Тёмный
No video :(

Ombi Zito la Bondia MWAKINYO kwa Rais Magufuli 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 259 тыс.
50% 1

Ombi Zito la Bondia MWAKINYO kwa Rais Magufuli
Bondia Hassan Mwakinyo amemwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jonh Magufuli kusaidia sekta ya michezo ili kujenga timu ya taifa bora pamoja na wapiganaji wengi zaidi wa ngumi kwa kizazi kijacho..
#JPM #BondiaMwakinyo
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 215   
@subirajohn728
@subirajohn728 5 лет назад
Hongera kaka Mwenyezimungu akujalie akulinde uendelee vizuri
@superstuwart2434
@superstuwart2434 5 лет назад
Genious talk like this....the talk few things but those important ones
@naslamgollowatuacheee9852
@naslamgollowatuacheee9852 5 лет назад
Maneno machache lakini takatifu gonga like kwa mwakinyo
@abouhamidu9623
@abouhamidu9623 5 лет назад
Uyu brother yupo makini Sana god bless us inshallah Tanzania ndo home naipenda Tanzania yangu 💪💪💪
@willliamsdanny1573
@willliamsdanny1573 5 лет назад
Pradd
@shakeuabuu8851
@shakeuabuu8851 5 лет назад
Abou Hamidu aisee angekuwa mwingine hapo angeanza uknow what this kizungu kibao waige kutoka kwa huyu mtu daa maneno machache harafu matamu
@abouhamidu9623
@abouhamidu9623 5 лет назад
Shakeu Abuu kabisa Yani Ila jamaa yupo simpo tu
@simionmarwa9400
@simionmarwa9400 5 лет назад
Strong message, well presented..
@sandeadam5104
@sandeadam5104 3 года назад
Sio bondia wa mana wwe ujampiga bondia were wanakuplomoti
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 лет назад
Hyu ndo mwakinyo from tanga watanga like zenu hapa
@mohameddamka922
@mohameddamka922 5 лет назад
Mwakinyo ni MTanzania habari za Utanga zinatoka wapi tena
@zuhurambonde7599
@zuhurambonde7599 5 лет назад
Acha ubaguzi hatuna ukabila tuna utanzania wa tanga ndo nini humu youtube tupo makabila yote na wote ni watz.
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 5 лет назад
😂😂😂😂Me MTZ Tanga kwa bb😀😀
@abdulrahmanmussalonka4935
@abdulrahmanmussalonka4935 5 лет назад
Wote mlioponda wivu umewajaa, me mwenyewe ni wa kigoma lakini sijaona baya lolote aliloongea hapo.
@husnaabdallah6934
@husnaabdallah6934 5 лет назад
Gpm
@mhujoaloyce8766
@mhujoaloyce8766 5 лет назад
Jamaa anajua public speaking little words but strong message
@sundaymtafya2527
@sundaymtafya2527 5 лет назад
Kaongea kweri
@ramadhanimussa882
@ramadhanimussa882 5 лет назад
"Good Speech" Maelezo Mafupi Yaliyopangiliwa Safi Sana
@raynelson4231
@raynelson4231 5 лет назад
Ur best speaker boy
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 4 года назад
Yaani unajua kutoa speech hukoseagi,,hongera bro mwakinyo🙏🥊🥊🥊
@jumamhando4546
@jumamhando4546 4 года назад
Watanga wenzangu like tujuane
@carenadam1890
@carenadam1890 5 лет назад
Hongera kk
@frankmalimba5539
@frankmalimba5539 4 года назад
Kama umemsikiliza mwakinyo namaneno yake yapoint gonga like kwake .
