Тёмный
No video :(

UNYAMA, MATESO, UKATILI BIBI AFUNGIWA NDANI, HAPEWI CHAKULA, HAOGI, HAJA KUBWA NA NDOGO HUMOHUMO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 269 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 630   
@alimwakasidi7680
@alimwakasidi7680 Год назад
Binadam bwanaa daaah, huyo bibi angekuwa na hela ndugu wote wangekuwa wanamgombania huyu shangazi yule mama mdogo yule bibi bibi huku wengine wanajitokeza.ila haya maisha haya
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 Год назад
Wamesahau walipotoka. Angelikuwa mbaya wasingelizaliwa. Na labda huyo mtesaji halisi chimbuko la kuzaliwa hizo familia ni Huyo bimkubwa. NA PIA JUMUHIYA HAIPO SAHIHI Kama watu wa DINI kuchagua msaada ili hali tatizo linashughlikiwa na muangalizi wanayembeza. DINI MASLAHI. 'I AIN'T LIKE MEN!!.
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Год назад
Mama mmoja analea watt kumi lkn watt kumi hawawezi kumlea mama mmoja. This is life 😢
@teophilletus8969
@teophilletus8969 Год назад
Ni saw lakn nikusaidie kitu kimoj kuzaa tu bila misingi na mikakat ya unachokizaa baadae Ni saw na kuchimba shimo la choo sebren alaf ukalifunika kwa migomba ya ndiz Kisha ukahtaj lidumu na baadae lije lisaidie wengne kwaiy msiraum tu watot angalien kwanz mifumo yao walio andaliw Yan unanunua mbegu ya mti wa embe dume Kisha unasubir mavuno pumbavu
@zeyadazeyada8050
@zeyadazeyada8050 Год назад
Acha kabisa mungu atufinyie wepesi
@aminakhalid300
@aminakhalid300 Год назад
Hii ni kweli kabisa baba na ama wanawatunza watoto nane wanawasomesha mahitaji mengiii subiri wapate kazi wanashindwa kuwatunza watu wawili
@esterkiyabo1329
@esterkiyabo1329 Год назад
Mmhh! Umeona eeehh
@nkamangi4707
@nkamangi4707 Год назад
Mamangu katuzaa 10 nakwambia sijali anayemlea nimemuwekea wafanyakazi wawili Ana miaka 83 baba Ana miaka 85 ni kivuruge huna moyo unamsusa but I will never ever let them live bad
@raheemsuleyman6757
@raheemsuleyman6757 Год назад
Wengi Mna mlaumu huyu Dada but huyo Bibi inaonekana ana shida ya akili.... Na Dada huwa katoa taarifa kila ngazi but inaonekan no response.....but baada ya kila MTU kuaona camera sasa ndo wanataka kujionesha mm ni jushaa ktk Hili tukio Kwa kutoa taarifa.....soo far apelekwe ktk kituo cha kulelea wazee akapate msaada
@user-sn4zr9ip9q
@user-sn4zr9ip9q 4 месяца назад
Hta kma hana akil bc haifai kumtesa kwan bdo atabk ni minaadm tu na wla hao watto wao hawana huruma wallaah
@gemmamwajombe3169
@gemmamwajombe3169 5 месяцев назад
Jamani wachaga achani ukatili sura nzuri Mungu aliwaumba sura nzuri Roho zenu mbaya Kama Mashetani na mnasli Sana kwa inafiki ole wenu Yesu alitoa hiyo ole
@abelhardware6445
@abelhardware6445 Год назад
Mwenuekiti anaongea point tupu 100/mia sana mama
@irenejoseph5925
@irenejoseph5925 Год назад
Hata mimi namuelewa huyo dada amefanya sehemu yake Kwanza ni mdogo kajitolea Sana tu
@kawiche4911
@kawiche4911 3 месяца назад
SEREKALI IKO WAPI
