Тёмный

MWANAFUNZI (15) APOTEA AKIWA KWA MKUU wa SHULE, ADAI ALIMCHAPA KWA KUMKUTA na SIMU, NDUGU WAHANGAIKA 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

MWANAFUNZI (15) APOTEA AKIWA KWA MKUU wa SHULE, ADAI ALIMCHAPA KWA KUMKUTA na SIMU, NDUGU WAHANGAIKA
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

16 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 155   
@globaltv_online
@globaltv_online 11 месяцев назад
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@ramadhnvuai8356
@ramadhnvuai8356 9 месяцев назад
t
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 11 месяцев назад
Dada yangu zari mungu Akubariki kuchimbua mambo ya Undani 🙏🇹🇿🇬🇷
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 11 месяцев назад
Poleni Sana mtoto apotee mwezi wa 4 mtangazishe mwezi wa 8 😢haki nimtihani kabisa
@dppd4219
@dppd4219 11 месяцев назад
Umesikiliza vizuri au umekulupuka
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 11 месяцев назад
@@dppd4219 jitulize kuja kureply utopolo nimeskia kwani walikuwa wamesha tangazisha kwenye midia mbona 🥺🙄
@MagdalenaDenes-bk9ou
@MagdalenaDenes-bk9ou 11 месяцев назад
Pole Amin atapatikana Mungu ndo anajua Aliko
@shaphaina9941
@shaphaina9941 11 месяцев назад
Daaaahhhh subhana llah Allah awafanyie wepesi
@adkajisi4536
@adkajisi4536 11 месяцев назад
Waziri mkuu sema Neno make kauli yako moja tu dg kesho yake anapatikana
@estakapufi7582
@estakapufi7582 11 месяцев назад
Apo akamatwe uyo mwalimu maana kunamashaka apo asije akawa amemuuwa maana kaenda wapu myezi yote hiyo ili jambo lisinyamanziwe kimya mtoto mkubwa ivo apotee sio kweli nakwanini anapoitwa kituoni anakuwa anavikwazo apana
@philipongenzatv
@philipongenzatv 10 месяцев назад
Yan yule mwalimu hyoooo kislani
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 11 месяцев назад
Nauliza tu huyo mwalim bdo hajakamatwa hadi leo
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 11 месяцев назад
Mama samiya sema kitu kwa hili kwa ajili ya Allah
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 11 месяцев назад
Hii ni mtihani sahivi jee ameoneka au bado ni mtihani yarabi mungu wangu watoto wa sahivi ni shida tupu😮😢
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d 11 месяцев назад
Huyo bint amepitia manyanyaso kwa mwalimu mpk anaenda shule analia basi kuna meng nyuma ya pazia, kwann umtoe nje bint mdg nje!? Wakamatwe hiyo familia ya mwalimu wakahojiwe na lolot likitokea washtkiwe kama uliamua msaidia mtu basi ukichoka mrejeshe salama haina haja ya kumnyanyaso na kumtesa
@nyoe1394
@nyoe1394 11 месяцев назад
Tanzania kiboko kabisa yaani kazi ya upelelezo ni ya polisi wanawapa familia wafanye. Kazi kweli kweli
@aishaissa2512
@aishaissa2512 11 месяцев назад
Niajabu kwakweli nahisi mwalimu amehonga na anajuia mtoto alipo😢
@geofreywadeya9972
@geofreywadeya9972 10 месяцев назад
Hata Mimi nishangaa Hilo. Polisi bila aibu anamwelekeza mwanamke afanye kazi ambayo wao ndio wanapaswa kufanya halafu kwenye suala nyeti kama hili linalohusi mtoto. Aibu sana kwa kweli, ila ndio jeshi letu hili
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 10 месяцев назад
Hata mimi ndio nashangaa
