Тёмный

NAMNA YA KUFIKA CANADA | KAZI ZA CARE ZINAKUTOA KIMAISHA | CHUNGA MAISHA YAKO YA MTANDAONI 

Official Dating Assistance
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Alex ameeleza Safari yake ya kutoka Tanzania mpaka Marekani
Ambapo alipoteza begi lake la documents zake Airport na kumfanya kukosa raha Marekani.
Alirudi Tanzania baada ya kushinda DV lottery lakini kwa bahati mbaya hakuitwa kwaajili ya interview lakini alibahatika kupata Visa ya Canada na sasa anaishi Canada
Anasema kazi za Care zinakutoa kimaisha endapo utakua na malengo.
Thank you Alex for allowing this to be online
www.oda.international

Опубликовано:

 

4 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 226   
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
TikTok: Alex_Karia
@aidaanatory9330
@aidaanatory9330 2 месяца назад
Ahsante da Shena nimeona acc yake but yuko private Tunaomba apokee request zetu naona huyu kaka anaweza kutusaidia
@BebitoYahoo
@BebitoYahoo 2 месяца назад
Habari dada
@EvelynKassera
@EvelynKassera 2 месяца назад
Habari nimependa kipindi chako
@xeroxxeroxmachinexeroxltd119
@xeroxxeroxmachinexeroxltd119 2 месяца назад
H
@eliwajajacob8569
@eliwajajacob8569 2 месяца назад
I like that how can i do?
@angelamaingi817
@angelamaingi817 2 месяца назад
Asante sana mwanangu Alex Karia, mimi ni mama mtu mzima (71) ni likuwa naishi na mtoto wangu Califoni ,lakini sasa niko Syato.na shikilia mama mwingine kazi ameenda Kenya. Naatarudi. Mimi ni MTANZANIA.Naomba unipe number ya huyu mama MTANZANIA. ATANISAIDIA NIKO NA GREEN GARD TAYARI. UBARIKIWE AMINA
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 2 месяца назад
Napenda kuangalia vipindi vyako but hii nimeipenda sana for me . Alex ameonge kijamii kiujana .ndoa ila yot ameeka mungu mbele ndio maana anafanikiwa .kufanikia not only material . Nafsi (Faith) 🇬🇧
@jacquelinepalangyo412
@jacquelinepalangyo412 Месяц назад
Hakika huyu kaka Mungu amempa hekima kubwa sana,Mwenyezi Mungu amsaidie apate Mke mwema na amtangulize Mungu ktk hilo sana,nae atampa anachokistahili,nampenda mwanaume mwenye hofu ya Mungu sana,Mungu tukutanishe na watu sahihi ktk maisha yetu,hakika nimeipenda hii interview.
@deniskg310
@deniskg310 15 дней назад
Alex Karia namjua tangu ubungo kibangu, ni kijana mtanashati, straight forward, na amejaliwa vipaji vingi hasa uongozi. He is a good man, atafika mbali.
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 2 месяца назад
Ahsante Shena kwa kutuletea mtu mwenye kunyoosha maneno hongera kijana ana nondo zenye mashiko.
@mbarakamwayungu3485
@mbarakamwayungu3485 2 месяца назад
DADA,MUALIKE TENA ALEX ATUPE MADINI.
@naomijoseph7749
@naomijoseph7749 2 месяца назад
Alex umenitia moyo Sana sana Barikiwa
@verynicemoshi9959
@verynicemoshi9959 2 месяца назад
Vipindi vyako vinafundisha sana Mungu akubariki sana mdogo wangu
@user-kt3bb7mr4e
@user-kt3bb7mr4e 2 месяца назад
Dada shena binafsi nimejifunza mengi Sana toka kwa huyo kaka,pia nimefurahi sana kusikia yeye ni msabato jamani waoooo,mie nipo dubai na nimuadiventista msabato pia,kaka mungu akubariki sana
@naomijoseph7749
@naomijoseph7749 2 месяца назад
Dada ubarikiwe umetufunguwa macho sana
@tabithadaudi5960
@tabithadaudi5960 2 месяца назад
Alex amemaliza,ameelezea vizuti sana yani,hayo mambo ya madawa ni jaribu kwakweli,nakumbuka niliacha kazi sababu hiyo sitaki kuua mtu mimi🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️
@kevinmushi8209
@kevinmushi8209 2 месяца назад
Sister unajua sana very smart question
@huludaemmanuel8803
@huludaemmanuel8803 2 месяца назад
Kaka Alex Mwenyezi akubariki sana 🙏🏾, Dada Mungu akubariki sana pia🙏🏾
@AikenAidan-wf6wy
@AikenAidan-wf6wy 2 месяца назад
Jamaa Ana Akili sanaa ✅💪🏽big up Alex
@user-cd2np5by6g
@user-cd2np5by6g 2 месяца назад
Nimeomba mwaka huu kwa EBM nimekosa na passport nnayo ila bado sijakata tamaa apa natak nichekeche nideal na summer camp chap kwa nichomoke 🙏🙏🙏
@BsekoMimi
@BsekoMimi 2 месяца назад
Iyo summer camp inakuwaje ndugu?
