Тёмный

PART 2: UTAJIRI WA DJ ALLY B MWENYE MIZUKA NDANI YA GARI, ASIMULIA MSOTO ALIOPITIA BAADA YA KUJA DAR 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 66 тыс.
50% 1

Ally Seleman Simba maarufu kama Professor, DJ Ally B… aliyejipatia umaarufu kutokana na mizuka ama Vibes zake Kwenye kazi yake na haswa hivi karibuni akiwa ndani ya Gari zake za kifahari.
Ameanza kazi toka mwanzoni mwa mwaka 2000 baada ya kumaliza Darasa la Saba… shule haikuwa kipaumbele chake.. hakupenda shule wala hakupenda kusoma, ikamlazimu kufanya kazi ngumu za ukibarua ili apate pesa.. ya kujikimu Maisha… na haikutosha akafanya mpaka kazi Kwenye Daladala na bado mambo hayakuwa mazuri..

Опубликовано:

 

14 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@Almas120
@Almas120 Год назад
Guys mbona background music iko loud sana mpaka inatupa shida kusikiza maneno ya msingi
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 Год назад
Kwel kabisa
@iconramar9366
@iconramar9366 Год назад
Kabisa wanazingua kinoma
@revordmathias
@revordmathias Год назад
Wamefanya kuficha malalamiko mihusika asijiskie ileeee😅😂
@emmanuelkimea5756
@emmanuelkimea5756 Год назад
Me hata sikutaka maliza mb zangu
@harmonize_tz
@harmonize_tz Год назад
Kweli kabisa aisee
@fredkasuga9740
@fredkasuga9740 Год назад
Hili lijamaa hii interview nzima limeongea points tupu yani👏👍
@jheleneo
@jheleneo Год назад
huyu jamaa ni hustler na ana mind kubwa saba big up mzee ur a hustler with good heart
@ifraimifraimuhusen282
@ifraimifraimuhusen282 Год назад
Background inaboa sana
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Год назад
Wa kwanza leo like zenu nikiwa omani
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Год назад
Background music is louder than the interview someho
@piiwizy
@piiwizy Год назад
nimependa sana conclusion remarks zako mtangazaji. zimekaa kisomi mno and uplifting as well. kwa DJ ally B, keep being yourself and open your arms to people so as to pay way for them as well.
@samsonkivuyo9548
@samsonkivuyo9548 Год назад
Basi wekeni muziki kabisa tujue moja, mnatuchosha
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Год назад
Daah one day yes but am gonna to wait it,siku ya mungu ni siku sahihi i believe this
@esthermahatane9923
@esthermahatane9923 Год назад
Nzr interview sema daah background ikojuu Sana aisee
@nolascomwinuka5528
@nolascomwinuka5528 Год назад
Mnazingua background iko juu san
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Год назад
Hapo kwakweli hiyo ukilelewa vizuri na wazazi wako na hawana roho mbaya sijui kama wewe utakua na roho mbaya hata mimi nimelelewa vizuri na wazee wangu kiukweli sijawahi kuwa na rohombaya sema nimelipwa rohombaya sana
@stephenlupia3058
@stephenlupia3058 Год назад
Ka #IST kakupeleka watoto shule😎
@verifierempire
@verifierempire Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@gloryglory7553
@gloryglory7553 Год назад
Na nusu aisahau, kidogo tu isingehesabiwa
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Год назад
Mshauri Wangu Acheni Ushamba Wa Mabiti Sasa Sauti Ya Biti Ya Kazi Gani Kwenye Mtu Kusema Mambo Yake Ya Kimaisha
@dominicmosh648
@dominicmosh648 Год назад
Tafuta ela chalii
@dominicmosh648
@dominicmosh648 Год назад
Mshauri ama ushauri
@chaztz1782
@chaztz1782 Год назад
Huyu mwamba nilimwona ni mtu akitoa msaada apendi kurecodi
@aloycesambuta9937
@aloycesambuta9937 Год назад
Interview nzuri, idea ya shooting nzuri ila angle mmekwama, background music mmekwama, Mtangazaji yuko tense sana
@barakakamuga4474
@barakakamuga4474 Год назад
Asumaniiiiii uuuwiii 😅😅😅😅😅 jamaaa ana vibe kinoma 💪💪💥💥💥💥
@abdulazizjuma2743
@abdulazizjuma2743 Год назад
Hiyo background music mmezingua,sauti ipo juu sana hasikiki fresh
@bonnymsd8116
@bonnymsd8116 Год назад
Background music 🎶 iko juu sana
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe Год назад
Uwe na akili Timamu Basiiii💝💥💥💥💫💫💫
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 Год назад
Background music ipo high sana nanitoa kwenye mood kabisa yani inanichanganya
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Год назад
Rudieni hii clip 😢😢😢 background music imecover sauti nzima
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Год назад
Hii kitu IPO damuni saaaaana God bring me a way to reached this
@collinslanya1544
@collinslanya1544 Год назад
Sauti please!! Mike sound very low. Check on it please.
