Тёмный
No video :(

MILIONI 600 ZAIBIWA ARUSHA, MAKONDA ACHANGANYIKIWA, AWABADILIKIA VIONGOZI WAKE Yani MOTO UNAWAKA,.🙌🙌 

HABARIMPYA TV
Подписаться 615 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 2 месяца назад
Nimepata wazo wakuu wa mikoa waige kwa makonda wakiwa makonda wengi magufuli wengi wataua nani au wataacha nani maana watakua wengi na wataogopa akiwa mmoja ni rahisi kumuua kama umenielewa gonga like
@chefmustafaiddi406
@chefmustafaiddi406 2 месяца назад
Kabsaa Tena nchi itasimama vyema kabsa
@jkifutu7936
@jkifutu7936 2 месяца назад
Mdogo wangu makonda nakuombea sana one day uje kuwa rais wa tanzania 🇹🇿 insha Allah
@user-sx1xi4yb2z
@user-sx1xi4yb2z 2 месяца назад
Jamni makonda wangu nakupenda mno tangia enzi za bro magufuri
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 2 месяца назад
Safi sana makonda piga kazi washa moto hakuna msalie mtume hapa.
@goodlucknnko5493
@goodlucknnko5493 2 месяца назад
Majizi hayatakupenda mh. Ila wananchi wapo nawe hadi mwisho
@niyonkurufaustin5542
@niyonkurufaustin5542 2 месяца назад
Africa 😭 aliyeturoga tunaomba atuhurumie 🙏🏾👏
@KhamisNahodah
@KhamisNahodah 2 месяца назад
Asante mama umetupa mtu tuletee na mikoa mingine kama makonda
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w 2 месяца назад
MUNGU BABA wa Mbinguni YESU Wangu Akubariki Sana Mheshimiwa Mkuu Wa Mkoa wa Arusha na DAMU YA YESU Ikufunike Amina
@user-gx4jx4gv9l
@user-gx4jx4gv9l 2 месяца назад
Moto umewaka piga kazi brow.
@hanswan1
@hanswan1 2 месяца назад
Duh makonda ni noma...unapiga spana mpaka basi.
@martinlema4192
@martinlema4192 2 месяца назад
Laiti Kizuri kingedumu ningemwomba mwenyedhamana udumu. Namwomba Mungu usifukuzwe kazi mh. Makonda.
@lucasmkui3160
@lucasmkui3160 2 месяца назад
Tanzania safiiii! RC Arusha, RC Dar safiiii, naomba Mh: Ali hapi , na Agrey Mwanary wapewe mikoa Tanzania itang'aa nawajuwaji watanyooka .
@TWENZETUEDEN
@TWENZETUEDEN 2 месяца назад
Wakuu wa mikoa wengine endeleeni na moto huu 💪💪💪
@user-uk1io7mk3n
@user-uk1io7mk3n 2 месяца назад
Fanya kazi baba hongera sana sana
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 2 месяца назад
Miaka mia mwanajeshi wangu pol makonda
@faridairema8790
@faridairema8790 2 месяца назад
Chuma ichoooo ishi miaka mingi makonda tetea wanyonge
@fabiandaudi430
@fabiandaudi430 2 месяца назад
Akika tuna mwokozi wa wanyonge apa nchini ❤mweshimiwa makonda
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 2 месяца назад
Chuma hichoooo ishi miaka mia wale spaner Mh usichoke tunakuombea Dua 🤲💪👍🇹🇿✅💯🔥🔥🔥
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 2 месяца назад
Baada ya Mh. Samia mwaka 2030 Makonda Rais
@MonicaRaila-tn5rb
@MonicaRaila-tn5rb 2 месяца назад
Nikweli mweheshimiwa wanalindana mungu akulinde Mwanangu makonda
@bakarykijazi293
@bakarykijazi293 2 месяца назад
Broo mungu akubariki uje kuwa president
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 2 месяца назад
Kwastairy yako kaka makonda lazima niwe naweka sana bando kujuangalia
@HenryHabeli-iy5dv
@HenryHabeli-iy5dv 2 месяца назад
Mkuu wa mkoa was arusha hongela sana kwa kuchapa kaz viongozi wa mkoa mingine mko wapi
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 2 месяца назад
Wanasema wanazaririshwa warudishe kwanza pesa ndio tuwasikie na ujinga, wao
@HenryHabeli-iy5dv
@HenryHabeli-iy5dv 2 месяца назад
Mungu akupiganie mh makonda ktk kazi zako
@mwerindejackson5001
@mwerindejackson5001 2 месяца назад
Unge kua mkoani kwetu tungenenepa sana
@sandalakabalo5442
@sandalakabalo5442 Месяц назад
🎉🎉🎉 yako jembe wakuu wa mikowa wengne igeni kaz kwa huyu mwamba ambae anamuonea wivu huyu makonda alaniwe
@linnerram8959
@linnerram8959 2 месяца назад
Piga kazi kaka okoa Mkoa wetu Mungu akuandalie furaha ya maisha yako baadae
@GoodluckMichael-hb1bv
@GoodluckMichael-hb1bv 2 месяца назад
Mama Samia mludishe na sabaya, ivi vichwa atari sanaa
@FredrickEdson
@FredrickEdson 2 месяца назад
Hapo umenena sabaya ni namba nzuri
@evelina9621
@evelina9621 2 месяца назад
Makonda.kazi.gumu.sana.itaka.kuondoa.selikari.ifute.oungozi.yote.ufutwe.samaki.akiozo.wote.wamehabika.
