Тёмный

Peter Msigwa Ashusha Tuhuma Nzito CHADEMA | Adai Kuhujumiwa 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Aliekuwa mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akizungumza na waandishi wa habari na kumwaga tuhuma kuhusu kuhujumiwa kwenye uchaguzi wa ndani ya chama

Развлечения

Опубликовано:

 

2 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 126   
@user-co4li6bn6m
@user-co4li6bn6m Месяц назад
Mchungaji umepamba sana na bado kazi inaendelea.mchungaji yapotezee hayo hata wenzetu ccm yapo hivi ndiyo Afrika.
@PeterIchobe
@PeterIchobe 18 дней назад
7😢 65th😅 7:46
@mtimti3912
@mtimti3912 Месяц назад
Wewe ni mchungaji kumbuka ata Yesu alikubali kufa ili maandiko yatimizwe hivyo kwenye siasa ni zaidi sana kwa mfano wa neno la Mungu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Месяц назад
WAHUNI HAWA HAWAWEZI PEWA HII NCHI WOTE WAKO KWA MASLAHI YAO NA UBAGUZI WAO 😮😮😮😮😮
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Месяц назад
Kama samia na ccm yake
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Месяц назад
@@whatisthetruth.8793 kama CHADEMA na UDINI WAO🤧🤧🤧🤧🤧
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Месяц назад
Leo Nimeona unaitwa mchungaji ila kumbe unatamaa ya madalaka kias ivo hamna lolote njaa tu ayo maneno yako kwanini usiite viongozi wako mkayaongea ndani na yakaisha namashaka na uchungaji wako😂
@AdiaMwinyi
@AdiaMwinyi Месяц назад
Uyo anataka kwenda ccm kwa mda mwingi iyo sio sababu amehaidiwa pesa na njaa inamsumbua ndio tatzo la viongoz wenye tamaa za kupitiliza
@brightontibenda2346
@brightontibenda2346 20 дней назад
Mchungaji Musigwa naomba nikushauri. Rudi kanisani ukamtumikie Mungu wa mbinguni achana na mambo ya kisiasa. Viongozi mnaonyesha kuwa na maslahi binafsi Wala sio kutafuta haki za raia. Rudi kanisani.
@PrinceMgambwa
@PrinceMgambwa Месяц назад
Huyu naee sijui katokea wapi nahisi ni mpumbaaaavu
@malaryhillary3075
@malaryhillary3075 Месяц назад
Msigwa nadhani hapa unachafua chama chako na hauko sahihi. Maana umma unasikiliza upande mmoja . Hauko sahihi hapa unafanya kazi ya uchawa wa ccm kuichafua chadema
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Месяц назад
Ushauri wangu wa bure kwa my msigwa achana na hao wahuni wasiojua demokrasia njoo ccm ktk demokrasia ya kweli
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Месяц назад
Wee ni hewa sana CCM inafanya Kila kuitwapo Leo watanzania wanakua masikini ila safar Kila kuchapo tena mungu anawaona
@kibundapesamadimba6352
@kibundapesamadimba6352 Месяц назад
Tayariiiiiiiiiii speeech ni uchaguzi wa chadema lakini CCM imetajwa mara nyingi mnooooo
@EzekiaMhagama-vo6hz
@EzekiaMhagama-vo6hz Месяц назад
Umetia aibu tu kila mpiga kula wako anakushangaa miaka 7 huna ofisi jitafakir
@MichaeSwai
@MichaeSwai 14 дней назад
Si ukubali kushindwa
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp Месяц назад
Msigwa uliingia chadema uliahidiwa cheo cha umwenyekiti wa nyasa. Wewe nenda ccm watakupa uwenyekit wa nyasa
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Месяц назад
Kuanzia sasa nakutangaza rasmi kuwa wewe ni mshindi!