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 Год назад
Dah jamaa anaongea fact sana yupo sahihi sana🥰😍🤩
@musangerwa9513
@musangerwa9513 Год назад
Bro anashusha madini tu mwanzo mwisho I really like it Asuumani uwiiiii!!! 😂
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 Год назад
Sasa meweka hiro back sound yanini story nzuri mmeiyaribu kwa upuuzi usio na mana 🤦🏾‍♂️
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 Год назад
Huyu mwamba nlikua nkifkiriaga n mnajeria flan Kumbe chalii ya moshi, Mwambie moshi habar ya mujin ni red Stone, La Liga ishadanjaga ktambo .
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb Год назад
One day yes 🙏🏾
@Jonathan95311
@Jonathan95311 Год назад
Jamaa yuko vizuri sanaaa!!!!!
@daudmasawe4459
@daudmasawe4459 Год назад
Kaz nzuri
@claudiabruno6354
@claudiabruno6354 Год назад
Sauti ina kwazaaaaaaaaaaaaaaaaa
@iddibarwani8859
@iddibarwani8859 Год назад
Great!
@AndrewPaulsr
@AndrewPaulsr Год назад
Very smart guy👏👏👏👏
@ishamamyy2245
@ishamamyy2245 Год назад
Mm muislam na ni mwanafunz ila nimeskiliz hii enterview nimemkubal sana uyu jamaa na nimejifunz kitu kikubw sanaa alaf anatoa real life
@msamanga2277
@msamanga2277 Год назад
Conscious
@gastonfuraha
@gastonfuraha Год назад
🔥🔥🔥
@officialMsafeybrown
@officialMsafeybrown Год назад
punguzeni sauty y beat iyoo, inakera xana
@emmanuelmuniko17tz21
@emmanuelmuniko17tz21 Год назад
✊🏾
@patrickpazza4764
@patrickpazza4764 Год назад
😆😆😆😆😆😆stak matatizo ya mjomba shangazi daaaaaa saf Sana hiyo nimeipenda
@nkelamalunde7057
@nkelamalunde7057 Год назад
BACKGROUND YA MUSIC IPO JUU SANA, Inakera
@raphaelonyango5690
@raphaelonyango5690 Год назад
Mmekuaje sikuhizi background music inafifisha mada husika... Mnafelii
@msumbufu_
@msumbufu_ Год назад
Mnajua kabisa sauti ni ndogo af mnaweka bed😡😡😡
@ramadhanihamisi5596
@ramadhanihamisi5596 Год назад
MAKOSA MANNE(4) HATARI WANAYOFANYA WANAUME KUHUSU CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME!!! Mwanaume Hakikisha unajiepusha na makosa haya. Makosa haya huweza kusababisha tatizo la Nguvu za Kiume kuzidi badala ya Kupungua.Wanaume wengi wanapohisi kuwa na Changamoto ya Nguvu za Kiume Hufanya Yafuatayo!!.... 1.Wengi hupuuza tatizo hilo na kuchukulia kama Hali ya kawaida,Huchukulia poa na wengi hushindwa kuchukulia serious, matokeo yake tatizo hukua na kuwa kubwa zaidi. 2.Kutokujua Chanzo cha Tatizo hilo, Imekua ni kawaida kwa baadhi ya Wanaume kushindwa kujua Chanzo cha changamoto Hii,Hivyo wengi hukurupuka na kufanya maamuzi yasiyo sahihi juu ya Tatizo hilo. 3.Kutokua na Elimu Sahihi na Kutokujua ukweli kuhusu tatizo hili, Wengi wamekua wakipeleka tatizo kwa watu ambao sio sahihi na Hivyo kushindwa kupata suluhisho la kudumu. 4.Kutumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume Kitu ambacho sio Sahihi kabisa.Hii hupelekea tatizo kuongezeka na kuwa sugu Mwanaume Usifanye tena makosa haya,Pata Elimu Sahihi na Njia Sahihi ya Kuondoa Changamoto yako leo.Kama uko serious Wasiliana nasi sasa,Tuma ujumbe JENGA AFYA kwenda WhatsApp namba 0784161431AU piga simu Usaidiwe mapema