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Kumlea mzazi wako inataka passion hao watu wake waongo familia inataka iwe na imani kubwa. Hiyo mama hataki kufanya hivyo ila ni uzee na maradhi ya akili sio makusudi afanyavyo. Hao ndugu zake hawana imani ya roho na wasubiri uzeeni kwao huu ugonjwa ni wakurithi nao watajakuwa kuliko hivyo. Hakpenda mama awe hivyo. Wanamsahau Mungu.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Год назад
Ila wapendwa TUSIHUKUMU UKIWA HUJAWAHI KUISHI NA WAZEE WA AINA HII,HUWEZI KUJUWA,YANI INAFIKA MUDA UNACHOKA KABISA,KILA UNALOJITAIDI KUFANYA NI KAMA HUFANYI KITU
@jacklinmacha2964
@jacklinmacha2964 Год назад
Upo sahihi
@maryjohn515
@maryjohn515 Год назад
Hatukatai ila ndio umfungie ndani ??? Ifike wakati tuwe na utu na upendo , ebu chukulia mfano tu umezaliwa mama ako tangu mdogo kakutunza adi ukubwan y ww ushindwe kumtunza akiwa mzee?? Aya uyo ni shangaz yake bt y afanyiwe ivy jamani 😭😭 wazee wanachosha ila sio kwa io hatua
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
Upo sahiiiii kabs uwez jua bint hanapitia changamot gan
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 Год назад
Wanamtusi tu huyu bint ila wanao kaa nao ndo wanajua changamoto zake
@hellenmsongole
@hellenmsongole Год назад
Je Kama ni mamaako mzazi utamchoka ?jamani tuwe wavumilivu atujui mwisho wetu
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Год назад
dah dunia hiii jamani sote tunapita na hatujui tutapita kwa sitaili Gani mungu atupe mwisho mwema semeni Amina
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Год назад
Angekuwa na pesa agekuwa anaoshwa hadi na kubebwa ila Mungu atawalipa hawa waliofanya huu unyama.
@worldherotv
@worldherotv Год назад
Huyo ni mgonjwa wa akili, by the way pongezi kwa huyo dada kwa kujitahidi. Anayedhani hawafanyi sawa, wamchukue wao.
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
Na uyo jirani analalamika tu angemchukua akaishi nae
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 Год назад
Kbs
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 месяцев назад
​@@pendo8082mwenzao akifanya midomo mirefu si ajabu kwenye familia zao kuna changamoto kuliko hizo wanashindwa kuzikabili
@drbenonline9338
@drbenonline9338 Год назад
Yaani asikwambie mtu kuishi na mtu mwenye matatizo ya akili inahitaji moyo kweli mimi mwenyewe yalinishinda khaa
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 Год назад
Msiukumu kwanza .sikilizeni mpaka mwisho...Ni bora kapata Msahada inatosha...Mengine Tumuachie Mungu....niwashukuru Wote mlioshiriki katika jambo Hili mpaka Bibi yetu Amepata Msahada...In sha Allah..Allah Atawalipa In sha Allah.
@esterkiyabo1329
@esterkiyabo1329 Год назад
Asante sana ndugu Diwani,Mkuu wa kituo cha kulelea wazee na Wananchi wote wenye mapenzi mema Mwenyezi Mungu atawalipa kwa kadri ya ukalimu wenu
@hafidhisaidi6550
@hafidhisaidi6550 Год назад
Huyo Dada yupo sahihi sana pia majibu yake yanaridhisha sana kwanza ni binti mdogo hebu muacheni afanye maisha yake.
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 Год назад
Mtihani mzito .. binaadam wa sasa hatuuna Imani wala huruma Wala hatuna mapenzi kwa wengine . Na ndio mana kuua kwa maisha ya leo watu wanaona ni kt rahisi Sana. MUNGU YUPO TUNUSURU NA TUEPUSHE NA ROHO MBAYA. NA TUPE IMANI NA MAPENZI KWA BINAADAM WENZETU.