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 11 месяцев назад
Sas uwo mama alimpiga mtot wa watu wa nin si angemrudisha kwa mama yake au alimuwa akaenda kufukiya mbaneni uwo mwalimu yey ndiy anajua mtot aliko
@elizabethmwamdanga7377
@elizabethmwamdanga7377 11 месяцев назад
Kweli
@bethjohn928
@bethjohn928 11 месяцев назад
Ata NAMI naisi atakua amemuua
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 11 месяцев назад
Au alivyokuw anamngangania au alikuwa na lake jambo kwanin asiwekwe ndani amlete mtot wa watu hii nchi jaman mtu kam unadai chak ujuw imekul kwako
@gorethkalembo8177
@gorethkalembo8177 11 месяцев назад
Uyo mwalimu anahusika kw kupotea uyo mtoto Ila watanzania tujifunze kugawa watoto ata kma unakula nyasi kula na family yako Umaskini usitufanye kugawa watoto
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 11 месяцев назад
Ooh maskini alinfanya kuwa housegirl wake.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 месяцев назад
tokea sikukuu mpaka leoo dah muda mrefu sana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 11 месяцев назад
Innalillah wainnah lillah lajuun,,,msiba mzito huu jmn
@neema_mollel
@neema_mollel 11 месяцев назад
😢😢😢😢aiseee polisi wamfinye huyo mwalim ataonesha mtoto alipo awe hai au la
@babalao910
@babalao910 11 месяцев назад
Polisi sio wajinga
@user-bg9cr4pn2p
@user-bg9cr4pn2p 10 месяцев назад
Nikweli kabisaa
@hamisichioa469
@hamisichioa469 11 месяцев назад
yani uyo mwalimu apewe kibano. itakuwa ameshamuuwa uyo ukweli anaujua uyo mwalimu
@subirajohn728
@subirajohn728 11 месяцев назад
Huyo Mwalimu akamatwe kuna kitu amemfanyia mtoto
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 11 месяцев назад
Jaman mwezi wa4 hadi leo huu mwezi wa8
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 11 месяцев назад
Mkamueni huyo mwalimu kisawasawa, anajua mtoto alipo.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 10 месяцев назад
Subhannallah mtihani kwakweli
@jacksonwilson5772
@jacksonwilson5772 11 месяцев назад
Nyumbu secondary school nimefanya teaching practice yangu ya kwanza pale,,, huyo mkuu wa shule ni mtu poa sana na yuko straight Sana, hapendi longo longo kabisa.. Ila kwa kuwa tu mtoto kapotea ndo apo shida ila wamtafute tu MUNGU ni mwema mtoto atapatikana. Hawa wadogo zetu wakike wanachangamoto sana tujitahid tu kuishi nao kwa karb na kuwaskiliza tuwasaidie.
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k 11 месяцев назад
Hakuna cha mtu powa wala nini angekuwa na akili angemchunguza kwanza kama hajawahi kumona mbona afanye hivyoooo huyo mwalimu ni muuwaji police kamata weka ndani finya mpaka aseme penye ako may be amemyoa lafara mtoto wa wenyewe hiyo ilikuwa ni njia ya kudanganya tuuuu
@jacksonwilson5772
@jacksonwilson5772 11 месяцев назад
@@user-rg8fq8fc3k nimemzungumzia mim nilivyomuona,, ukiacha bangi unazovuta ukasoma vizur nilichoandika basi utajua nimesema nin,, mim sijasema hajakosea wala nin nimesema tu ni mtu yuko straight sana hapendagi longolongo,, sijasema ndo hakoseagi, punguza mihemko ndo utaelewa.
@kilindimomsati1489
@kilindimomsati1489 11 месяцев назад
huyo binti ana matatizo, mwalimu hana shida!!