@allymkangara5695
@allymkangara5695 4 года назад
Okay vizury sana ndugu
@akhlyabdul-waleed8458
@akhlyabdul-waleed8458 5 лет назад
Good speech, you surprising me,
@aminamakacha6258
@aminamakacha6258 4 года назад
Mwakinyo love you
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 5 лет назад
Huyo jamaa Mh Rais anafaa kuwa kiongozi miaka michache baadaye mpe angalau, Ukuu wa Mkoa Mh Rais,... Anauchungu na Nchi yake
@mako331
@mako331 5 лет назад
Safi Kijana we support you bro, una uwezo mzuri
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 5 лет назад
Words well framed and said! Well done,brethren.👍💪
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 5 лет назад
Good speech bro mwaki
@angelanather9640
@angelanather9640 5 лет назад
UBARIKIWE kijana
@derricdeuc3628
@derricdeuc3628 5 лет назад
Gd speech upon na confidence
@urrobrown4517
@urrobrown4517 4 года назад
Hongelaaa mwakinyooo
@joelmgaya4238
@joelmgaya4238 5 лет назад
Hassan unajua My Weither anakuona Siku moja uende ukampige kabla hajazeeka
@loveofficial74
@loveofficial74 5 лет назад
😃😃😃
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 5 лет назад
😂😂😂😂
@kareemabdullah4395
@kareemabdullah4395 5 лет назад
😂😂😂👍 good one
@maulidi2577
@maulidi2577 4 года назад
😀😀💪
@elikanasamwel7683
@elikanasamwel7683 5 лет назад
Hongera sana mwakinyo!!!!!! Tz sasa tupambane kwa maendeleo 🇹🇿
@katolankingbinnah8632
@katolankingbinnah8632 5 лет назад
Uyu jamaa yuko smart sana Muda kapewa mchache kaongea point kubwa na kan mbuka kushukuru daa
@raymondjimmy2712
@raymondjimmy2712 5 лет назад
Kila siku Nasemaga kufanya kitu huku una Elimu kichwan Raha sana Mtu Alye kanyaga umande Anajulkana tu Akianza kuongea Big Up Broo
@mathiasnchimbi6493
@mathiasnchimbi6493 5 лет назад
Yaan leo wote waliopewa nafas kuongea wameongea vizuri sana mpaka nimewapenda
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es 5 лет назад
Waswahili wanasema maneno kuntu, speatch nzuri mno hii
@blackbeauty8462
@blackbeauty8462 5 лет назад
Jamani huyu kaka ni handsome kwakweli.....sijui ana mke? he is smart from inside to outside you can see keep it up brother!!.
@amanibwire4423
@amanibwire4423 5 лет назад
pancake munequita mshaanza sasa mnataka kumshusha kiwango
@blackbeauty8462
@blackbeauty8462 5 лет назад
@@amanibwire4423 hell no!!!.....i was just kidding my brother.... kiwango atashuka Kama atabweteka.
@amanibwire4423
@amanibwire4423 5 лет назад
pancake munequita amini akishaanza sketi lazma ashuke kiwango hili ni kwa wanamichezo wote
@blackbeauty8462
@blackbeauty8462 5 лет назад
@@amanibwire4423 Yah very true brother.
@winndelule2302
@winndelule2302 5 лет назад
Yan i was askin ma self...ni mim ndo nmeona uyu kaka n handsome o....kumbe 2po weng😂
@maryamm7765
@maryamm7765 5 лет назад
Hongera mwakinyo 🔥🔥🔥
@ditrickkidagayo4072
@ditrickkidagayo4072 3 года назад
Nakukubali jeshiiii mwakinyo
@sakweragilbert3473
@sakweragilbert3473 5 лет назад
Very smart bnana umeongea vzuri haukuwa na umekua na utulivu mzuri katka kuongea ...... Ila usibweteke....
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 лет назад
Hongera mwakinyo
@tuphujekumuhkunonyiile3739
@tuphujekumuhkunonyiile3739 5 лет назад
Umeongea vizuri sana
@kabilayangu4056
@kabilayangu4056 5 лет назад
Hongera kwa ushindi, Hongera umeongea "online"..
@saalimmohammed3256
@saalimmohammed3256 5 лет назад
Jitihada zako zitakufikisha kwenye ile focus ulokusudia recently, may Allah bless U.