@martinejoseph6098
@martinejoseph6098 Год назад
Nimemsikiliza sana mwenyekiti, jirani na huyo dada, kiukwel huyu dada na familia yake wanamakosa kwa kiasi fulani, lkn huyo binti kwa kiasi fulani yupo sawa kwa maelezo mazuri ya mwenyekiti, mbn inaelewak sana???... tuachw kuhukumu
@musokedios8162
@musokedios8162 Год назад
Sasa hapa Mungu ataacha kutupiga taifa kweliiiiiii, Mungu aturehemu
@hadijahassan-gs8vr
@hadijahassan-gs8vr Год назад
Jamani jamani Mungu amfanyie tahafif
@jamilajuma3811
@jamilajuma3811 Год назад
Mimi namuelewa uyu dada😢 bibi yangu kagoma kabisa kuja kwetu mjin anang’ang’ania kubaki kijijin afie uko wakat ndugu wote wapo mjin, anatumiwa ela na vitu vya kujikim kila kitu anapewa lakin bado anawasumbua ata hao wanaomlea nao wamechoka lakin yeye hatak anang’ang’ania uko uko kiukwel inachosha ila hamuez elewa sometimes hawa wagonjwa wenyewe ni wasumbufu yaitaji moyo wa uvumilivu sana kudeal nao uyo dada bado mdogo sana.
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 Год назад
Hata mimi nipo pamoja na yeye
@simonballu1124
@simonballu1124 Год назад
ni kweli kabisa tatizo watu wakiona hivi wanajawa mihemuko, ila siku yakiwakuta wataelewa.
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Год назад
Kweli huyo binti anahitaji msaada mkubwa hawezi peke yake
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Год назад
Unatakiwa ni UVUMILIVU Kwa ndugu na kujitolea Kwa hari na mali
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Год назад
Cha msingi, na kupelekwa nyumba ya kulelea wazee maana huyo binti inaonekana naye anatafuta apambane na maisha yake na watoto wake, hivyo hawezi kukaa nyumbani kumhudumia huyo mgonjwa. Na kama nimemuelewa vizuri, hata uwezo wake sio mkubwa bado hata yeye anajitafuta hajajipata bado.
@channyanjen9047
@channyanjen9047 Год назад
Yani roho inaniuma, masikini Allah ampe shifa
@piussimtala5111
@piussimtala5111 Год назад
Pole sana dada,nilitaka kukulaumu... Nimeelewa,Mungu akutie nguvu!
@christsontarimo5803
@christsontarimo5803 Год назад
Kwa ambao wamewahi kulea mtu mzee tu..,,au kilema ambae hajiwezi wanaweza kumwelewa huyu Dada., Nimefikiria tu, binti ana watoto wawili, na ili ale, ni lazima atoke akatafute kwa ajili yake, watoto wake na huyo Bibi.,. Nikijaribu kuvaa viatu vyake havinitoshi kabisa.,, Limemkuta huyu Dada leo, lakini tusisahau..,,Mwanadamu ni mtarajiwa wa lolote wakati wowote. MUNGU amsamehe sana huyu Dada ikiwa kuna namna ametenda dhambi sababu yeye ndie alieona.,,,,
@agathaabogast4598
@agathaabogast4598 Год назад
Nakuelewa ilinipa adi shida ya mgogo mm
@ninaseleman5738
@ninaseleman5738 Год назад
Kabisa kwanza uy bit nimdogo sana jamani
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
Kabisa sio kaz rahis
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Baraka za Mungu utaziona ikiwa utamlea vizuri na malipo ya kumnyanyasa ntayapata hapa hapa nanyi yatawakuta tu.
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 Год назад
Hiyo hali alionayo huyo mama ni kwasababu ya mateso anayopitia
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Год назад
Duh!😭😭 Inasktisha sana roho inaniuma. Why?? Kwanini mumfanye Mama hivyo. Ameniliza sana. Pole Mama. Allah Akujaalie Shifaa Uzima na Afya. InshaAllah🤲
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Год назад
Mama yangu alikuwa hivyo lakiji nilifunga mkanda nikaacha yote nikamlea hadi kufa kwake na wala sikumsusa na mavi yake mie niliona kwa imani ya Mungu sikumtupa lakini familia hizi zinamtihani.