@zachariamalley7076
@zachariamalley7076 Месяц назад
Moyo mzuri= nia nzuri=akili nzuri. Moyo mbaya=nia ovu= akili mbovu. Mungu anaona yaliyo mioyoni mwetu, hata zuia nia ovu inakupa kuwa na akili mbovu kutenda maovu. Mungu ametujalia mioyo, akili na nguvu zetu kuzitumia kumtumikia kwa kutenda kwa haki kwa watu wake. Wasiotenda haki humbuka muda umefika kwa CDM kuomba radhi CCM kama toba kwa maovu ya kusingizia. Maji na mafuta hujitenga muda umefika wa kijua kipi ni kipi.
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 Месяц назад
msigwa wewe unaujumu chama unakula pesa za ccm watu wamekugundua
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Месяц назад
MSIGWA JSMANI NAOMBA NAMBA ZA MBOWE
@fanuelkitembe7404
@fanuelkitembe7404 16 дней назад
Alisema kweli yule mchekeshaji
@simpsonisoe8994
@simpsonisoe8994 14 дней назад
Ilikua mpango wa kuenda ccm
@japhetringo7688
@japhetringo7688 20 дней назад
Njaaaaaaaaaa sanaa wewe kwani umevumilia manqapi bana umeahidiwa uwaziri
@josephlugala3182
@josephlugala3182 Месяц назад
Utaamini hata akina halima mdee waliruhusiwa na viongozi wa chadema kwenda bungeni Leo wanajifanye hawawajui chefuuuuuu
@bonifacemkanga6302
@bonifacemkanga6302 17 дней назад
Ungekuwa umeandika ungeelewekasana ila unapuyanga maana huna kidesa
@GallusGustav
@GallusGustav Месяц назад
Hiyo ni laana kutoka kwa Mama yetu Samia Suluhu.NA BADO. MAMA PIGA KAZI KAMA KAWA.
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Месяц назад
Some of us we see GREED here.. ULAFI WA MADARAKA.. MIAKA 7 , BADO unatoa Povu.. Sasa here say on ur Chairs,, unconfirmed kwenye vyombo vya abar.. such a joke..
@zat6311
@zat6311 Месяц назад
Kumbe anadhani jaziba zake zimekomeshwa hivyo, huyo ni mtafuta madaraka asiye na uvumilivu ! Kuita press conference kwa Hilo ni sawa na kutoa Siri ya ndani ya nyumba yako # Anajiumbua na chama chale !
@MichaeSwai
@MichaeSwai 14 дней назад
Wewe siyo mchungaji unatamaa namadaraka tulia akika ww ni msanitu
@johntendwa7856
@johntendwa7856 Месяц назад
kakaa, ulishakuwa mjumbe wa kamati kuu na wewe ni kama twiga, iweje ushuke na kula majani ya chini kama swala?
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Месяц назад
WANANCHI CHAMA TUNAKIPENDA CHADEMA
@muddyausi8470
@muddyausi8470 Месяц назад
Sasa si ungesema siku ile ile huo ni ujinga tu Tz Hakuna upinzani ni wapenda madarka na ubinfsi tu wanamch tuachane na wanasiasa me nishasema sipigi tena hata kula ccm tuhjlumieni tu mUK ngaliane musiihalibu tu inch yetu hakuna chama kwa sasa chakuwatoa madarakani mpk Mungu atapotaka yeye wakt utaamua
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 Месяц назад
Mbona wewe mwenyewe kwenye chaguzi zamajimbo namikoa hukutenda haki,kwakuwaondoa makatibu wamajimbo namikoa ambao walikuwa hawakuungi mkono,kwahiyo dhambi zako zimekutafuna,naulikuwa mtoa rushwa nguli hata kwenye chaguzi za majimbo namikoa ili kuwapitisha walio kuwa wanakuunga mkono,tulia hiyo nidozi nzuri sana kwako ili ujifunze nasiku nyingine tena
@user-cj8yz4gk4u
@user-cj8yz4gk4u Месяц назад
Mchungaji kataja team yake ,sasa wengine wasioate team,au naye alitaja abilities nafasi. Mwanasiasa unayejiamini acha iende iko siku nyingine haki yako itakurudia.Cheo nni dhamana tu
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Месяц назад
Shida nini ... Je ungeshida ungeongea ayoo?..
