Тёмный
No video :(

RAIS SAMIA AKISHIRIKI HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA RAIS KWA WAZALISHAJI BORA 

Ikulu Tanzania
Подписаться 283 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora (President"s Manufacturer of the year Awards) leo tarehe 17 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki.

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 8 месяцев назад
Tanzania yetu ❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯💯💯💯💯
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 8 месяцев назад
TANZANIA imekua Kenya leo
@musadionis1612
@musadionis1612 8 месяцев назад
Chapa kazi mama
@elifurahamassawe3439
@elifurahamassawe3439 8 месяцев назад
Asanteni wenye viwanda kuchangia maafa ya Hanang - Manyara
@omarkishindo9844
@omarkishindo9844 8 месяцев назад
Piga kazi rais watu tuko nyuma yako
@armstrongabala
@armstrongabala 8 месяцев назад
Waliimba wimbo wa 'TWENDE NAIROBI' kwenye Ikulu ya Tanzania. Wana ujasiri hawa 🤣
@rommelmauma8081
@rommelmauma8081 8 месяцев назад
*Je, wenye viwanda binafsi wanarudisha nchini hayo mapesa ya mauzo kwa nchi za nje ili kupanua viwanda vyao na kuzidisha kuzalisha ajira kwa vijana wetu, ama wanalimbiza huko huko nje, kwa mfano, Afrika Kusini au Dubai?* *Kuhusu ufuaji wa umeme, hili linaonesha dalili nzuri. Lakini, kama ilivyo mvua kwamba hakuna masika yasiyo na mbu, je, tumejitayarisha kimkakati kukabiliana na ubovu wa miundombinu yake kutokana na uzee wa "transformers" zilizopo?*
Далее