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 2 месяца назад
Rajabu nakupataje ndugu
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 2 месяца назад
Green Card ngumu kupata lakini ukipata ni rahisi kwenda Marekani njia ingine rahisi ni kuoa au kuolewa
@user-th8bo9lu8n
@user-th8bo9lu8n 2 месяца назад
Jaman hii live Jana nilikua Ata siijali kumbe ya Maan hivi congratulations waadventist
@masatujustine-vh9xs
@masatujustine-vh9xs 2 месяца назад
Habari madaam naomba niunganishe na huyo jamaa,kwa sasa nipo qatar,ahsante.
@elibarikimaganga9571
@elibarikimaganga9571 2 месяца назад
Asante sana dada Shena, yaani kwenye hii interview nimejifunza mengi sana
@halimahassan3031
@halimahassan3031 2 месяца назад
Asante sana dada yetu Shena kwa kutuletea watu ili tujifunze, be blessed
@beatriceemanuel1098
@beatriceemanuel1098 2 месяца назад
Asante shena , asante Alex asante asante@shena
@miriamkakwezi7309
@miriamkakwezi7309 Месяц назад
Huyu kaka anaroho nzuri sana, siku moja niliingia live yake nikamuomba kunitafutia kazi marekani akaniambia fika marekani nitafute.. he is very good.. mungu atambariki sana sana...
@alhajiabed7479
@alhajiabed7479 2 месяца назад
Hongera sana intreview ipo smart sana
@dorothysista7463
@dorothysista7463 2 месяца назад
I am always a silent watcher. I watch you all the time. You aredoing a wonderful job to educate our people. Kazi nzuri sana Shena ubarikiwe sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Shukran sana 🙏
@Salumchiwili2023
@Salumchiwili2023 2 месяца назад
Aisee nimpe hongera sana brother aisee kweli amemshinda ebilisi
@maryannaedward7764
@maryannaedward7764 2 месяца назад
Ubarikiwe kaka kwa kushare information ❤
@katumabiyan5090
@katumabiyan5090 2 месяца назад
My sister, how, are? You have done a very good innovation of enabling us to interact with our fellows brothers and sisters who are living abroad!!
@racheljoel-ry2gg
@racheljoel-ry2gg 2 месяца назад
hongera sana my brooo...
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 2 месяца назад
huwezi kumkuta mzungu kijana aje aoe Afrika hiyo ni fact
@CatherineNyange-ku7yk
@CatherineNyange-ku7yk 2 месяца назад
Good interview 🎉
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 2 месяца назад
Well said Alex 👏
@charlesmakelele4268
@charlesmakelele4268 2 месяца назад
Habari Madame,,, Asante kwa kutuletea Alex,,, kwa kweli amenitia moyo sn,,, naomba unisaidie namba yake ili niweza ongea nae baadhi ya Mambo.
@aidaanatory9330
@aidaanatory9330 2 месяца назад
Dada Naomba huyu kaka anaweza kusaidia hata wengne kupata chance
@rahabbrayson6552
@rahabbrayson6552 2 месяца назад
Good job Shena
@lillyborah1060
@lillyborah1060 2 месяца назад
Hongera sana dada Shenna,hupenda sana kukufatilia kwa kipindi chako natoka Kenya 🇰🇪
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Shukran Lilly🙏
@eleunolakihanza910
@eleunolakihanza910 2 месяца назад
Habar Dada VP mzima lakini pole na majukumu
@eleunolakihanza910
@eleunolakihanza910 2 месяца назад
Naomba namba yako yaani nimekupenda bure
@eleunolakihanza910
@eleunolakihanza910 2 месяца назад
@@OfficialDatingAssistance naomba namba yako ya WhatsApp naomba unitafutie kazi nilikuwa Dubai Sasa hv niko Tanzania
@eleunolakihanza910
@eleunolakihanza910 2 месяца назад
@@OfficialDatingAssistance Ahsante
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 2 месяца назад
Asante 🎉🎉
@ImaniFamilyChurch
@ImaniFamilyChurch Месяц назад
Good presentation very truthful Person.
