Тёмный

RAIS SAMIA AMTOLEA MFANO MAKONDA IKULU - ''MPAKA APITE WANANCHI WALIE? FANYENI KAZI''... 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 135 тыс.
50% 1

RAIS SAMIA AMTOLEA MFANO MAKONDA IKULU - ''MPAKA APITE WANANCHI WALIE? FANYENI KAZI''...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

12 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 173   
@globaltv_online
@globaltv_online 4 месяца назад
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 4 месяца назад
Wakuu wa mikoa hawakusaidii rais Samia,, wakurungenzi watumbuliwe wote,
@edithafrancis847
@edithafrancis847 4 месяца назад
Safi sana mama, hujawa mnafiki hapo kwa makonda umelamba dume ktk Serikali yako yaani tungepata wakuu wa mikoa 20 km Makonda hii nchi ingekuwa Tamu sana, Makondo kula tano toka kwa Mwanchi mzalendo,🌹🌹🌹🌹👊👊
@user-fy3cy5fe6q
@user-fy3cy5fe6q 4 месяца назад
Mama hao wakuu wa mikoa waambie watetee wananchi waache kupokea bahasha za watu
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 4 месяца назад
Tatizo ndo hili, kulea na kulea na kulea, oky tutafika kwa kuleana, Ahsante mama kwa malezi, ndi maana maendeleo yanasonga, hongera sana mama
@pilotmadata5791
@pilotmadata5791 4 месяца назад
Nimejifunza kitu kuhusiana na masawala mazima ya uongozi, short and clear, alie chini ndie msaidizi wake alie juu
@highvoltages4169
@highvoltages4169 4 месяца назад
Ndio ipo hivyo, upo sahihi kabisa
@user-yg8yo3ul8h
@user-yg8yo3ul8h 4 месяца назад
Nikwer kabisa mama umesema. Mambo mazur sana hawaji kutusikiliza huku chini mpka litokee jambo gumu kweli jaman Asante kuwapa taarifa waje huku mitaani
@user-xq8nq9he3u
@user-xq8nq9he3u 4 месяца назад
Mnacheza sana na akili za watanzania nyie
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 4 месяца назад
Ubunifu pia ni mdogo sana kwa viongozi wetu
@joelmwalukasa
@joelmwalukasa 4 месяца назад
Tupo pamoja mama yetu mungu akulinde
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 4 месяца назад
Makonda ni mtu wa maana kabisa
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 4 месяца назад
Alokwambia nani
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 4 месяца назад
Hii nchi tungempa tu makonda ndo anaiweza hawa wengine ngojera nyingi kuleana kwengi kulinda kwasana wananchi tunateseka sana nahawa viongozi wabovu
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 3 месяца назад
Makonda hata hafai zaidi ya kuhemka na kutumiwa kwa vile anaweza kufanya lolote ilimradi apate tonge.
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 3 месяца назад
@@nkwazigatsha wewe ndo unaemwona hivyo lkn makonda ndo mwanasiasa marufu Tanzania kuliko yeyote na ndo mtu sahihi wa kuiongaza nchi anasifa zote nimchapa kazi sana nimtu jasiri asieogopa mtu asiejua kujipendekeza Kwa mtu hata rais wake haoni ndani Kwa makonda kwasaizi ndo anaekubarika sana Tanzania sema watu Kama ninyi hamuwezi kumpenda makonda
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 3 месяца назад
Elewa weweeeee​@@nkwazigatsha
@asiasued3655
@asiasued3655 4 месяца назад
Makonda ni mtu na nusu mungu akuepushe na husda saida wanyonge sisi
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 4 месяца назад
Mama hao wakuu wa mikoa hawana kazi makonda anatosha nchi nzima atakusaidia muongezee ulinzi
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 4 месяца назад
Nakunga mkono
@juliusdonard933
@juliusdonard933 4 месяца назад
Makonda aandaliwe awe raisi
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 4 месяца назад
Wewe acha utani WEWE. Awe raisi wa nani. Mpeleke kwako akakutawale.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 месяца назад
@@Mundi-oz7os Sie tunamtaka
@muhammadshaka8414
@muhammadshaka8414 4 месяца назад
peke yako ​@@sonnyr1899
@user-en3bt2io7y
@user-en3bt2io7y 3 месяца назад
Namtaka makonda🎉
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 4 месяца назад
Ndio mutajua Kua CCM na Makonda Lao moja 😂😂😂😂😂😂😂
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 4 месяца назад
Haswaaa
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 4 месяца назад
Kwani makonda siyo CCM?
