Тёмный
No video :(

MAMA ADAIWA KUFANYA MAPENZI NA MWANAE MOSHI, MAAJABU YATOKEA, "FUNGUO YAVUNJIKA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 363 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 410   
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Год назад
Mungu wangu , na baba yangu , tu waovu sisi hatufai mbele zako! Achilia Rehema zako juu ya kizazi chetu baba! Hatuna pa kujificha , uasi umekaa juu yetu, hatuna pa kwenda wala wa kutuepusha na haya ila wewe Yesu Kristo Amina
@FredMjuni-di7zs
@FredMjuni-di7zs Год назад
Mwitege
@theopistachialo9286
@theopistachialo9286 8 месяцев назад
@@FredMjuni-di7zs p
@Mommy4147
@Mommy4147 9 месяцев назад
Ssa uyu mama alimkasilikia uyu msichana Wake ju alisema kw watu duuuuuh mungu amrehemu aky pia nae sikupenda kwake mungu amuepushie adhabu za kabulini amin 🙏
@raymondmjebe2412
@raymondmjebe2412 Год назад
Mungu ndo anajua ukwelii wa hili Jambo tuombe tu mungu atujalie maadili mema la sivyo wasemaji WA ili swala nao wanaonkan wanpenda Kiki
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Год назад
NINACHOJUA SIKU ZA MWISHO, UOVU NI MWINGI SANA, HIYO NI TRELLA TU, YAPO MENGI MSIO YA JUA, USHAURI WANGU. TUBUNI MUMWAMINI YESU KRISTO MUOKOLEWE. DUNIA INAELEKEA MWISHO.
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Hakuna mtu ambaye ataijua siku ya mwisho uwovu ulimwenguni haukuanza leo
@user-ow3lc6lk9p
@user-ow3lc6lk9p 5 месяцев назад
Yesu siyo Mungu muwe na akili timamu
@user-ic7oo1vt4v
@user-ic7oo1vt4v 4 месяца назад
Baada ya dhehebu kuwa mengi na wachungaji wengi mambo yanazidi kuwa mabaya hivyo turudi enzi za mababu zetu tuachane na madhehebu ya watu wa Magharibi
@jumaseleman5972
@jumaseleman5972 Год назад
Hii dunia inamambo,Mambo sisi wenyew binadamu,eeee mwenyezi Mungu tujalie mwisho mwema,kila kukicha afadhari ya Jana.
@MerrySele
@MerrySele 2 месяца назад
yaani jamani tunapotea
@sabrinaandrew4245
@sabrinaandrew4245 5 месяцев назад
😭😭😭😭😭😭😭Eee mwenyezi mungu tunakuomba utuhurumie sisi sote😭😭🙅🙏🙌
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Год назад
mhhhhhhhh mungu muepushe mama angu na hii laaana 😭😭😭😭😭nakulilia mungu toa hii laaana kwenye familia zetu yan watu wamekosa hof ya mungu jaman....
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
Watu wanalogwa my yani hapo unakuta alirudishiwa faham baada ya watu kujua Lakin uyo Mama alifungwa fahamu
@anjelamathias-xn2nz
@anjelamathias-xn2nz Год назад
Eee mwenyezi mungu tusaidie sisi na vizazi vyetu
@magretsamba5002
@magretsamba5002 Год назад
Mungu msamehe mwanamke mwenzangu..Pombe ni shetani mbaya sana...sio akili yake
@zayumar2955
@zayumar2955 Год назад
Innalilah wynalillah rajiuun Tumuombe Mwenye enz Mungu atusaidie Jmn matukio yanayotokea ktk nchi yetu ni mazito mnoo makubwa Yan yanaogopesha wallah watu wamekua hawana utu kabisaa wala hofu ya Mungu 😢😢💔
@Mwahijamohamedi
@Mwahijamohamedi 5 месяцев назад
😊
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Год назад
Mimi sina lakusema zaidi ya kuogopa sana 😢 🙏
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 Год назад
Mungu usituache watoto wako tunaluitaji sisi na uzao wetu
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Inna lillah wainna ilayh rajiuun....allahu Akbar.. yarabb tunaomba utusamehe dunia imekua ya Moto Sana tuepushie hii mitihani ya ajabu ...