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 Год назад
Umesema mama yako huyo siyo mamayake
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Год назад
Pole sana mama ako kafa na roho saf na ww na ww watt wako watakutendea mema km ww ulivyo mtendea mema mama yako inshallah 🤲😥
@omarabdalla928
@omarabdalla928 Год назад
Hongera mwanaisha Abuubakar mungu akuzidishie moyo wa huruma kwa wazazi nimependa
@Abery-xo8qp
@Abery-xo8qp День назад
Daaah, pole
@Leahmjohn
@Leahmjohn Год назад
Hongera sana dada umefanya sehem yake
@naomimanyenye8726
@naomimanyenye8726 Год назад
Nimejikuta nalia kwa uchungu 😭😭
@marianmartin7483
@marianmartin7483 Год назад
😭😭
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Год назад
mimi mwenyekiti wa kijiji ameniliza kwa ukweli wake wa kuitetea hii family 😭😭😭😭😭😭 walimwengu walitaka kuwaangamizia jera nyie majirani mungu anawaona kabisa
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Год назад
Wanao Muukumu Uyuu Dada Naomba Wafute iyoo Picha kwa Upande wa pili Kama Ni Wewe Upo na Mtoto Na Uku Unajitafutia Maitaji Yko ya Siku Uku Upo Na Mgonjwaa wa Upunguvu wa Akili Ebu Fikiria hapo
@jacklinemwaleleka236
@jacklinemwaleleka236 Год назад
Jaman msimlaum uyo dada sisi tumeuguza mgonjwa wa aina hii ni Kaz yataka moyo na uombe mungu usiwe na kipato utakimbia ni shida jmn n shda embu achen lawama kwasababu halipo kwako
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Год назад
😭😭😭😭😭Eee Mungu Mtolee hyu mama Mtu mwema amlee.
@josephatkibo2728
@josephatkibo2728 Год назад
Nyie hamjui wabibi wanakuwa watoto na vichaa kwa uzee wao kama huna roho wa Mungu unafanywa mbaya Bure, mi na bibi mpenzi wangu ukimsikia utadhani wote wabaya.
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 Год назад
Mbona_Mwenye_kiti_kajieleza_Vizuri_huyo_dada_hana_kosa_na_amefanana_sana_na_shangazi_yake
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 Год назад
Majilani wanafiki sana kama hujapata majilani kama hao mshukru MUNGU
@NdakiDoyi
@NdakiDoyi 3 месяца назад
kweli mama ni mungu wa pili lakini unamfungia ndani hakika
@jacqueli18
@jacqueli18 Год назад
Watanzania kuweni na huruma na mnapojadili kitu angalieni pande zote, huyu dada bado ni mdogo, inaonekana mambo yamemuelemea, na bado analea watoto. Something may happen lakini akipewa saport anaweza kusaidia, Ila peke yake tusimuhukumu. Watu wanamsema huyu binti Ila Kuna vitu vingi mno vya kutazama, jamii imesaidiaje Kama si vyombo vya habari? By the way Bibi apatiwe msaada na serikali na familia iwe responsible na Kama ilikosea mahali ijirekebishe, don't judge too much
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Год назад
🙄🙄Ana miaka chin ya 21 ? Maana ss hv miaka 18 sio tena ni miaka 21 mwisho wa udogo
@gladnessjackson584
@gladnessjackson584 Год назад
Sasa ndo asimuogeshe kumapa ata maji chakula nguo achome ivii unaongea nini wew
@jacqueli18
@jacqueli18 Год назад
@@gladnessjackson584 kumbuka huyu ni mgonjwa wa akili unaweza kufanya Kila kitu vile umemaliza akajisaidia..and who prove haogeshwi, Hali, nani ameprove? Una uhakika gani? And maneno yanasaidia Nini badala ya kuangalia namna ya kumsaidia...by the way mnatafuta mgonjwa wa pili hapo, huyo binti atapata msongo wa mawazo na yeye atapata uchizi ..punguzenj mdomo haswa kwa vitu ambavyo hamjavishuhudia
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Год назад
@@gladnessjackson584 anaongea pumba tupu huyu hiv hajui kuwa na yy yatamkuta malipo ni hphp duniani et mdogo anaudogo gn huyu km sio roho mby ni nn?
