Karibu sana prince Mungu akujaalie ukawe katili wa magoal zaidi ya mara 10 ya ulipotoka ikawe heri kwako na miguu yako Mungu akaiyongoze isifungwe na waovu🙏
Mimi sio Yanga ila ukweli usemwe tu. Scouting team ya Yanga ipo serious sana. Msimu huu chukueni Treble na Champions League. Kikosi mlichonacho kinaweza kabisa.
Mungu awabariki master wote wa yanga wapya na zamani allah awalinde kuazia mwazo wa ligi hadi mwisho wa ligi awafungulie milango iliyonyooka awaondolee mabaya yote yaliyoko nyuma yenu mbele yenu kulia kwenu kushoto kwenu awaondolee maradhi ya aina mbalimbali juu yenu ameen
Sasa tutazipa dozi kubwa timu kubwa zote bongo dube pacome aziz chama zengeli aucho mudathir Nani atavuka salama mbele ya mwananchi huko Nyuma viko vitasa vya Maana vya taifa Zima