Тёмный

MSTAAFU KIKWETE AFICHUA BABA'AKE MANJI ALIVYOFARIKI KWA SARATANI ya NGOZI AKAMWAMBIA AMLEE MANJI... 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 20 тыс.
50% 1

MSTAAFU KIKWETE AFICHUA BABA'AKE MANJI ALIVYOFARIKI KWA SARATANI ya NGOZI AKAMWAMBIA AMLEE MANJI...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

6 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@user-ts7hj5yp8w
@user-ts7hj5yp8w 9 дней назад
Hongera sana Raisi mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwa hekima & busara kubwa sana ambayo Mwenyezi Mungu amekujalia kuwa nayo. 👉Wewe ni mmojawapo ya viongozi wastaafu katika bara la Afrika, ambao bado uko mioyoni mwa wananchi walio wengi. 👉Mwenyezi Mungu akujalie Afya njema, Nguvu tele & Uzima tele katika majukumu yako ya kila iitwapo leo.
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 3 дня назад
Dr jakaya hakika wewe ni baba wa taifa mungu akulinde inshallah 🙏
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 9 дней назад
Mzee ananchekesha kila msiba yeye lazma anastori flani hivi ambayo hakuna aliewahi ijua
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 9 дней назад
Ni mtu wa watu
@mataypanga5262
@mataypanga5262 9 дней назад
​@@user-ip4ie7pt6iSiyo mtu wa watu,ni mcheshi kama wacheshi wengine tu
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 9 дней назад
@@mataypanga5262 ok
@publicrelations4600
@publicrelations4600 9 дней назад
Best president ever in Tanzania
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 9 дней назад
Duuuuu
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 9 дней назад
Hakika kaka
@akbarkisamo8392
@akbarkisamo8392 9 дней назад
🎉🎉
@user-ts8bf4ef3u
@user-ts8bf4ef3u 9 дней назад
tajiri yeyote akiwa ni shabiki wa yanga anajua mwanao, sipendi sema sana ila una ubinafsi sana, icon zipende timu zote coz wewe ulikua ni kiongozi wa nchi!!!
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 9 дней назад
انا لله وانا اليه راجعون الله يرحمه
@calvinmaro6445
@calvinmaro6445 9 дней назад
Ulikua unamliwaza au unambeba rais wetu acha zako basiii😂😂😂
@ModextaModexta-on7mi
@ModextaModexta-on7mi 9 дней назад
🙏🤲🤲
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 9 дней назад
Kumbe ufisadi ulianzia mbali! Baba yake Manji alijua kuwa nafasi ya fisadi huyu ingemfanya Kikwete awe ngazi nzuri ya kuchumia utajiri haramu. Nchi ikiwa na viongozi wa hovyo na wenye uwezo mdogo wa kufikiri wanatumiwa kama nepi. Nashukuru sikuishi chini ya utawala wa fisadi huyu aliyeacha makashfa makubwa kama vile Richomond, EPA, Escrow , IPTL na mengine mengi.
@YusufLubangula-yn6tq
@YusufLubangula-yn6tq 9 дней назад
Nivyema walivyo kuteua kuamgeni Rasmi Wewe ni mtu muhimu sana! Tuwape pole wafiwa INNA LILAH...
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 9 дней назад
Uongozi wa Magufuli alimuonea sana manji
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 9 дней назад
Wewe ndie rais wangu bora mpaka sasa
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 9 дней назад
JK Rais wangu wa wakati wote. Hivi hairuhusiwi kugombea Tena?;
@mataypanga5262
@mataypanga5262 9 дней назад
Hakustahili,agombee nini tena😂
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 9 дней назад
Ni suala lakikatiba lakini kubwa zaidi ni kuwa Tanzania yetu ina hekma katika suala la uongozi hasa kutazamia umri wa mtu, mamlaka imemtambua mstaafu katika malezi ili iwe lulu na kivutio kwa vizazi vijavyo mfano mzuri ni mzee mwinyi alibamba makini zetu hasa kwa vichekesho vyenye vioja kadha wa kadha lakini hakusahau kutufunza kwa kutumia stara na busara zake.
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 9 дней назад
Wauzaji wa nchiiiii
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 9 дней назад
Mtu Huna Chakukomenti Unatulia Tu. Ndio Ubinadamu
@user-cy5jg4cx7i
@user-cy5jg4cx7i 9 дней назад
Hmmmm hata sauti moyo unashtuka nilisikia huyu baba naogopa maana huyu ni mungu wa dunia
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 9 дней назад
Duuu
@kisomekiguwa3706
@kisomekiguwa3706 9 дней назад
Kafanya nini watz mna mambo ya ajabu sana mmezoea kukaririshwa kikwete hana tatozo ila watz wamezoea kukariri mtu akisemwa na mbaya wake basi wote wanazomea bila kujua nini kinaendelea.
@frankjoely3313
@frankjoely3313 7 дней назад
Maskini wengi wamejaa wivu tu.
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 9 дней назад
Katiba ndio kikwazo ila mzee unastahili kuendelea kuwa Raisi
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 9 дней назад
Mmmmmhhhhhh!!!
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 9 дней назад
Ndo maana ukampa rasilimal za nchi yetu Tz kwa kufaidsha tumbo lako ee,..mkafkr Maguful ndo wakufa ye hatakufa?..ndo mjue muache kuuwa wengne kwan kila mtu atakufa,..na muwe wazalendo wa kwel muache unafk
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q 9 дней назад
Raisi wangu pendwa
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 3 дня назад
Dr jakaya hakika wewe ni baba wa taifa mungu akulinde inshallah 🙏
Далее
Спецэффекты в Симс 4
00:36
Просмотров 247 тыс.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Просмотров 6 млн
Спецэффекты в Симс 4
00:36
Просмотров 247 тыс.