Тёмный

MAAJABU ya Uwanja wa Ndege BORA zaidi DUNIANI/ Una MBUGA ya WANYAMA 

Charles Kombe
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 2,6 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe
Huu ni uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Changi uliopo nchini Singapore ambao umetajwa kwa zaidi ya mara 12 kama uwanja bora zaidi duniani kutokana na upekee ulionao kuanzia katika huduma, mapokezi na vingine vingi.
Uwanja huu ulianza shughuli zake tarehe 1 July, 1981 na ulifunguliwa rasmi disemba 29 mwaka huo na wakati huo uwanja huu ulikuwa na jengo moja tu la abiria yaani terminal 1.
________________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com

Опубликовано:

 

10 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 месяца назад
Nimeigia kusabu siklebu tuwe pamoja kwa story mzuri kutoka kwenu 🙏👍✊🇹🇿🇬🇷
@charleskombe
@charleskombe 4 месяца назад
Tunashkuru sana na barikiwa. Endelea kuwa karibu na kusambaza kwa wengine kwa story nyingi zijazo
@njoostudio_
@njoostudio_ 8 месяцев назад
Noma I Wish Bongo Tuwe Nao Hata Mmoja Kama Kivutio Cha Utaliii
@sarafinatewas8390
@sarafinatewas8390 8 месяцев назад
😂😂hehe htr hii
Далее
Unleash Your Potential: Jack Ma's Blueprint to Success
10:05
Kerala to North korea യാത്ര
21:00
Просмотров 1,1 млн