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 месяца назад
Kwani Chadema na Mbowe lao tofauti?
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 4 месяца назад
Mama akimaliza anapaswa amkabidhi nchi hii makonda
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 4 месяца назад
Unadhani anafaa humjui vizuri yule ana roho ya dhulma na utapeli 2ulize sisi
@SurprisedBoomBox-yq2pt
@SurprisedBoomBox-yq2pt 4 месяца назад
Nchi inahitaji roho hiyo Kwa Sasa...
@CHIIZATV-hl4zu
@CHIIZATV-hl4zu 3 месяца назад
​@@SurprisedBoomBox-yq2pt😂😂😂
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 4 месяца назад
hapo wanasikiliza ukimaliza wanaacha hapohapo
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 месяца назад
sasa walichukue nini cha maana hapo cha kuleana ndio wachukue si ujinga tu huo
@saimonjohn7420
@saimonjohn7420 4 месяца назад
Mama ❤ napenda sana makonda awe mbunge afu awe waziri mkuu wewe mama ubaki kua mkuu wa inchi afu mambo yataenda vzuri sana mbona tutanyoka
@user-bl3wg8bx5u
@user-bl3wg8bx5u 3 месяца назад
Siku zote atendae aki mungu yupo pamoja nae ongela mama kwakazi nzuri
@stellalagwelagwe5539
@stellalagwelagwe5539 4 месяца назад
Mama nakuomba mrudishe Ali Hapi naye akasikilize kero kama Makonda nazani wananchi watapata Mtetezi na maovu ya viongozi utayajua vizuri sana
@yussufhaji3335
@yussufhaji3335 4 месяца назад
Mama yupo vizuri lkn watendaji wako wanakuangusha ila mungu atakupa mwisho mwema mama yetu amiiin
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 4 месяца назад
Mama yetu oyeee .Makonda Oyeee Jembe letu Magu Oyeee
@flavianfrank6256
@flavianfrank6256 4 месяца назад
Mungu akusimamie rais wetu
@dubigutv2957
@dubigutv2957 3 месяца назад
Usimamizi wa serikali hatuuoni ndio maana kila siku wanabadilisha viongozi❤❤
@wilhardvawunge-ns2ks
@wilhardvawunge-ns2ks 4 месяца назад
JamaniRais wetu ajui maeneo take aaaashh
@Namtumbo
@Namtumbo 4 месяца назад
Karibu Ruvuma tutakupenda
@patrickakitanda7709
@patrickakitanda7709 4 месяца назад
Kasema hakuna shida kabisaaa labda kwa mbaaali Tunduru 🙏🙏🙏💪💪
@KulwaKisansa
@KulwaKisansa 4 месяца назад
Mkienda ofisini muanze na kule nida na uhamiaji mana uhamiaji wanaona Kama hii nchi ni yao hasa pale kigoma
@JosephJon-wk6il
@JosephJon-wk6il 4 месяца назад
Mama kwaushauli wangu mluhusu makanda atumbue wamezidi zalau
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 4 месяца назад
Mamaaaaa🎉makonda kakubalika🎉
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 месяца назад
Ziara ya makonda imeanza kujibu
@hamiskambi6578
@hamiskambi6578 4 месяца назад
Mungu akubariki Sana mama naomba huyu Mama ulie mpa mkoa singida Afike Hadi Kipera.
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 4 месяца назад
Mama MUNGU yupo nawe hujakosea kumteua Makonda. Makonda ubarikiwe sana umetenda haki huna upendeleo kwaajili ya vyeo.❤
@fatmaaliomar9733
@fatmaaliomar9733 4 месяца назад
Wakuu wa mikoa nawatakia kazi njema na mujitahidi kufata maelekezo aliyokupeni Muheshimiwa Rais na mujitahidi kuwasaidia wananchi na mujitahidi kutatuwa changa moto zao ahsante.Kazi iendelee.
@Namtumbo
@Namtumbo 4 месяца назад
Haujawahi feli mama
@janethtimotheobisekwa8328
@janethtimotheobisekwa8328 3 месяца назад
Umeongea point Mama yetu mzuri, MUNGU akutunzee
@SaadEbrahim
@SaadEbrahim 4 месяца назад
Ni kweli Mheshimiwa Rais Mama samia Wananchi hawasikilizwe na hao UliowachaguwaWakuu Wa Mikoa. Kazi yao kubwa Wakuu waMikoa kutembea na Magari ya Serikali ya kifahari mijini wakuu wamikoa hawaendi Vijijini kuwatembelea Wananchi na kujuwa shida zao.
