@Scholasticagraduationnasri Год назад
Mwacheni rais wetu afanye kazi hako kadogo ni ka hovyo kanapangiwa maisha na watu
@najmaahmed3840
@najmaahmed3840 Год назад
Tulia k wewe kwani wewe ni hers
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 Год назад
Hayajakukutaaaaaaaa
@Le_petery
@Le_petery Год назад
Shule muhimu Sana..
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Unaweza kusoma na ukatoka patupu, kipaji hakina Elimu, labda kosa Lake kutokujua kingereza, maana kiswahili anajua, na unaweza kumaliza kidato cha nne na hiyo English usijue kwasababu Tanzania 100% ni kiswahili, na kama Mamake hakuwa na uwezo English akajue wapi?
@hassanmaalim9193
@hassanmaalim9193 Год назад
Akili yako Elimu ndo mafanikio ww kweli Zero😅Utu una Umuhimu kilio kitu yy Ana pesa Fei Ana kipaji
@charlesgmwinuka6269
@charlesgmwinuka6269 Год назад
Mpk ufike nchi ya ahadi unafka umekua mlemavu🔥🔥🔥
@isihakaliyuma1848
@isihakaliyuma1848 Год назад
kazi za kuajiliwa ni ngumu sana hasa boss tu wa juu akaamua kukunyanyasa
@oscarmlaponi8355
@oscarmlaponi8355 Год назад
Usikate tamaa fey!
@moseswiliam9028
@moseswiliam9028 Год назад
Namba moja on trending hatari sana hii
@brandyangutz
@brandyangutz Год назад
Clouds ni media kubwa, mpaka leo bado mnajitafuta kwenye teknolojia ya LIVE STREAMING kweli? Sauti mbovu, kipande kirefu haisikiki kabisa, lighting setup zero, na camera inayotumika ndo sijui ni 600D, daah mnasikitisha sana.. Interview nzuri imeharibiwa na technical department upande wa pcha
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Год назад
KILA REDIO LEO ILIKUWA INASIKILIZA CLOUDS WATAKE WASITAKE😂😂
@libandaonline5358
@libandaonline5358 Год назад
Kweli kabisa
@raymondstewart228
@raymondstewart228 Год назад
Ndiiyooo waambie hao yakheee
@godfreymsofe2366
@godfreymsofe2366 Год назад
daaaa mungu fundi kweli dakika ya 39-49 sikiliza alaf ndio ujue mungu ni fundi haswa
@qaraiserq6532
@qaraiserq6532 Год назад
Kama ujui utakua aujui tu vitu vya kawaida kwenye live apangwi mtu yanga wamezingua
@user-sn1ps1hq5l
@user-sn1ps1hq5l Год назад
Tunaoelewa tunajua ila wenyekuleta ushabiki achana nao xo shikilia msimamo wako tu bro👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@noelymlimbila1170
@noelymlimbila1170 Год назад
Wachezaji wanavumilia madudu mengi sana Mungu awatie nguvu
@wesleyringo6979
@wesleyringo6979 Год назад
Yaan mlikuwa nkifanya setup huko mnaenda Live, hadi ambavyo hatukutakiwa kuona mmeyaacha yaende hewa !?
@tanzanaire
@tanzanaire Год назад
aisee hiyo kitchen setup ni ya ki-nne sana... hilo jiko au chumba cha upasuaji.
@jassontv5366
@jassontv5366 Год назад
Hapa Naona Feisal point yake ya msingi ni Mpanzi a timu. but Feisal hana point za kutufanya tuwaze pakubwa
@mikazotv
@mikazotv Год назад
Sema clouds mnapigwa bao sana sababu Quality ya vitu vyenu ni mbovu setup mbovu sana hii
@raybirry3816
@raybirry3816 Год назад
Huyu mama kamtumbukiza Mayele kwa malengo maalum.
