We need more fashion events like this.. Waalikwa wote wamependeza sana.. Hongera sana Designer Shuu .. Hongera kwa washindi pia wa best look na best entrace..Nimeenjoy kuangalia..
Muandaaji matambo na mdomo mwingi huku hakuwa na uwezo wakuandaa seemu nzuri ya red carpet na sehemu safi ya kupiga picha wageni.(floor chafu).kawafuja watu wamevaa Mashaalah na wamependeza kweli.....number 1. Halima kopwe...miss Tz kumbe alikuwepo kapendezaaa 2.Jojo gauni la mauwaa . 3 Kitasa Hivi muandaaji ndiyo ulikuwa unataka shughuli iwe mapema ya saa kumi na moja kwa carpet hilooo hata alivutii🤓