Тёмный

MAKONDA HAISHIWI UTUNDU AANZISHA "Land Rover Festival Arusha" TUMIENI HELA HUU ni MJI wa BATA,.🙌🙌 

HABARIMPYA TV
Подписаться 614 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@fhugghi4109
@fhugghi4109 2 месяца назад
Rais wetu mtarajiwa inshaallah 🤲🤲💪💪🔥
@marysiasawaki3698
@marysiasawaki3698 2 месяца назад
I just love this Man,Makonda u can do more wonders in Arusha .......Naomba Mungu akulinde daima na akupe maisha marefu daima Makinda
@user-ym4qq9yb4r
@user-ym4qq9yb4r 2 месяца назад
Saafi saana commander ni Tanzania pekee nchi isiyo na vivutio vya kuupokea mwaka
@ramadhaniomary7083
@ramadhaniomary7083 2 месяца назад
Hongera sana makonda mimi nakukubali sana wewe ni ubinifu
@spendjulius-qz9mt
@spendjulius-qz9mt 2 месяца назад
THE PRESIDENT OF ARUSHA A.K.A R. CHUGA NATION 🏋️ Tuna imani na wewe mwamba.. NCHI YA ARUSHA
@user-gv6ns5hx3r
@user-gv6ns5hx3r 2 месяца назад
Tuko pamoja Mh.Makonda
@edithajoseph7675
@edithajoseph7675 2 месяца назад
Mungu aonaye sirini akulinde na kila ubaya unao pagwa dhidi yako napia namuomba Mungu akuheshimishe katikati ya Mataifa uitwe mbarikiwa.
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 2 месяца назад
Unajua sana.
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 2 месяца назад
Mwezi wa kumi mbali
@Abdurishaban
@Abdurishaban 2 месяца назад
Makonda unafaa kuwa waziri mkuu
@user-ce2xg9wt4s
@user-ce2xg9wt4s 2 месяца назад
December tupo pamoja
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 месяца назад
Wakaribishe na jirani zetu ni ubunifu mzuri
@user-ym4qq9yb4r
@user-ym4qq9yb4r 2 месяца назад
Inshaallah nitakuwepo
@wiliampaulo5556
@wiliampaulo5556 2 месяца назад
Sio kazi pekee kila siku kula bata pia sio kesi kila siku kula bata pia unasahau matatizo
@piusmaduka
@piusmaduka 2 месяца назад
Nakuja kusomea arusha
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 месяца назад
MAKONDA 🎉🎉🎉❤
@mercyzakariah
@mercyzakariah 2 месяца назад
Jembe letu wewe ni mbunifu mnoo hakika wewe nikiongozi WA kipekee MNOO
@KatotoEvarest
@KatotoEvarest 2 месяца назад
Ukosawa makonda wewe nikiongozi wa mfano
@user-oq2wp8oh1f
@user-oq2wp8oh1f 2 месяца назад
Hadi raha
@nicolasaugustino8449
@nicolasaugustino8449 2 месяца назад
Nilikua na mpango wa kuhama Arusha, sasa sihami tena eroo.... 😅 😅
@SudiSudimsangi
@SudiSudimsangi 2 месяца назад
Makonda chapa Kaz hatuchok kukuona ukpga Kaz hongera
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 2 месяца назад
Woyoòoòooo😅
@JoaJulias
@JoaJulias Месяц назад
Rais wetu mtarajiwa
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 месяца назад
Kijana mbunifu wa kiwango cha juu 🎉🎉
@mathiasduduru628
@mathiasduduru628 Месяц назад
Hao Polis unaowapa pikipiki waelekeze wasiwabugudhi wadudu ni icon ya Arusha.
@user-sg6ez3cf1f
@user-sg6ez3cf1f 2 месяца назад
Mkuu ikikupendeza wezesha namna ya kuonyesha fursa mbalimbali za vijana mkoa huu ikiwemo namna ya kuutangaza utalii nakuwa faida kwao na nyinginezo Ili mikoa mingine iige nayo na kuwa na faida nchini
@arafathswaleh
@arafathswaleh 2 месяца назад
Kkkk Makonda mjeshi wewe
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 2 месяца назад
Je ni Land Rover yoyote ile au ni lazima iwe Range Lover maana wengine bado tuna Land Rover 109
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 2 месяца назад
East cars na LandRoves wanasemaje?? 😂😂
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu Месяц назад
Rais wa chugastan
@betts6591
@betts6591 2 месяца назад
🙄 🤦 😒 😑
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 месяца назад
Nakukubali lakini kwa hilo umezngua
@saidmabanga388
@saidmabanga388 2 месяца назад
Kuna muda wa kufulai sio kila muda tuwe siriaz
@user-ym4qq9yb4r
@user-ym4qq9yb4r 2 месяца назад
Mwamba ukijua na ukaona nchi zinqvyotengeneza centre za miji yao ya kitalii,utamuelewa Makonda,jiji litaingiza kipato kikubwa mno nyakati za sikukuu
@user-ym4qq9yb4r
@user-ym4qq9yb4r 2 месяца назад
Na Arusha clock tower kutabadilika baada ya miaka mitano na itakuwa center nzuri kuliko zote nchini na maarufu
@BenardZephaniah
@BenardZephaniah 2 месяца назад
@FrankDaniel-cc5rg uwezo wako mdogo, ni vizuri uombewe
@LawrenceMwita
@LawrenceMwita 2 месяца назад
Hamna Cha maana sana Kuna watu wanateseka lakini nyie mnaongelea magari hii nchi hii mmh haya😢😢😢endeleeni tu najuwa rais wetu hatunae Tena J.P.M pumzika Kwa amani huko uliko lakini tambuwa kuwa nchi inateseka sana huku na umaskini.
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 2 месяца назад
Huwezi kuwaza matatizo maisha yako yote mkuu, si utakonda hata kwa ngazi ya familia usipotenga siku ya kula vizuri utajuta
@user-qk1th5mb6z
@user-qk1th5mb6z 2 месяца назад
Kweli mpe akili ya ziada
Далее
I Built a EXTREME School Bus!
21:37
Просмотров 6 млн
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
Просмотров 83 тыс.
I Built a EXTREME School Bus!
21:37
Просмотров 6 млн