Тёмный

MAKONDA AONGEA na RAIS SAMIA LIVE, SHANGWE LAIBUKA, ATANGAZA MATIBABU ya BURE kwa WANANCHI wa ARUSHA 

HABARIMPYA TV
Подписаться 613 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 86   
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 28 дней назад
Asant Mh Rais Samia kwa kutuletea Mh Makonda Mungu awabariki sana ❤❤❤
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 28 дней назад
Hongera sana Mh Makonda wananchi wamejitokeza kwa wingi Mungu akulinde Mh Makonda
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 28 дней назад
Hongera sana Makonda kwa ubunifu wako.👏👏👏
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 27 дней назад
Kamaa ni mbunifu kinoma
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 27 дней назад
Glory to God kwaajili ya mama Samia,,,pia kwa mheshimiwa makonda kwa maono mema anayoongozwa na Mungu ...wabarikiwe sana wanaoombea nchi yetu hakika tunaona viongozi bora
@rizikimwambusi4041
@rizikimwambusi4041 27 дней назад
Mungu akutangulie kwa kila.hatua ya kusaidia na kusikiliza wanyonge na wenye hali ya chini.baraka nyingi zikumiminikie❤
@anandemungure2500
@anandemungure2500 27 дней назад
Mungu akutunze Raisi wetu Kipenzi. We love you dearly 😘❤
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 27 дней назад
Awakuwezi 😂😂😂😂😂❤❤❤❤ Makonda Makonda Bwana kumekucha😂😂
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 27 дней назад
Nakukubali sana makonda! Wewe ni mtu wa nguvu sana! Mungu akubariki sana. Wewe rais wa 2035 nakuhakikishia kabisa kamanda
@ruthdavie1175
@ruthdavie1175 28 дней назад
Makonda, we love you
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 27 дней назад
Natoka bagamoyo nakujja kutibiwa Bure,,,asante makonda
@user-kg3wo9tl9k
@user-kg3wo9tl9k 25 дней назад
Mh, Makonda tunatamani ungekuwa Mkuu wa mkoa wetu. Hongera sana na Mungu akupe maisha marefu. Pia tunamshukuru Mh, Raisi ya Jamuhuri wa muungano wa Tanzaniakwa kukuona Mh Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mama yetu kipenzi Mh, Dkt Samia Hassan Suluhu Mungu akupe maisha afya njema na maisha matefu
@saidimketo6708
@saidimketo6708 28 дней назад
Huku wanakamata machangudoa wanaacha kero za msingi mpaka maduka yanafungwa big up makonda
@TatuRajabu-cz6jz
@TatuRajabu-cz6jz 28 дней назад
We unaonaje,mamalaya yakikamatwa?ni vizuri iwe endelevu,wanatia laana gharika tuu Mungu anatusamehe
@laizermaasai6759
@laizermaasai6759 28 дней назад
Ila ukweli makonda unajua sanaaaaaaa. Rais angekuwa na wakuu wa mkoa kama wew tu kumi. Hata huo mgomo wa dar tusinge usikiaaa
@EliasNgarukay-um1qk
@EliasNgarukay-um1qk 28 дней назад
Hongera mh! Mkuu wa mkoa arusha
@DavidMlaga
@DavidMlaga 23 дня назад
Chapa kaz brother bila kuogopa msema kweli Ni mpenzi wa mungu na ulinzi wamungu utakua naww siku zote zamaisha yako natunakuombea kazi njema
@ChristerKoku
@ChristerKoku 27 дней назад
Ahsante kea msaada wamatibabu,tumuombe mungu uponyaji.
@anandemungure2500
@anandemungure2500 27 дней назад
Mungu akutunze sana Kwa ajili ya Taifa hili🙏
@annatemu6735
@annatemu6735 27 дней назад
Mungu akutendee makuu Makonda na Rais Samia mje na huku Moshi vijijini
@CharlesDaniel-mn8jl
@CharlesDaniel-mn8jl 28 дней назад
Mungu akuongezee rais kuwapata viongozi kama hawaa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 27 дней назад
Hiyo huduma iwe nchi nzima maana huduma ni haki ya watanzania wote
@chackszephaniah592
@chackszephaniah592 28 дней назад
Hongera rais ujaye
@user-kg3wo9tl9k
@user-kg3wo9tl9k 25 дней назад
Mimi ni mtanzania ninaishi Mkoa wa Mtwara lakini ninafuurahishwa sana na kazi unazozifanya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh Makonda kwa wananchi wako. Nimefurahishwa sana ninapoona unajali utu na thamani ya watu na kutoa huduma haki sawa kwa wote; masikini na tajiri, Walemavu na wasio walemavu. Mungu akubariki sana
@JanethKavishe
@JanethKavishe 28 дней назад
Wakuu wengine mbona kimyaaa wananchi tunawahitaji Kwa mengi msimae maofisini Changamoto za ardhi Afya na mengine mengi jamanii
@user-qr7jp9jw4c
@user-qr7jp9jw4c 25 дней назад
Hongera mkuu wa mkoa sina mengi makufuli amerudi wallah naama chadema ccm mbele Kwa mbele....