@susankaburu4527
@susankaburu4527 11 месяцев назад
Mala ya mwisho alipigia nani tuanzie hapo.... Kama alikua na simu huyo ajua mengi
@salmasalim3525
@salmasalim3525 11 месяцев назад
Allah amhifadhi huyo mtoto maskin
@user-bc4rz6fx8r
@user-bc4rz6fx8r 11 месяцев назад
kaweka ndan na mwnaume uyoo
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 11 месяцев назад
Mungu walinde mabinti zetu. Tunaomba apatikane mweeh
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 11 месяцев назад
Daaa unaongea vzr na je polisi wamechukua hatua gan kwa huyo mwalim na tunaomba mkuu wa mkoa afatilie hili jmn
@FloraMwavipa-mk3nk
@FloraMwavipa-mk3nk 11 месяцев назад
Huyo mama inatakiwa abanwe atakuwa anajua alipo
@evamlay8997
@evamlay8997 11 месяцев назад
mwalimu kama haja muuwa sijui
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 месяцев назад
😭😭😭
@elizabethmwamdanga7377
@elizabethmwamdanga7377 11 месяцев назад
Inawezekana
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 месяцев назад
Subuhana llah nimestuka jinalinafanana na mwanangu. Allah amfanyiewepesi hukoaliko apatikane hakiwa hai 🤲
@Ali-uh9wb
@Ali-uh9wb 11 месяцев назад
Hanifatanzania jina moja na mwanao
@maryamhassan7000
@maryamhassan7000 11 месяцев назад
, 😔😭
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 11 месяцев назад
Amiiiiin
@Ali-uh9wb
@Ali-uh9wb 11 месяцев назад
Hanifa tanzani kapatikana mtt mwanafunzi tena
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 месяцев назад
@@Ali-uh9wb jinalakwanza na la babu lina fanana
@MaryMatereadvicer011
@MaryMatereadvicer011 10 месяцев назад
Mtoto mcute kweli Mungu mlinde popote alipo
@sifandayisaba9360
@sifandayisaba9360 11 месяцев назад
HuyoMama amesha muuwa mtoto
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d 11 месяцев назад
Polic waifatilie familia hiyo ya mwalimu maan hawachewi kusema uongo alikuw kwa mwanaume mara wapi kesi hizi zinageuka sana kiwen makini huyo mwalimi ni mshenzi tu unaish na bint mdg mnamfukuza ndani usiku!? Mbn isiwe watoto wake!?
@bahatikyusa8864
@bahatikyusa8864 11 месяцев назад
Waziri wetu majaliwa tunakusubiri baba utoe neno haraka mtoto apatikane pia nina wasi wasi na huyo mwalim pingine amemuua
@ummySheikh72
@ummySheikh72 11 месяцев назад
Hasikiki vizuri
@doreenkaiza8037
@doreenkaiza8037 11 месяцев назад
Waumbane mwalim
@NzenzuleManyanda
@NzenzuleManyanda 11 месяцев назад
Huyo mwalimu anajua au kamuozesha
@subirajohn728
@subirajohn728 11 месяцев назад
Huyo Mwalimu akamatwe
@Dickson-mx2fx
@Dickson-mx2fx 11 месяцев назад
Kabinti kazuri kwer huyo mama akamatwe apewe kichapo atasema alipo
@jumasalim6126
@jumasalim6126 10 месяцев назад
Hii ni aibu kwa taifa, nchi ilio pata uhuru zaidi ya miaka 60 upelelezi haukamiliki..
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 11 месяцев назад
Kuu wa mkoa ingilia hili kuanzia polisi na huyo mwalim
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 11 месяцев назад
Rais aingilie hili jaman polisi wanangoja nini sasa awekwe ndani
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 11 месяцев назад
Kwanza kazi ya polisi ni nini.huyo mwl.akamatwe atoe majibu.hata na watoto wa huyo mwl.wahojiwe .
@nickyrizznathan3377
@nickyrizznathan3377 11 месяцев назад
Ata sitaki kuendelea kuskiliza hii kitu cz ni uniunga yaan mtu kapotea na hamna maamuzi mnajua napitia nn uko aliko pumbavu nyinyi
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 11 месяцев назад
Kwani police wa hii nchi wanafanya kazi gani maana sielewi au ndio tayari wamepewa kitu kidogo.