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 месяца назад
Unapenda sana Unavyowauliza wananchi tuanze kazi 😂😂😂
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 2 месяца назад
TAIFA HILI LINAMAJIZI TOKA NGAZI YA TAIFA HAWA NI SEHEMU YA KAFARA NDOGO TU HUKU CHINI.HATA MAMA MBONA ALIACHA WALE WEZI WALIOTAJWA KWEMUE RIPORT YA CAG?
@RobertMachenga-tz3re
@RobertMachenga-tz3re 2 месяца назад
Huyo siyo mhasibu wa kweli na anatumika na matapeli tu mh. achana naye hajitambui. Mary Chitanda atakunyokea bure achana naye.
@ismaelgadiye4488
@ismaelgadiye4488 2 месяца назад
Hiyo hekima siyo ya kawaida ni ya kutoka Kwa MUNGU apana siyo kawaida
@JumaNurudini
@JumaNurudini 2 месяца назад
Nimegundua makonda hapaswi kua mkuu wa mkoa anapaswa kua mkuu wa inchi sema anabanwa
@FredrickEdson
@FredrickEdson 2 месяца назад
Wezi awatakubali hiki ni chuma cha reli
@NorbethGodfrey-ln7hu
@NorbethGodfrey-ln7hu 2 месяца назад
Watanzania jamani tumpe urais huyu Makonda maana Arusha anawanyosha Mungu amulinde
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 2 месяца назад
Arusha watanyooka tu. Hii kichwa inadam ya JPM
@johnsebastian-bx6qn
@johnsebastian-bx6qn 2 месяца назад
Piga kazi mkuu
@LyujeMnangola
@LyujeMnangola 2 месяца назад
Chapa kazi makonda
@abeldaud6033
@abeldaud6033 2 месяца назад
Duh hadi raha makonda unastahili sana kuwa rais wa nchi hii, tutapata sana
@user-ig1ch4gy7s
@user-ig1ch4gy7s 2 месяца назад
Taifa Lina tunu kubwa, usife moyo Wala usikatishwe tamaa usiogope, Mimi support yangu ni kukuombea unanipa faraja namwoma Hayati JPM ndani ya moyo na akili Yako.
@frankmongo9510
@frankmongo9510 2 месяца назад
Mtakoma watumishi wezi
@kingngojea
@kingngojea 2 месяца назад
Iv wewe makonda urikua wap au ndio umezaliwa upya daa bahati sana kua nakiongoz kama makonda
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Wamekula wote lazima walindande
@kassimyusuph9470
@kassimyusuph9470 2 месяца назад
Kilahatua Dua kk mungu akupe maisha malefu kk
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s 2 месяца назад
Muhasibu mm sijamuelewa nyie 😂
@user-qn2nw1th6y
@user-qn2nw1th6y 2 месяца назад
Piga kaz kaka mm nakuomb ❤❤❤❤❤
@daudfesto8373
@daudfesto8373 2 месяца назад
wew jembeee
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 2 месяца назад
Mh makonda wewe mtetezi wawanyonge kabisa natamani hata siku moja uwe rais watanzania
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 2 месяца назад
Mikoa yote ina shida wengine wametulia.kimya
@bakarykijazi293
@bakarykijazi293 2 месяца назад
Ungekuja Tanga mzee nishida
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 2 месяца назад
Damu ya Yesu ikufunike
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 2 месяца назад
Huyu mwamba anatakiwa awe Rais ajae kabisa
@e11said23
@e11said23 2 месяца назад
Likizo gani miaka 3.miezi sita ebu weka sawa ulikua kazini ama
@JulianaSilverio-zr2il
@JulianaSilverio-zr2il 2 месяца назад
Alisimamishwa kazi huyo
@salumadam2862
@salumadam2862 2 месяца назад
Makondo haupoi na hauboi
@GraceMaro-wz4bu
@GraceMaro-wz4bu 2 месяца назад
Piga kazi walipe hela zetu
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 2 месяца назад
Hivi wapendwa mlioko humu niwaulize kitu, hapo ni arusha uwizi umefanyika hivyo,je ,mikoa mingine vp jamani? Kwann wakuu wa mikoa mingine wasiige mfano wa makonda ili huo wizi ukome? Jaman sijui
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 2 месяца назад
Huyu mhasibu mdada ninawasiwasu kama amehusika au amehisishwa.