@NeemaNey-mp2fi
@NeemaNey-mp2fi 23 дня назад
Hongera Sana mkuu wetu
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 27 дней назад
Tukimsifu Makonda wengine mnachukia basi Makonda hafai furahini sasa
@deborahmsuyah5345
@deborahmsuyah5345 28 дней назад
Yani Mungu wako akulinda sana watapigana nawe hawataweza.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 28 дней назад
Mama samia mtazame huyu kijana achana na wahuni wenye nia mbaya na wewe ,huyu chalii katumwa na Mungu
@allyndasiwa318
@allyndasiwa318 27 дней назад
Hongera Kaka chapa kazi usiangalie bati iliyong’ooka msumari upepo ukija kazi yake ni kelele mwenye nyumba kalala kwa raha zake
@user-jh4hg2ev9s
@user-jh4hg2ev9s 27 дней назад
Asante Raisi, asante RC, asante wadau tunaomba zoezi hii liwe endelevu. Say wananchi wote kwa kutumia nida wachangie 60000 kwa mwaka na tutibiwe bure hospitali zote za serikali. Uundwe mfuko maalum matibabu kwa watanzania.iwe na tume ya kusimamia na kuendesha shughuli hizi. Mtashangaa fedha nyingi tu zitakusanywa kwa kila mwenye nida. Na hata baadae kusaidia wazee kwa huduma zaidi kama chakula nguo na makazi kwa wale waliotelekezwa. Watanzania.wengi ni vijana na wanaWake na tupo fit na hatuna mazoea ya kwenda hospitali hadi tuumwe au tuzidiwe.
@johnfani9380
@johnfani9380 28 дней назад
Mungu akutangùlie
@user-kd7ey2mu7p
@user-kd7ey2mu7p 27 дней назад
Ifanye ivyo adi kwa wagonjwa wa kensa na maradhi mengine inchi nzima❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@sirmwita3351
@sirmwita3351 27 дней назад
Makonda kashindikana, ana kitu tumuombee
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 28 дней назад
Arusha Oyeeee, Mama Mh.Samia.S.Hassan saaaafiiiiiiii, Makonda saaaafiiiii🔥🔥🔥
@petroyohana1126
@petroyohana1126 28 дней назад
Makonda saaafiii 🎉🎉
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 28 дней назад
MWAMBA AMEIVA KWENYE PROPAGANDA 😂😂😂 HONGERA SANA.
@MariamKileo-mu8rv
@MariamKileo-mu8rv 27 дней назад
Yaan Makonda angekua uncle wangu ningefurah maana anahaki kama Magufuli yaan duh
@user-wc8eb6nk6l
@user-wc8eb6nk6l 22 дня назад
Makonda unastahili pokezi sana sanaaaaa
@shadrackhelemani346
@shadrackhelemani346 28 дней назад
Mm na kuombea mwisho mwema
@ashiraphmisigaro7432
@ashiraphmisigaro7432 28 дней назад
Tanzania is still blessed!
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u 28 дней назад
Makonda unatuliza kwa kuongea na mama yetu wazi wazi Mungu awalinde
@user-tu9ps9kr2o
@user-tu9ps9kr2o 28 дней назад
Makonda makonda makonda
@MwanahamisiHashim
@MwanahamisiHashim 27 дней назад
Hivi makonda kwani uraisi unashindwa nini kugombea
@yohanesfelix7534
@yohanesfelix7534 28 дней назад
Nan mwingine ana pafu la kumpigia simu Raisi?
@patrickkwibe4431
@patrickkwibe4431 28 дней назад
❤❤❤❤
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 26 дней назад
Mama anatakiwa akupishe makonda ndio uwe raisi mama nchii hii haiwezi
@elifasiscawa5698
@elifasiscawa5698 27 дней назад
Makonda jembe la kazi
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 27 дней назад
Kura hazitapigwa Arusha peke yake.