@deustutu1162
@deustutu1162 5 лет назад
hongera sana good job
@ahmedkhatibu5387
@ahmedkhatibu5387 5 лет назад
good talk
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 5 лет назад
Inshaallah dua njema zetu zote Kwako!
@japhlyimo6436
@japhlyimo6436 2 года назад
Safi sana
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 4 года назад
Big up kwa kumtaja mh Paul Makonda maana alikuwa bega kwa bega na wasanii pamoja na wanamichezo.
@delabossreizer9471
@delabossreizer9471 5 лет назад
Keep it up Hassan nakukubali mbay mbovu mzee baba
@kelvinmasika
@kelvinmasika 5 лет назад
Very clever. Hili ombi sijawahi sikia mtu yeyote analisema.. Big up mwakinyo. Umetazama mbali sanaaa sanaa safi sana kaka..
@HUSSEINSUFIANI
@HUSSEINSUFIANI 5 лет назад
Ktk wanamichezo wanojua kukielezea kwenye media tz ww ni namba 1.waige mfano wako na waache kuuza sura 2 kwenye.....
@ramadhansteven325
@ramadhansteven325 5 лет назад
Kumbe ndio maana unashinda una akili sana
@sharifaomary3992
@sharifaomary3992 5 лет назад
Chezea tanga ww anaongea vizuri sana
@deborahpeter6944
@deborahpeter6944 5 лет назад
Sharifa Omary kaongea vzr sana anaonekana sio muhuni muhuni
@nasrihussein1274
@nasrihussein1274 5 лет назад
Hapana chezea tanga anaongea kwahekma sana ndio wa tanga tulivo
@ernestsinje9532
@ernestsinje9532 5 лет назад
@@nasrihussein1274 haya bwana mambo ya Tanga mie chichemii
@nasrihussein1274
@nasrihussein1274 5 лет назад
@@ernestsinje9532 hahahaha huchem wa humumunyi sawa
@sheluizonola6890
@sheluizonola6890 5 лет назад
Mwakinyo uzuri wote huu unatwanga watu makonde! haya bwana kilalakheri mungu akuongoze uwe bondia namba 1 duniani
@mrkessi2683
@mrkessi2683 3 года назад
Ww uko vizur sana
@mtaloycegonzaga2594
@mtaloycegonzaga2594 5 лет назад
Good public speaker
@ernestsinje9532
@ernestsinje9532 5 лет назад
young,energetic and strong new Tanzania with new Life
@MsAggie5
@MsAggie5 5 лет назад
Jamaa kichwa sana 🙏🏾
@kelvinvenance1483
@kelvinvenance1483 5 лет назад
Genius speech
@husseinmakame8035
@husseinmakame8035 5 лет назад
Huyuuu jamaaa ana katulia katika uongeaji kwakweli
@aridiyahya8049
@aridiyahya8049 5 лет назад
Ndo maana atafanikiwa maana inaelekea anajitambua na kutambua mazingira. Umeongea vizuri akili unazo. Wanamichezo wengi huwa chenga.
