Тёмный
No video :(

MCH. MSIGWA ALAMBA MATAPISHI YAKE MWENYEWE !! 

NURU DIGITAL TV
Подписаться 282
Просмотров 1,4 тыс.
50% 1

Lilikuwa suala la muda kwa Mchungaji Peter Msigwa kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ndivyo unavyoweza kueleza baada ya kada huyo wa zamani wa Chadema kutimkia katika chama hicho tawala.
Msigwa ametambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM leo Jumapili, Juni 30, 2024, mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho (NEC), katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.
Uamuzi wa mwanasiasa huyo umethibitisha tetesi zilizokuwa zikiibuliwa mara kwa mara na wadau zikimhusisha Msigwa na CCM, tangu enzi za utawala wa Hayati John Magufuli.

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@paulombay6884
@paulombay6884 Месяц назад
😂😂😂😂 hii nchi bwn!
@babupiza641
@babupiza641 Месяц назад
Eeeeee 😂😂😂😂😂 njaa imefika kwenye kichwa
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Месяц назад
Ni ufisadi tu
@danielishigita2423
@danielishigita2423 Месяц назад
Chezea njaaa weye
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
ACHEN KUFUATILIA MAISHA YA WATU SASA KUHAMA KWAKE KINAWAHUSU NN HAYO N MAAMZ YAKE
@paulombay6884
@paulombay6884 Месяц назад
Msigwa vp bwn hata yesu aliuzwa.
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Месяц назад
KAJIKANYAGA MWENYEWE, MWINGINE ALIWAHI KUSEMA UWAZIRI NA URAIS NI M KAZI NDOGO, ALAFU AKAWA MBUNGE, TUNASHUKURU HIZI RECORDING ZINASAIDIA KUTUONYESHA RANGI HALISI YA MTU
Далее
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Просмотров 880 тыс.
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 18 млн
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 7 млн
HII INASHTUA! CCM WAMEPANDIKA WAHUNI UPINZANI?
14:26
Просмотров 1,6 тыс.
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Просмотров 880 тыс.