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 Год назад
Dunia imebaki kiduuchu 😭😭😭
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Год назад
Saaaana tena
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Год назад
mama amefanya hivyo ili wapate mali! kwa sababu binadamu tumemkataa Mungu katika fahamu zetu, hayo ndo matokeo yake! Warumi 1:24-26
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
Nyie watu wanalogwa mm naamin uyu Mama na mtoto wake wamechukuliwa fahamu zao angekuwa anafanya kwa kupenda asingekufa mana alikusudia kufanya kwaiyo Haya nimbo ya kiroho Sana tuombee Familia zetu Ibilisi yupo kazini
@upendombise8113
@upendombise8113 Год назад
Kwakweli ata mimi naamini ivyo
@janechaula2870
@janechaula2870 11 месяцев назад
uko sahihi my
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Год назад
Tatizo Kubwa Lajamii Yetu. Wengi Wetu Tunashindwa Kuelewa. Hapa Tunaangalia Tulipoanguakia. Nasio Tupojikwaiya. Tatizo Sio Mama Nawala Sio Mtoto. Pombe Nikharamu. Tuache Pombe.
@donathakimaro5276
@donathakimaro5276 Год назад
Mungu wangu tutasikia mengi.kama watu hawataacha ulevi ni hatari kuna mengi sana kama hayo yanatendeka watu hawaweki wazi tu kwa kuogopa aubu. Ulevi ni hatari kuliko hata huyo shetani
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Год назад
Hivi huyo mama ana umri wa miaka mingapi?
@alisterlexter1115
@alisterlexter1115 Год назад
Mungu uturehemu sisi wanadamu.........tusamehe tunusuru na ghadhabu Yako eeh baba Mungu🙏😭
@TeresiaShirima
@TeresiaShirima Год назад
Huyu mama inawexekana alikuwa na laana
@ephraimwadaudi2867
@ephraimwadaudi2867 Год назад
Ni serikali ya mpinga kristo inaandaliwa
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 Год назад
Duh hatar kwel Mungu haziakiw unaapa na kwel unaenda mbaya zaid unaapa wakat kwel mmetenda ktendo ambacho hata vtabu vya dini vnakataza si uchaw huo jamanii.,.Anyway Apumzke kwa Aman pia Mungu ndio mtoa hukum🙏🙏🤲
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 9 месяцев назад
❤❤❤❤❤kilichopo ni kutubu zambi tuziache siku za nwisho izo
@Mamatee7013
@Mamatee7013 Год назад
Mungu atunusuru na haya maovu dunianii ni huzuni 😔 😟 🙁 😥
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Год назад
Inna lillahi Wainna ilayhi Raajioun😭😭😭😭
@alumonkisinda4574
@alumonkisinda4574 Год назад
Mungu amsamehe hamu alikuwa nayo ya kutosha alafu ndo kakosa wa kumsaidia hadi kamludia mtoto jamani hamu ya lala salama siyo kitu kidogo tumuombe kwa mungu tusimlaumu sana
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Год назад
Inaonekana unaona sawa
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 Год назад
Pasua kuna makabila kibao sio wachaga niseme tuu changanyikeni poleni wamepigwa na kitu kizito kweli mama safari salama😭
@annehk8185
@annehk8185 Год назад
Maajabu yanaendelea kutokea ee Mwenyezi Mungu tusamehe sisi wanadamu
@NashonNashon-dk1sq
@NashonNashon-dk1sq Год назад
Dunia imefika mwisho tunakwenda wapi jameni 😭😭😭😭😭
@Asha_167
@Asha_167 Год назад
The world has run out of basic repentance 😥 😥
