Тёмный
No video :(

RAIS EMBALO ATINGA TRENI YA SGR ALICHOKIKUTA HIKI HAPA 

Daily News Digital
Подписаться 220 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

DAR ES SALAAM: Rais wa Guinea-Bissau Umbaro Sissoco amesema yapo mengi ya kujifunza nchini Tanzania haswa katika suala la maendeleo ya Miundombinu.
Sissoco ameyasema hayo wakati akitembelea Reli ya Kisasa SGR ambayo imemfikisha Pugu kutokea Stesheni jijini DSM.
Akiwa ndani ya Treni hiyo ambayo imempeleka hadi kituo cha Pugu na kurejea amemweleza mwenyeji wake umuhimu wa kutembelea nchi ya Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya ziara hiyo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amewataka watanzania kujivunia mazuri yanayotekelezwa na viongozi wao, huku Mkurugenzi Mkuu wa TRC Masanja Kadogosa akieleza namna Reli hiyo inaumuhimu kwa mataifa hayo mawili katika kukuza uchumi.

Опубликовано:

 

21 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Месяц назад
Magufuli alibezwa wakati anaazisha ujenzi.
@geraldgogadi7054
@geraldgogadi7054 Месяц назад
Gone but never be forgotten, Keep on sleeping True son of Mama Africa JJPM
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Месяц назад
One men must be remembered, king JPM, well done rest in peace,,
@ibrahimobedi4498
@ibrahimobedi4498 Месяц назад
Wachumi kupamba watu sijui mradi ulianza mbali no tunaemjue siye Ni Dr John Pombe Magufuri yeye ndiye muhasisi wa mradi mpeni mtu kongore zake
@tinayotham9035
@tinayotham9035 Месяц назад
Hakika umeongea, JPM atabaki kuwa Muasisi wa SGR hamna na wala hatatokea mwingine. Rest In Peace Papa.
@user-sp6sv3cg9d
@user-sp6sv3cg9d Месяц назад
JPM Mungu akulaze Mahalo panapokustahili kwa maono yako nitakukumbuka maisha yangu yote natamani ungekuwepo na mengine ungeyaanzisha hongera piano mama kwa kuyaendeleza
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Месяц назад
Gone but not forgotten Rest easy jpm Ulikua na maono Hatukusahau kwa alama hi Mama samia kazi iendelee
@ellamsakafu60
@ellamsakafu60 Месяц назад
Kazi mzuri mama Tanzania. Kwanza namsifu JPM kwa maono yake mazuri. Hadi alipotuacha alikuwa ameacha reli ya SGR katika vipande (lots) tatu; Dar - Moro, Moro - Dom na Mwanza - Isaka (stage ya mwanzo). Lakini SSH alipoingia madarakani siyo tu alisinzia bali kasi ya ujenzi iliongezeka ktk lots hizo. Lkn pia alianzisha lots zingine kama; Dom - Tabora, Tabora - Isaka, Tabora - Kigoma na Kigoma (Uvinza) - Msongati (Burundi). Ukiangalia utaona SSH amepiga kazi zaidi. Viongozi wote wanastahili pongezi. Big Up.
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 Месяц назад
Magufuli alisema mpaka wazungu waje kungalia kazi anayo fanya
@marwajoseph8060
@marwajoseph8060 Месяц назад
Magufuri aliona mbali vizuri huwa havidumu
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 Месяц назад
RIP JPM 😭😭😭
@Mpakauseme
@Mpakauseme Месяц назад
Muendeleze sio wanakujakuwatembelea arafu baadae hao hao wanakuja kuwapita kimaendeleo kwani yametokea hayo , fanyeni kwa vitendo zaidi ya hapo, manake wabongo maneno mengi vitendo sifuri
@roberttarimo4956
@roberttarimo4956 Месяц назад
RIP JPM
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 Месяц назад
Hongera sana Mama SAmia kwa kuendeleza maono ya JPM na kuyafikisha mahali pake. You are supper woman! Tunakupenda sana. Endelea kuwasweka ndani wala rushwa na wanaotaka kuturudisha nyuma. TRC mkiongozwa na mchapa kazi ndugu Masanja Kadogosa mnafanya kazi nzuri sana. I feel proud of my country. Keep it up
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv Месяц назад
wasukuma wachapakazi we siunaona jpm miaka 6 tuu tanzania 🇹🇿 imeshafunguka AWAMU zingine miaka 10 hakuna lolote nilirudi bongo 2015 barabara zilikuwa kama ulimi wa nyoka hicho kilikuwa kipindi cha jakaya kikwete ilikuwa noma, Home boy we kaa nje ya Tanzania kwa miaka mingi kid0go harafu rudi bongo kabla ya kipindi cha jpm huwezi amini jinsi utakavyoiona bongo utafikiri haina viongozi bongo tupo nyuma kimaendeleo " jpm humfananishi na kiongozi yoyote waliopita hapo Tanzania labda Nyerere tuuu rais mwenye uthubutu, kikwete anasema yeye ndiyo alitoa wazo la kujenga reli ya treni ya umeme lakini hakujenga so ni alikuwa anafurahi nafsi yake lakini chuma toka chato akajenga na hskuna stori
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 Месяц назад
R.I.P.JPM
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 Месяц назад
Mbeba maono ni Magufuli,
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Месяц назад
Mbeba maono ni Kikwete na Jpm msisahau, halafu mtekelezaji ni Magufuli
@HansChuma
@HansChuma Месяц назад
Rip mzee wangu Magufuli😢😢😢
@emmanuelkahangamabula6527
@emmanuelkahangamabula6527 Месяц назад
Magufuli apewe maua yake huko aliko❤