@user-cj8yz4gk4u
@user-cj8yz4gk4u Месяц назад
Mimi namshangaa mchungaji eti kuwa hajui au haelewi kuwa haki hajawahi kusimamiwa ndani ya CHADEMA ,tunaijua chadema miaka 10+.Watu wanamiliki nafasi n hata kutengeneza vurugu dhidi ya wenzao.Katiba ya Chama inakataza kudai haki ktk vyombo vya haki,kwa adhabu ya kufukuzwa Chama. 16:14
@pinucykaberege
@pinucykaberege Месяц назад
Ubinafsi, umimi,ni asili ya ibilisi ridhika mchungaji unatuchanganya waumini
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Месяц назад
MBOWE LISSU MSIKILIZENI MSIGWA MALIZENI TATIZO
@renamalima5558
@renamalima5558 Месяц назад
Siasa ndivyo vilivyo... Msigwa anaijua hyo
@nicksonkamazimo5173
@nicksonkamazimo5173 Месяц назад
Kumbe na chadema Kuna maelekezo kutoka juu😢
@user-fk4st8qj2k
@user-fk4st8qj2k Месяц назад
Hawa hawajachukua madaraka wanaleteana vurugu wenyewe vipi wakiwa wamechukua dola itakuwaje. Mkataa pema pabaya panamuita. Acha twende na hii ccm tu.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 18 дней назад
Msigwa kwaiyo Umehamia peponi
@richarddabryin9126
@richarddabryin9126 Месяц назад
Msigwa kalewa
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Месяц назад
MSIGWA MIMI NIPO CHADEMA KWA KUFUATA USHAWISHI WAKO UTAKAPO KWENDA NAMI NIPO
@fanuelkitembe7404
@fanuelkitembe7404 16 дней назад
Vipi umehama na mabinti zako
@johntendwa7856
@johntendwa7856 Месяц назад
aaaaah, mkuu hapa hutaeleweka, au kuna lingine nyuma ya pazia?
@SaidZavallah
@SaidZavallah Месяц назад
Mpka wenyewe mnaibiana kura uko hahahaba daaah siasa mm sitaki kabisa mmmmh mwanasiasa siyo mtu wa kumuamin
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z Месяц назад
Zito aliondoka itakua wewe?,nenda Pumbavu wewe umetumwa.
@RomanusRimba
@RomanusRimba Месяц назад
Yawezekana kinacholalamikiwa kina UKWELI ama laaa!! Ila katiba YETU imasemaje juu !! Ya malalako ama migogolo inayojitokeza ndani ya chama yawezekana ni KWELI ila ungebakia na hiyo HOJA ya kukata rufaa naamini ww umewahikuwa mjumbe wa kamati kuu ungelinda hicho unachosema ni aibu ya chama!!
@EzekiaMhagama-vo6hz
@EzekiaMhagama-vo6hz Месяц назад
Unakijalibu chama ww huna lolote hata ubaroz upewi bora arud jeska
@GallusGustav
@GallusGustav Месяц назад
Huu ni uroho wa kanda tu. Halima Mdee Leo wametuhakikishia ulionewa. Nenda kwa mama Samia kwani unaupiga mwingi bungeni, usipoteze maelekezo ya Mungu kuwatumikia watanzania kisa chadema
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Месяц назад
KARIBU CCM. ila utanza na kufagia fagia. You gotta earn position . Sio kwa povu..