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun 😢Ee mungu Tunusuru waja wako 😢😢😢
@MariaCassian-ys7pt
@MariaCassian-ys7pt 4 месяца назад
Mungu turehemu. Tusanehee watanzania tunaomba rehema na Neema zako
@aash4145
@aash4145 Год назад
Aibu imemuua mama, jamaniiiiii😢😢😢
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Год назад
Waganga watu wabaya sana watakuwa wamemrubuni huyu mama mashart mabaya jmn dah😢
@monicambuya-sq9ms
@monicambuya-sq9ms Год назад
Mh sijui uelewa wangu mdogo kwa mujibu wa diwani mama alikataa kula chakula mahabusu bila mwanae pia upande wa dhamana pia aligoma hawezi kutoka bila mwanae inawezekana alikua anafanya kwa kujua
@user-ci8zd6ij7c
@user-ci8zd6ij7c 5 месяцев назад
Mungu aturehemu, kama nimeelewa naona huyu mtoto ndio alikua anamvizia mama akiwa amelewa
@joycelongo1213
@joycelongo1213 Год назад
Du dunia imeisha tuzidi kumuomba mungu. Sana
@DaudiPius-oc7ye
@DaudiPius-oc7ye Год назад
Mungu atusaidie sisi na vizazi vyetu
@annamitumba3981
@annamitumba3981 Год назад
Asante ndugu ripota wetu baba tishii kutoka soko la maimorya.
@benardthomas8347
@benardthomas8347 Год назад
Mama wa dawati ametumia nguvu nyingi sana, huyo ni mzazi laana mtakayoipata hamtakaa msahau
@teophilletus8969
@teophilletus8969 Год назад
Sjakuelew apo kdg kaka laan itawapata kina nani apo make duuu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 11 месяцев назад
Umelewa nn au na ww ndo xako kwa wanao?likafie mbali huko.
@happymwanyelele8576
@happymwanyelele8576 11 месяцев назад
@@yukundapeter8200 😂😂😂😂
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 4 месяца назад
Sema njoroo,pasua,kariman mitaa kilaa uchaf kule utaupataa
@esaujailosfromtanzania3406
@esaujailosfromtanzania3406 Год назад
Hii dunia sijuii Inaenda wapiii😢😢
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
Cyo dunia inaenda wapi, ni waja wa laana wanafanya maovu kumshinda ibilisi. Then mpaka ibilisi anashangaa.
@marthaadammakatobemwakatob4246
Mambo yamekuwa mengi Tukeshe na kuomba huu mwisho wa dunia
@khadijashabaninimba7890
@khadijashabaninimba7890 Год назад
Hakika
@neemasamson314
@neemasamson314 Год назад
Kweli kabisa ndugu yangu maana ni hatari
@shemsahemed3577
@shemsahemed3577 Год назад
Mungu atupe mwisho mwema jamani ni dalili za kiyama
@asmarashidi9295
@asmarashidi9295 Год назад
0
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn Год назад
Ni kweli kabisa
@linahmacha370
@linahmacha370 Год назад
Shetani yupo kazini jamani hii kitu inaweza mkuta mtu yeyote yule Cha msingi tuzidi kuombea familia zetu Kila siku 😭😭
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 Год назад
Sanaaaa
@fatmamayunga5792
@fatmamayunga5792 Год назад
Tumekwisha
@halimakulwa7645
@halimakulwa7645 Год назад
Jamani ivi kabisa mama anaweza kutembea na mwanae muu jamani nyuma ya pazia kunakitu siyo bure
@naomisanga6980
@naomisanga6980 Год назад
Kweli kabisa dada sioakili yake kuna kitu
@salomeraymond2051
@salomeraymond2051 Год назад
hii historia ipo uko wamam kutembea na watt wao kisa Mali MUNGU atunusuru😓
@gililwise
@gililwise Год назад
Ulevi ni mbaya sana.usiruhusu pombe ikutawale hata siku Moja.
