Тёмный

MSWAHILI:TIZAMA STAILI YA BIASHARA KWA UIMBAJI"TUMA NA YAKUTOLEA"/KITUMBUA BEI NDO HIYO 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 57 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 98   
@ip_header
@ip_header 3 года назад
Safi sana mzee maisha ni kujituma, hiyo rizki ya halali hata Mungu anabariki kazi yako
@segusaid5442
@segusaid5442 3 года назад
Mzee yuko vizuri Mungu ampe rehma zaidi.
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 3 года назад
Ameen
@blackmamba4331
@blackmamba4331 Год назад
Mwenyewez Mungu amsaidie mzee wetu ktk maisha yk ya kila cku.
@kennethkennedy717
@kennethkennedy717 3 года назад
Huyo Mzee watoto wake kama Wana msikia hawatakiwi kucheza katika masomo yao maana huyo Mzee anafanya kazi Ngumu Sana Blessed Sana Baba
@aboukillo1734
@aboukillo1734 3 года назад
Ww sio mtangazaji tu(presenter)no ww pia ni mwalimu unaelimisha umma kwa mfano wa huyu mzee kijana na jua wengine watafuata nyayo za mzee kijana kupambana na maisha hongera sana zembwela your very creative big up man
@stvrestytongora2825
@stvrestytongora2825 3 года назад
Ila sio mzee Sana,sema maisha yamemgonga,miaka 50,Kama maisha Ni mazuri baado Sana,hongera kwake kuliko kuiba au kuomba barabarani,yuupo vizuri Mungu amuongezee
@samaamin2501
@samaamin2501 3 года назад
Nakukubali baba wa zamani babu wa leo Zambwela. Keep up good job
@strong8534
@strong8534 3 года назад
Hio introduction mbona kali 🔥🔥🔥
@hamadimiraji9476
@hamadimiraji9476 3 года назад
Kweli
@ashaa497
@ashaa497 3 года назад
Kazi ya hallali kabisa safi sana keep going babu
@tunuharun116
@tunuharun116 2 года назад
Hongera babu mungu akuzidishie
@AliKhamis-zm1ki
@AliKhamis-zm1ki 9 месяцев назад
Dah chidi nakukubali mzee nipo saudia nakuwakilisha
@dayana5513story
@dayana5513story 3 года назад
Mzee kiboko viber lake noma 🔥
@officialdee1438
@officialdee1438 3 года назад
mzee msela sana💥💥
@JMDunia
@JMDunia 3 года назад
Mwenyezi Mungu azidi kumsimamia Chidi. Anajituma sana. Maisha ni mapambano.
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 года назад
Kwa mtogole babu handsome sana
@amapiaanocityintz6454
@amapiaanocityintz6454 3 года назад
Duuuh mzee noma sana
@idd5226
@idd5226 2 года назад
Daaah heee kali knomaa
@maliharajabu8917
@maliharajabu8917 3 года назад
Babu ana akili sanaa.kaachana na mke wake.sababu mke anataka wauze nyumbaaa😊
@abuwaleed01
@abuwaleed01 3 года назад
Yote tisa mzee amepiga miwani moja kali sana. Usela uko damuni
@sharinv8864
@sharinv8864 3 года назад
Babu yuko poa mungu ambariki.
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 года назад
Mzee M’badi ‘ msela kitambo..!
@dicksonluena3266
@dicksonluena3266 3 года назад
Ugali kidali,,,Tayari Mpenzi😂🤣
@tariqjase1966
@tariqjase1966 3 года назад
Wewe kiswahili chako kibovu kibovu,sema tazama na sio tizama
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 года назад
Wazaramo hao Ukielewa inatosha hujasikia anasema VIMIIISHA badala ya VIMEISHA
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 года назад
Leo Babu umepatikana siokwa nyimboizo 🤣🤣🤣
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 года назад
Safi sana
@janethmachela3530
@janethmachela3530 3 года назад
Kweli Maisha magumu yanazeesha
@esnathmwangupili6796
@esnathmwangupili6796 3 года назад
Mzee wa mjini Yuko vzr
@sharifusilima3234
@sharifusilima3234 3 года назад
Chanjo zinafanya kazi zake.%
@maliharajabu8917
@maliharajabu8917 3 года назад
Babu ana bidii ya kazi.mungu amzidishie🙏
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 года назад
Nice chuma chapuwa kabal yao
@hamiskhalfan8413
@hamiskhalfan8413 3 года назад
Nimeona sina nia 😂 😂
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 3 года назад
Huyu mtu nitampataje nimsaidie hata Senti mbili tatu..nitafute Facebook , Mr zembwela...jina..Kibabu madevu
@madownloadionlinetv759
@madownloadionlinetv759 3 года назад
Mtafute kaka
@saudambinga3832
@saudambinga3832 3 года назад
Baab kubwaaa 💪🇴🇲
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 3 года назад
Mzee katishaa
@issaissah8832
@issaissah8832 3 года назад
Yani vitumbua miatatu kwa siku Sawa na elfu 30 kwa siku so kwa mwezi ni laki9 plasi mwaka1 ni milioni KUMI na laki8 duh anapga hela kinoma man wangu
@mbesherejoh4219
@mbesherejoh4219 3 года назад
hapo hujatoa gharama za uzalishaji lakini
@mwanaishamkindi7763
@mwanaishamkindi7763 3 года назад
kihudumia familia
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 года назад
Ana hela nzuri sana hata ukitoa gharama anapata mshahara mkubwa kuzidi hata baadhi ya wafanyakazi wa serikalini
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 года назад
Anauza mia mia sio mia tatu
@abdiathumani919
@abdiathumani919 3 года назад
@@fatmazullu4933 yaaaani vitumbua vipo Mia tatu
@rasjamal9854
@rasjamal9854 3 года назад
Maisha kujituma hila wabongo wengi wavivu
@malikzafarani172
@malikzafarani172 3 года назад
Nyunba yenyewe ya uridhi 😄🇶🇦
@kitomondo
@kitomondo 3 года назад
Ila Manji au Mo Dewji mnawaita matajiri/Boss. Kwani wao si wamerithi?