@ShaabanMfalme
@ShaabanMfalme Месяц назад
Ninyi chadema mko kwa masirahi binafsi kwa kifupi viongozi wa chadema mna uchu wa madaraka ndiyo maana mnaitwa watoa taarifa na si wapinzani
@ProductionWinderBulyanhulu
@ProductionWinderBulyanhulu Месяц назад
Sass wenyewe kwa wenyewe mnahujumiana hivi, kuna dalili ya kutoboa kweli mbele ya CCM?😢
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 19 дней назад
Unavyosema nisawa lakini hujasimamia msimamo wako
@emanuelurio-ok8yl
@emanuelurio-ok8yl 18 дней назад
Nimekupata sana lkn bad haikuwa sababu ya Muhammad ccm.. ungejiuzulu uanachama tu
@chamlilemhando7478
@chamlilemhando7478 17 дней назад
Dont trust the politicians
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Месяц назад
Mzee msigwa umeshindwa kubari yaishe ww ulishindwa hata kabla ya uchaguzi wenyewe. Mbona hata kwenye mdahalo sugu alikushinda? Wewe umeshindwa kiharali mzee acha tabia za kukigawa chama
@EzekiaMhagama-vo6hz
@EzekiaMhagama-vo6hz Месяц назад
Acha kelele huna hoja umeshindwa kujenga ofic miaka 10 wana nchi wamekuamin au unaamin ulijipeleka bungeni mwenyewe umekosa hoja
@josephlugala3182
@josephlugala3182 Месяц назад
Kimeumanaa
@bonifacemkanga6302
@bonifacemkanga6302 Месяц назад
Chadema pia mnamaelekezo kumbe kutoka juu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Месяц назад
Kama polisi wa ccm na samia 😂😂😂
@fadhilimsafiri216
@fadhilimsafiri216 Месяц назад
Hii kauli ni ya kwenda CCM. Kwa kauli hizi CDM watakuelewa? Unakiu chama wazi wazi! Unakipenda chama wewe?
@dennisungonella205
@dennisungonella205 Месяц назад
Msigwa alipaswa kuonyesha ukomavu zaidi ...hayo malalamiko kwa nn asipeleke malalamiko chamani? Hatari
@MrKhatibu
@MrKhatibu Месяц назад
Huwezi juwa kama ameyafikisha au laa
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Месяц назад
Kani hicho sio chama cha democracy 😂😂😂
@MOREDI2024
@MOREDI2024 18 дней назад
Bora CCM
@fidelmbai3642
@fidelmbai3642 Месяц назад
😅😅😅😂😂 qmamake chaguzi zenu za ndani wenyewe mnalalamika😂😂😂😂 Mama SAMIA NJIA NYEUPEEEE 2025... Serikali za mitaa ndiyo msiseme😂😂😂😂
@MrPongwe
@MrPongwe Месяц назад
Khaaaaaaaaa kama nawaone kwa mbaaaali vile
@kwandiwageorge2826
@kwandiwageorge2826 Месяц назад
Kwani lazima uongoze wewe so unalalamika nini boya
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 Месяц назад
Asiyekubali kushindwa sio mshindani mtumishi !😅😅😅
@drkalokola5861
@drkalokola5861 Месяц назад
Mbona anatetea mashudhushu?
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 Месяц назад
Kijiti nikupokezana sasa wewe unalialia nini,au nikweli walivyo sema kua wewe umepewa hela zamama abduli ili ushinde uendelee kukivuruga chama kama vyenye ulifaulu kutengeneza migogoro kwenye chama chetu kila kona yakanda,wewe mwenyewe uli diliki kuwatoa makatibu wamajimbo walio shinda kihalali ukaleta watu ambao hawakushinda kwasababu walio shinda walikuwa hawakuungi mkono,kwahiyo tulia ikuingie vizuri.
@gmknews7929
@gmknews7929 Месяц назад
Kiukweli mmi sionag uwezo wa sugu kulinganisha na hyu mwamba
@exseviangaeje1158
@exseviangaeje1158 Месяц назад
Mch unajiondolea heshima WATU awakuelewi una ndimi mbili una nini kilichojiri cha?