@eliamwankenja7087
@eliamwankenja7087 28 дней назад
Mungu mkubwa
@endwardntandu3736
@endwardntandu3736 28 дней назад
Jamani makonda huyu kwa haeletwi hata wanapoteseka watu hakuna was kuwasemea
@katunzikihembe4455
@katunzikihembe4455 27 дней назад
Makonda ni kiongozi Bora,watanzania tumuombee sana,huyu anafaa kuwa kiongozi mkuu wa nchi miaka ijayo,
@JustusJulius-id6yq
@JustusJulius-id6yq 28 дней назад
Mathayo 7:7
@user-fu2gz2lq1j
@user-fu2gz2lq1j 26 дней назад
Huyu ndio Mkuu wa Mkoa ambaye ana kaa na wananchi karibu wengine wana pita kwenye ma V8 Tena yale tented
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 28 дней назад
Unamtegenezea jia kweli ila yeye hafaikabisa
@jumashedafa
@jumashedafa 28 дней назад
Mama mrudishe makonda dar
@jimpazclimpaz1794
@jimpazclimpaz1794 28 дней назад
Uchanguzi hoyeeeeee tutaona mengi
@user-xs8to8fu6d
@user-xs8to8fu6d 27 дней назад
Mbn mawazo yako finyu hata matibabu unayajadili ww mwafrika basi bwana ndio mwisho wamawazo yako
@ericraphael9653
@ericraphael9653 27 дней назад
Mama samia amchague tu kuwa waziri mkuu uchaguzi ijayo
@muddyausi8470
@muddyausi8470 27 дней назад
Sisa tu hizo wekeni mazingra vzr watu wanateseka na magojwa sio munatuletee ipepo wa kimbunga
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 27 дней назад
Kwa hyo unataka ufuatwe kwako
@Nick16697
@Nick16697 25 дней назад
Kuandika kwenyewe shida,,
@doctorparasinokashuma6449
@doctorparasinokashuma6449 27 дней назад
Kwanin ni arusha tu akati tanzania yote kuna wananchi wanapata huduma za afya kwa shida?
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 27 дней назад
Makonda 😂😂😂
@japhetlemilya2419
@japhetlemilya2419 25 дней назад
Kusema ukweli,Arusha kumpata Makonda wmeula sn/Mam Samia kaptia sn,Wamtumie Makonda vzri ana kitu huyu mtu,Kwa makusudi ya MUNGU na si Mwanadmu Makonda atfka mbali kikubwa watanzania tuzdi kumwombea huenda ni turufu pkee ilybki😅
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel 27 дней назад
Wewe ni mbunifu
@froma3732
@froma3732 26 дней назад
Chadema watatobowa kweli ???
@MichaelKilinga
@MichaelKilinga 27 дней назад
Yani ccm kwa maigizo 😂😂
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola 27 дней назад
Wakuu wengine mnafeli wp jamani.
@babarungurallyteam2754
@babarungurallyteam2754 27 дней назад
Kaka makonda NAKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AKUPE UMRI MKUBWA.
@THOMASMAYOGU-vu5ny
@THOMASMAYOGU-vu5ny 25 дней назад
Hhhhhhhha 😂😂😂😂 kufanya hivo amani huwa mnaenda wapi uchaguzi ndo kuona saman yetu hhhhhhhha mtapatq tabusana
@ShabaniOmary-nf6qu
@ShabaniOmary-nf6qu 27 дней назад
Kuna kiki ya mbali hiv CUBER
@happinessmwisse1152
@happinessmwisse1152 27 дней назад
Niko mwanza nakuja kutibiwa
@mc_Mangula
@mc_Mangula 27 дней назад
Mwenye namba ya mkuu wa Mbeya naomba😢
@mketoaamketo1559
@mketoaamketo1559 27 дней назад
Hahahaha ushapata wakili
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 27 дней назад
Mambo yamenoga
@mpindafamily1496
@mpindafamily1496 27 дней назад
iyo ndio siasa akuna matibabu apo.utu atapesa panado tu imetoka
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 27 дней назад
Made mbele tuache wenyewe
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 27 дней назад
siku saba utatbu nini
@user-pb4rn2tj4q
@user-pb4rn2tj4q 27 дней назад
Makonda alitakiwa kua mkuu wa wakuu wamikoa
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k 27 дней назад
Piga kazi makonda ,ww ni mwamba,wenzako huku Dar wanahangaika na mchangu dowa.
@BenardBwakitare
@BenardBwakitare 28 дней назад
Maigizo hayo yanawahusu wajinga
@user-ml3zf7mw1y
@user-ml3zf7mw1y 26 дней назад
Bernad Bwakatare wewe mjanja anadaa magizo yako tuyaone wajinga tutakuunga mkono
@petroyohana1126
@petroyohana1126 28 дней назад
Tunaomba makonda arudi dar, barabara za mitaani ni kero, tarura wanahitaji kupigwa spana
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 27 дней назад
Uko yupo chalamila anaweweza anawapeleka na komedi
Далее
His reaction 😳 (via @kaitlyn.b0506/TT) #shorts
00:10
His reaction 😳 (via @kaitlyn.b0506/TT) #shorts
00:10