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 2 месяца назад
Shena you are doing great
@NattiePeter
@NattiePeter 2 месяца назад
Nice interview ever….
@prophetessbahatikashasha3858
@prophetessbahatikashasha3858 2 месяца назад
Hongera sana dada Alex shukrani sana Ila naomba namba yako Nahitaji msaada wako
@cookiegurl7780
@cookiegurl7780 2 месяца назад
Kazi nzuri sana hii dada yangu mimi nipo uganda 🇺🇬 katika kambi ya wakimbizi ni mtanzania
@beatriceemanuel1098
@beatriceemanuel1098 2 месяца назад
Unandoto gani embu nipo tips mwenzio
@olivernyange2349
@olivernyange2349 11 дней назад
😂😂😂😂😂😂 mbavu sana uko uganda,we ni mtanzania!!! TANZANIA Kuna shida gani hadi uitwe mkimbizi
@ChukuMrido
@ChukuMrido 4 дня назад
Safi sana habari nzuri
@bajunimgunya8559
@bajunimgunya8559 Месяц назад
Alex umetisha sana...umefunguka sana babu
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 2 месяца назад
Mh! Kazi ngumu sana care giver 😢🙌
@surveyor_dk
@surveyor_dk 2 месяца назад
This interview is very informative! Thanks dada Shenna
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Most welcome! He is amazing 🥰
@NancyPeter-pf3js
@NancyPeter-pf3js 2 месяца назад
Nibiashara ipi ambayo leseni yake or tin yake itanisaidia katika kupata visa nipe mfano tafadhari Ili niwe na aidia
@sophiarwehumbiza209
@sophiarwehumbiza209 2 месяца назад
kwa kweli tangu nimejifunza mengi kupitia hii channel asante Shena🥰🥰🥰🥰🥰
@VictaMfumbilwa
@VictaMfumbilwa 17 дней назад
Dada shena Kwa kweli nimejifunza mengi nifanyaje
@Big-oc8wl
@Big-oc8wl 2 месяца назад
Dada nakufuatilia sana upo powa sana Kwa taalifa zako.ila kiukweli natamani sana kufanya kazi uko Canada and us.
@angelinamachibya-nb8sh
@angelinamachibya-nb8sh 2 месяца назад
Nataka nijue pr ya Canada alipataje
@paskalnakiru
@paskalnakiru 2 месяца назад
Mungu kubariki Dada
@AmbroseMwanganyi
@AmbroseMwanganyi 2 месяца назад
Pongezi dada kwa kazi njema,niko kenya naomba emeil address ya Kaka Alex.
@drsamsonkibona371
@drsamsonkibona371 2 месяца назад
Da sheina hongera. Na huyo Alex dini au Imani yake ni yangu pia. Nami ni mshauri wa vijana na ndoa, kwa kuwa nimemwona ni mtu sahihi na hofu ya Mungu naweza hata kumwelekeza mabinti wenye tabia ya kufanana naye achague. naomba umpe contact yangu nimchekeshe kidogo.
@LinahRwambali
@LinahRwambali 2 месяца назад
Shkamoo doctor. Nadhani kama unaangalia habari hizi za online dating platforms inaonekana una mtazamo chanya kuhusiana nazo. Naomba andaa kipindi uelezee faida na hasara na jinsi ya kujilinda na chagamoto za online dating kama itakupendeza.