@lucksonize
@lucksonize Год назад
Background music kills the vibe,you cab do better.toeni version bila background music tutaangalia tena
@emanuelmremi9729
@emanuelmremi9729 Год назад
Background music iko loud sana.. maswali mengine yanajibiwa hatusikii nini kaulizwa
@remybuyenzi1856
@remybuyenzi1856 Год назад
Huuu ananipa hamasa natamani ata nijifinze u deejay 😅
@djkayumba
@djkayumba Год назад
Sasa hii background sound mmeweka yanini hatusikii maongezi Millard Ayo umeanza matitizo sisi hatutaki hiyo tunataka kusikiliza maongezi
@jerrymwakalindile7948
@jerrymwakalindile7948 Год назад
Background music imezingua
@ashrafchande869
@ashrafchande869 Год назад
Saut amna kaka ayo tv back ground zero
@araphatmussa8599
@araphatmussa8599 Год назад
Ane jua mapai like apa
@tinomasangia5511
@tinomasangia5511 Год назад
Jitaidini kupunguza background music…. Jamaa kaua ana madini hatari
@ayrunyjtayruny279
@ayrunyjtayruny279 11 месяцев назад
Ukiwa uko mteee daahhh esse niga partiu minhas costelas 😂
@twiserchaki6029
@twiserchaki6029 Год назад
Gooda
@meddyally4416
@meddyally4416 Год назад
Nkubari san mzee wng
@harrymorgan4387
@harrymorgan4387 Год назад
Mbona kelele kuliko sauti ya chalii aisee
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 Год назад
Nataka mutuweke ile ishara ya kukata video ✂️
@DoraKawawa
@DoraKawawa Год назад
sasa jamani mnaweka interview na background music hata hatusikii anachoongea
@amazingvideo1075
@amazingvideo1075 Год назад
Qmmake huo mziki wa kazi gan sasa
@elizabethmacoco1754
@elizabethmacoco1754 Год назад
Background music banaaaa😢
@sandrabernard751
@sandrabernard751 Год назад
Ohhhh ila 8yo background
@gadluck4362
@gadluck4362 Год назад
Background kubwa ya nn wazee media kubwa kbs nyie mnakua kama sio professional
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 Год назад
Kwan huwa hamuikagui kaz kabla hamjaiaplod?
@cyrilmgalike7830
@cyrilmgalike7830 Год назад
Sauti ipo chini xana 🗣️🗣️
@FahamuZaidiChannel
@FahamuZaidiChannel Год назад
😂😂😂Utakuwa PyoMpyohahh
@elifurahambowe510
@elifurahambowe510 Год назад
Background music😊Qmmk
@khadijatanzania8040
@khadijatanzania8040 Год назад
Huyu jamaa huyo mwanamke kama anaakili ya maisha ajenge kiakili bila jamaa kujuwa ajenge kwa siri tu kama anapewa pesa na mumewe
@rashid1860
@rashid1860 Год назад
saff kiswahili yetu iyo naikubal #moshi
@jumabisale9974
@jumabisale9974 Год назад
Sound ya Mziki mkubwa sana
@salminqr7958
@salminqr7958 Год назад
Kweli kufanikiwa ni katika juhudi
@testarguy8609
@testarguy8609 Год назад
Mungu ndio anajua muda na mahali sahihi Kinachotusumbua wanadamu ni magubu kila mahali 😁😁😜
@meddyally4416
@meddyally4416 Год назад
Iyo saut ina boa bhan. Mnatukera
@seifdisail3007
@seifdisail3007 Год назад
Sauti mbona inakatika hatuskii
@mhadajr1122
@mhadajr1122 Год назад
Kula bastora ya kihindi
@MultiKelvin1994
@MultiKelvin1994 Год назад
Toeni music hamsomi feedback???
