Тёмный

MPINA AMKAANGA VIBAYA SANA WAZIRI BASHE, ATUMIA RIPOTI ya CAG na HOTUBA ya MAGUFULI, AWEKA USHAHIDI. 

HABARIMPYA TV
Подписаться 629 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 3 месяца назад
Mpina umekuwa mtetezi wa wananchi, mimi kipindi cha nyuma niliona kama Bashe ndio alikuwa mtetezi, baada ya huu ufisadi ulio jitokeza kwenye sector yake nimeamini kuwa Bashe hafai kuwa hata barozi wa nyumba kumi.
@mejamiela7436
@mejamiela7436 3 месяца назад
Raisi ambaya alikuwa wa mvuto wa uongoz n magufuli
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo 3 месяца назад
Uko sahihi mzee Baba,,huu ndio uhuni wanaoifanyia Tanzania kwa maslahi yao binafs
@PauloLeonard-ol5oo
@PauloLeonard-ol5oo 3 месяца назад
Kaka kuna watu wanataman wakupoteze lakini hawataweza mungu aishivyo mahali palipoinuka hawataweza in Jesus name,ukweli lazima usemwe tena wazi wazi bila kificho na kila kilichositilika kitafunuliwa. bado kitambo kidogo Mungu atajibu maombi ya watanzania,tuko nyuma yako daima mpaka ukamilifu wa dahali.
@NyasiluNyasilu-dl9yi
@NyasiluNyasilu-dl9yi 2 месяца назад
Kweli baba kazi nzuri unafanya
@medlucas5686
@medlucas5686 3 месяца назад
Hi nchi bwana huyu bashe wakati sio waziri alikuwa anajenga hoja mpaka tukaomba apewe uwaziri Sasa hivi nataman huyu mwamba awe wazir
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 3 месяца назад
Huyu bashe ni tajiri na anaiba kuongeza utajiri wake,lkn pia huyu sio raia wa nchi hii,ukweli hana uchungu na watanzania,
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 3 месяца назад
Huyu mpina nae alishawahi kuwa waziri nae hamna kitu
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 3 месяца назад
Mpina uko vizuri sana mana tutaletewa mpaka sukari ya katani
@PatsonMbugh
@PatsonMbugh 3 месяца назад
Mpn umetipa jiwe gizan waliopgwa wanahamgaika
@mejamiela7436
@mejamiela7436 3 месяца назад
Bashe nakukubali ila kwa hili jitafakali
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo 3 месяца назад
Wako kazin sio kuwaletea wananchi maendeleo ila kujaza matumbo yao,,alaf kiongozi wa juu anawalinda
@SamwelShigemelo-e1y
@SamwelShigemelo-e1y 3 месяца назад
Hapa ka umenena mbunge wangu..... Kisesa oyeee
@TuntufyeBrayson
@TuntufyeBrayson 3 месяца назад
Mpina unajua sana kijana endelea uko vizuri
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 2 месяца назад
Hamna kitu ila "husda".Tactics za kupanga na kurudia rudia mpaka kwa watu wenye taswira hafifu kuona kama kuna uhalisia. Haya mambo yapo duniani lakini:"can not reach far ".MOLA MTUKUFU ndo Muweza wa yote.
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo 3 месяца назад
Watu wanateseka,,mawaziri wanatengeneza gep kuonyesha kuna shida kumbe wapi dili zao tuuuu
@InnoRwabutit-wh7du
@InnoRwabutit-wh7du 3 месяца назад
We ndo unafaha kuwa Rais kabsa
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 2 месяца назад
Mpina we waache 2025 sio mbali watajua kurukaruka kwa maarage ndio kuiva kwake maisha magumu sana .
@emanuelpeter2489
@emanuelpeter2489 2 месяца назад
Kwa hyo mla rushwa si atajwe jina ili wananchi tujitokeze apite hv shida ni kwamba huwa mnamjua mtu asiyejulikana
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 3 месяца назад
Hapo utawala wamama wamechukia kumuongelea magufuli
@coolruler6820
@coolruler6820 3 месяца назад
Lisu kila siku anasema kuhusu Bashe,,,sasa mpina kaja na nyaraka kabisa na ushahidi
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 3 месяца назад
Wizara na, bodi ichunguzwe na watoe majibu na nini chakufanya.
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 3 месяца назад
Jamani hili li Mpina lina akili nyingi na lifuatiliaji la masuala yanayohusu maisha ya watu wa taifa hili. Lipatiwe maua yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@simonkomba5875
@simonkomba5875 3 месяца назад
Vema kuwa na viongozi imara wenye kutetea wanachi wote, hususani wanyoge kama super late president 😢 JPM😢
@abelnikolas
@abelnikolas 3 месяца назад
Tuko nyuma yako bro
@bmdele5816
@bmdele5816 3 месяца назад
Mpinaaaaaaaaa!.. Sema kweli kweli na iwe kweli!..