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 Год назад
BIBI WAWATU KASEMA MALA YA WISHOKAOGA JANA NYI WANDISHI MNASEMA HAOGAGI MBONA MNATAKA KUGOMBANISHA WAYU
@Michael_Msanzya
@Michael_Msanzya Год назад
Sikilizeni Hadi Mwisho Simhukumu huyu binti...
@dianamdaku9802
@dianamdaku9802 Год назад
Mwenyekiti nimekuelewa. Mungu anisamehe kwa kuhukumu.
@colletatesha5265
@colletatesha5265 Год назад
This life ee mungu nijalie niwalee wazazi wangu hadi mwisho
@janedenisi7056
@janedenisi7056 Год назад
Jamani hii kitu ikikukuta utaomba poo mimi nilimlea shemeji yangu peke yangu hadi akafa familia wala haikuona hilo tena wakaona kama ninajipendekeza duuuu kumlea mgonjwa ni kazi ngumu sana inayohitaji hekima sana pole dada najua unapitia nini
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Subuhanallah. Jamani watuwanarohombaya. Kwanini. Muumfungiendani yarabi mngekuanyie mmefungiwa mgejisikiaje😭
@Leahmjohn
@Leahmjohn Год назад
Unataka wamuachie na anaupungufu wa akili
@mankamacha4383
@mankamacha4383 Год назад
Kuna taarifa msitu wa Monduli unawaka moto leo cku ya nne tuaomba taarifa zaidi 🙏
@allyclaud3782
@allyclaud3782 Год назад
Kiroho safi bwana juma hebu msogeze pale ghorofani apumzike wiki mbili tu acheze na wajukuu pale. Huo ndiyo uongozi usijali nitakuja kumsalimia kwako hapo
@jumaraibu7879
@jumaraibu7879 Год назад
Sawa nimemchukua kabisa
@suziemichael4338
@suziemichael4338 Год назад
Kuishi na mgonjwa wa akili sio kazi rahisi jamani. Tuache kumuhukumu huyu dada
@JaneMurugi-bd6ej
@JaneMurugi-bd6ej 4 месяца назад
Tuwe naroho za amani❤mungu atusaindie sana amina
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 Год назад
hatua ya uzee wote ni lazima,unapomtendea mwenzio nawe utatendwa.hujui uzee wako utakuwaje
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 Год назад
HAPO NIUNAFIKI TUU WABINADAMU ILA HUYU DADA YUPO SAHIHII HAMJAUGUZA NYINYI HASA PALE UNAPOUGUZA MGONJWA KWA MDAA MREFU HALAF KIPATO CHA CHINI ACHENI UNAFIKI
@benedictboniphace7459
@benedictboniphace7459 Год назад
Uyu dada hana makosa.yuko na watot wawili bado Yuko na shangaz yak vitu vimepanda Bei,Ata ukipat ela inavyoisha unashangaa mm nadhan familia ingeungana kumpa hudum huy mama.ila naon hii familia ishapat Lana kutok kwa uyu mama .watanzania tuwena Imani tuwatendee vym wenzetu.dada hongora kwa kua na moy wa uvumiliv nadhan Kam uyo dada angekua na makos asingukubal kufika na kuojiw
@user-rv7nm5ep4p
@user-rv7nm5ep4p 5 месяцев назад
Mungu atusamehe sisi wanadamu Kwa sababu tunajua tuko sahihi kwa yale tunayoyatenda.