@unyamwezinitheworld6069
@unyamwezinitheworld6069 5 лет назад
Unajua sanaaaa
@nasrihussein1274
@nasrihussein1274 5 лет назад
Aisee uwongaji wako haufanani na ile mingumi ulio kua unamtwanga yule mzung Allah akupe hitaji lako na kheri nyingi brother
@Pilidiku2022
@Pilidiku2022 4 года назад
Nasri Hussein 😂😂😂😂😂
@mariamvunde425
@mariamvunde425 5 лет назад
Good
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 5 лет назад
Point to point,,,,,,big up mwakinyo
@costantinejosephenock296
@costantinejosephenock296 5 лет назад
Good points
@kiissrajabu964
@kiissrajabu964 5 лет назад
Apo safiii tunaweza ss tu maelezo mafupi na yakueleweka
@africanmedia6248
@africanmedia6248 4 года назад
Sure
@marymudawikule8714
@marymudawikule8714 5 лет назад
Hongera san Mwaki
@leonardmdegela4258
@leonardmdegela4258 5 лет назад
Makonda amekusikia,namuamini sanaa juu ya utendaji wake,mungu amtazame kwa namna ya tofauti,niko UG,naonaa wanavyo hahaaa,taifa langu hoyeeee
@wilsonkilua6309
@wilsonkilua6309 5 лет назад
Tanga hatali sna jombaa
@mosesevarsta2578
@mosesevarsta2578 3 года назад
Ukovizuri, mwakinyo, munguakulinde, namungu+akutangulieKatika-mafanikio"yako
@muinjiristimgimbe6678
@muinjiristimgimbe6678 5 лет назад
Kamwene nilitaka kujua kama tupo pamoja,😂😂😂
@osmanmustafa2925
@osmanmustafa2925 5 лет назад
Jamaa kaongea pont sana
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 5 лет назад
👏🏾👏🏾👏🏾
@luciuskibaasa28
@luciuskibaasa28 5 лет назад
Saaafi sana mwakinyo...ukiitwa kwa Rais unavaa suti namna hiyo safi sana....viongozi muwaelekeze wachezaji wetu hilo...hiyo ilikua dhifa ya kidiplomasia sio mnaenda mmevaa jezi....come on... Let's change bana
@zonko0488
@zonko0488 5 лет назад
Safi sana Mwakinyo
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 5 лет назад
Huo ndio ubasara wa wa tanga yani am proud kuoa tanga Hongera shemege wngu Mwakinyoo yani nakuona mbali sana ktk ngumi miaka ijayo In sha Allah Tobosha from Kenya 🇰🇪 mombasa
@ashymsigwa8380
@ashymsigwa8380 5 лет назад
Mzee unabodigadi nyuma
@samuelabisai9575
@samuelabisai9575 5 лет назад
safi xn mwakinyo cofidence yakutoxh mpk rah
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 5 лет назад
Maneno mafupi yenye maana nzito
@jafarimohamed7957
@jafarimohamed7957 3 года назад
huy mwonga sana anamuongopa twaha
@furahahappe
@furahahappe 5 лет назад
Short and clear
@janethmbogela9724
@janethmbogela9724 5 лет назад
Mhu maneno machache lakini ynakishindo nahekima ndani yke hongera kaka
@ajmilee4204
@ajmilee4204 5 лет назад
Yaani kila siku nasema huyu jamaa haijawahi kutokea kuongea pumba hata siku moja km unamfuatilia utathibitisha maneno yangu nakupenda sna mwanangu
@bilalichadimba3936
@bilalichadimba3936 5 лет назад
Jamaaa kaongea kiume maneno Machache Ila Yameeleweka zaid na zaid MANENO YAKO YANAISHI
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 5 лет назад
Sijutii kuzaliwa tanga tumejaliwa kila kitu tanga oyoooooooo mwakinyooooo
@semanasitv8303
@semanasitv8303 5 лет назад
uzalendo kwanza sema tz
@mdachitv3459
@mdachitv3459 5 лет назад
T.A itabaki kileleni
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 5 лет назад
Tanga tuiyache kama nchi jilani na Tanzania maana kunavipaji sana utasema sio Tanzania
@salehewaziri3172
@salehewaziri3172 5 лет назад
Nomber one
@shinefilmproduction417
@shinefilmproduction417 5 лет назад
Unajua kuongea nilijua ngumituu
@salminiyussuf989
@salminiyussuf989 5 лет назад
Nyie mnaotuletea "utanga-utanga" humu wa wapii??? Yeye ni Mtanzania. Wanaomsaidia ni Mungu na Watanzania. Tuachieni ubaguzi wa kishambaa. Hapa Tanzania kwanzaaa.
@ayoubissa977
@ayoubissa977 3 года назад
Unauwakika wote wanompasapoti niwatu watanga acheni ushamba basi
@alhajiomary2294
@alhajiomary2294 5 лет назад
Ama kweli kuzaliwa Tanga ni degree tosha.