@eliasemmanuel3295
@eliasemmanuel3295 3 месяца назад
Vita ya kiuchumi ni ngumu sana Mh. Mpina, watakukata kugombea ubunge ila kumbk wananchi ndio waamuzi wa nani awe... Simamia ukweli na wanachi tutasimama na wewe💪💪
@AthamanRamadhani
@AthamanRamadhani 3 месяца назад
mtasema naye kivip wkt kina lake litakuwa limekatwa asigombee kabisa
@KHALIDKIRAMA-iq6en
@KHALIDKIRAMA-iq6en 3 месяца назад
Hawa Mimi siwaamini hata mmoja, kwasababu wote ni chama kimoja, wamejipanga huko ili kuja kuchezaa na Akili zetu
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 3 месяца назад
Wadandia hoja wakalia kumbi la moto ni zaid ya "Lazaro Nyalandu" Chadema mjifunze kutokana na nyakati zilizopita.
@blockchain1203
@blockchain1203 3 месяца назад
Hili swala Ukiangalia kwa Haraka Utahitimisha Ila Ni la Muda mrefu sana Kati ya Mpina Na Bashe isitoshe Bashe Hanaga Positive kila siku bahati mbaya hata Yeye sio mkamilifu Kabisa wana mhifadhi tu hata enzi za Uwaziri wake Alipiga Sana Tu Ma ardhi kwa Ardhi kibao..Hii ni vita kwa Mgongo wa sukari Ila The end will Justify 🚶🚶
@AugustinoChalamo
@AugustinoChalamo 3 месяца назад
Kaka hukweli siku zote humuwekatubwazi wape maneno
@MalijasJRCharles-vl2rq
@MalijasJRCharles-vl2rq 3 месяца назад
mpina pambana na ujue mmebaki wabunge wachache wenye akili ccm hpo Bungeni, mungu akutangulie Ngosha.
@omariabeid3291
@omariabeid3291 3 месяца назад
Hii ndio Tz chini ya uongozi imara wa CCM mambo yanasonga bila shida.CCM hoyyeee
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 3 месяца назад
MPINA KAFIYA MKIYA BADA WAZIRI WA MIFUGO WAZIRI KOLEGA BUGENI ANASEMA NILIKUWA NAIBU WAZIRI KWA MPINDA ANAYAKE ALIOYAFAYA MABAYA WAKATI YUKO WAZIRI KWAHIYO SIWEZI KUYASEMA HAPA BUGENI NIAIBUKUBWA KWAHIYO MPINA ALIPOKUWA WAZIRI WA MIFUGO PIYA KUNA MACHAFU ALIYAFAYA
@lanezboy7016
@lanezboy7016 3 месяца назад
Mpina one more time
@MichaelJohn-x4u
@MichaelJohn-x4u 3 месяца назад
Naomba wizara ichunguzwe tupewe majibu
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 3 месяца назад
Daah yan sukari ime eksipaya wanaitoa kwenye ile mifuko wanaiweka kwenye mifuko mingine alafu tunauziwa wanaatuua kumbe ndio maana maradh ya presha na aina nyngine yamekua mengi yan viongozi wetu wanatulisha sumu daaah
@jumanneselemani2172
@jumanneselemani2172 3 месяца назад
Mbona bei ilikuwa juu kama hatukua na uhitaji mkubwa wa sukari.
@philemonkivuyo2184
@philemonkivuyo2184 3 месяца назад
Hapo uko sawa,shida moja ya hapo Tz yetu ni tamaa za ulavi wa madaraka ya kichama kimoja
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj 3 месяца назад
Maandamano yakianza mnishitue
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 месяца назад
Viongozi wote wa CCM ni mafisadi majizi.
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 3 месяца назад
Mimi naona ni vema Makapuni binafsi kuagiza kuliko ilivyosasa
@mzeebabumzee
@mzeebabumzee 3 месяца назад
endelea kutu toa matongo tongo mpina
@danielndam5997
@danielndam5997 3 месяца назад
Ccm wanambunge mmoja tu ndani ya bunge
@jumanneselemani2172
@jumanneselemani2172 3 месяца назад
TUNAHITAJI SUKARI IWE NYINGI.IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI TUPATE UNAFUU
@wilfredywilhelm1426
@wilfredywilhelm1426 3 месяца назад
Hiyo ambayo imeshaagizwa na imeshaletwa imekupunguzia bei? Maneno ya mawaziri ni ya kukutia moyo tuu lkn sii utekelezaji. Wanatamka namna wakijua mahala pa kupigia hela
@frankwakungwa906
@frankwakungwa906 3 месяца назад
😮
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j 3 месяца назад
Mpina yupo sahihi sana Apewe maua yake🎉
@jumanneselemani2172
@jumanneselemani2172 3 месяца назад
NI VIZURI KUSIKILZA PANDE MBIL ILI KUTOA KUTOA HUKUMU MM NAONA BASHE NI MZALENDO WA KWELI.