@neema_mollel
@neema_mollel Год назад
Baba akimla mwanae hamrukagi kimanga hivi ,mama akimla mwanae basi masikio yanawasimama.
@aminashabanjuma4705
@aminashabanjuma4705 Год назад
wachaga shikamooo mnapenda kulala na watoto wenu
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 Год назад
ILE STAILI YA DINI ZOTE KULIOMBEA TAIFA IMEPOTELEA WAPI? JAMANIIIIII!!!,, HEBU NIWAOMBE VIONGIZI WETU WAPENDWA WA DINI ZOOOOTEEEE!! WALUDISHE ULE MFUMO WA KULIOMBEA TAIFA!! MAANA NAONA KAMA KUNA GIZA TUPU,,😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭 MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿🙏🏿🙏🏿
@Nurjan847
@Nurjan847 Год назад
Kweli kabisa
@khamysamursally5932
@khamysamursally5932 10 месяцев назад
Umejibu vizuri jirani watt wanashidaa sanaa
@MamaIbrahim-tl4or
@MamaIbrahim-tl4or 2 месяца назад
Ee mungu nakuomba tuepushe naizi laana maana namm nimama
@neemareuben311
@neemareuben311 Год назад
Kwa ss wa cristo tunaisoma biblia tunasoma sana na kujua Dalili za mwisho ndio izoo hpaaa aisee Mungu atupe mwisho mwema
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Год назад
SubhanaAllah 😭😭 huyu mtoto hana radhi kabisa
@zulfasalum9384
@zulfasalum9384 Год назад
Kwn alimbaka?
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Год назад
@@zulfasalum9384 Ww unaweza kuingiliwa na baba yako kilasiku hebu twambie inamaana hii kitu umeona ni saw au
@benedethamapunda71
@benedethamapunda71 10 месяцев назад
@@zainabubalama8869 Dah waganga mrudieni Mungu masharti mnaowapatia vijana saizi ndo
@benedethamapunda71
@benedethamapunda71 10 месяцев назад
huyu inaonekana amefurahia
@Lassana755
@Lassana755 4 месяца назад
mama ndo hana laaana katembea na mwanawe wa miaka 16
@hamzakivuma
@hamzakivuma Год назад
Namuona pastor mzava....👋👋
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Год назад
Daaah dunia hii 😢😢😢😢😢kuna siku tutaamka haipo
@amirmussa6735
@amirmussa6735 Год назад
Kabisa yaan
@janembiro3057
@janembiro3057 Год назад
Hatari sana
@flavianamrema7857
@flavianamrema7857 Год назад
Mhhh umenena neno zito
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 месяцев назад
Huyo mama kiboko alikuwa anataka utajiri sasa Mungu amemhukumu
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 11 месяцев назад
Mtihani wallahi allah atupe mwisho mwema
@user-rn4gm1gj8f
@user-rn4gm1gj8f 5 месяцев назад
Duuuh dunia imevaa sketi jemen
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
innalillah wa innalillay la juun msiba mzito huu kulala na mama yako aisee rana kumu
@navyoagrey7523
@navyoagrey7523 Год назад
Yesu rudi.... sasa
@maryandason1815
@maryandason1815 Год назад
Dah yhn hiz mapombe ya vilabu bubu.muache haki...aisee mm mpka saah ctak kuamin Mama Ney n kwel uliamua kufanya n uy chalii uliyemlea mwenyew n kumzaa.chanzo Cha yote n mapombe yacyo na adabu...polen 😢.neema..
@user-ps1ph9iv5b
@user-ps1ph9iv5b 10 месяцев назад
Halafu tukifa tukifika kule tutakua tunasimuliana jinsi tulivokua tunaishi duniani na nn kilitokea mpaka tukafa 😂😂😂😂😂
@jacklinejackline8607
@jacklinejackline8607 Год назад
Fanyeni uchunguzi maana sio bure Mama kufanya mapenzi na Mtoto wake
@janelulambo3957
@janelulambo3957 10 месяцев назад
Mungu hadhihakiwi jaman,tena hadhihakiwi,et naomba nife hapa hapa,naukizingatia jambo lenyewe nichukizo mbele zake,unaondoka huku unajiona.
