Тёмный

PROF JANABI AMSANUA MAKONDA KUHUSU HUDUMA YA KUSHUSHA KORODANI,. 

HABARIMPYA TV
Подписаться 613 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@shedrackmihale7329
@shedrackmihale7329 21 день назад
Makonda kakaangu Mungu akubariki sana kwaani kazi yako njema .
@SechySeche-hm6bd
@SechySeche-hm6bd 22 дня назад
Mungu awabariki wore waliowezesha zoezi hili Mungu watie nguvu na ujuzi zaidi madaktari wote
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk 23 дня назад
RC Makonda ni mbunifu sana. Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar alibuni namna ya kuwasaidia waalimu wa shule kusafiri bure na alifanikiwa. Anafaa kuwa kiongozi japo wapo wanaompiga vita kwamba anaingilia madaraka ya wengine
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 24 дня назад
Kuna mambo watanzania tunajiuliza kwani mh makonda ni peke yake tu mkuu wa mkoa nchi mzima au mbona mikoani hawawezi kuiga hiki kizuri anachofanya huyu mkuu kwa faida ya wananchi km mikoani kungekuwa Moto km Huu jmn Nani angelalamikia serikali na wakuu wengine waige Basi mazuri ya makonda kwa faida ya nchi na wananchi wake.naomba kuwasilisha.
@karimpaul9169
@karimpaul9169 24 дня назад
Tatzo ushawishi wa mtu husika kka huyu mtu anajua kuvutia taasisi yyote na ikamwelewa.
@nathanaellekamoi7282
@nathanaellekamoi7282 23 дня назад
Jaribuni tu kumpa nafasi ya kugombania nafasi ya kugombania urais, nitampa kura zangu zote ambazo niliacha miaka kama ishirini na tano iliyopita kupiga.Yangu ni dua na maombi tu, si mnaona anavyofanya hapa Arusha.nchi ni uongozi bora tu, kila kitu tunacho.
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 23 дня назад
Tatizo Wakuu wamikoa wengine kabla yakua Wakuu wamikoa walikua Wakuu wafamilia zao kwaiyo wanaongozwa nahofu yakushambuliwa wao nafamilia zao kama ukipata nafasi yakumuuliza Makonda anayo yapitia kama unamoyo wafamilia Yako na Ndugu zako inaweza ukajiuzulu siku hiyohiyo kwakua Makonda ukiacha Kuteuliwa Na Raisi Kateuliwa Na MUNGU ndio maana unaona anafanya Hayo anayofanya ila Vita anayo pitia Nikubwa kuliko Umri wake ila Kwakua Mungu ndio kamteua ataendelea kufanya hayo anayo yafanya nakama Mkuu Wamkoa yeyote ataiga basi hatochukua raundi maana Vita nikubwa sana Tena sana Mungu aendelee kumlinda nakumtunza maana ni Hazina ya Taifa Mungu Mbariki Makonda Mungu Ibariki Tanzania
@andreakarata5469
@andreakarata5469 21 день назад
Makonda anafanya kazi vizuri,anajua maisha halisi ya mtanzania wa kawaida,anajua mateso ya wananchi,sio mbinafsi na anaupendo wa kweli na hofu ya MUNGU ,tumuombee sana kwa M MUNGU aendelee kumlinda na ipo siku ataikomboa Tanzania, MUNGU ambariki sana mh Paul Cristian Makonda 🙏🙏🙏
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 18 дней назад
Magufuli yupo ndani yake anafanya kazi yake bado
@hanifamziray277
@hanifamziray277 24 дня назад
Kweli kbs arusha kwa.nyama ni shida wanapenda sn hasa kule kwa mrombo wa2nwamefurika kila sk😅
@justinealistides5146
@justinealistides5146 24 дня назад
Ee mwenyezi Mungu tunakuomba uwabariki, wainue na uwajalie afya njema wote wenye moyo wa dhati wa kuhudumia jamii yetu.
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 23 дня назад
Be blessed 🙏 makonda,,,,Wakuu wa mikoa mingine ni machawa wa ufisadi
@nathanaellekamoi7282
@nathanaellekamoi7282 23 дня назад
Ashe Oleng.Mkuu wa mkoa nakuheshimu sana.umeshafanya mengi mazuri hapa kwetu Arusha. ombi langu ni hili tuongezee muda kwenye hili kambi, watu wengi bado hatujawaona madaktari.