@farajashaban1073
@farajashaban1073 Год назад
Huyu Dada jaman kazidiwa hao wanaosema vibaya huyu dada wao majirani wanamsaidiaje huyu dada mbona kama mnamuangushia huyu dada mzigo pekee yake na ana watoto wawili jamani, msiwe waumgwana kumlaumu wakati hamtoi msaada jamani
@janetdundul3858
@janetdundul3858 Год назад
😢😢😢😥😭😭😭😭jamani mom mzr kwanini ss mnamfanyia hivyo
@khadijashabaninimba7890
@khadijashabaninimba7890 Год назад
Subhan'Allah 😭😭😭😭
@user-ny1pr1hx2z
@user-ny1pr1hx2z 2 месяца назад
pole san dada hat hivy umepamban
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 Год назад
Huyu diwani namkumbuka kwenye lile tukio la yule dada aliefumaniwa mwaka juzi akapigwa na kungolewa nywele 😂
@lilianmnunguli4457
@lilianmnunguli4457 Год назад
Kuna watu wanaroho mbaya 😭😭ndio maana watu wengine wanalaaniwa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
kwel 😭😭😭😭😭😭😭😭
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Год назад
Akuna cha roombaya mzee mwenyewe hataki kutoka 🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️
@msafiriomary893
@msafiriomary893 8 месяцев назад
Dunian kuna watu wanyama kweri dunia hiiiiiiiioooo machozi mungu tusaidia watu wabaya sana
@RyycRaji
@RyycRaji 5 месяцев назад
Polee dada mung atakulipa ulichofanya ya binadamu acha wahukumu wao
@Kornie406
@Kornie406 Год назад
Nyie wagonjwa wa hivi wanavisirani vyao...huyu dada naumuelewa mbona
@charitymbukwa2987
@charitymbukwa2987 Год назад
Kama umewahi kuuguza mtu wa hivyo unaelewa, ila kama haujawahi unahukumu as if we ndo assistant wa Mungu. Na mgonjwa akifikia hiyo hatua unaona kila mtu anamkimbia!! Ila Mungu amsaidie Huyo dada kujitoa kukaa naye tu yataka moyo hasa akiwa siyo mzazi wako kabisa.
@ashatybella8641
@ashatybella8641 Год назад
Dada nakuhelewe sana pongezi kwako🙏🙏🙏 wazee😂wengi huwaga awapedi kutoka kijijini 🤷‍♀️ afu mwisho wasiku hanaye lahumiwa niyule anaye hishina mzee huyo 🤷‍♀️🤷‍♀️ hila huyo dada nimemuhelewa vizuri sana kosa nila bibi hapo
@kawiche4911
@kawiche4911 3 месяца назад
SERIKALI IKO WAPI SERIKALI ITUNZE WAZEE Familia ndio wanajukumu lakini serikali itoe hela kwa ajili ya Wazee
@annajohn8597
@annajohn8597 Год назад
Pole shangazi mtu kwa majukumu makubwa
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 Год назад
Wanashindwa kumdhukru tu huyu bint kajitaidi sana mie tu nisingeweza kulisongesha gurudumu hilo
@HarrietArengana
@HarrietArengana 3 месяца назад
Pole but wamusadie tumunguhatawabariki sana🙏🙏🙏
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 Год назад
😭😭😭😭😭 Mungu tusamehe
@iddamomo561
@iddamomo561 Год назад
Uyo dada anaongea kwa uchung ukute ni single mama bado awataftie watoto chakula dah km huna ubinadam unaweza kumlaum uyu dada
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Год назад
Huyu msichana nimemuelewa sana ingawa amekosea kumfungia bila hudu ya Choo
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 Год назад
Thank you you all
@stella.broo.we.noma.sanamu5103
Mwogopeni mungu, laana itawahusu
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Huyo Eliza bet huyo mwenyekiti haongei ukweli anaonekana wazi km akapimwe na muende ktk hiyo sehemu ya tukio alipo vunja dirisha mbona maelezo ya wenziwe ht huyo jirani nitofauti na huyo mwenye shangazi yk maelezo tofauti
@rubefabi8366
@rubefabi8366 Год назад
Kila mtu atakuwa mzee iwapo Mungu atatujaalia miaka mingi.