@gracethomas683
@gracethomas683 5 лет назад
Alhaji Omary 😂😂😂
@alhajiomary2294
@alhajiomary2294 5 лет назад
Grace thomas
@cutezahrazahra2062
@cutezahrazahra2062 5 лет назад
😂😂😂 kwakweli
@mosesburton184
@mosesburton184 5 лет назад
tanga mashoga wenge tunaongelea mambo ya nchi ww una kazana tanga acha usenge
@pataniabdallah9578
@pataniabdallah9578 4 года назад
Hahaha tanga.barabara I
@richardsolomoney490
@richardsolomoney490 5 лет назад
Nimependa alivo jieleza
@salehejongo2799
@salehejongo2799 3 года назад
Pambana bondia
@elliudmichael5487
@elliudmichael5487 5 лет назад
Wew ndio mkali waoo wasugue mpaka waone moto
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 5 лет назад
Huyu jamaa hata kuongea amejipanga, hongera sana Mwakinyo
@jamesmhema8077
@jamesmhema8077 5 лет назад
No doubt..
@hasssanmkungilwa2918
@hasssanmkungilwa2918 5 лет назад
Hassan wewe busara yako inatokana na jina lako pia elim ya dini inakupelekea uwe hivyo, inshaallah Allah akuafikishe mipango yako.
@princepiuskamugisha5626
@princepiuskamugisha5626 5 лет назад
Hasssan Mkungilwa acha udini mshenzi wewe
@jamesjames4239
@jamesjames4239 5 лет назад
Hasssan Mkungilwa acha ujinga wewe busara siyo dini nikipawa toka kwa mungu
@festosamweli1845
@festosamweli1845 5 лет назад
Dini ip unaongelea hv ubaguz huo mnaofundshwa unakja kuexpose kwny media
@princepiuskamugisha5626
@princepiuskamugisha5626 5 лет назад
Hasssan Mkungilwa we mgese kweli,rejea kaili yako kwamza. bichwa kubwa akili kisoda!!!!
@luciuskibaasa28
@luciuskibaasa28 5 лет назад
Unaharibu utamu wote kuingiza ideology ya udini hapo...watch out.
@osmanmustafa2925
@osmanmustafa2925 5 лет назад
Vizuri sana
@helenshella6809
@helenshella6809 4 года назад
What?? Eti mwakinyo!!!
@saidsemainda1005
@saidsemainda1005 5 лет назад
Unakipaji cha busara na hekima pia ndiomana Mungu anazidi kukubariki
@abdukalembo788
@abdukalembo788 5 лет назад
Anajua kujieleza bg up mwakinyo
@amedegabri4435
@amedegabri4435 5 лет назад
Jamaa anajua kuongea ...elekea ni mtu wa kujifunza Sana....haonekani kama mtu wa mtaani anaonekana kama kapitia academy za ngumi....
@husnatgamaah1335
@husnatgamaah1335 5 лет назад
Yan anaongea vizur hana pupa
@mbarukumaulidi1027
@mbarukumaulidi1027 4 года назад
Hicho ni kipaji mungu akuongoze na maneno matam mazuri kila unapoongea asante mwakinyo
@aishakidotigakii6157
@aishakidotigakii6157 5 лет назад
Kaongea poaw
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Mwakinyo unajua kuongea ila ulipomtukana matumla ulichemka!!!!!
@generalshakur9601
@generalshakur9601 5 лет назад
amezungumza kama profesa
@chilingalasikalwanda7861
@chilingalasikalwanda7861 5 лет назад
rais pia asimsahau shomari kapombe,ameumia akiwa analipigana taifa lake.akumbukwe kwenye viwanja!
@ellyminja5707
@ellyminja5707 5 лет назад
Smart
Далее
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
WELCOME TO THE FAMILY, MOE! (Brawl Stars Animation)
00:40
RAIS MAGUFULI, KAWATAJA GACHUMA NA ZAKARIA
6:23
Просмотров 138 тыс.
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 1
28:02
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2
29:53
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20