@jumamtepa7424
@jumamtepa7424 Месяц назад
Naitwa Juma, ni muislamu, napenda sana urafiki na wasabato, nimepemda sana elimu yako, hii ni sadaka uliyoitoa
@MaryamMohamed-xy8ti
@MaryamMohamed-xy8ti Месяц назад
Mungu awabarki munaokahuko muwena maishamema
@yohanakiongo5094
@yohanakiongo5094 Месяц назад
Hongera sana kaka na mimi ni msabato mwenzako nina dream ya kuja uko naomba namba ako niweze kuplay green card
@citycentre1561
@citycentre1561 2 дня назад
Naitwa Jackson naipataje hiyo kaz ya care giver
@amanamohd-bo8ih
@amanamohd-bo8ih 2 месяца назад
Natam kwend canda lakn wat hawaamin kuwao pesa jamn dad kam unawatu waamif naomba tuwasilian please 🙏
@Summerbtz
@Summerbtz 2 месяца назад
Dada kama financially upo vizuri karibu nitakusaidia kufanya application ya visa hata ya matembezi au hizo za conference ukishafika huko basi ndio mwanzo WA kupata connection zingine
@ChalaS-uk7kb
@ChalaS-uk7kb 2 месяца назад
Nataka hata mm
@ChalaS-uk7kb
@ChalaS-uk7kb 2 месяца назад
Jamani nipo oman narudi mwakani natamani niende Canada nataka mtu muaminifu anisaidie
@irinefrank3114
@irinefrank3114 2 месяца назад
Dada shena nitakupataje for more information from Tanzania
@user-eg9wt1vc4z
@user-eg9wt1vc4z 2 месяца назад
Jamaa Kutusanua sna
@user-mf2jf6dp7z
@user-mf2jf6dp7z Месяц назад
Nakubali sana jamani
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 2 месяца назад
Huyo binti mdogo mwenye miaka 30 bosi nahisi kama namjua hahahaha 😂 nice interview
@matthewsasali5632
@matthewsasali5632 15 дней назад
Wanaita 5 eyes counties Australia, Canada, New Zealand, the United Kingdom and the United States...wanashare their data "wanaita intelligence alliance" Uki-mess up in one of those countries umejifungia kote
@paulaugustino3242
@paulaugustino3242 28 дней назад
Alex mwamba sana katoa nondo kali na pontetial
@nurumwangoka5924
@nurumwangoka5924 2 месяца назад
Jamaa anajua kujieleza ,,ana madini
@user-iu1qq3kp3m
@user-iu1qq3kp3m 2 месяца назад
Bro anaongea fact 💯 san
@ChadoraMANYENGA
@ChadoraMANYENGA 2 месяца назад
Alex Kakaaangu Sio Mchoyooo Huyu ! Sisi Bado Tupo Marekani Tunalea Wezeee Mpaka Kieleweke❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Karibu sana kwenye kipindi tupate kujifunza pia +4367764790884
@wasilaahmad7913
@wasilaahmad7913 2 месяца назад
Tuunganisheni na sisi jaman mimi nipo Oman kwa sasa 😢😢😢
@ChalaS-uk7kb
@ChalaS-uk7kb 2 месяца назад
Mm nipo oman nataka kwenda Canada tusaidieni connection
@happymsaki1720
@happymsaki1720 2 месяца назад
Mtani wangu umevipiga vita vikali hongra sana mpambanaji Mungu akulinde
@marygeorge3896
@marygeorge3896 2 месяца назад
Mi napenda sana
@HelinaMsese
@HelinaMsese 12 дней назад
Wao jaman nimejifunza kitu kikubwa sana
@WandishaNatianota
@WandishaNatianota 2 месяца назад
Kazi nzuri Shena. Mimi niko Marekani Columbus Ohio. Naomba namba ya huyu kaka nna changamoto kidogo
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Nicheck WhatsApp +4367764790884
@dorothysista7463
@dorothysista7463 2 месяца назад
Pia shida nyingine kuhusu caregiver Tanzania walitoa hiyo course ya nursing assitant, course hizo zipo Kenya na zinawaptia njia ya kutoka. Pia wa TZ ndugu zangu tukazanie lugha ya Kingereza kinatuangusha sana. Nenda RU-vid au google ufanye mazoezi ya lugha. This is from my own experince. From USA
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Ahsante kwa ujumbe na Karibu sana kwa kipindi +4367764790884
@rachelmbwambo1627
@rachelmbwambo1627 2 месяца назад
kweli mdogo wangu nakujua huna choyo,Mungu akuinue sana,
@angelinamachibya-nb8sh
@angelinamachibya-nb8sh 2 месяца назад
Coz ya care giver unaipata Alison online na unalipia
@MaryamMohamed-xy8ti
@MaryamMohamed-xy8ti Месяц назад
Alex naomba yako tuweze kuwasiliana
@Samwelianaseti
@Samwelianaseti Месяц назад
ki ukweli ni elimu nzuri sana
@user-pg4nl3fo8y
@user-pg4nl3fo8y 2 месяца назад
Jamani dada Shena naomba no.ya Alex ili aweze kumuongoza Mr.wangu naye anapambana aende Canada
@GodfreyMdemu-uw2lv
@GodfreyMdemu-uw2lv 2 месяца назад
Dada mwambie Alex kwamba iyo invety ya wasabato anitumie Link yake
@NeemaShababi-nu8dr
@NeemaShababi-nu8dr 2 месяца назад
Hongera kaka nimefurahi kusikia wewe ni msabato
@NeemaShababi-nu8dr
@NeemaShababi-nu8dr 2 месяца назад
Napataje msaada wako tafathali msabato mwenzio
@AgrimAbdi
@AgrimAbdi Месяц назад
Naanzaje kupata kazi huko, kwasababu sina hata ndugu
@JrNsummy-xk8xe
@JrNsummy-xk8xe 2 месяца назад
Umesema Kweli.