@noelkyando9490
@noelkyando9490 Год назад
Hv waandaji wa vpnd sometimes sjui mnakuwaga kama hamkagui kazi zenu kabla ya kuzirusha mmetuletea habari au mziki tuambieni moja basi so boring ☹
@nkulikandusi5282
@nkulikandusi5282 Год назад
Athumaniiiiiii
@benkani
@benkani Год назад
Sound hakuna
@bensonsilivery8768
@bensonsilivery8768 Год назад
Saut iko chini Kinyama
@patrickpazza4764
@patrickpazza4764 Год назад
Mbona hamfiki muendako
@leitonyngayama6882
@leitonyngayama6882 Год назад
Eti bamdogo hajala, so what... Usiniletee ungese ha ha haaaa
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Nasemaje nasemaje Kula Nyama nyamaza weeee kelele waachie mbwa uko kula bunduki ya punda 😁😁dj wangu wa Dunia
@directornyambilila2653
@directornyambilila2653 Год назад
Mlizipeleka wapi hizo dola laki 🤣
@claudiabruno6354
@claudiabruno6354 Год назад
Sasa kwanini hamja punguza sauti hiyo?!
@egankimaroregan7910
@egankimaroregan7910 Год назад
Ponda Mali kufa kwaja 😅 Mara paap hufi
@kanonotechnology1140
@kanonotechnology1140 Год назад
kusikia tabu sauti ndogo
@rabiaiddi2884
@rabiaiddi2884 Год назад
We unamichongo yako bhana huwezi tu kusema kwa hapo, hapa tanzania hamna dj anaelipwa milion 3 hata iwe ofic gani 😒
@Qtep-eb3og
@Qtep-eb3og Год назад
Rudien kuedit saut mnaboa
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Год назад
Mwamba anaishi
@BigDrones
@BigDrones Год назад
Mbona sauti iko chini
@koffianodichisesa238
@koffianodichisesa238 Год назад
Mwamba nikajua mzi mbwambwe kumbe mtz
@salminqr7958
@salminqr7958 Год назад
Tena mswahili
@fadhilichaula3501
@fadhilichaula3501 Год назад
Sasaa hyo bitii mmeweka yann nanyie utafkirii co millard ayo kwendaa zenuuu
@jamal-dintz6465
@jamal-dintz6465 Год назад
Hahaha
@richardmbwelwa7555
@richardmbwelwa7555 Год назад
Hivi magari mawili ni utajiri?
@issazalala4907
@issazalala4907 Год назад
Jenga nyumba brow hakuna aijue kesho
@nurdinmkwachu28
@nurdinmkwachu28 Год назад
Najua wote tutakufa ila wengi watu WA hv vifo vyao vinakuwa Kwa vitu walivyo vipenda na wanavyovifanyia sifa
@dominicmosh648
@dominicmosh648 Год назад
Umaskini noma joo
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Год назад
Mambo ya kifo nn
@iddyamosi153
@iddyamosi153 Год назад
Tafuta pesa ww acha uchawi mtoto mdogo sanaaa ww acha mwamba ale maishaaa asuuumaanii enx bro
@nurdinmkwachu28
@nurdinmkwachu28 Год назад
Kwel sina pesa
@Biggiey88
@Biggiey88 Год назад
Pata pesa na umetokea kwenye mazingira magumu na ukahustle sana mpaka ukatoboa utaona kama anatamba ila pambana ukamate pesa ndo utaelewa anachofanya
Далее
“ALI KAMWE SIO BOSS WANGU” MANARA AVUNJA UKIMYA
4:23