Тёмный
No video :(

MSTAFU KIKWETE ASIMULIA MWL NYERERE ALIVYOWAFOKEA IKULU “Sitaki maneno yenu ya KIJINGA” 

EastAfricaTV
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Год назад
Nakumbuka sana baba pia napenda sana kukusikiliza dah mumgu akuongezee maisha story zako zinafurahisha sana
@mtekelechapemba5501
@mtekelechapemba5501 Год назад
Inafurahisha sana kuwasikiliza wazee hawa wakisimulia walikotokea. Asante mwandiahi kwa ubinifu. Ukimsikiliza mstaafu kama Kikwete, unaweza kusikia unampenda kama ni babako bila kificho
@ATHUMANJUMASHABAN-sb1gn
@ATHUMANJUMASHABAN-sb1gn Год назад
P 1:05
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Год назад
MH kikwete muulize Mzee makamba aliwahi itwa ikulu na mwl akasema malahaba Kwa nyelele kkammwambia toka nje makamba altetemmeka history anaikumbuka nomaa
@emmanuels.nkumbi5052
@emmanuels.nkumbi5052 Год назад
Fmr President JK, always nice to listen to him
@NOORMOHAMED-sg9lo
@NOORMOHAMED-sg9lo Год назад
Gonna like hapa kama mnakumbuka nyerere alituambia huyu mtu hafai kupewa uongozi na mwenziwe lowassa .sijui tumelaaniwa maana alivokufa tu watu wakacharukia huko sijui tumfanyaje anyamazishwe. Huyu huyu hafffai kabsaaaaa hatttta kidogo
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
Uliota ndoto
@rasheedmbaraka7556
@rasheedmbaraka7556 Год назад
Jakaya mrisho kikwete..natamani kumuona mh rais kikwete face to face kbl Allah hajanichukua..hakika jakaya ni mtu na ni zaidi ya Mtu
@Brightonkatabaro
@Brightonkatabaro Год назад
Love it!
@petermakondo109
@petermakondo109 Год назад
Very interesting kumsikiliza mzee JK
@fredymwanzi4448
@fredymwanzi4448 Год назад
Kikwete the great.
@butungo1
@butungo1 Год назад
Ni raha kusikiliza stories hizi. Endelea kuwahoji wastaafu- stories hizi zinatusaidia wakati mwingine kulink vizuri historia ya nchi yetu
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Год назад
⁰p⁰00 p⁰
@awadhially
@awadhially Год назад
Jaman tengenezen link nyingne Habari na matukio link imejaa viongozi wetu
@imazoofficial7676
@imazoofficial7676 Год назад
Yees babuu
@andrewmwenda6150
@andrewmwenda6150 Год назад
Kumbe modo hazijaanza leo😅
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Год назад
Kambarage kichwa sana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
👊✌️🙏.
@lgffumbuka183
@lgffumbuka183 Год назад
TANU Youth League
@Kibasumba02
@Kibasumba02 Год назад
Freemason
@bennyframa4505
@bennyframa4505 Год назад
Huyu jamaa..bhana pamoja na wizi wake wote. Huwezi kumchukiaa..yaani hata ufanye nini. Ukimsikiliza tu unampenda
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Год назад
😅😅😅😅 kweli kabisa
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
Alikuibia Nini
@bennyframa4505
@bennyframa4505 Год назад
@@salehesalehe2967 kulibia taifa ni kuibia watanzania ni sawa na kunibia mimi, hata ww kauibia labda kama hulipi kodi mwamba. Otherwise kama unataka kujua zaidi useme
@mygulio
@mygulio Год назад
@@bennyframa4505 Sawa, taja sasa aliliibia taifa kitu gani?
@bennyframa4505
@bennyframa4505 Год назад
Umeanza kufatilia siasa lini?
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
Hivi kikwete alimuibia Nani mbona mnamkosea mzee huyu
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Chuki tu hawana mashiko
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Год назад
Hata ww kakuibia na kama si ww basi ukoo wako wanahusika kwa hilo 😂😂
@BeaniesAreHappy
@BeaniesAreHappy Год назад
Tusisahau uwizi aliyofanya
@isaacmwaipopo
@isaacmwaipopo Год назад
😂😂😂😂😂😂😂upuuzi wa Kawawa
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Год назад
Unajua kwann?? Aliwaletea bia ?? Ndio viongozi woote duniani na watu wenye elimu hufanya ..ili aweze kuone really of your behaviour..kwasababu ukishakunywa tu ile hali yako ya ukweli inajifunua ... ni kama mtu akiwa na hasira pale ndio unapompata kumjua kuwa ni nani?? Kweli
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Год назад
angalia TANZANIA mpya INAKUJA baada ya tukio hili KUTOKEA ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-7MSBpuIa74A.html
Далее
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 3,4 млн
#JasonStatham being iconic
00:38
Просмотров 342 тыс.
KIPINDI MAALUM CHA SIMULIZI ZA IKULU
32:35
Просмотров 47 тыс.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
Просмотров 552 тыс.