@sarahkalinga2522
@sarahkalinga2522 2 месяца назад
❤da Shenaa jmn please nisaidie mimi nije huko
@user-th8bo9lu8n
@user-th8bo9lu8n 2 месяца назад
Jaman kaka wewe msabato waoo❤❤ ngoja na kutafta 😂😂😂
@shinestudiotz3221
@shinestudiotz3221 2 месяца назад
Hello sister naweza kupata no ya Ofisi yako ili tuweze kuwasiliana, niko na ndoto ya kwenda
@AndrewAloyce
@AndrewAloyce 2 месяца назад
Hakika umeweza.... Hayo ndiyo mahojiano tunayoyahitaji watu ambao tunajitafuta. Hongera Dada I wish nipate namba ya huyo KAKA.... Sijajua wewe naweza KUPATA muda wako lini na saa ngapi Ili nipate mwanga zaidi maana huyu amesimulia. 24:44
@justinatemba
@justinatemba Месяц назад
Jamani naoomba namba ya huyu kaka Alex Karia tafadhali
@jackmalipo4774
@jackmalipo4774 2 месяца назад
@sabriwayee4180
@sabriwayee4180 2 месяца назад
Kuna utofaut gani WA ki financial katı ya Canada na marekani?.. mnisaidie jmn
@aronjohn8818
@aronjohn8818 2 месяца назад
Me nimeona nywele dada una nywele ndefu sana kama mzungu
@user-is7ot7bq9x
@user-is7ot7bq9x 2 месяца назад
Why mtu ujiguse masikio afu utie kidole puani
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s 10 дней назад
sister mm naitaji visa ya kwenda canada nifanyeje
@annahmakabara3049
@annahmakabara3049 2 месяца назад
Kaka naomba umjazie mwanangu
@AndrewAloyce
@AndrewAloyce 2 месяца назад
Hakika umeweza.... Hayo ndiyo mahojiano tunayoyahitaji watu ambao tunajitafuta. Hongera Dada I wish nipate namba ya huyo KAKA.... Sijajua wewe naweza KUPATA muda wako lini na saa ngapi Ili nipate mwanga zaidi maana huyu amesimulia... 24:44 24:44 24:44 24:44 24:44 24:44 24:44
@ASHURAAMANZI
@ASHURAAMANZI 2 месяца назад
I love You Tube very much
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 2 месяца назад
Je Alex mdogo wangu huwezi kunifanyia makaratasi ya kuja Canada maeneo ya vijijini?
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 2 месяца назад
Huyo kaka wa kanada naomba tu namba yake❤
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 2 месяца назад
Shena nahitaji nipate hata conferences ya kwenda Canada au marekani ninayo passport tayari
@OmanOman-pf9ut
@OmanOman-pf9ut 2 месяца назад
❤❤❤
@maryjoseph8914
@maryjoseph8914 2 месяца назад
Mambo?Mimi nipo dar es salaam na nimefurahia sana dada shenna kwa mambo mazuri unayotufunulia ili tusikate Tamaa.Kaka Alex natamani na mimi siku moja niwepo Canada maana ni ndoto yangu lakini nashindwa nipite njia gani.
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 месяца назад
Huyu kweli ni msabato bhna
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly Месяц назад
Habari shena mulize Alex akiwa canada ili apate PR anatakiwa awe na sifa zipi na akipata PR akitaka kuwa nurse awe na viambata vipi
@bonamaxmagabilo-db8hp
@bonamaxmagabilo-db8hp Месяц назад
Nahitaji sana kuja us or canada plz dada shena unaeza niunganisha na hyuyo kaka
@user-uc8wd7dg7b
@user-uc8wd7dg7b 2 месяца назад
kijana mahojiano mazuri sana nimejifunza kitu kwa Alex ,kama sio umri umesogea ningepambania canada .by the way nakupongeza shena unafanya kazi nzuri sana tofauti na baadhi na you tubes wengine ,pia tuheshimu wanajitoa kwa kutoa elimu kwa wengine,
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 месяца назад
Shukran sana Na Nashukuru kwa mchango mzuri kuhusu kuwaheshimu sana wanaotupa elimu 🙏
@user-yc8kb1ev3l
@user-yc8kb1ev3l 16 дней назад
​@OfficialDatingAssistance Connection ya kazi please
@fletchamuhalia9103
@fletchamuhalia9103 2 месяца назад
How are you
Далее
Good deed #standoff #meme
00:15
Просмотров 336 тыс.
EBM Scholars LOVE STORY | TULIKUTANA MTANDAONI
1:50:24
Просмотров 12 тыс.