@danielwankyo4979
@danielwankyo4979 4 месяца назад
2:40 kazi zetu zile....za kuiba kura
@user-cm1bu8qb7d
@user-cm1bu8qb7d 4 месяца назад
Hapo uko sahihi sana mheshimiwaRais point muhimu sana
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 4 месяца назад
GOD BLESS MAMA NAPENDAGA UNAVYO KUWA NA MAAMUZ YA UTULIV NA BUSARA S MTU WA KUKURUPUKIA MAMBO
@robertmwandu1854
@robertmwandu1854 4 месяца назад
Asante Sana Mheshiwa Rais Kwa Hotuba nzuri. Tupo pamoja. Mungu akutangulie Kwa Kila jambo.
@EvarimAdrian-xl5jq
@EvarimAdrian-xl5jq 4 месяца назад
Rais wa nchi hajui mipaka ya nchi yake inaonesha nchi haijui kabisa daah
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 3 месяца назад
Rahis hapa unapotsha. Huenda sijui. Rais hauchaguliwa japo wewe hukuchaguliwa. Hivyo, ni afisa mkuu wa tafai. Wakuu wa mikoa wala wilaya si. rais wa yeyyote bali mapandikizi yasiyo na umuhimu nchini. Laiti mngekuwa hamlali, nchi isingekuwa ya hovyo kama ilivyo kwa sasa dada yangu.
@msomaliwilliam
@msomaliwilliam 4 месяца назад
Mama samia tunaomba utusaidie tulipwe fidia yetu tuhame kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa dar es salaam. Hatujalipwa waziri mwiguru nchemba kila mara anasema pesa zipo tunalipwa lakini bado mpaka Leo miaka 24 ameaidi mara Kwa mara mbuge tunatese mama wananchi wa ukonga kipunguni dar es salaam mwenyekiti wa mtaa amekatazwa kufanya mkutano wowote na wananchi. Tunaomba mama utusaidie
@user-fd5pb1dt4j
@user-fd5pb1dt4j 3 месяца назад
Mama uwishi maisha malefu
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 4 месяца назад
Singida angepelekwa mkali zaidi maana ni shidaaa
@tztanzania2262
@tztanzania2262 4 месяца назад
Body guard warais amefanana sana na Rais Samia
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 4 месяца назад
Makonda hongera kwa Mungu 2 kwa wazazi wako maana mama ko angetoa mimba kama wa mama wengine, mh angepoteza kipenzi cha watanzania kiukweli 3 hongera mama Samia kwakumuona Makonda hongera sana mama wanch hatua unafki tukioenda tunapenda kweli hasa tukipata kiongozi mtenda haki.
@user-kf9pu3cl9g
@user-kf9pu3cl9g 4 месяца назад
Hongera saana mama, yaani unaweza saana. Unahitaji watu wachapa kazi na wazalendo kwa nchi yaani mbona utatimiza ahadi zote kwa asilimia zote. Mungu akulinde mendwa wetu wasaidizi wote.
@idrissaissa5607
@idrissaissa5607 3 месяца назад
Kweri mama umekumbuka fadhira mungu akujalie mama
@user-gf6zt9nu5b
@user-gf6zt9nu5b 3 месяца назад
Wilaya ya Kigamboni hatujawahi kupata mkuu wa wila mzur wala mkurugenzi
@emmanuelonyangoochola9228
@emmanuelonyangoochola9228 3 месяца назад
Safi sana
@chivatasabihi5731
@chivatasabihi5731 4 месяца назад
Ningekuwa na Mamlaka ya uteuzi ningemteua Makonda Makonda kuwa Mbunge then angekuwa Naibu PM na Biteko abaki kuwa waziri wa Nishati na Comrade Nape angerudi kuwa Katibu Mwenezi CCM akakutane na Baba/ Mjomba Comrade Kinana.....
