Тёмный
No video :(

MAKONDA AMUWAKIA MKURUGENZI - ''USINIPIGE MKWARA - UNAFAA KUFUKUZWA KAZI - MLIPENI PESA ZAKE''... 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 106 тыс.
50% 1

MAKONDA AMUWAKIA MKURUGENZI - ''USINIPIGE MKWARA - UNAFAA KUFUKUZWA KAZI - MLIPENI PESA ZAKE''...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

24 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 216   
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 6 месяцев назад
Makonda hakika unanikosha sana ,ukuu wa mkoa umekusaidia sana kuwa mzoefu wa mambo ya Halmashauri najua hakuna hawa watendaji watakudanganya
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 6 месяцев назад
Namuombea sana mama Samia makonda aongezewe meno kama Kuna kipengele kinacho weza kumpa mamlaka mweshimiwa makonda kiwekwe ili aweze kuwatumbua papi Kwa hapo awe waziri awe mkurugez awe mkuu wa mkoa yeyote anae fanya kazi kiuzembe na mazoea wapigaji awe anawatumbua kwamakonda kama kunywa maji tu wengenyooka wale wazembe na wapigaji.
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 6 месяцев назад
MAKONDA tunakupenda ❤❤
@ManuuNgingo-cs3hx
@ManuuNgingo-cs3hx 6 месяцев назад
Huyo so mkurugenzi hafai hao ndo wanaomuangusha mama hongera makonda kwa kazi nzuri
@bakariomari8758
@bakariomari8758 6 месяцев назад
Nilifurahi sana kuona makonda karudi tena kwa kazi anayostahiki kabisa. Watanyooka tu
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 6 месяцев назад
Makonda mtumishi wa Mungu..msema kweli ni mpenzi wa Mungu jamani...huyu kijana ni mpambanaji....ni kiongozi
@AbdulmalikFedrick-ct7nb
@AbdulmalikFedrick-ct7nb 6 месяцев назад
Mueshimiwa makonda wafundishe Alha akufanyie wepesi inshallah Umsaidie mama yetu kipenzi
@timothjustine661
@timothjustine661 6 месяцев назад
Ukweli Wangu nafurahishwa Sana na ww makonda big up
@ManuuNgingo-cs3hx
@ManuuNgingo-cs3hx 6 месяцев назад
Huyo so mkurugenzi hafai hao ndo wanao rudisha maendeleo nyuma hongera makonda kwa kazi nzuri
@jumakiwande2441
@jumakiwande2441 6 месяцев назад
Asante sana Mama Samia Kwa kuona mbali na kumuibua Mwenezi mwenye Maono sasa Chama kipo kazini
@user-fm2ng3vj9l
@user-fm2ng3vj9l 6 месяцев назад
Muheshimiwa makonda nakukubali sana ila muombe Mungu ulinzi mkubwa na mimi nakuombea katika jina la Yesu. Akili kubwa haihitajiki kwenye jamii ya wapumbavu wengi. Mengine nitaongea nikipata wakili. Nawasilisha.
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 6 месяцев назад
🎉Makonda the great salute borother
@AffectionateFood-rz5sv
@AffectionateFood-rz5sv 6 месяцев назад
Hii ndiyo Ufuatiliaji na Tathmini ya ccm kwa utendaji wa serikali kwa wananchi
@mashaurifloribert1396
@mashaurifloribert1396 6 месяцев назад
Majina yangu ya Sasa ni Paul Makonda🔥❤️
@AmosJuma-wp2pe
@AmosJuma-wp2pe 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@user-hh4us7kb5q
@user-hh4us7kb5q 6 месяцев назад
kmbe Mwenyezi Mungu ametpatia Jpm tena.
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 6 месяцев назад
Kabisa
@barikimollel7890
@barikimollel7890 6 месяцев назад
Tunakuekewa Sana Mhe Ila Monduli umetupita hujatuskiliza Sisi kero Zetu Tuna Changamoto Mingi Sana
@josephlugala3182
@josephlugala3182 6 месяцев назад
Nimekupenda Bure makonda
@neemanziku5403
@neemanziku5403 6 месяцев назад
Mama Samia tunataka viongo kama makonda,wananchi wanateseka hawaelewi wakashitak wap??
@lengachapati3728
@lengachapati3728 6 месяцев назад
Mungu akuweke Makonda
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 6 месяцев назад
Makonda namuelewaga Sana Mungu azidi kumlinda...