@saidmanyema5180
@saidmanyema5180 Год назад
Kwahyo ndo mlikuwa mna mmezesha maneno dah
@omwana5333
@omwana5333 Год назад
Amesema hela ya mwisho aliingiziwa mwezi wa pili 2022😮 au sikusikia vizuri. Mbona sielewi hii intavyu😂😂😂😂
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 Год назад
The same
@saidibrahim5263
@saidibrahim5263 Год назад
Matangazoooo Mengi sanaaaa Punguzeni matangazoooo
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Год назад
😂😂😂😂😂Hilo 55:20 Suali la Masoud tayari nimelisikia kwa sauti iliyovuja vipi alijibu 😂😂😂😂😂raha kweli
@fargakoigip6029
@fargakoigip6029 Год назад
wanao sapoti Fei ni washabiki wa Simba .... Fei anadai Bi Mkubwa alikua anatukanwa kabla ya yeye kuvunja mkataba, pia anadai kuwa aliambiwa anauza mechi yote haya alikuawa anaambiwa hakuyasikia yeye mwenyewe... anataka tuzungumze haya yasiyokuwa na ushahidi tuache Fainali za Shirikisho Africa ... huyu anatumika kuushambulia Uongozi wa YANGA wakati huu tupo kwenye Heka heka za Fainali za kombe la shirikisho ....Uzuri WanaYanga walisha jua ... ni vizuri viongozi wa YANGA wajue Fei anatumika kuwagawanya ili msiwe kitu kimoja na msipo kuwa na tahadhari atafanikiwa ....hapa kasema walikuwa wanaongea na kiongozi mmoja wao akamwambia wenzake wanamsema, pia anataka kushitaki Hersi kwa Wapenzi wa soka kuwa yeye (Eng. Hersi) ndio sababu ya matatizo ya yeye na YANGA jambo ambalo siyo kweli, Simba wanajua uwezo wake wa uongozi pamoja na umri mdogo....Eng. Hersi muda huu ndio muda wa kujipima haya ni mashambulizi ya kukugawanya wewe na viongozi wenzako .... usimtafute mmbaya wako Sima wametengeneza tofauti yako na Fei kukutoa barabarani, wnatumia wataalamu wa kisaikolojia kulifanya hili jambo, kwasababu wanaogopa unachotaka kuifanyia YANGA wanatumia kila aina ya mbinu kukuzuia, hili la Fei nilijua litakuja kusemwa ni la kwako Simba mbinu ya kuigawanya YANGA wanaitumia sana na kama uliingia kwenye Uongozi bila kulijua hili lifanyie kazi sanaa, tafuta wataalam wa kisaikolojia na image likability kukusaidia katika hili, iweke timu mahali pake kama ulivyo ahidi hiki ndicho wanacho kiogopa sana acha hawa wapuuzi waendelee ila tafuta namna ya kuwajulisha upuuzi wao ... najua Mo Dewji anahusika .... yeye anajua namna ya kutumia propaganda chafu kuuvuruga uongozi amesoma nje na huko ndiko wanavyofanya kuwadhoofisha wakurugenzi wa makampuni wanayoshindana nayo ....hua wanatumia mbinu hizi kuwaondoa katika focus na hili kama YANGA hawalijui walifanyie utafiti wawatafute wataalam wa kujua mbinu hizi Mo ana hela na ameajiri wabunifu wa uharibifu kuichafua YANGA ndani ya TFF, CAF na FIFA ndio maana amekuwa akiwatumia Rivers United kuishitaki YANGA CAF .... YANGA lazima waajiri watu wa kupambana na vita hii
@fortunatafelician5625
@fortunatafelician5625 Год назад
Eng.hatoki,GSM daima unajifanya wew mkubwa kuliko club fei wew sepa tuu club iendelee ers ndo katufikisha hapa tulipo wew mwnyew Shahid tulipotoka na tulipo sasa
@allyfatma7359
@allyfatma7359 Год назад
Interview haina tena mvuto.mumeharibu Sana,sanaaaa.🏃🏃🏃🏃
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 Год назад
Ubunifu yes.... ila setup imepunguza utam wa haya mahojiano
@gametongwe3539
@gametongwe3539 Год назад
Feisal Salum 'Fei toto' 🙏🔥💫💯
@ibrahimhamad4378
@ibrahimhamad4378 Год назад
Hatamke akiwahakutaki halazimishwi
@ibrahimhamad4378
@ibrahimhamad4378 Год назад
Yanga nyinyi
@whiterabbit9938
@whiterabbit9938 Год назад
This world used to be a place to learn to suffer, but that has to change. Make this world heaven!
