Habari. Nimesoma certificate ya Information Technology, nahitaji kusoma Diploma ya Information Technology. Naomba msaada wako. Niwe na Documents gani? Ada bei rahisi ni kiasi gani? Hostel za bei rahisi sana ni bei gani?
nauli ya ndege aiko permanent inategemea na company uliyo booking pia muda wa booking mtu anayebooking week moja kabla ya safari ni tofauti na anayebooking mwezi mmoja kabla ya safari pia ticket ya ndege kuna low season na high season kwaiyo high season nauli inakuwa juu lkn kwaiyo kuna muda unaweza ukasafiri ata kwa 1M lkn kuna muda unaweza ukasafiri ata kwa 3M adi 4M kwaiyo inategemea company,muda wa kusafiri ukiomba miezi minne kabla ya safari nauli uwa chini Sana
Mimi naitwa jose swali langu nauliza je kama mtu ni muajiliwa kutoka nchi nyingine labda kama jeshini akaomba green card akashinda je ataruhusiwa kuingia marekani au kutokana na sifa za jeshi ni ngumu kukubaliwa nilitaka nijue