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 6 месяцев назад
Makonda ni magufuli aliyefufuka Mola akupe urais ,umrithi mama Samia
@daslamonline4665
@daslamonline4665 6 месяцев назад
Nilisahau kuweka bondo bila sababu toka enzi ya magufuli sasa naanza upya watumishi wazembe sana
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 6 месяцев назад
😅😅muongo
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 месяцев назад
​@@shubebunyesi542kiberenge kinafagia njia treni uko nyuma😂😂😂😂😂
@zennahassan1597
@zennahassan1597 6 месяцев назад
Mwenezi makonda wakurugezi wengi ndivo walivo awakipendi chama hao masinichii hawatufaiii embu ondoaaaa haooooo piga kazi babaaaaa
@justinemaingu1460
@justinemaingu1460 6 месяцев назад
Hongera sana Makonda hakika wewe ni mtetezi usie na makando kando
@esterelias8137
@esterelias8137 6 месяцев назад
Makonda gombea urais baba. Nakupenda sana mtetez wa wanyonge mule mule kama baba hatari john pombe magufuri
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 6 месяцев назад
Wakati wa kampeni ndo mnajifanya kujipendekeza kuwwsaidia wana nchi tukiwapa kura mnasahau yote tz. 🇹🇿 Bana siasa nyingi wizi mwingiiiiiiiiii ,,, mkombozi ni ✌️✌️✌️📢
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 6 месяцев назад
Maandamano ni haki yenu. Mngefanya na nyie mikutano kukusanya hayo matatizo ya wananchi na kuuasemea mnazani mngekosa kura. Shida mnakuja na matatizo ya familia za wachache mngesaidia kuzunguka kama huyu tuone haki za wananchi.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 месяцев назад
​@@isaacmwaseba9972muda umefika kiberenge kinafagia njia 😂😂😂😂😂
@santinosabugo2114
@santinosabugo2114 6 месяцев назад
mkuu wa mkoa nakukubali mama makonda endelea kukiwasha
@DenisMafie-lc7io
@DenisMafie-lc7io 6 месяцев назад
Mungu akulindi makond
@user-sn9yp3sc2f
@user-sn9yp3sc2f 6 месяцев назад
Mimi binafsi mheshimiwa makonda alipikuwa mkuu wamkoq was darsalam nilimkubali Sana,nakunwombea na nilikuwa nasema atarudi tu kwa nguvu za MUNGU,aliporudi kwakweli niliona Kama nimimi nakumshukuru MUNGU kwa Sasa picha halisi ndo inaonekana kwa watumishi was umma
@user-qy7he6cl8w
@user-qy7he6cl8w 6 месяцев назад
Makonda akigombea uraisi hatukuachiiii
@shariffasaid837
@shariffasaid837 6 месяцев назад
Santeee baba absolutely nimependa hioo
@user-mp4yt7ps5q
@user-mp4yt7ps5q 6 месяцев назад
Makonda Mungu akulinde
@user-sn9yp3sc2f
@user-sn9yp3sc2f 6 месяцев назад
Mimi naitwa Paulo napenda Sana kutetea haki,namkubali Sana mheshimiwa makonda anavyotetea , wanyonge MUNGU akulinde Sana wajina wangu
@shikuhata
@shikuhata 6 месяцев назад
Mungu akusimamie
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 6 месяцев назад
Makonda for president
@CarolinJoseph-op5zw
@CarolinJoseph-op5zw 6 месяцев назад
Mwenezi taifa halmashauri zinatupa umasikini
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage 6 месяцев назад
Mimi pia nafanya kazi za uzabuni lakini wakurugenzi na maafsa manunuzi wilayani na mikoani ni wasumbufu linapokuja suala la malipo
@emanuelpetro9591
@emanuelpetro9591 6 месяцев назад
Hata mimi nafanya kazi za majengo ya serikali kwakweli wanatutesa sana tena sana kuhusu malipo ila kwakweli Mungu anawaona
@user-ij9pk5zu2x
@user-ij9pk5zu2x 6 месяцев назад
Hivi wakichukua wazabuni wa nje wanawalipa au nao wanateseka hivi. Maana kila sehemu wakurugenzi ni shida
@user-bp2qv3yr2b
@user-bp2qv3yr2b 6 месяцев назад
❤❤❤Nakupenda kiongozi mpenda haki makonda hoyeee
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 6 месяцев назад
Mkuu wa mkoa nakupenda sana dada angu
@user-di3qq1jf7z
@user-di3qq1jf7z 6 месяцев назад
Good Job brother.....we rocking with you
@nadynikumbushe1254
@nadynikumbushe1254 6 месяцев назад
Mm najiuliza wakuu wa mikoa na wilaya wanafanya kazi gani ..matatizo ni mengi kila kona dah 😢
@asiliyetuonlinetv5063
@asiliyetuonlinetv5063 6 месяцев назад
Aibu sana kwa serikali
@user-ov3bt3pf1b
@user-ov3bt3pf1b 6 месяцев назад
RC kweli una utu wa Mungu. Endelea hivyo hivyo hata vizazi vyako vitasaidiwa kwa kusema ukweli.