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 2 месяца назад
Jamani wahisika acheni kuweka watu kwa vimemo huyu mhasibu siyo compitent
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Kazi wameshindwa watafute kazi nyingine wafutwe nchini ni wahujumu uchumi
@martintemu9123
@martintemu9123 2 месяца назад
Huyo mwasibu hafai kabisa...mshushe cheo
@ReubenLaitey
@ReubenLaitey 2 месяца назад
Kumbe ndio maana watu wanakosa madawa hospitalini
@wamburasungura6812
@wamburasungura6812 2 месяца назад
Hii mimama imepata nafasi inaiba mpaka inajionea aibu yaani ningeipiga makofi live mbele ya watu
@NorbethGodfrey-ln7hu
@NorbethGodfrey-ln7hu 2 месяца назад
Akitimiza umri apewe urais
@KishokaMrumakishoka
@KishokaMrumakishoka 2 месяца назад
Dah! Kwakweli hii nchi inamatatizo Yani mtumishi kuelezea sekta yake hawezi
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
Wakubwa hao mnawalinda ,inatakiwa Wizara inayoshika mihimili iachie ngazi
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 2 месяца назад
Wanapataje kazi hawa?
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 2 месяца назад
Huyu dada naye ni mwizi
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
Mimi binafsi navyoona anaweza kufanya kazi bila miadhara hii .Akisha malizana nao tunachotaka kuona ni wamefukuzwa kazi fulani na fulani kwa wizi.Ila hii malumbano na mikusanyiko y kutublack meil hii ni kutufanyia maigizo.hata wakibainika kesi zao huishia angani tu husikii mwisho wa kikweli
@julianamaganga4803
@julianamaganga4803 2 месяца назад
Hakuna kitu kibaya Kama kudhalilishwa mbele ya hadhara waache wajifunze
@OscarBethel
@OscarBethel 2 месяца назад
Hao wamezoea kuanya kazi kwakulindanakwasababu wanashirikian Majibu yanayotoka ni yakushangaza hiyo ndio Ccm chukua chako mapema
@JasminDickson-xz8wh
@JasminDickson-xz8wh 2 месяца назад
Nafsi ya Magufuli ipo ndani yako broo
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
Tukumbuke mpaka wizi unafanyika inamaana kuna uzembe wa mlolongo mrefu hivyo kwa yote haya inamaana Serekali nzima ni zembe
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 месяца назад
😂😂 watanyooka
@kingngojea
@kingngojea 2 месяца назад
Ninawazo lakini ngoja kidogo nitawaambia watanzania
@user-yo7sj8fs4h
@user-yo7sj8fs4h 2 месяца назад
Watumishi wengine sijui km hawajapendekezwa Kwa rushwa ya ngono. Hata elimu zao inaonekana vyetu tu. Uwezo na vyeo vinakujaje cjui.
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 2 месяца назад
Wataifishwe Mari zao
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 2 месяца назад
Sasa hiyo ni arusha je mikoa mingine
@user-yl2br2ts3i
@user-yl2br2ts3i 2 месяца назад
yaaaaáãn
@KhmsNsr
@KhmsNsr 2 месяца назад
HALAFU LINATOKEA JITU LINASEMA LINADHALILISHA JINSIA WAKAT WATU WANAIBA.MAKONDA PIGA SPANA MAJIZI YOOTEE HATA YAKILALAMIKA PIGA SPANA MAJIZI YOTE NAJUA YATALALAMIKA SAANA ILA ENDELEA KUYANYOOSHA MAJIZI WACHA YABWEKE PIGA SPANA
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 месяца назад
😂😂 vibaraka wa wazungu
@theempire4058
@theempire4058 2 месяца назад
Awapige spana ya kutosha awa wapuuzi wasio na akili ndo wanakuja leo eti udhalilishaji washenzi kabisa hiki chama
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
Lakini si anaweza kufanya haya bila hizi cinema?
@irenembise541
@irenembise541 2 месяца назад
@@leokamil6284 tutajuaje? Mimi sikuwah dhania Arusha kuna huu upuuz wa wizi,acha tuoneshwe
@annanjau2411
@annanjau2411 2 месяца назад
Sinema gani
@MatridaLemanikalinga
@MatridaLemanikalinga 2 месяца назад
Bb.àaàaaa
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 10 дней назад
Ujanjà mwingi haram
@olivastephano2900
@olivastephano2900 2 месяца назад
Acha inyeshe tuone panapo vuja
@edwardkishimbo8111
@edwardkishimbo8111 2 месяца назад
Pambana kaka yangu hao wanaosema waseme kula vichwa mh tingating fagia wote
Далее