@hajijuma1761
@hajijuma1761 4 месяца назад
Well done Mama Allah akuhifadhi sana sana
@user-yo4mt8cv6w
@user-yo4mt8cv6w 4 месяца назад
Mama leo umegusa moyo wangu kwa maneno yako ya hekima Mungu akubaruki
@piusmaduka
@piusmaduka 4 месяца назад
asante mama hujawa mnafiki Kwa makonda kama yeye asivyo mnafiki kwako mama
@fedhamipango2758
@fedhamipango2758 3 месяца назад
Aya mama na iamani kuwa hao ni watu sahihi kwa taifa letu
@DavidMakvok
@DavidMakvok 4 месяца назад
Hapo Rais kaeleza vizuri , tena kwa umakini, wateule wake na watumishi wengine wote kazi yao ni kuhakikisha mambo yana kwenda vizuri kwa wananchi , kama wewe una mwakirisha Rais inakuwaje wanainchi wanapata taabu hawashughlikiwi malalamiko yao? Unasubili nini na huku umepewa machinery zote at your disposal? Mtendeeni Rais haki na litendeeni taifa lenu haki na watendeeni watu haki.
@mhangwacastory8765
@mhangwacastory8765 4 месяца назад
Mama km kweli unachokisema watafuata wakuu wetu wa mkoa kiukweli watakusaidia sana! Wa Tabora ninaomba akija tu nikamsalie
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 4 месяца назад
CCM hawakurupukii Lao moja 😂😂😂😂
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 4 месяца назад
Asante mama
@user-bb9fz6jx4o
@user-bb9fz6jx4o 3 месяца назад
Big up Makonda keep up what you do 💯
@user-fy3cy5fe6q
@user-fy3cy5fe6q 4 месяца назад
Huyu wa Arusha hamna kitu Mama
@kabwelerywamwatumu5078
@kabwelerywamwatumu5078 4 месяца назад
😂😂
@musasaanane9275
@musasaanane9275 4 месяца назад
Mama nakutakia kila laheri uwendapo uwapo Allah akubariki tena sana
@user-up2zn1pt2m
@user-up2zn1pt2m 4 месяца назад
MAKONDA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fredrickjohnson2692
@fredrickjohnson2692 3 месяца назад
Mama umefeli,unewasikiliza hao matapeli na Wala haki za watu kumtoa makonda.
@ElipokeaLema
@ElipokeaLema 3 месяца назад
Namkubalii sanaaa
@myself4128
@myself4128 3 месяца назад
nchi imejaa viongozi wanawake tuu na hawana uwezo wa kuongoza zaidi mama anajitengezea mazingira ya Kuingia Ikulu tuu na kuwa salama sababu iyo Misukule anayoichagua haiwezi kumkosoa hata akivurunda
@atanasiokalikumbi6783
@atanasiokalikumbi6783 4 месяца назад
Mama, mama, mama nalia na kibaha mkoa wa pwani kwa ujumla hatuna viongozi, maji na Barabara ni kero wananchi wako tunaumia
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 месяца назад
Makonda anajua sana. Mama muongezee ulinzi.
@sophiamoses431
@sophiamoses431 4 месяца назад
Tena wilaya ya Masasi kumesahaulika sanaaaa watu wana vilio vya ardhi
@andrewmalamsha3042
@andrewmalamsha3042 4 месяца назад
Kwann mama hatupi kaz sisi ukuu wa wilaya tu nimpigie kazi wilaya iyanyooka why!?
@UsambaraMombo
@UsambaraMombo 4 месяца назад
Kanyaga twende mama haina kufeli
@josemalley1691
@josemalley1691 4 месяца назад
Mamaa nakukubali saaana natamani wangetufanyia km unavyowaelekeza
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 4 месяца назад
MAMA WAKUUU WA MIKOA WENGI WAO NI VICHWA MAJI MAMA WANA KUCHOSHA MAMAANGU WAKISHAKAA MAOFISINI KWAKO NI SHIDA TU
@user-fk6mt5ib6g
@user-fk6mt5ib6g 4 месяца назад
Na mnatupuuza sana. Kiasi kwamba mnatuona maboya.
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 4 месяца назад
Shida viongozi hao uliowataja wengine hawajui kuwa wako kwa ajili ya kuwatumikia wananchi....
@user-nn3is3hr8u
@user-nn3is3hr8u 4 месяца назад
MAGUFULI TUNAKUKUMBUKA, HAKUNA CHA KULEA MAFISADI NA WAZEMBE.
@abdillahhozza
@abdillahhozza 3 месяца назад
Mama Kuna mijitu hapo unaongea inatamani umalize tu hawana uchungu ulionao,,,,siku amua uweke watu ambao hawajawategemea kabisa rudi Kwa walimu,madaftari,mabwana shamba,askari polisi teua watu huko waliopitia shida uone kaz ikipigwa hao royal families hawajali.