@abbashussein-hz4dr
@abbashussein-hz4dr Год назад
Huo ni unyama zaid ya unyama yani mungu atamlipia zaid Allah ndo hakim subhanallah jamani roho inauma sana mola amsimamie ammyn🤲🤲
@bebygal7801
@bebygal7801 Год назад
Hey
@abbashussein-hz4dr
@abbashussein-hz4dr Год назад
@@bebygal7801 habar
@bebygal7801
@bebygal7801 Год назад
@@abbashussein-hz4dr mzuri
@bebygal7801
@bebygal7801 Год назад
@@abbashussein-hz4dr Am mary from 🇰🇪
@christophersubiraga3525
@christophersubiraga3525 Год назад
Makanisa/Misikiti wasaidieni wasiojiweza kwa sadaka zetu na mjenge nyumba za kuwalea wazee na vilema. Serikali jamani kodi zetu basi zilee hawa watu wasiojiweza muwachukuege pia
@jazeerajuma5014
@jazeerajuma5014 Год назад
Kodi zetu wanapewa yanga na simba wakifunga magoli
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Subhanallah 😭😭😭 Uwiiiiii 😡😡alomfungia humo na yeye afungiwe pia 👏😭😭
@aminamassawe1768
@aminamassawe1768 Год назад
Ila majiran mna moto wenu mbinguni.. hamuoni huyo mama ana shid ya akil jamaan na huyo dada Bado mdg naona nae kashachoka kikubwa mngemsaidia kumlea kumsema huko VP.. bas msaidien nyie
@mwanahamisiramadhani1179
@mwanahamisiramadhani1179 Год назад
Mwenyekit nimekuelewa zaid ya sana' pole sana dada;
@jimmykaaya387
@jimmykaaya387 Год назад
Uyo dada mwacheni bhna mwenyew bado anajichanga maisha yake yenyewe magumu
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 5 месяцев назад
Mdimlaumu acheni mdomo kuuguza sio mchezo, mnaoongea mngepeleka chochote sio kumlaumu
@Teddy-fq5oc
@Teddy-fq5oc Год назад
Uyo mama ata asinge nishinda jaman tulee wazazi wetu jomon ata kama tupo kwenye umaskini tuweni na utu Mungu nipe roho ya imani nizidi kuwatunza wazazi wetu
@sein.208
@sein.208 Год назад
Subhana Allah Astaghafirullah😭😭😭
@khamisamri6323
@khamisamri6323 Год назад
Huyo dada nimemuelewa anavyo ongea mabibi wengi tunatakiwa tuishi nao hivyo hivyo msimuhukum huyo dada jamani maisha yenyewe nimagum sana
@khamisamri6323
@khamisamri6323 Год назад
Huyo dada nimemuelewa anavyo ongea mabibi wengi tunatakiwa tuishi nao hivyo hivyo msimuhukum huyo dada jamani maisha yenyewe nimagum sana
@Rasheedsmartguy
@Rasheedsmartguy Год назад
Jumuiya inatakiwa kushirikiana na familia ya aina hizi kwaajili ya kuokoa uhai wa mtu
@ngwegwenurdin4318
@ngwegwenurdin4318 Год назад
Lakini jumuhiya ijitoe kwa kutochagua. JUMUHIYA INA WAELEWA NA WASIO WAELEWA. HIVYO WAELEWA WASIACHE KUTUMIA HAIBA ZAO. Full atop!!.