@idrisskiduka8185
@idrisskiduka8185 5 месяцев назад
Maui wa Mko Mungu skulinde
@abuujr87
@abuujr87 6 месяцев назад
safi👏👏👏👏👏
@frbm1729
@frbm1729 6 месяцев назад
The next President
@user-zs1zo2tx1i
@user-zs1zo2tx1i 6 месяцев назад
Safi sana
@user-hf2up7uw2e
@user-hf2up7uw2e 6 месяцев назад
Mm naona mheshimiwa makonda hiki cheo n kdg san kwake...km inawezekana awe ata wazir mkuu awe rais 2030
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 6 месяцев назад
Yan wakurugenzi kuna maisha nje ya ofisi!!
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 6 месяцев назад
Sanaa za Ccm ktk ubora wao wa kuhadaa jamiii!
@mamachris6811
@mamachris6811 6 месяцев назад
Wachache wataelewa 😂😂😂😂
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 6 месяцев назад
Kila mtu na mtazamo wake
@mallemaOg
@mallemaOg 6 месяцев назад
Kwa maoni yako
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 месяцев назад
​@@mamachris6811kiberenge kinafagia njia kwa ufanisi wa hali ya juuu😅😅😅😅😅😅
@TheresiaKaruhanga
@TheresiaKaruhanga 6 месяцев назад
Makonda you are good
@matanohassan9667
@matanohassan9667 6 месяцев назад
KWA UHAKIKA MI MKENYA ILA MAKONDA ANANIKOSHA KULIKO MUNAVODHANIA YAANI KIDUME HICHOO MAKONDA MUNGU AKUHIFADHI SANA
@awadhally1052
@awadhally1052 6 месяцев назад
Amiin
@magazimahushi6417
@magazimahushi6417 6 месяцев назад
Huyu ndo anafaa kuwa rais wa nchi
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 6 месяцев назад
Makonda Jembe Kweli Kweli
@brunidamadege3747
@brunidamadege3747 6 месяцев назад
Kwa kweli viongozi wanajikanyaga saana.
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 6 месяцев назад
Huyu mama mheshimiwa atawanyoosha vizuri TUU... sii wa mchezo mchezo😅
@user-vp7qs7fy8r
@user-vp7qs7fy8r 6 месяцев назад
Mimi ni mwalimu .Makonda unanifurahisha saana Naomba namba yako ya simu
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 6 месяцев назад
Jaman mmepata mkuu wa mkoa Bomba Sana. Chapa kaz mama na makonda yupo pemben yako
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 6 месяцев назад
In JPM's VOICE
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 6 месяцев назад
Kazi hadi iwe chini ya viwango wakaguzi walikuwa wapi hadi amalize kazi ndio mje mseme iko chini ya viwango, huo ni uhuni mkubwa sana
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 6 месяцев назад
Makonda nilikuwa naona Mb zangu zinaisha bila sababu lakini saiz sijutiiii ,Makonda na jua kali u tube ndio nnaziziangalia saiz
@daudimwita-bk6mg
@daudimwita-bk6mg 6 месяцев назад
Inamaana jaman serikali yote huwa inafanya nn mbona haya matatizo ni meng mno?????? Upigaji ni mwingi 😢😢
@omarisombi9284
@omarisombi9284 6 месяцев назад
Kwa hili Makonda na kuunga mkono Mia kwa Mia maana Kuna viongozi kadhaa katika Ofisi za Serikali yetu huwa wanajigeuza Miungu watu
@brunidamadege3747
@brunidamadege3747 6 месяцев назад
Jamani viongozi mbona mnafanyia hivyo watoto wa sisi wenzenu mnataka wawe wezi?