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 4 месяца назад
Mama Nchi Hii Ina Mambo Yakushangaza Sana Namba Zote Za Viongozi Na Bado Uku Chin Sisi Tunaumia
@BakaryChombo-vu1wn
@BakaryChombo-vu1wn 3 месяца назад
Tunaimani na mama CCM Ooooooyee
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 4 месяца назад
Tufunze watu wetu kusimamia faida kwenye mashirika yetu na tuwe na viwanda na makampuni ya ujenzi ya umma faida yake ndio itakayotajirisha nchi badala ya kutegemea Kodi pekee pia nikipimo Cha maendeleo pale wasomi wetu serikali inakuwa na mifumo na nguvu ya kuwasimamia watakavyotumika kazalisha faida ya nchi badala ya kwenda kutumika kuzalisha faida kwa wawekezaji na pravite sector. Tutengenaze state capitalist country tupunguze tatizo la ajira tuepukane na wanyonyaji wakutumia mitaji
@yasinimalya4001
@yasinimalya4001 4 месяца назад
Mama wakamulie ndimu hao 💯
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 4 месяца назад
Mama umeme sukari wanauza tofauti na bei elekezi tamka neno labda watasikia
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 4 месяца назад
RC WENGINE WANAFQNYQ MAIGIZO. WANAJUFANYQ KUSIKIKIZA KERO KUMBE ANASANISIFU
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 4 месяца назад
Hao wakuu wa mikoa wamekaa 2 ofcn nakufikiria upigaji
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 4 месяца назад
Msaidieni mama,watu wana shida huko chini.
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 4 месяца назад
Mama samia.tuletee batllda burhani arusha tunampenda sana huku ni kichwa huyo mama yetu samia
@ElishadaiSam-rq3hl
@ElishadaiSam-rq3hl 3 месяца назад
Mama umenisahau , nasubiria jina langu.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 4 месяца назад
Makonda ndio kiboko kazi'hao kazi yao kupokea bahasha za watu tu.Hakuna lolote.
@alexdukes5547
@alexdukes5547 4 месяца назад
Alie leta wazo la kura ni mhaini wa taifa na Wananchi wake,wajibu wa watawala sio kuwatumikia Wananchi,Hadi kumbe huruma ya kuwapa Kura,Sina neno mama umemalizaa..
@paulludwig7132
@paulludwig7132 3 месяца назад
Bado Sabaya Mama nakuaminia
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 4 месяца назад
SEMA mama makonda anafanyakazi sana
@IddiAbdi
@IddiAbdi 4 месяца назад
Jamani mlola kizelee kiongwe uchawi mwingi jimbo rushoto
@user-ub7fs2pe9b
@user-ub7fs2pe9b 3 месяца назад
Kweli mh.Rais viongoz hawashuki kusikiluza KERO za wananchi.mfano hai uko ktk familia yeti mbeya mjin eneo la Soweto Kuna bwana mmoja anajiita molex ametupora kiwanja chetu Zaid ya miaka kumi sasa.amehonga wanasheria na kuchukua ardhi yetu.duuuuuuu inahuzunisha
@muddyausi8470
@muddyausi8470 4 месяца назад
Mkuu wa mkoa wa Morogoro uje Lukobe usikilinze wananchi tuna kelo zetu
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 4 месяца назад
Ges tunayo tunasubiri nini mpaka mwaka 2030? Aya bhana hii ndio CCM
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 4 месяца назад
Mama kashaanza kuwamwaga ripoti ya makonda yaanza kuwatafuna jamani mama yupo serious
@gasperseky6916
@gasperseky6916 4 месяца назад
Kiukweli mama samia wewe ni mama unayajuwa mengi kama mama ananyomjuwa mtoto wake
@franklinjr996
@franklinjr996 4 месяца назад
God Continue to guide our President 🙏🏻
@SurprisedBoomBox-yq2pt
@SurprisedBoomBox-yq2pt 4 месяца назад
Makonda mungu akupe uhai
Далее
Вопрос Ребром: Сергей Бурунов 2
1:03:47
"NILIPEWA DAKIKA 30 NIFIKE IKULU" ALLY HAPI
7:15
Просмотров 32 тыс.
Вопрос Ребром: Сергей Бурунов 2
1:03:47