@RajahGajendra-jj3gx
@RajahGajendra-jj3gx Год назад
Nimeshndwa kufaturia hii interview kwasabab haielewek kabsaa masaa matat lakn mpka dakika ya 30 interview haijaanza kweli clouds mnazingua san
@PrincemwombekiPius
@PrincemwombekiPius Год назад
Comment yangu ni kwa Clous Media… Mmeharibu Product nzuri kama hii, Sound Quality iko chini sanaaaa… Jipangeni tenaaa kwenye upande wa Sound… Utamu wote wa kusikiliza hii interview online umeniishia baada ya kusikia Quality Mbovu ya sauti
@onesmomkimbila8683
@onesmomkimbila8683 Год назад
Hapa hakuna ukweli kuna kitu anakificha kama anaweza kulipa ghalama zote ili aachane na yanga anashindwaje kulipa hela huko cas hadi achangishe asimtegemee Mungu kuhusu hiyo kesi apapande coz hakuna ukweli hapo na Mungu ni kweli kama anahitaji msaada wa Mungu awe mkweli maana hapo nasikia hadi huyo mama amekaa naye chini kaongea nae kuhusu yeye arudi yanga shekh wachezaji wenzake na watu mbali mbali tatizo liko kwake
@jwisetv4833
@jwisetv4833 Год назад
Uyanga ndo unakusumbua huna hata huruma roho ya shetani iyo mwenyewe yanga ila nimrumia et
@allybobsaith
@allybobsaith Год назад
Uyanga hautusumbui kapangiwa vya kusema 😂😂😂😂😂😂
@kilulumtunyungu9369
@kilulumtunyungu9369 Год назад
Huyu mtoto shoga kweli
@christopherwami2006
@christopherwami2006 Год назад
Nikwel kuna vitu si vizur fei kafanyiwa lkn hajakomaa bado izo ni changamoto za kazii kitendo alichofanya chakuvunya mkata kilitosha kurudisha heshima yake kwa viongozi wa yanga,,,,
@estherramadhani5015
@estherramadhani5015 Год назад
Mbna kama kuna sauti za maelekezo ya vitu vya kuongea ndugu watangazaji jamani 🤣🤣🤣 Asante technology
@herbethchogga361
@herbethchogga361 Год назад
Kweli washauri ni maandazi
@todaysmatches8697
@todaysmatches8697 Год назад
ONGEZENI PLEASE QUALITY YA PICTURE NA SAUTI HII INTERVIEW YA PILI NAONA INAZNGUA... IT'S A REQUEST
@bettykasandiko9725
@bettykasandiko9725 Год назад
Hawa ndo watoto wa mama. Hakuna sehem utaenda usikutane na changamoto. Ila kwa vijana wa sikuhizi changamoto zinaitwa manyanyaso
@abdullaly9177
@abdullaly9177 Год назад
Inaoneka hujawah kunyanyaswa
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 Год назад
Kwaioo unamaanisha duniani hakuna hayo manyanyasooo??????
@francissaka9713
@francissaka9713 Год назад
Kama ujaelewa hii comment ni Bora usijibu tuu Kwa wema 😂😂
@bettykasandiko9725
@bettykasandiko9725 Год назад
@@francissaka9713 na ww kama hujaelewa iache ilivyo
@francissaka9713
@francissaka9713 Год назад
@@bettykasandiko9725 ndo mana cjajibu maaana utajibu ki2 usichokielewa ukome wakushambulieee
@idriskinye1190
@idriskinye1190 Год назад
Kwa kuongezewa mwaka naweza kumulewa ila unavo jieleza2 huna paku ishinda yanga ushauli wangu ludi kiwashe mkataba ukiisha utanya biasha nautapata pesa nyingi kwana navo muonaga raisi wa yanga hamzidian uelewa
@Sngpark002
@Sngpark002 Год назад
Daa clouds 😢😂😂
@andrewsabaini4991
@andrewsabaini4991 Год назад
Nathani kuna utata hapo rudia Augasti 10 2020 kidani star waliripoti kwamba Fei amesaini miaka minne sasa Fei yeye hakusikia habari hizo na hata Hersi alituma kwenye page yake kwa umma kama hajui kiingerza hizo habari kwenye vyombo vya habari havikumshua Fei na kuona amedanganywa?
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 Год назад
Taasisi zina Mengi msimlaumu fei kwa kutokujua anayoyapitia
@tumainimano9953
@tumainimano9953 Год назад
Mbon camera zenu clouds hazitoi pocture quality
@florianminja8427
@florianminja8427 Год назад
Mjukuu wa mzee Haroub
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Год назад
Interview mbovu katika nilizowahi kuziangalia kupitia simu
@edsonjrtz7676
@edsonjrtz7676 Год назад
Ninacho kiona hapa kuna cha kujifunza kwa viongozi
@kakakodokodo7477
@kakakodokodo7477 Год назад
Bora fey nakupenda❤❤
@musadickally8805
@musadickally8805 Год назад
Maandazi ayo😂
@fadhiliswinya
@fadhiliswinya Год назад
Kumbe fei kuondoka yanga ni rais sasa sio
@aishahasan7722
@aishahasan7722 Год назад
Sasa hawa mashangaz Jasmin na fatma karume simuupe hizo pesa mwende CAS huko.... Simnauwezo nyie towen pesa mlipien zote kinashangaz😂😂😂,
@wiseman-or8xv
@wiseman-or8xv Год назад
Mbona kama editor kazingua kwann aweke maneno ya behind the scenes
@user-he6rd7cw2c
@user-he6rd7cw2c Год назад
VIDEO QUALTY NI MBOVU RESOLUTION 480 ONLY???
