Makonda yamemkuta, kakutana na wajanja, WAHANGA hawa walipata maafa katika uongozi wenu, wasaidieni, si mmesema mahakamani msiende, njooni kwa viongozi wa CCM watawasaidia, sasa unajikanyaga nini wasaidie.
MKOME, ACHA WAWAFANYIE HIVYO, MAANA KILA WAKATI CCM INAWAMBIA MTAISOMA NAMBA CCM NI ILE ILE ALAFU MNAIPIGIA KURA MKISEMA CHAMA KIMEWAZAA, MKOME TENA MKOME WAENDELEE KUWAKIMBIA NDIYO MJIFUNZE. TENA WADHULUMU ILI 2025 WAJE NA PELEMENDE, ZILE ZILE MUWACHAGUE WAWADHULUMU NDIYO AKILI IJE KICHWANI.