@hopekrish5433
@hopekrish5433 11 месяцев назад
Usikute kamuuwa maan mimama mingne mishetani
@katushabedotto2883
@katushabedotto2883 10 месяцев назад
Hao polisi wamesha pewa rushwa mama samia tunakuomba ss kama wazazi tunaumia sana sana jamani maelezo ya mama warida anavo eleza inaonekana polisi inahuana na uyu mama jamani allah saidia mtoto apatikane akiwa hai
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 11 месяцев назад
Mdude kadakwa njiani mara moja . Binti kapotea polisi kimya. Inashindwa Vipi?
@babalao910
@babalao910 11 месяцев назад
Je angetorokea kwako?
@nickyrizznathan3377
@nickyrizznathan3377 11 месяцев назад
Et kwann unanisumbua na mkaamua kuachanan nae heee sio mmi aki kudadeki
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 11 месяцев назад
,kwa nini asiende Nyumbani!!?watoto nao Wana changamoto puu!!
@issaalfani1030
@issaalfani1030 11 месяцев назад
Sikiliza uelewe mtoto anakaa wapi na nyumbani ni wapi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 месяцев назад
hee mtihani huo hupotea
@marijanimohamed8875
@marijanimohamed8875 10 месяцев назад
siwamweke ndani huyo mama aisaidie police kuna ajenda gani hata nawatilia mashka hata police muda wote huo na danadana, zote
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 11 месяцев назад
KOSA KUBWA SANA HUYU MWALIMU,MALEZI YAKE SIO
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 11 месяцев назад
Mmh jamn huyo mwalim chizi kweli ndio umwambie kuwa asirudi sasa kama hana simu atarudije na umesema asirudi
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv 11 месяцев назад
Kwa maelezo yako dada huyo mtoto huyo mwalimu kuna kitu kamfanyia
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj 11 месяцев назад
😢😢
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 11 месяцев назад
Kwanini huyo mtoto alienda kuishi kwa mwalimu shida nini ??? Mlishindwa kuishi na mdogo wenu ??? Na miezi yote toka apoteee mnashindwa kwenda ngazi nyingine?????? Subhanallah mbona mitihani
@yasmine937-so4mi
@yasmine937-so4mi 11 месяцев назад
Huyu mwalimu mwagieni tindikali tu 😏😏😏 mmi ningekumwagia tindikali
@maimonamaimona1177
@maimonamaimona1177 11 месяцев назад
Poleni ndugu
@user-bg9cr4pn2p
@user-bg9cr4pn2p 10 месяцев назад
Isijekuwa ashamuuwa ananyamaz tu😢
@aminamareta9297
@aminamareta9297 11 месяцев назад
Huyo mwalim anajuwa aripo ashikirewe
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d 11 месяцев назад
Hiyo nyumb walikuwa wanamtesa na manynyaso kibao ila wanaficha kwa kisingizo cha simu na hapo walimfukuza tena polic walichunguz hili kiundani kuna ukatil nyuma ya pazia.
@salma0000
@salma0000 11 месяцев назад
Mtoto wa miaka 15 kaanza umalaya unataka asikatazwe, nyie sijui mna khulka gani lkn mtoto arudi nyumbani na simu ya laki 3 usimuulize kitu kisa usije ukaambiwa unamnyanyasa, mnajua kunyanyasa lkn au mnasema tu
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d 11 месяцев назад
@@salma0000 Kama ripot shulen mwalim anasema alikuw anaend analia na majiran wamekuwa wakiona anayofanyiw na hiyo familia wewe na roho yako ngumu kama jiwe af mwanamke nadhan ungemuua kabisa maan unaoneka akil huna hata huruma huna, manyanyaso kama hujapitiaa wewe kuna mabint wanapitia hawaskilizwi kama huyo bint wa mwenzako mengn nyamaz kama huon haja ya kuchangia maon positiv jamii ikuskie malaya mkubwa wewe nyie ndio mkiachiwa hata watoto wa ndg zenu wa damu mnawatesa nyoyo zen zifurahi loh.
@PascalinaMushi-je9jn
@PascalinaMushi-je9jn 11 месяцев назад
Hivi polisi wa Tanzania Tupoje? Mtu analeta malalamiko. Halafu inakwambia mnaolewa akafanye uchaguzi mwenyewe .