@rubenprince8990
@rubenprince8990 Год назад
​@@ngwegwenurdin4318 serikali mbovu inatesa wananchi serikali ingekuwa na utawala mzuri kwa maendeleo ya wananchi huyo mama angekuwa anatunzwa vizuri ingekuwa huku ulaya ndugu zake wangeshitakiwa vibaya mno
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Год назад
Subhannahllah pole sana mama angu Allah akuondoshee madhila yano kusibu
@ishyjuma2246
@ishyjuma2246 Год назад
From kenya,,machozi yanitoka sana, inasikitisha
@estherjackson6038
@estherjackson6038 4 месяца назад
Huyo mama jiran ni mnafiki
@JumaAlbadri-xb2sn
@JumaAlbadri-xb2sn Год назад
Kwanza hata anamoyo mie ningemkataa hata kumlea jirani mchukue umlee
@christinamjengi8238
@christinamjengi8238 Год назад
Mungu awahurumie sana watu wenye roho mbaya
@beatricetairo2879
@beatricetairo2879 Год назад
Wakwanza too sad 😭😭😭
@EmanuelSalumu-dy2sp
@EmanuelSalumu-dy2sp 5 месяцев назад
Mungu amhukum
@hanifamasudi9732
@hanifamasudi9732 Год назад
Allah atunusuru Bona wafanye hivi binadamu Kama wawo
@sharifajosia879
@sharifajosia879 Год назад
Hata maji hawampi dah! Wachawi yani hawafai kabisa na mungu atawapa jibu la waliyomfanyia huyu bibi wallahi mungu anawaona nauchawi wao
@GULF444
@GULF444 Год назад
Wah laana shikamoo
@edithamushi430
@edithamushi430 Год назад
Uhai unatetewa hadi sekunde ya mwisho! Usipotetee uhai ya mwenzio pale unapoweza na uhai wako utakuwa mfupi. Ashukuriwe Mungu kumnusuru huyu mama,
@HariethKiziba
@HariethKiziba 5 месяцев назад
@elizabethfungo-uo3ve
@elizabethfungo-uo3ve Год назад
Angekuwa mama yake mzazi angesema amechoka kumuuguza daah
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 Год назад
Kwani unazani hawachoki nikwasababu niwetu
@dorothymbuere5236
@dorothymbuere5236 Год назад
NDUGU zake WAOGOPE MUNGU NASEMA TENA HOGOPA MUNGU. HUYU MAMA WASIPO MSAIDIA .YATAWAPAZA WAO HIVYO HIVYO. ATUWEZI KUJUA ZAMANI LABDA ALIFANYA HIVYO NDIO SABABU AU AMELOGWA. WAMSAIDIE ASIJE AKAFA LAANAA IKAWAFUATA. SERIKALI IMSAIDIE NDIO KAZI YAO USITAWI WA JAMII.
@dottohami
@dottohami Год назад
Subhanallah zambi sana hii jaman mnafungia ndugu yenu ndani sio vizuri 😭
@elizaminja4249
@elizaminja4249 Год назад
Majirani ni wanafki na nyie mchukueni mkakae naye
@PendoKinabo-ic5lj
@PendoKinabo-ic5lj 5 месяцев назад
Mbwa hawa
@Mamkubwa
@Mamkubwa Год назад
Kiukweli inabidi tudumishe sehemu za wazee.... wapo wèngu hawa. Mwenyezi Mungu atupe nguvu kws hili
@AmaniboiTz
@AmaniboiTz Год назад
Machozi yamenitoka😭😭😭
@halimamndeme6908
@halimamndeme6908 Год назад
Hongera sana mwenyekiti wa mtaaa unaongea ponti. Kweli wewe unastahili kuwa diwani.
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 Год назад
Kama Una sema ukweli uwogopi mbona waongelea kwenye fensi ya uwa nyie majirani nao wambea wanafki Sana huyu binti umli mdogo hata ivyo anajitaidi Sana kulea Mzee kama huyu
@paulinakiria7918
@paulinakiria7918 5 месяцев назад
Huyu kaka yuko vizuri ni kiongozi na nusu
Далее