@joackimmbunda5335
@joackimmbunda5335 Год назад
Fei pambana Mungu atakusaidia2
@user-io3wz1ky5v
@user-io3wz1ky5v Год назад
Sauti ndogo, quality ya Camera hairidhishi
@dronemiguel2230
@dronemiguel2230 Год назад
Duu yaan clouds xhida ni sauti hamjifunzi kwa @simulizi na sauti (SnS)
@minahadam2323
@minahadam2323 Год назад
1 on trending feisal kipenz Cha watuu
@franklutindi4167
@franklutindi4167 Год назад
Kama mmesikia hata timu iliyokuwa imemlea aliisaliti kusaini mkataba wa awar kwa sir lakin baat nzuri wakakutana kwenye biashara pas yeye kujua nandicho anachofanya leo kwa yanga atakua kashasain Shemu uyo pumbavu sana
@kaisamjunior3692
@kaisamjunior3692 Год назад
Clouds bado mpo kirokoroko saaana yaniiiii 🤔🤔🤔
@TEN10TV.
@TEN10TV. Год назад
Tuliosoma Cuba tumemuona masoud kipanya akimuuliza Fei mara mbili afu kama kasusa hiv maana anamuona hamuelew anaongea vtu tofauti
@halidmauga96
@halidmauga96 Год назад
Msichanganye ajira zenu na ajira za mpira, ni vitu viwili tofauti, ajira zenu unaweza ukavunja mkataba bila sababu ya msing, kwenye mpira haipo hivyo na lait ingekuwa hivyo Kuna timu siku Moja ingekuwa Haina mchezaj hata mmoja
@gideonemmanyi9593
@gideonemmanyi9593 Год назад
mbona mnampanga kwan akisema ukweli si ndio ukweli anakosea nn?
@abdullyathuman1425
@abdullyathuman1425 Год назад
the truth is always hated, brother, he has explained himself well, but those who do not know the truth are the first to post negative things. but congratulations brother for making the truth clear and that truth will protect you brow
@lakimillio2621
@lakimillio2621 Год назад
Kwani awa wanoandika ujinga ujinga na ushabiki maandazi, wamesikiliza mbaka mwisho, au mnasikiliza mbaka mwisho
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 Год назад
Mbona fei kama hakuelewa mkataba aliosaini na vipengele vyake.. amekuja kuambiwa baada ya hizi mambo…Kwani kama Fei hakua na mwanasheria kipindi hcho anausaini huo mkataba ili afafanuliwe hvyo vipengele, kwann Mwanasheria wa yanga asiwepo afanye hiyo kazi. Coz ni mhm kwa wote, means Yanga na Fei. Ndo shida hizi sasa. Dogo anapitia wakati mgumu saana. Mm nafikiri Fei arudi tuu yanga ajishushe aombe msamaha, amalizie mkataba wake awe huru. Hii ngoma kuivunja ni ngumu mno, anapoteza muda bure.
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj Год назад
Daaa mtihani sana yan fei unatuujum hivi kila mechi unatuarib akili
@FatihuJumaa
@FatihuJumaa Год назад
Anahujumu kivip
@malleironworks4586
@malleironworks4586 Год назад
Nilikuwa ninatamani ahojiwe na watu wa mpira na sheria za boli wanazijuwa. Ila mahojiano mazuri, japo Kuna vingi vimekosekana..
@monicalukumay9457
@monicalukumay9457 Год назад
Why Kwann iwe ck hizi ambayo clabu ipo maandalizi kuipgania taif
@martinbugeraa5329
@martinbugeraa5329 Год назад
Mbona mna mpanga Sasa jamanii ya kuongeaa aisee mbona kipind hiki Kama anapangwaa hivii chakuongea aisee
@wesleyringo6979
@wesleyringo6979 Год назад
Show imekuwa mbaya kwanzia kwenye mwanza hadi hizo saut ambazo hazikutakiwa kusikika. Content ilikuwa nzur ile uwasilishahi umekuwa na makosa.