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 года назад
@@kitomondo shangaa! Hata hawaelewi watu
@stanastana3199
@stanastana3199 3 года назад
😂😂😂😂😂😂 mzee msela kinoma
@mbarakamashuka8246
@mbarakamashuka8246 Год назад
Mzee wa mtumbwi hauendi shell utakabwa mtaani Kwangu hapo
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 года назад
Nimecheka zembwela eti hii njia?! Hahaaa ukuta ndo njia doh
@kamikazejoseph8799
@kamikazejoseph8799 3 года назад
Hahahah angalia asije kimbia na mic🤣🤣🤣
@waziriomar1414
@waziriomar1414 2 года назад
Sasa akimbie na Mike apeleke wapi ndio nyienyie wa hovyo msiojielewa mnamuona mzee chiz watoto wa mama kwamba hajielewi au
@suleykilindi5117
@suleykilindi5117 3 года назад
Mzee anamjengo wa urithi wa baba
@mcdanta6919
@mcdanta6919 3 года назад
Yumba yenyewe ya ulisi unataka tuuze
@victoriabulambo2029
@victoriabulambo2029 3 года назад
Hahahahahaha majangaaa kwa mselaa
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 3 года назад
Hii Ni Dar au Pwani?
@amosmichael8389
@amosmichael8389 3 года назад
Dsm
@yunussera4146
@yunussera4146 Год назад
Iwe safari yake ya mafanikio
@boss-rh3ic
@boss-rh3ic 3 года назад
Oh
@mannabu9333
@mannabu9333 3 года назад
😂😂😂kwa mkundugwe kweli noma
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 года назад
Diamond wazee wa kuwainua ndo has sasa mzee anajitumaaaaaa
@kamanda007
@kamanda007 3 года назад
Kishajiinua huyu, yupo vizuri
@eliasludani4201
@eliasludani4201 3 года назад
Tandale kwa Mkunduge
@hashimlowela294
@hashimlowela294 3 года назад
😄😄😄uyu mze kama mnala 😄😄😄kweli biashara anaiweza
@ahmadyahya9961
@ahmadyahya9961 3 года назад
Sasa yule kabwili si angeanda hata kwa huyu Mzee akamdundisha kuimba
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
😂😂😂
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 3 года назад
Injiniaaaaaaaa simbaaasss hiyoooooo
@godfreyeliabu2582
@godfreyeliabu2582 3 года назад
Kufanya inacho Fanya saa hapo ndio kuna ugumu kwa vijana wengi ila kuiangalia inacho fany a kubeti, kuuungiwa,
@MishiPapalan
@MishiPapalan 3 года назад
Baba vitumbua nimempenda bure
@mbarakamashuka8246
@mbarakamashuka8246 Год назад
Mwambie tunae wajina wake huku kaburu chid bwenga
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 года назад
Daaah! Kweli hali mbaya mtu anaonekana mzee kumbe bado jamani
@dicksonluena3266
@dicksonluena3266 3 года назад
Chamtungi
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 3 года назад
🤣
@asaajuma9961
@asaajuma9961 3 года назад
Kwa mkunduge
@abuukamanda.s.mkenga6687
@abuukamanda.s.mkenga6687 3 года назад
Ugali kidary. Na kupatta mpenzi ,,.🤣👊👊
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Ubunifu
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 3 года назад
😆😆chidi bwenga duuh
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 года назад
Akitoka hapo analewa bwi kwenye nyumba ya urithi
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 года назад
🤣🤣🤣🤣 Sasa vitumbua anaviandaaje jamani
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 года назад
Acha alewe ajipongeze sio rahisi kuamka usiku wa manane! Hata ya urithi bado ndo yake au aitupe kisa ya urithi?
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 года назад
@@lampadshigonko3006 habari ndio hiyo!
@nicksonruwaichi3426
@nicksonruwaichi3426 3 года назад
Inakuhusu nini kuma la mama akoo
@nicksonruwaichi3426
@nicksonruwaichi3426 3 года назад
@@lampadshigonko3006 wanazingua maisha yake magumu bado maneno machafu etiii nyumba ya urithi analewa sasa mambo gani ni kuma tu kama kuma wengine wa mpalange
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 года назад
Vimiisha chidi bwenga
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 года назад
Muongezeni mtaji si kasema vimeisha au
@godfreyonyango2782
@godfreyonyango2782 3 года назад
Yan Leo ataimba mpaka
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 года назад
@@godfreyonyango2782 kwakweli kuimba kumempata MTU!
@godfreyonyango2782
@godfreyonyango2782 3 года назад
Kuna mtu kapita na jeneza
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 3 года назад
Mtoto fety mrembo
@rehemaalex3948
@rehemaalex3948 3 года назад
Chidi bwenga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@alexsimon2476
@alexsimon2476 3 года назад
ukagonga ugali😊😊
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 3 года назад
Ugali kidali😂😂
@mozasultan5152
@mozasultan5152 3 года назад
Chanjo kazini
Далее
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59
IBADA MAALUM YA PASAKA: KUPOKEA UPAKO WA KUVUKA MIPAKA
3:29:57