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 6 месяцев назад
Majizi wakurugenzi
@devothakokwiyukya5179
@devothakokwiyukya5179 6 месяцев назад
Mimi ni fundi kama yeye huyu anaehangaika....nilishajitoaga sifanyagi kazi ya serikali..kwa sababu hizohizo za kipuuzi
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 6 месяцев назад
Kwakweli huyo kawanyima rushwa ndo mana danadana ukute hapo mchawi ata mili 1 ikitolewa analipwa
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 6 месяцев назад
Ccm ipanue jinsi ya kupata watendaji, zipo NGoS na sekta binafsi zina wasomi wazuri ambao ni watoto wetu pia, kugangania watu ambao akili imeganda nacho ni kikwazo. Cha maendeleo yetu
@user-fv1qo5lh8z
@user-fv1qo5lh8z 6 месяцев назад
Duh eemuumba tusaidie yani tumerudishwa enzizile za kutengeneza migogoro nakuisov ionekane tunawajibika.ila sawatu yotemaisha
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 6 месяцев назад
Huyo hana kazi aondorewe
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 6 месяцев назад
Wakurugezi wapigaji wengi sana
@StevenMatiko-yq6vb
@StevenMatiko-yq6vb 6 месяцев назад
Makondaaa raisi ajaeeeeeeee nakupenda san
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 6 месяцев назад
Hizo pesa zimeliwa na hawataki kumlipa kwa kisingizio.
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 6 месяцев назад
HAWA WATU WALITAKIWA WASIMAMIWE NA SHERIA 15/1984. IBARA YA 12. MAKONDA AMEONA AISAIDIE HYO SHERIA
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 6 месяцев назад
Sasa kama ipo sashihi kwa wakati ule mbona hukumlipa kwa wakati ule? Wewe mkurugenzi wewe mungu anakuona
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 6 месяцев назад
Makonda hoyeeeee
@johnrambo9642
@johnrambo9642 6 месяцев назад
MH MAKONDA EEH PELEKA MOTO KAMA ALIVYOKUA ANAWAPELEKEA MAGU WEWE NDIO MAGU SASA NIKO NYUMA YAKO TOKA ENZ HIZO NAFUATA NYAYO TU NAELEWA TUNAKOENDA WASHA MOTO HAINA CHA OFC YA RAISI WALA NN HAPA HAKI NIHAKI HATUANGALII UMRI WALA CHEO HAPA MAKONDA HOYEEEEEEEH
@rogersmaokola3147
@rogersmaokola3147 6 месяцев назад
Hapo muenezi ndio ninapokukubali hao viongozi wa style hiyo wako wengi, sana roho mbaya chuki n.k ila wanyooshe maana wamelala sana
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 6 месяцев назад
Makonda nakuelewa sana
@josephlorri431
@josephlorri431 6 месяцев назад
Wakurugenzi wanajionaga miungu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 месяцев назад
Kweli ni mateso😮😮
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 6 месяцев назад
Kweli kabisaa kila mahali madhaifu rushwa kwa wingi wanainchi wanatezeza
@festohaule9716
@festohaule9716 6 месяцев назад
​@@rosetreffert4179 kweli kabisaaaaaaaaaaaaaa.. Kazi hakuna ..mtu akipata kazi anageuka tena kuhujumu Wananchi masikini tena!!!!!?
@MariamuSawala-dw1df
@MariamuSawala-dw1df 6 месяцев назад
Sio wakurugenzi wote! Tanga Jiji tuna mkurugenzi msikivu sana na anajali sana wananchi
@AmosJuma-wp2pe
@AmosJuma-wp2pe 6 месяцев назад
Makoda wakibizee hawakujui
@user-oy2fi5qz9n
@user-oy2fi5qz9n 6 месяцев назад
Mkurugenzi afukunze tu,
@awadhally1052
@awadhally1052 6 месяцев назад
Kwel kabisaa
@urbanmission3072
@urbanmission3072 6 месяцев назад
ILA NAOMBA UMSAMEE UYO MKURUGENZI UNAJUA WATENDAJI WA CHINI NDO WANATOA TAARIFA ZA MKSNGANYIKO KWA WAKURUGENZ NAOMBA MKURUGENZI WA WATU ASITUNGWE MSHIKAKI NA KOSA HILO ,NA UYO RC MDADA WA MANYARA NI SAFII SANAA
@atotark3889
@atotark3889 6 месяцев назад
Siasa pole
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 6 месяцев назад
Ukiangalia Hii Ziara Ya Makonda, Utaona Kua Watendaji wengi wa Serikali wanatakiwa kujituma sana kutatua Changamoto za Wananchi...na baadhi ya viongozi wa Serikali sio Werediii...Wengi Wao Wanarogana tu na kuamini ushirikina, na Wachawi wachawi tu😂😂😂😂
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 6 месяцев назад
Rc ❤❤❤❤
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 6 месяцев назад
Hao ndio wanao mwangusha mama pamoja mama na jitihada zake zote hao wanajizoma data wanajifanya kama hawaoni kazi anazo zifanya mama yetu Samia suluhu.watamzeesha raisi wetu hao na kugombanisha na wananchi.mpaka mweshimiwa makonda aje ndio mtu apate haki zake hao viongozi wanakuwa wapi tuambiane ukweli jamani.