@saidmasengo7988
@saidmasengo7988 Год назад
DUUH hizi tamaa hizi😢😢😢
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn Год назад
Wamama na ulevi mmeziuwa familia nyingi.
@damarischacha-yv2pc
@damarischacha-yv2pc 3 месяца назад
Weeeh jamani Tanzania kunoma😭😭
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Duhuu dunia imefikia mwisho miaka 16 mbona yeye mama ndo alikuwa anamfundisha mtoto wake
@khatijakhatija6172
@khatijakhatija6172 11 месяцев назад
Watoto wa sasa wanajua mambo makubwa zaidi ya wazazi.miaka hii mtoto anajua kila kitu mafundisho yalikuwa kwa watoto wa zamani.
@modycombo7421
@modycombo7421 Год назад
Mtihani kwakweli tusubiri sunami tu haya mambo ya duniani yanatisha tufanyeni ibada 😢
@user-px2zk9bl3y
@user-px2zk9bl3y 10 месяцев назад
Polen jamn kwahili lakn Jamn tuache hiyo tabia imenium san mung tusaidie😮😮😅😊😊😊😊😊
@user-px2zk9bl3y
@user-px2zk9bl3y 10 месяцев назад
Duhh inauma sana mama tubadilik
@user-px2zk9bl3y
@user-px2zk9bl3y 10 месяцев назад
Mung tusaidie jamn
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 Год назад
nihatari sana ulimwengu huu Mungu atusamehe sana
@danielmkama24
@danielmkama24 Год назад
Mimi acha mdomo unisaidie kula tu.
@user-km1bv6zj6d
@user-km1bv6zj6d 11 месяцев назад
Jamani poleni sana Mimi nilikuwa naka kifaru sass hivi Niko zambia
@salamakiwinga6310
@salamakiwinga6310 Год назад
dunia simama nishuke 😭😭😭😭
@user-cg3mp6pg6e
@user-cg3mp6pg6e 5 месяцев назад
Mkowa wamoshi mbona una matukio sana MUNGU amlehem😢😢😢😢
@rosekilawe786
@rosekilawe786 5 месяцев назад
Na huyo mtoto jamani hakuelewa nimama yake Mungu tusamehe dunia uovu umezidi.
@zamberimturi5593
@zamberimturi5593 Год назад
Kama umesikia "tukapakia gari kwenye pikup" haya dondosha like twende sawa😂😂😂😂
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Год назад
Lol
@irinikoipai3936
@irinikoipai3936 Год назад
Unaleta utani had kwenye mambo kama haya?
@user-le6iu5jt4r
@user-le6iu5jt4r 7 месяцев назад
makapakia gari kwenye pikap du
@user-xo5lq7mw3n
@user-xo5lq7mw3n 5 месяцев назад
Innalillah wanna illah Rajiun Baki Allah dah Mungu ampe kaul thabit ni mtihan mkubwa,
@stephenjefaofficial
@stephenjefaofficial 9 месяцев назад
Mmmmm dunia hii mungu asaidie watu wake maana jamiii inapotea
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Год назад
What? Mbona Tanzania kunavituko vyakutisha?,Innalilahi wainailahi rajiuun 😮😢.
