Тёмный

RAIS SAMIA AFUNGUKA MBELE YA BOSS MPYA WA TRA 'YANANIUMIZA KICHWA,WAUZAJI HAWATAKI KULIPA KODI' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@bensonphilip9673
@bensonphilip9673 3 дня назад
Tunapenda sana kulipa kodi mama shida tunachoka kuona zinaliwa na makundi ya watu na hakuna uwajibishaji wake inakera sana
@user-og9jt3mg4c
@user-og9jt3mg4c 3 дня назад
Mheshimiwa hizo nchi unazosema wanalipa kodi angalia na usimamizi wa kodi zao. Huenda wananchi wao wanaona kodi zao zikisimamiwa vizuri, zikifanya makusudio, haziendi mifukoni mwa mafisadi. Tuige kupigana na mafisadi ili walipa kodi walipe kwa furaha!
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 3 дня назад
Watu sio kwamba hawataki kulipa shida pesa zinatafunwa
@subiramwaka9792
@subiramwaka9792 3 дня назад
uizi wa waliopewa dhamana ndio tatizo
@mr.erickmwacha8575
@mr.erickmwacha8575 3 дня назад
PESA ni kodi ila na matumizi tubane PIA.
@richkaja3317
@richkaja3317 3 дня назад
Mama upole umezindi kua mkali kwa viongozi wako
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 3 дня назад
Mama nipe kazi kwa ajiri ya ushauri utoumiza san kichwa saaana
@user-zn4jl5wy3d
@user-zn4jl5wy3d 3 дня назад
Mpendwa Rais wetu, hebu waambie maafisa wetu wa kodi waende Uganda wakajifunze kama URA wanapambana na wafanyabiashara. Tuna tatizo kubwa la rushwa ndio chanzo ya yote
@halidomar9874
@halidomar9874 3 дня назад
Pamoja na mgomo uliotokea mama tra bado ndio chanzo cha maradhi ya watanzani sukari presha hawapend kuona maendeleo ya mlipa kodi mishahara yao wanaokula kutusumbua sisi itatoka wap?
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 дня назад
Mama watawala wanfanana na wananchi ndio shida
@user-mp6ij4yq8l
@user-mp6ij4yq8l 3 дня назад
Mama ni mama
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
mama Samia sikutegemea, i thought you would stand and let others follow suit and pray for our Jirani Kenya. they are our strategic business partners, when peace is restored in their quarters happy are we au?
@user-og9jt3mg4c
@user-og9jt3mg4c 3 дня назад
Siyo kwamba watu hawataki kulipa kodi, wanataka lakn tatizo ni pale tunaposikia mabilioni yameibiwa, ambazo ndizo hizohizo kodi. Dhibiti mianya wa wanaoibia serikali ili walipa kodi wawe na imani na kodi zao kwamba haziendi mifukoni mwa watu.
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 3 дня назад
Samaki mmoja akiiia???
@user-tu9ps9kr2o
@user-tu9ps9kr2o 3 дня назад
🙌🙌🙌
@NoelSamila
@NoelSamila 3 дня назад
Shida sio kulipa kodi mama. Tatizo ni hawa wakulungwa wako unao waweka kwenye hayo makusanyo ya kodi wanapiga tu sasa unapatia wap nguvu ya kulipa kodi
@user-cv4jb1bm6i
@user-cv4jb1bm6i 3 дня назад
😁😁MAMA ANGU MPENDWA CHUNGUZA HAWA VIONGOZI WAKO AMBAO KILA WAKISIMAMA WANASEMA TUNAPENDA KUMSHUKURU MAMA SAMIA hao ndo chanzo cha yote sijui wenyewe wanafanyaga kazi gani
@allysimu6856
@allysimu6856 3 дня назад
Mama wewe ni kiongozi bola kuwaikutokea nchini kwetu semanini kunamijitu inapenda kupelekwa kipundapunda nawewe ni mchamungu mwenyezi mungu atakulipa kwamema unayoyafanya inshallah wewe ni raisi bola apa nchini kwetu watakukumbuka utakapomaliza mudawako endelea kututumikia watanzania tunakupenda Sana mama kazi iendelee
@muhengamakunga
@muhengamakunga 3 дня назад
hapa hakuna kiongozi
@muhengamakunga
@muhengamakunga 3 дня назад
huyu mama kazidiwa nguvu na wakina kinana yeye Hutu ongoza na yeye huongozwa
@judyngowi391
@judyngowi391 3 дня назад
Jifunze kwanza kiswahili
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
Mama Samia, kodi unapandishia wa/nchi wako bila huruma. shida hiii hela mbona hatuoni kinachofanyika? viongozi wako wanakula sana kutokana na ww kusema kuleni kwa urefu wa kamba yako. kodi tulipe sie kula mzitafune nyie, deni la taifa kkuongezeka, miradi unajitaidi lakini hiko ktk viwango stahiki..haki hakuna nchini na bibilia inasema Haki huinua nchi..mbona husikilizi vilio vya nchi yako Mama?
@allymganga3223
@allymganga3223 3 дня назад
Mama cheka na nyani wananchi tunavuna mabuwa wanakusifia mama kaupiga mwingi na maneno matamu matamu ya kukupamba alafu wanakuibia wanakungongaa kisogo
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 3 дня назад
Punguzeni kod kisha simamieni tuone kama itasumbua shida kodi ni 20% ni nyingisana kwaiyo watu wanaona bora wa kwepe
Далее
What turned out better to repeat? #tiktok
00:16
Просмотров 2,4 млн
ПОЮ ЛЕТНИЕ ПЕСНИ🌞
3:16:55
Просмотров 1,7 млн
RAISI AVAMIA SABASABA WATUMBULIWA VIONGOZI
2:24
Просмотров 3,2 тыс.
What turned out better to repeat? #tiktok
00:16
Просмотров 2,4 млн