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 3 месяца назад
hakuna Cha uzalendo hapo kwa huyo waziri wenu!
@romaycer
@romaycer 3 месяца назад
Nasimama na Mpina
@NicolasiLuhende
@NicolasiLuhende 3 месяца назад
Ni kweli hadi dawa tuna usiwa muda umeisha hadi huruma
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd 3 месяца назад
Huko sahihi kabisa hata sisi tumesikia
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 3 месяца назад
Agombee urais 2025 nje ya ccm
@MarioNdanzi-kp9hp
@MarioNdanzi-kp9hp 3 месяца назад
Baba mpina tutakulinda
@frankliston2136
@frankliston2136 3 месяца назад
Namuumga mkono mpina
@Mussa-id9jb
@Mussa-id9jb 3 месяца назад
Hakika we ni martens 😅
@omarikhalfan1079
@omarikhalfan1079 3 месяца назад
Hivi kwanini mnagombea fito wakati mnajenga nyumba moja?
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack 3 месяца назад
Inapendeza zaid hata km wanajenga nyumba 1,bd wanahitajika kuchalenjiana
@jamespeter2187
@jamespeter2187 3 месяца назад
Mpina ukabira unakusumbua Sana na ukanda na ndo maana sukuma gen ulipigwa bom
@jitihadazacharia8890
@jitihadazacharia8890 3 месяца назад
Huyu jamaaa kama anaingia
@DenisonTheonest-yj3mk
@DenisonTheonest-yj3mk 3 месяца назад
Mweshimiwa mpina hamia chadema usichangamane na wezi hao
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 месяца назад
Kama padre SLAA😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@EmmanuelKazimili-ky1ss
@EmmanuelKazimili-ky1ss 3 месяца назад
watanzania tuko na wewe kiongozi mpina kaza moyo watanzania tuko nawe
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 3 месяца назад
Kuna tatzo gani linalo fanya mbunge huyu asipewe uwaziri au tz wasaliti ndo mhimu kuliko wazelendo??????
@EmmanuelMatogolo-l2y
@EmmanuelMatogolo-l2y 3 месяца назад
Watanzania hatupendi watu kama hawa wasema kweli kama mh. Mpina
@mohdkhamis2914
@mohdkhamis2914 3 месяца назад
Mbona alikua waziri yakamshinda usishuhulike nankelele izo wakipewa wa uwaziri wanakaa kimnya hakuna wanalolifanya
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 3 месяца назад
KWAHIYO TUSHA JUWA MPINA KUPANIKI BADA YA KUONDOLEWA UWAZIRI
@AmiriAmiri-x2z
@AmiriAmiri-x2z 2 месяца назад
akili ndogo na uelewa mdogo.lakin mpina hafananishwi na vitu vya ajabu.ndoo mbunge alie baki ccm.wengine ni kusifia sifia.tu
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 3 месяца назад
Huna lolote wewe unayemchukia luhanga mona Yuko vizur
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 3 месяца назад
Nukuu yamagu, sio bibilia wala msaafu😂
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj 3 месяца назад
Huna hoja ,nyavu zetu ulichoma,koma kabisa kumgusa bashe,bidhaa zikiwa nyingi bei itashuka,wewe vp
@NathanKanick
@NathanKanick 3 месяца назад
Hujitambui
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo 3 месяца назад
Fikiria sawasawa bado hujafikiri vizur
@lanezboy7016
@lanezboy7016 3 месяца назад
Tako lako
@NABSONLAMECK
@NABSONLAMECK 3 месяца назад
Mpina yupo sahihi tena kabisa
@EdiTulawuthwa
@EdiTulawuthwa 3 месяца назад
Alichoma nyavu kwa mujibu wa sheria
@AmnaayMalley
@AmnaayMalley 3 месяца назад
Wewe unamchafua san waziri wetu ambaya nikioo, taa na mwanaga wa Taifa letu! Au uataka wizara hiyo?
@danielsamwel9012
@danielsamwel9012 3 месяца назад
Jitafakari na wewe😂😂😂
Далее
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 33 тыс.
MPINA KAMA MPELELEZI ANASA NYARAKA / ABAINI UOZO HUU
13:28