Тёмный

MJUE YUSUF MANJI: ALIITOA YANGA KUZIMU - AKAKIMBIA TANZANIA WAKATI wa UTAWALA wa MAGUFULI - MIAKA 49 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

MJUE YUSUF MANJI: ALIITOA YANGA KUZIMU - AKAKIMBIA TANZANIA WAKATI wa UTAWALA wa MAGUFULI - AMEFARIKI AKIWA na MIAKA 49
Juni 29, 2024 itabaki kuwa siku mbaya kwa mashabiki wa Klabu ya Wananchi ya Yanga ya nchini Tanzania baada ya aliyekuwa mfanyabishara maarufu na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Mehabub Manji kufariki dunia akiwa katika Jimbo la Florida nchini Marekani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Yusuf Manji alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 49 na kifo chake kilithibitishwa na mtoto wake aitwaye Mehabub Manji.
Yusuf Manji ni jina kubwa si kwa Tanzania tu bali barani Afrika na kwingineko duniani.
Hii ni kutokana na biashara zake alizozichukua kwa baba yake mwaka 1995 jijini Dar es Salaam na kuzisambaza sehemu mbalimbali duniani kwa kutengeneza utawala mkubwa wa Kampuni ya Quality Group Limited.
Manji alijulikana kwa kwa kuleta Tanzania majina makubwa ya biashara kama General Motors, ISUZU, Mahonia, Hertz na Bridgestone.
Kampuni zake zimefanya biashara ya mazao ya baharini na ziwani kupitia makampuni 30 barani Afrika, Asia na Ulaya.
Manji alianzisha huduma za afya kwa jina la Quality Health na ikasambaa maeneo mengi barani Afrika.
Kampuni yake ndiyo iliyokuwa moja ya kampuni za kwanza Afrika kushirikiana na serikali ya Ireland kwenye mradi wa viwanja vya ndege Afrika Mashariki.
Pia Manji alijaribu kuokoa ajira za Watanzania kwa kuinua uchumi wa supermarket baada ya kutaka kufungwa, ingawa ilishindikana kutokana na hila za hapa na pale hata hivyo alifungua American Supermarket kuokoa ajira za watu.
Inajulikana kuwa Yusuf Manji aliomba serikali kuchakata dhahabu ili kuwezesha serikali kupata faida ya kutosha na pia kufungua kiwanda cha kuunganisha magari.
Manji alijaribu kuanzisha maonesho makubwa Hongkong yaliyoleta wadau wakubwa wa usafiri Tanzania na pia kukusanya matamasha ya filamu kutoka Zanzibar kuonesha vivutio vya Tanzania na kuamsha sekta ya usafiri na burudani Tanzania.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@globaltv_online
@globaltv_online 10 дней назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 9 дней назад
Mbona yanga hakuomboleza kifo Cha mwamba
@FloydChen-ch6re
@FloydChen-ch6re 9 дней назад
Rip
@user-nf3dc9fb6v
@user-nf3dc9fb6v 9 дней назад
R.i.p manji
Далее
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
100❤️
00:18
Просмотров 938 тыс.