@JIWEtv6484
@JIWEtv6484 11 месяцев назад
Police wansubiri majariwa aongee ndio wafanye kazi duh! Haiwezekani mtoto apotee miezi 4 yote alafu hakuna kinachoendelea
@shersaid7988
@shersaid7988 11 месяцев назад
Mwalimu anajua alichofanya kwa mtoto.Kutumia simu huwezi kumlaza mtoto nje na kwa nini hataki kutoa ushirikiano na polisi ingekua mtoto wake angepata usingiza.Huyo mwalimu anahusika
@juliethgabriel4537
@juliethgabriel4537 11 месяцев назад
Mtoto anapotelea kwake mwl hatoi tarifa popote hata kwa mjumbe au polisi we mwl Mungu anakuona.
@mariamzubeiri1723
@mariamzubeiri1723 11 месяцев назад
Au kauwawa jmn maan dunia imeisha😢
@ashahhado900
@ashahhado900 11 месяцев назад
Kwanza onyo ianzie kwa police walioshindwa kutoa ushirikiano miezi 4 kwa upotevu wa mwanafunzi kisha huyo mwl anahusika na tushukuru kwa misaada ya hizi interview inasaidia sana
@marijanimohamed8875
@marijanimohamed8875 10 месяцев назад
HII. INCHI INA UONGIZI KWELI MIEZI YOTE HIYO
@GiftEmmanuel-cf4bs
@GiftEmmanuel-cf4bs 10 месяцев назад
Dada unaakili jamn dah endelea kumtafuta mdogo wako
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 11 месяцев назад
Polisi nao ni shida 2.
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d 11 месяцев назад
Ndio maan nchi zilizoendelea camera zinawekwa kila shule nje na ndani inasaidia sana matukio kama haya.
@claudiajames2003
@claudiajames2003 11 месяцев назад
Yani ukute ka Warda kapo sehemu hakana hata habari kama kanatafutwa,labda kalipishana tu kauli na mwalimu kakaamua kukimbia
@mwana4599
@mwana4599 11 месяцев назад
Umesikilizs youth. Huyo mwalimu ni hatari sana. Ingekuwa mimi pangechimbika.
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 11 месяцев назад
Ukute aliyempa simu ndiyo yuko nae!!!
@mayaalrawahy5470
@mayaalrawahy5470 11 месяцев назад
Mtt angekuwa na cmu angepigia.wazazi wake kueleza matatizo yake huyo mwalimu alete mtt
@user-zb9lj1hh9w
@user-zb9lj1hh9w 11 месяцев назад
Hatari sana huyo mwalimu😂😂😂😂😂😂
@salma0000
@salma0000 11 месяцев назад
Miaka 15 kwa Tanganyika ni mtu mzima huyo ameshafundwa kulala na wanaume, haruhusiwi kuolewa tu lkn kulala na wanaume na kujiuza ni ruksaa kwa hiyo msihangaike yuko kwa bwana wake huyo akichoka atarudi kwao hakuna jipya hapo, tuendelee na bandari😂😂😂
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 11 месяцев назад
Sawa Ila kama Roma alipotea mkamtafuta na ni mtu Zima na familia yake itakuwa mtoto wa miaka 15 jamani? Salma Salma Salma inshallah Mungu atukunzie kizazi chako yasikukute haya
@salma0000
@salma0000 11 месяцев назад
@@anodearsulusi7536 itakua huna experience na watoto wa age hiyo, tunaishi nao majumbani mwetu kwa hiyo usipate taabu kuniombea. Wasichana wa miaka kuanzia 13 mpk 19 ogopa sana yaani akishapata ukubwa tu anakua km mnyama aliyeko ktk kipindi chake cha joto, nafkiri unanifahamu kiswahili changu.