@mlekwa
@mlekwa Месяц назад
Wajumbe sio watu wazuri
@AngerusLijuja-bg6sb
@AngerusLijuja-bg6sb Месяц назад
Uliingia namatokeo iyo imeisha
@drkalokola5861
@drkalokola5861 Месяц назад
Uongozi ni kupokezana mjiti
@PelesMlawa
@PelesMlawa 19 дней назад
Mh ko unataka uwe mwenyekiti miaka yote jani duu
@IsaacLobson
@IsaacLobson Месяц назад
Mimi sijapenda kabisa wewe kulalamika
@nyembobea7285
@nyembobea7285 Месяц назад
Kulalamika ndo asili ya wapinzani ila ni haki yake Kulalamika
@drkalokola5861
@drkalokola5861 Месяц назад
Personality ni Mila ya ufalme. Unataka chadema iendeshee kifalme?
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Месяц назад
Sasa ndiovwataongoza nchi hawa
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Месяц назад
NAOMBENI NAMBA ZA MBOWE
@mwombekiflorian5203
@mwombekiflorian5203 Месяц назад
Mchungaji Peter msigwa unalalamikia kutoshinda kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kanda mpaka unaita press conference na waandishi wa habari kweli .Nafikiri hili ni jambo linalotakiwa limalizwe ndani ya chama lkn kama unavyofanya sasa .Naona kama vile unataka kuvuruga chama as if umepewa kitu kidogo .Vilevile usiwe mroho wa madaraka kwani muda uliiongoza kanda ni mchache ? Mchungaji rizika na kuwa na kiasi kwa kile ulichopata .
@abrahamrubeni5905
@abrahamrubeni5905 Месяц назад
Kumbe ulikuwa na idadi ya wanakuunga
@twahaanyoni9120
@twahaanyoni9120 Месяц назад
Msingwa wacha kulalama ungeliangalia masilai yako kwa jicho la tatu Enzi za mjomba magu wala usingekuja shupaza mishipa ya shingo hapa umasikini unautaka mwenyewe buana tuachie kelele uko
@MalandoJames
@MalandoJames Месяц назад
Nimegundua kawaida ya hiki chama in kulalamika. Ccm ikishinda wanasema wameibiwa kura. Sasa huu uchaguzi wao wameibiana kura? Wanaodai katiba na time huru ni hawa? Kama ndo hivyo waanze kwanza kurekebisha katiba yao. Kumbe hata katiba yao ni mbovu.
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Месяц назад
Anaenda CCM huyoo
@claudchristopher8416
@claudchristopher8416 Месяц назад
Komaa nao au kibomoe chama,hawa akina mbowe ni wanafiki tuu,ondoke nenda ccm wadhoofishe hawa
@drkalokola5861
@drkalokola5861 Месяц назад
Ulijuaje kama nakatibu wote wangekypigua wewe? Kumbe ndani ya chadema uchaguzi sio wa Siri?
@saidomary8796
@saidomary8796 Месяц назад
Siuhame
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp Месяц назад
Huo ni uchafu msigwa ni mchafu wala hakuna kupitia lufaa yakoo
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 15 дней назад
Wewe mamluki umeshindwa kulipa madeni ukaona ukawaangukie CCM. Huo ni umalaya wa siasa Aibuuu
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Месяц назад
CHADEMA SISI WANANCHI TUNA WATEGEMEA NINYI NDIO CHAMA PEKEE TUNACHO SUBILI KUKIPIGIA KURA KTK NGAZI ZOTE KUNA NINI SASA IVO MUHESHIMIWA MBOWE LISSU DBU MSIKILIZENI MSIGWA MALIZENI TATIZO ILO MWENYE HAKI KM MSIGWA APEWE NAKM SUGU APEWE ILA MSIPENDELEE UPANDE WOWOTE
@henrykabogo4247
@henrykabogo4247 Месяц назад
Pole Bwana Msigwa,lakini lisaidie Taifa hili kujua ukweli wa moyoni kutoka kwako 1. Kwa Nini uliamua kukubali kushiriki uchaguzi ambao tayari ulionesha kutoendeshwa kihalali? 2.Matokeo ya uchaguzi yangekupa ushindi ungeyakataa kwa kuwa kulikuwa na figisu toka mwanzo? 3.Malalamiko Yako yanatokana na kukiukwa kwa taratibu za uchaguzi na katiba ama kushindwa kura?