@kilulumtunyungu9369
@kilulumtunyungu9369 Год назад
Acha ushamba na uhongo mpuuzi wew unachokiongea ni kutafuta pakuhemea
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 Год назад
Ndomaaaanaaa saidoooo naee alilalamika ivooo ivo
@user-hc1tu4jh7j
@user-hc1tu4jh7j Год назад
Daaah
@valerianmtowe7822
@valerianmtowe7822 Год назад
Clouds ni radio mbovu cjawah kuona pind wanahoji wasenge
@ommykiss7049
@ommykiss7049 Год назад
Yn fei unachoongea na sura yko ni vitu viwili tofauti kabisa.. mungu anakuona ww mtoto
@mzazyfashion7231
@mzazyfashion7231 Год назад
Sasa hii sauti vipi.
@IsmailliKahamba-wq1vc
@IsmailliKahamba-wq1vc Год назад
Daaa uyoo. dogo kashafer
@user-bg8hz2xh5m
@user-bg8hz2xh5m Год назад
Yani unakubali vip kisaini mkataba kabla ya kuusoma,nakama umeona wa kingeleza kwann hukusema wakupe wa kiswahili,yan kwa maelezo hayo unagundua kwamba fei Hana tatizo na mkataba na yanga kabisa,aya na huko cas wanaenda kusemaje
@danykeys6557
@danykeys6557 Год назад
No. 1 on trending .... HII NI MAAJABU
@jackychantofficial3510
@jackychantofficial3510 Год назад
Clouds mungezima kwanza mic 🎤 ya feitoto maana kila kitu nyuma ya camera tunasikia vile anapangiwa mistari d😢
@Blessedhopefamily
@Blessedhopefamily Год назад
Sijaelewa hii (unasikia kila kitu nyuma ya fei) Kuna technolojia gan hapo naona dogo anaongea kwa panic hivi
@malleironworks4586
@malleironworks4586 Год назад
Mtu wa kurusha matangazo amemfanyia makusudi, ili yasikike ya off air.
@mkoimedia
@mkoimedia Год назад
Acheni midomo nyinyi maongezi kusikika offline sio ttzo acheni unafki mtu anatetea haki yake kenge nyinyi
@dronemiguel2230
@dronemiguel2230 Год назад
Hiyo ni media xio kila k2 unaweza kuongea na piah bado kesi ni mbichi na hatakiwi kuongea kila k2 xo lazm apangiwe kipe kiwe wazi kipi muda wake bado
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 Год назад
Mim sio mdau Sana ila nachojua hamasa Kwaajili ya kitu Bora siku zote ni baada ya mtu kupewa stahiki yake na kupewa nafasi yake kama ilivyo na sio kumyumbisha, wachezani wengi San wa ndani ni wazuri ila mioyo ya viongozi wetu Bado mioyo yao na si kingine Ina maumivu hasa kuona mchezaji mzarendo ana maisha mazuri na pesa nzuri ,tunaamini wachezani wa nje na kuwanufaisha wao zaidi " UZALENDO NI MUHIMU" ....tuwapende tuwathamini na tuwaamini tunaweza fika mbali Sana " biblia na Quran zimeeleza Sana juu ya mtu hasiyethamini wa kwao ni dhambi na kukosea mbele za mwenyezi Mungu"...
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 Год назад
Amesema tatizo SIO maslahi... Maslahi amelizika nayo.....
@josephshuma1975
@josephshuma1975 Год назад
Kweli clouds chenga mnasikika na hamjui kama mnasikika !? Wakati mnaongea nyuma ya camera 😂😂!!!!
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 Год назад
CLOUDS MBONA MNAFELI STUDIO YENU SAUTI MMESHUKA VIWANGO KWENYE TASNIA YA HABAR?? TATIZO NINI,????
@user-yy6li1mm7l
@user-yy6li1mm7l Год назад
🎉ila tuseme ukweli fei amezurmiwa haki yake
@bujikumahega5086
@bujikumahega5086 Год назад
Dogo masilahi huwa yanaombwa kwa amani afu hata kama ulikuwa uposahihi ila mkataba ungeuheshimu kama wadau wako tunavykuheshimu lakini kwa namna hii mdogo wangu umeniumiza na kuniskitisha Feisal binafsi sina furaha na kelele zako mtandaooni ila sawaaa Mungu akusaidie ila mmmmmh basi tu unajuwa wewe zaidi
@titomtaula4898
@titomtaula4898 Год назад
Me nimeruka ruka madawati ila wewe fei umenizid yani hujui hata namba yako yakuchangiwa wewe ganda nenda zako cc tuko na Eng..... Aliemleta mayele
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 Год назад
Tusomesheni watoto wetu. Mipesa unaweza kuwa nayo ila inapokuja KUPANGA MANENO uzoefu, kipaji na elimu zinahusika.
Далее
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 23 млн
DUKANI KWA MEKU
11:05
Просмотров 302 тыс.