@aidahmgallah4368
@aidahmgallah4368 11 месяцев назад
Mungu anakuona
@salma0000
@salma0000 11 месяцев назад
@@aidahmgallah4368 Alhamdulillah
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 11 месяцев назад
Jaman kama huyo mwalimu haja kamatwa mbaka mda huu kwakwel hakuna serikali bora mtu atumie jitihada yake na mungu yake inauma sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 11 месяцев назад
Muhusika ni mwalimu hapa unyonge wa family ndio changamoto
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l 11 месяцев назад
WAPI PAUL CHACHA JAMN AJE HUKU AONE UOZO
@GiftEmmanuel-cf4bs
@GiftEmmanuel-cf4bs 10 месяцев назад
Mtoto mzuri
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s 11 месяцев назад
Ni mwqlim nan huy hapo kibit me mwenyej
@azizirashid9709
@azizirashid9709 10 месяцев назад
Kamata huyo mwalimu lokapu kwanza atakuwa alipiga vibaya
@Oman-nu2kc
@Oman-nu2kc 11 месяцев назад
Apana mkazanie i huyo mwalimu mtoto apatikane
@nickyrizznathan3377
@nickyrizznathan3377 11 месяцев назад
Hehehe mimi yaan Chenza na mwili na akili na kila kitu changu yaan usijalibu kuchenza n wadogo zangu hat kidogo ten weeeeeeeee yaan usijalibu cz Hata mama angu aliniamin kuniachia wao sio mmi yn wewe dda wewe mbon sio mm mdogo angu aki
@GiftEmmanuel-cf4bs
@GiftEmmanuel-cf4bs 10 месяцев назад
Huyo mbwa atupe mtoto hatutaki kujua Yuko hai au kafa tunamtaka
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 11 месяцев назад
. Dah ewe alla tunakuomba umsaidie huyu mama y rabb
@Oman-nu2kc
@Oman-nu2kc 11 месяцев назад
Asikae tena kwamwalimu jamani
@zuwenatabu9176
@zuwenatabu9176 11 месяцев назад
Muwekeni ndani mwalimu hadi aeleze wapi mtoto alipo
@somoesaid6070
@somoesaid6070 11 месяцев назад
Kwa nini huyu mwalimu akamatwi? Akikamatw atasema.
@zaujatnoah-ro6uj
@zaujatnoah-ro6uj 11 месяцев назад
Uyomwalimu akamatwe kwa mahojiano zaidi
@frankezakayo4447
@frankezakayo4447 11 месяцев назад
Msimtafute Kwa hofu kashaamua kuolewa
@philipongenzatv
@philipongenzatv 10 месяцев назад
Mwalimu akibanwa atasema
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 месяцев назад
nina wasi wasi ila tusubiri kwanza
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 месяцев назад
Huyo mwalim analake jambo kwanini asiwapigie sm awaambie kama anayosim yy achukie jukumulakumfunhiamlango ni bola angemrudisha kwao. Afinywetu huyo mwalim na polic mpakaaseme
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 11 месяцев назад
Safi polisi eti kumsumbua
@verociousagnerus9793
@verociousagnerus9793 11 месяцев назад
Yn mm nimekaa namtoto wakike wa kakaangu yn wanamtihani sana yn mm naweza ichungunzwe zaidi pengine mwl Hana hata kosa
@salma0000
@salma0000 11 месяцев назад
Wanakua hawasikilizi mtu wao wanataka wanaume tu na serikali haitaki waolewe
@bethjohn928
@bethjohn928 11 месяцев назад
Kwa Nini usimludishe kwa wazazi wake adi umteseke atoroke au muwaue wakiwashindwa waludisheni kama wazazi wemekufa wapelekeni ustawi kuliko kuwatesa
@nyumbantv
@nyumbantv 11 месяцев назад
Mwalim ndiye anajua mtoto alipo ,wakati mwingine askari wetu wanajua siri na wanashirikiana na wahausika wa tukio ,mwalim akamatwe
Далее
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58
VITUKO VYA CHUMBA CHA MTIHANI LAZIMA UCHEKE
13:11
Просмотров 1,5 млн
MWALIMU MGENI ❤️ /12/
24:59
Просмотров 1,5 млн