Тёмный
No video :(

MCHUNGAJI KUTOKA MAREKANI SIWEZI KUUZA MAFUTA YA UPAKO NA MAJI BILA KAZI HUWEZI PATA UTAJIRI 

Maks Media
Подписаться 140 тыс.
Просмотров 4,2 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

9 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@musamateru5786
@musamateru5786 Месяц назад
Mungu akutie nguvu uihibiri kweli ya biblia watu wapate kuokolewa ,uwe Mtenda kazi na sio mtendewa kazi,Usiwanyonye maskini na wenye uhitaji.Barikiwa sana.
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 Месяц назад
Hakuna Mchungaji anayesema usifanye kazi, kazi ni lazima, bidiii sana, neno la Mungu ndiyo mafuta, chumvi, nk. Wachungaji woote wanaongozwa na neno
@ndigwako
@ndigwako Месяц назад
Mungu nisaidie niolewe na pastor na mimi
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 Месяц назад
Mtangazaji kuna mengu unahunguluma kama mawimbi mimi msikii. Vizuri pastor,
@user-zn9qb8cn7m
@user-zn9qb8cn7m Месяц назад
Simamia yako mtu wa Mungu
@onalinasozigwa3167
@onalinasozigwa3167 Месяц назад
Unacheza na Mungu mbingu gani labda za mashetani ukishatekwa na roho zidanganyazo huwezi kuisikia kweri Mungu tu atusaidie
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 Месяц назад
MUNGU TUNAOMBA UTUREHEMU MAANA NJIA NI PANA IENDAYO UPOTEVUNI NJIA NI NYEMBAMBA IENDAYO UZIMANI WAIONAYO NI WACHACHE
@EMILIANAMBEHO
@EMILIANAMBEHO Месяц назад
Mwamposa oyeeeeeeeee
@feddymwanga5462
@feddymwanga5462 Месяц назад
Watumishi wa Mungu sasa wamekuwa kama CCM na upinzani
@goldermeirshoo1228
@goldermeirshoo1228 Месяц назад
Hakuna mchungaji anayesema kuwa ukitumia Mafuta tu bila neno unapata maendeleo kwani na hao wachungaji wanajua NENO LILIVYO
@user-vv8nn8qx3w
@user-vv8nn8qx3w Месяц назад
Umeishiwa ww
@EMILIANAMBEHO
@EMILIANAMBEHO Месяц назад
Wataelewa TU 😊😊😊😊😅😅
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Месяц назад
Tupeni Mungu sasa
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we Месяц назад
Mwamposa anawatesaaaaaaaaa,
@seifserenge3340
@seifserenge3340 Месяц назад
@@GeofreyKalo-ot3we Apo mkishatiwa motoni ndio mtaelewa kuwa mwamposa oyeeee au sio oyeeee. Acha acheze na akili zenu, mumpe sadaka, ale kuku nyinyi mkila ugagundi wa meno
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 Месяц назад
Washirikina utawajua tu. ukitaka kufahamu ugomvi wa mlevi wewe mwaga pombe yake!!!
@bonifacejames2002
@bonifacejames2002 Месяц назад
Y should you not mind your own.
@user-vv8nn8qx3w
@user-vv8nn8qx3w Месяц назад
Tahila ww hubili yako
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf Месяц назад
Mtapata tabu sana mwamposa ni mtume mwamposa mbingu zinamjua mwamposa mwamba imara mwamposa nimwalim mwamposa nibalozi wa mbinguni kwani mafundisho yake niyatafauti pia ipo ekima busara nauti wakutosha niseme ni mwali
@user-eg1pk1sw4j
@user-eg1pk1sw4j Месяц назад
Hakika mwamposa ni mtume WA kweli hata mbingu zinalijua Hilo na hata ktk mafundisho yake yote huwa anapita jinsi biblia inavosema na Watu wengi tumebarikiwa kupitia mafundisho yake na mwamposa hajawahi msema mtumishi mwingine vby n nyinyi Tu mnatafuta kiki kupitia mtume mwamposa
@michaelmhina3613
@michaelmhina3613 Месяц назад
Endeleeni na mbingu zenu za upako. Mtakapoletewa mavi ya upako msilalamike.
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Месяц назад
​@@michaelmhina3613MWAMPOSA MTUMISHI WA MUNGU
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf Месяц назад
@@michaelmhina3613 tujifuze kunyamaza itatusaidia mungu anafanya kazi nakazi nindani ya watu usibali kusukumwa namoyo wako kuzarao mtumishi wa mungu au waserikali wanavibali niwape tarifa mungu yupo ndani ya mwamposa sio wakumjaribu
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Месяц назад
@@michaelmhina3613 UMEAMUA KULOPOKA HOVYO UNAWAZA ULICHOKISEMA
Далее
SIRI YA MANABII KUMILIKI UTAJIRI IMEFICHUKA
8:19
Просмотров 17 тыс.
ROLLING DOWN
00:20
Просмотров 6 млн
13 Карт - Мафия | 5 серия
08:51
Просмотров 274 тыс.
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
32:24