@hatibuexauty4024
@hatibuexauty4024 6 месяцев назад
Natamani huyu mtu aje kuwa rais wa nchi hii hata miaka mitano tu.
@user-xp4ue1gq4c
@user-xp4ue1gq4c 6 месяцев назад
Daaah kazi za serekali pita nazo mbaliii utalia machozii
@user-ky3uw5qk2m
@user-ky3uw5qk2m 6 месяцев назад
Kiki zote hizo miaka 60 mmefeli kwa sababu uchaguzi umekaribia mnaanza kuongopea manyumbu ili muonekane mnafaa,tuelezeni walio haribu ni akina nani,sio nyinyi hamfai kuchaguliwa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 месяцев назад
Wee angalia jinsi kiberenge kinafanya kazi ya kufagia kwa ufanisi mkubwa
@roryayetuonlinetv8578
@roryayetuonlinetv8578 6 месяцев назад
Huyo Mkurugenzi ni mjinga Mwenezi Tumbua kabisa
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 6 месяцев назад
NYINYI MNAOMFANANISHA MAKONDA NA MAKUFULI MNA AKILI? SI NI MAKUFULI ALIEMFUKUZA MAKONDA SERIKALINI? NA KUMUEKEA VIKWAZO HATA UBUNGE ASIUPATE,BADALA YA KUMSIFU MAMA SAMIA ALIEMLETA NA KUMPA NAFASI HIYO HATA HAMUMSIFU MAMA AU NDIO UDINI NA UKABILA? ACHENI HIZOOOOOO
@justinleveran6137
@justinleveran6137 6 месяцев назад
Hapo kuna udini Gani?
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 6 месяцев назад
Hujampa ten percent
@user-qd1fc4mq6o
@user-qd1fc4mq6o 6 месяцев назад
Mh. Makonda kama hinawezekana kila hunapopita ma DED wamefanya huozo huwasiliane na boss wako wafukuzwe kazi.
@paull8659
@paull8659 6 месяцев назад
CCM imeishindwa mbinu za kuongoza nchi, mpaka imefikia mahali wanaumbuana wenyewe kwa wenyewe na kitumia majmbazi kama Bashite...pumbav CCM acheni usanii, haya mambo kwanini musiye fumbue huko ofisini? Hapa mnawalaghai tu wananchi kuwa manasolve matatizo. shenzi kabisa.
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 6 месяцев назад
Kulikuwa hakuna mtu jasiri wa kuongea.
@mallemaOg
@mallemaOg 6 месяцев назад
Acha ujuaji wewe hapo kuna watumishi wabovu na chama kwahiyo usihukum usicho kijua chama ndio kimewapa kazi watumishi lakini sio watumishi kuwa ccm jifunze kuheshimu watu wanajitaidi kuwasemea watanzania hakuna mtu anakubari kupoteza muda kuzunguka eti kufanya drama
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-vq8kk7bq9u
@user-vq8kk7bq9u 6 месяцев назад
Nakukubal muenez fanya kaz kijana
@lucymtui8680
@lucymtui8680 6 месяцев назад
Lini Iringa jamaniii
@user-ui5xc6sb5m
@user-ui5xc6sb5m 6 месяцев назад
Makonda wanyooshe Baba
@justinleveran6137
@justinleveran6137 6 месяцев назад
Another JPM in Makonda's body
@CasmitMsofu-ue6qs
@CasmitMsofu-ue6qs 6 месяцев назад
Malinda anafaa sasa kuwa kiongozi katulia
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 6 месяцев назад
Mheshimiwa makonda njoo na huku manispaa ya kigoma ujiji.
Далее
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
Просмотров 6 млн
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Просмотров 2,7 млн