@0783144B
@0783144B 23 дня назад
Unafanya kazi nzuri sana kiongozi , Ukitoka kwenye Afya Mh , uje na hukukwenye usafi wa mazingira Arusha , magari ya kukusanya uchafu mjini zinatembea zikidondosha uchafu mji mzima mpaka ikifika dampo gari halina uchafu ni vibobo tu vya chupa za maji kwa ajili ya kwenda kuuza wao wafanyakazi . Mamlaka hazisimamii ipasavyo
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 23 дня назад
Mungu akupe maisha marefu makonda
@simongwandu7392
@simongwandu7392 24 дня назад
Tukiwa na Akina Makonda Kwa idadi ya mikoa ya Tanzania nchi ingekwenda mbali
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 23 дня назад
Kaskazin tunahitaji hospital ya Kanda ya kaskazin na hospital ya Rufaa ya mkoa wa Arusha
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 18 дней назад
Orchidopexy inafanyika na masurgeon au Urologist Surgeons au hata madaktari wazoefu kwa hivi zinaweza kufanyika mikoani huko huko wala si tatizo geni la kuhitaji Muhimbili tu. Na elimu itolewe kwamba wazazi wachunguze watoto zao na wawahi kabla ya miaka 5 ambapo inakua rahisi kufanya Orchidopexy
@mrdeniskomba6199
@mrdeniskomba6199 24 дня назад
Ni Baraka sana sana
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 22 дня назад
Wallah nasikia mpaka kulia nikimwangalia makonda jinsi gani alivyo na upendo na watanzania
@ndetitave466
@ndetitave466 23 дня назад
Mungu mbariki makonda
@user-cw3vu8mu3k
@user-cw3vu8mu3k 24 дня назад
Kwel watanzania ni wagonjwa sana ee Mungu tusaidie
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 16 дней назад
Huyu mwamba nishawaambia anamadini mengi mno
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 23 дня назад
Uko vizuri Makonda
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 18 дней назад
Hivi si wachukue madaktari wapasuaji wachache wafundishwe wakafanyie mikoani kwao? Halafu wala si operesheni ngumu ya kumshinda general Surgeon au hata daktari mzoefu. Kuhusu kula nyama sidhani Arusha Nyama inauzwa bei rahisi hadi wengi kumudu kuinunua na kula mara kwa mara.
@josephchilongani2057
@josephchilongani2057 20 дней назад
Kiuhalisia ni ubunifu mzuri sana wa RC. Lakini, tujiulize kwanini watu wanajaa kwenye kambitiba hivi? Ni kwasababu wengi wao huenda walishindwa kulipia gharama za matibabu hayo kwenye utaratibu wa kawaida wa tiba kwani wengi hawana hizo bima, au vifurushi vya bima hazikavi baadhi ya garama za matibabu na vipimo vyao. Inamaana watakuwa wanasubiria hizo kambi ili kupata matibabu ya Bure au ya bei nafuu ambayo serikali inagarimikia kuleta vifaa na madaktari? Na je, hawa madaktari huku kwenye vituo vyao vya kazi inakuwaje? Nashauri utaratibu wa bima uwekwe Sawa, ili kuondoa uhitaji wa makambi ya tiba na watu waendelee kutibiwa hospitali kama kawaida?
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 24 дня назад
Maana kila nikingia mitandaoni naanza kumsach makonda anafanya nini
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 23 дня назад
😂😂😂😂😅😅
@boaziamos1224
@boaziamos1224 22 дня назад
Hicho n kipimo kwamba watanzania wengi hawana uwezo wa kufikia huduma za afya kwa sababu mbalimbali haswa za kifedha
@Khalfani-r5u
@Khalfani-r5u 19 дней назад
Kiukweli ni kiongozi wa kuigwa sana ni mchapa kazi na anajua majukumu yake
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 23 дня назад
Kaskazin tunahitaji hospital ya kanda ya kaskazin kcmc Wana hujumu hospital za serikali
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 24 дня назад
kAMERA MAN.. alie kuruhusu uipige picha Laptopu ya prof janabi Nani❓❓
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 23 дня назад
Tatizo Kaskazin mumeitenga sana haina hata Hospital ya kanda ya kaskazin
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 23 дня назад
Hii nchi inahitaji uongozi bora tuu kila kitu tunacho
@frankwarembosaloon5316
@frankwarembosaloon5316 24 дня назад
HIVI MINAJIULIZA YAMA MAREDIO YAKIBONGO MBONA HAMUMUONGELEAGINMAKONDA WAKATI ANAFANYA KAZI NZURI SANA
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 24 дня назад
Si umuongelee wewe,kwani umekatazwa?
@juliusdonard933
@juliusdonard933 23 дня назад
Mambo ya kushusha jinsia haina tofauty na kusuport ushoga
@hamismakau4757
@hamismakau4757 24 дня назад
Serikali ingeweza kuweka huduma za afya bure kwasababu mfano Leo Mgonjwa anatibiwa anapata Dawa je akimaliza Dawa Muendelezo wao unakua sio Mzuri kutokana na ugumu Wa upatkanaji Wa huduma na gharama za Dawa na huduma kwa ujumla
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 24 дня назад
Nashkuru na kufurahi leo kumuona makonda anasema na kufanya kitu
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 24 дня назад
Mkumbuke ya loliondo
@user-xz6rz2vc7j
@user-xz6rz2vc7j 22 дня назад
Nikiongozi anaejitambua
@simongwandu7392
@simongwandu7392 24 дня назад
Mheshimiwa Janabi Mungu amekutuma endelea na moyo huo
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 24 дня назад
Amusanua nini uzushi tu na lugha za media na uzushi na unaaana gani kusema amemsanua hovyo wewe
@user-mf2ll7nz5g
@user-mf2ll7nz5g 24 дня назад
Uzushi
@brigethsauzand3926
@brigethsauzand3926 24 дня назад
Hata Mimi kaniudhi sana huyu wa media eti prof Janab amsanua Makonda wivu tu wa kazi za makonda!
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 24 дня назад
Hongera sana Mh Makonda.. Mungu akubariki
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 23 дня назад
Hata mimi nimeshangaa kamsanua je sasa
@emakoresahili
@emakoresahili 24 дня назад
Hizo kambi zinaweza kusaidia watafiti kukusanya Data ambazo zinaweza kutumika kwenye uandaaji wa Bajeti ya Wizara husika. Lakini pia inaonesha changamoto ziko mahali gani.
Далее
ПОЮ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
3:19:41
Просмотров 1,9 млн