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Месяц назад
Hongereni saana shirika la Reli
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Месяц назад
Arusha To Nairobi,Dodoma Arusha Dododoma Mbeya to Tabora mikoa yote ingunanishwe na pia viwanja vya ndege vyote vikubwa itapendeza sana .
@kwisa4899
@kwisa4899 Месяц назад
Huyu kiongozi nilijua ziro siku alipo sema system za malipo zina sumbua na kashindwa kusimamia foleni nikajua tu huu mradi kutoboa ni ngumu
@MashakaKalamba
@MashakaKalamba Месяц назад
Magufuli - alikuwa na maono makubwa. Mungu amlaze mahali pema peponi.
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 Месяц назад
😭😂😂😂😂😂😂 kiongozi mkubwa hajui Guinea Bissau ipo upande gan wa Afrika et Central Africa 😂😂😂😂😂 maskin Kodi zetu
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Месяц назад
Inatokea hiyo wala sio tatizo hata wao watu magharibi hawana mpango na sisi hawajui tu Tanzania ipo wapi, nilishakutana na wa cameroon zaidi ya watatu kwa wakati tofauti wananiuliza Tanzania iko wapi, mmoja alisema tumepakana na south Afrika mwengine alithubutu kusema majirani zetu ni algeria sababu accent ya lugha yetu inakaribia kama kiarabu au kifaransa mwengine aliniuliza kama tupo karibu na ethiopia at least nowadays Nigeria huitambua Tanzania ipo karibu na Kenya tena hasa sababu ya kipindi cha covid tulijulikana sana kimataifa sababu mjomba Magu, dunia iliweka brake down yeye alifungua na Kenya wakafuata hivyo wengi wakaanza kuifuatilia Tz na hasa raisi magufuli na misimamo yake, ndio maana nchi kama Jamaika wenye asili ya Afrika ila wapo bara la America waliomboleza msiba wa magufuli tena kitaifa.
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 Месяц назад
@@nassercurtis9579 Lakini huyo n Msomi amesoma iweje ashindwe kutambua kitu ambacho hata Mdg Wang wa darasa la tatu anakijua 😂😂😂😂😂😂😂
@gilbertwerema9870
@gilbertwerema9870 Месяц назад
Kadogosa anachanganya Guinea Bissau (Afrika magharibi karibu na Senegal) na Equitorial Guinea (Afrika ya kati karibu na Cameroon)
@marcomathew8439
@marcomathew8439 Месяц назад
Viva JPM
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 Месяц назад
Wapuuzi. Ni MAAMUZI YA MAGUFULI KUIJENGA RELI, UMEME, FLYOVERS ETC. VIVA MAGU VIVA
@nicholausnyello1577
@nicholausnyello1577 Месяц назад
R.I.P JPM
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani Месяц назад
Guinea Bissau IPO mbali sana mheshimiwa
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 Месяц назад
Kadogosa ndugu, Guinea Bissau iko Senegal bro. Wacha usijizongeshe chungulia map kidogo
@valerianrwebandiza754
@valerianrwebandiza754 Месяц назад
Guinea Bisau iko Senegal???? Kweli??
@alimuse6980
@alimuse6980 Месяц назад
Sio iko karibu Burundi
@User255tv
@User255tv Месяц назад
Na wewe umechemsha!
@kwisa4899
@kwisa4899 Месяц назад
Train aiendi mwanza tena ni kigoma😂😂😂
@DaudiMede
@DaudiMede Месяц назад
June 2024 but still
@arafamoshi1197
@arafamoshi1197 Месяц назад
Tz to guinea Bissau mbali Sana
@lucaskoisha2681
@lucaskoisha2681 Месяц назад
Safi sana
@johnabery-vn7eb
@johnabery-vn7eb Месяц назад
Kichwa siyo kile kilichokua kinatangazwa mtandaon ap tumepigwa
@fredrickkaaya6287
@fredrickkaaya6287 24 дня назад
Hatuwezi kumsifu mtu aliyeuza bandari zetu, misitu yetu na mbuga zetu za wanyama kwa wajomba zake waarabu. Kiama chake kimekwisha tabiriwa na manabii someni alama za nyakati. Tunamshukuru Mungu kwa maono mkubwa aliyompa J P M na Leo yametimia. Hatuna cha kumtukuza mwanadamu mwenzetu kwani reli imejengwa kwa Kodi zetu wenyewe.
@KamiliKapeta-yr3uc
@KamiliKapeta-yr3uc Месяц назад
Magufuli mamboyalikua bilakwenda nnchi Za nnje wala mikopo
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Месяц назад
Pesa zitaliwa na wafanyakazi.
@apolnaryandrew4271
@apolnaryandrew4271 Месяц назад
Kwahiyo reli haiendi tena mwanza,? ni Tabora, kigoma hadi isaka?
@user-tc2ul3uk5o
@user-tc2ul3uk5o Месяц назад
Genius
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Месяц назад
Msipo mtaja Magufuli nawaona ote kafala tu
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 Месяц назад
Aliyebuni huu mradi ni nani?Wanaomsema na waseme mi mtanzania namkubali kulikoni sitaki nimtaje jina najua alipo ana amami Tena kubwa aliiheshimisha nchi atakaekubali akubalianaekataa shauri yake
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 Месяц назад
Jina lake mbona linawakosewa ni lipi sasa? EMBARO au EMBALO??
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf Месяц назад
Embalo
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 Месяц назад
Yote sawa tu.
Далее
Наташа Кампуш. 3096 дней в плену.
00:58
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
Просмотров 22 тыс.
TAZAMA NDANI NA NJE YA “MCHONGOKO” WA SGR
1:49
Просмотров 43 тыс.