@drkalokola5861
@drkalokola5861 Месяц назад
Hicho ni kitabu Cha wahuni sio kitabu Cha Baba wa Taifa. Sera za Baba wa Taifa as likuwa akizotoa kama Meongozo wa CCM katika Halmashauri kuu ya Taifa.
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp Месяц назад
Hao makatibu niwatu wako
@EzekiaMhagama-vo6hz
@EzekiaMhagama-vo6hz Месяц назад
Hunalolote ww nimbinafsi mpigie makofi sugu kubar kushindwa
@gideon546
@gideon546 20 дней назад
🇹🇿 MCHUNGAJI Peter MSIGWA, Ukishindwa kwa UCHAGUZI si utoroke CHAMA ni Kuangalia kwaninj ULISHIDWA.⁉️❓🤫 👉SOMETHING IS WRONG WITH YOU NOT WITH CHADEMA. Wewe ni MNAFIKI.👈 ❌
@DaydreamHimself
@DaydreamHimself Месяц назад
personality ya Mbowe kuruka na chopa...?!
@Chef_Ammytz
@Chef_Ammytz Месяц назад
Ukishazeeka akili huwa inapotea
@EzekiaMhagama-vo6hz
@EzekiaMhagama-vo6hz Месяц назад
Hupat hata udiwan hunalolote ww nimubinafsi unatupigia kelele nenda ccm wanakuhitaji
@alphoncehanura3255
@alphoncehanura3255 Месяц назад
Kamanda komaa nao .ufuatwaji wa katiba . John Mrema ajiuzuru....... siku nyingine Chadema azimeni Padri Kitima awe mkuu wa uchaguzi.... siyo hao.... akina Kigaila.
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 20 дней назад
Chadema ni ya wachaga hao wabaguzi
@user-wl8ns6hh8l
@user-wl8ns6hh8l 20 дней назад
Wacha ujiga ww lisu ni mchaga heche
@user-sj8pe6hi9n
@user-sj8pe6hi9n Месяц назад
Kumbuka hotuba take baada ya uchaguzi
@user-sj8pe6hi9n
@user-sj8pe6hi9n Месяц назад
Otuba yake baada ya uchaguzi
@GallusGustav
@GallusGustav Месяц назад
Mama anagawa viuatilifu vya korosho bure hapaTunduru na Tanzania kwa ujumla, wengine wanagombania kanda ambayo haipo kitatiba Je ukiwapa nchi! Chukua hatua,
@bakarindemanga2318
@bakarindemanga2318 Месяц назад
hiki ndo chama kinachojinasibu kutaka kuitoa ccm madarakani??
@ZuhuraMwanafuno
@ZuhuraMwanafuno Месяц назад
🤣🤣🤣🤣
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw Месяц назад
Wanaodhani Msigwa atatoka Chadema wanaota ndoto
@williamkavishe397
@williamkavishe397 Месяц назад
Mwambie huyu jamaa awache Mara moja kuaibisha chama kweli Katia chama doa kubwa Sana aibu hii kahahirishia Cham mharo mkubwa Sana hayo yalitakiwa yasiwe hadharan Peter umeharbu Sana yani hata Mimi Sasa chadema kwaheri kumbe Ni Walarushwa wakubwa hivi duuuuuuu
Далее
NI SUGU AU MSIGWA? NANI AMEKUSHAWISHI?
33:48
Просмотров 15 тыс.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
03:26
Просмотров 30 млн
LISSU AKINUKISHA SINGIDA KASKAZINI, MSIGWA AMPA TAFU
31:44
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 7 млн