@rosemwankemwa9413
@rosemwankemwa9413 10 месяцев назад
Mungu atusamehe kwa yote ck zimekwishaa
@selvestarjoseph2649
@selvestarjoseph2649 Год назад
Tutayaona mengi 😌
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Год назад
Jamani hizi si ni tabia za wahindi na mila zao mbona kutuletea uchagani??kutudhalilisha wa mama?? haya kaungue moto huko mja laana mwana hizaya ...Mtoto umtage mwenyewe kisha ukampanulie miguu kweli wewe hukuwa na tofauti na mchawi ..Kifo cha aibu..Mungu tusaidie sijahukumu wa kuhukumu ni wewe pekee.😭💔
@samwa9496
@samwa9496 Год назад
Hao wahindi uliwaona usimtaje mwenzio angalia yakwako
@happymushi4493
@happymushi4493 7 месяцев назад
Ushakuwa Mungu sasa
@MisosimitamuC
@MisosimitamuC Год назад
Kwahiyo mtoto alikua anamuingilia mama akiwa hajitambui au
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 10 месяцев назад
Ee Mungu Utusamehe sisi wanadam Makosa yetu yamepita kipimo
@HamisiJafari-ql2iz
@HamisiJafari-ql2iz 10 месяцев назад
Kwaiyo tatizo sana mkuu wangu🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@daviddouglas8943
@daviddouglas8943 11 месяцев назад
Ni hawa tu wamepata bahati mbaya wamejulikana, lakini haya mambo ktk Jamii yapo mengi tu, yanafanywa kwa siri, mengi tunayajua ni ya wanaume na mabinti zao lakini wamama pia wamo. Mungu na atunusuru sana.
@jrsaid4270
@jrsaid4270 Год назад
Kuna tabia siku Hizi wamama watu wazima hawaitikii salamu za vijana wakisalimiwa ndio kama hivyo sasa Alafu Dunia inaenda Kwa mbinde sana sana nani anakubaliana nami tushuke kituo kinachofuata
@LeonardWangele
@LeonardWangele 4 месяца назад
Huyo jamaa atalaaniwa hadi mwaisho wa maisha yake, pia hili tukio liwe fundisho kwa jamii pombe si chai jaman achani pombe.
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 5 месяцев назад
Mbona ni mtoto mdogo sana jaman miaka16 si kama huyu wa kwangu
@user-zg4bt4it2p
@user-zg4bt4it2p 5 месяцев назад
Kilaaniwe kitendo kama hcho,, waTANZANIA tumuombe mungu ktk haya
@MeryMichael-mg2zc
@MeryMichael-mg2zc Год назад
😢😢turehemu Yesu
@zubedajamuhur6467
@zubedajamuhur6467 Год назад
Innalillah mollah atupe mwisho mwema wallah
@khadijazayumba3857
@khadijazayumba3857 Год назад
Mmmmmh!!!! Mungu amlehemu huyo mama mungu ndio hakimu
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Год назад
Unamuimbea mtu mchafu kama huyo?msamaha kwa uchafu kama huo ulio wazi??? Usijibebe thumbing za mtu kwa kumshirikisha M'mungu
@aash4145
@aash4145 Год назад
Mtihan mkubwa mno, jaman dunia 😢😢😢😢😢😢😢😢hadi inaogopesha mm
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 4 месяца назад
Maana wasuwahili kwa uwongo wanatisha na kwa kutungauwongo msuwahili anahatari
@user-gw6pv9tp1r
@user-gw6pv9tp1r 4 месяца назад
Jamani dunia simama nishuke🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@AnusiataBurure-qm3yd
@AnusiataBurure-qm3yd 5 месяцев назад
Mungu utulinde na dunia hii yenye dhambi
@user-kt4rn5fe9d
@user-kt4rn5fe9d 5 месяцев назад
Ila dunia imechakaa hasa arusha mnanini nyie watu eemungu ponya akili zetu😱😱
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 5 месяцев назад
Arusha au kilimanjaro umepagawa nin
@SophiahAburi
@SophiahAburi 4 месяца назад
Dunia imesa
@roytv8276
@roytv8276 Год назад
Duh inalilah waina Lilah jaruun binadam tunaenda wap? Tunafanya vitendo zaidi wanyama.
@ChristianBoa-dj3wi
@ChristianBoa-dj3wi 6 месяцев назад
Mungu tusamehe.
@bobgmmbasha5356
@bobgmmbasha5356 9 месяцев назад
Mama ana tembea na mtoto wake alafu mna mpeleka kanisana😂😂
Далее
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Просмотров 70 млн