Makonda mungu akupe mwisho mwema ila ulipotokea nyuma ulikua mtu mwenye jeur na kiburi Sanaa ila kabla hujafa uombe radhi ulio wakosea nyuma ila saiv ww mtu poa Sana Tena mtu wa kuigwa
Fanya vitu nakuaminia mkuu wewe na waziri wa Alizi kama nyinyi wenyewe Amjui CCM inakua vizuri kutokana na wewe makonda waziri wa Arizi na waziri mkuu mambo mnayofanya mama samia 2025 Anachukua uraisi mia.mia ❤❤❤☝🤲😂😂🙏✊👏👏👏
Toka enzi za mwalimu Nyerere Tz ina matatizo nakumbuka wakati ule kulikuwepo shirika la STC wananchi wakabadilisha wakasema sasa tule chetu shirika likafillisika kwa hiyo hakuna uzalendo c serikalini wala polisi wala wananchi lini watanzania watakuwa waaminifu?
WANA CCM MWISHO WA DUNIA IKO KARIBU SANAAA, ACHENI UNAFIKI NA MSJUNGU. ACHENI KUENDEKEZA RUSHWA NA TAMAA YA PESA. MOTOOO WA AHELA UTAWAMALUZA . MSIKILIZENI MAKONDA ANAEISHI NA MUNGU.
Mh Mimi ni mwenyekiti ccm tawi nilishawai kuchomewa nyumban sijawahi ona msaada toka wilayan au mkoa au taifa hadi nikakata tamaa mh nimepoteza vitu vingi sana mh Naomba msaada japo nimejenga jengo la ccm tawi Kukatia bima wana nchi kugawanya kuku kata kijij kuchimba mabarabara hawajanikumbuka kunifuta machozi jaman dah Jarman naomba nisaidieni
Hapa shida ni serikali kuruhusu wakurugenzi kuhama bila kuweka mambo yao sawa, kwahyo mkurugenzi mpya akija anajificha kwenye kichaka cha ugeni ndan ya halmashaur......hili ni tatzo kubwa mno
Mahakama zipo na mahakimu wapo lkn kama huna hela hupatikana haki ndio maana wanakuja kwamakonda unapata haki yako bila gharama. Makonda ili kazi uliyoifanya idumu iwe kwenye shroa maana ukiondoa vitarud vyote
Kesi za serikali zinafunga wananchi wake zichunguzwe sio kumsubiri Makonda.Mkuu wa mkoa, Mkuu wa wilaya, Waziri mkuu, Makamu wa rais na Mbunge ni jukumu lenu mwananchi si mtumishi wa umma na kama ni michango serikali usilazimishe kwani imeshindwa kabisa kilimo kukifanya kuwa uti mgongo wa Taifa mwananchi huyu afanyeje?. Mahakimu wetu wawe waelewa
Nilikichukia chama cha Ccm kutokana na kero nzito za wananchi. Sasa kwakazi hii unayoifanya mheshimiwa Paulo Makonda , inaubariki sana Moyo wangu Mungu naazidi kukupa afya njema na uhai mrefu ili uzidi kuwasaidia wananchi wenye majeraha ya moyo .