Тёмный

RAIS WA CHUO AZUIA WENZIE WASIINGIE CHUONI, “HATUMUELEWI SISI SIO WATOTO” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 97 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 530   
@PatrickSaid-zz6gf
@PatrickSaid-zz6gf 3 месяца назад
Jamaa yupo smart sana huyo wa kwanza kuhojiwa
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 месяца назад
Kijana anajielewa sana, Hongera kubwa Kwa wazazi waliomlea, kijana shika busara hiyo hiyo usijikanganye Kwa kuiga marafiki au kudharau wengine, Safi sana kijana
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 месяца назад
​@@darajalakidatukilomgi2362chokora tu
@maimunanampapata-sb6kd
@maimunanampapata-sb6kd 3 месяца назад
Kwakwer maua yake
@Dafetty
@Dafetty 3 месяца назад
Kabisa nakuunga 🤝💯
@marymanoni5536
@marymanoni5536 2 месяца назад
Dogo unaakili sn ila cc kazini tunavaa kila siku viatu vya kufunika
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 месяца назад
Huyo kijana wa kwanza angechaguliwa kuwa Raisi anajielewa na kuchanbua hoja vizuri na kwa kutulia
@SadockSinkala
@SadockSinkala 3 месяца назад
Uko vizuri kiongozi utaratibu huo ni nzuri Mungu akutetee nakukulinda watoto wetu wanaharibika maadili kwakukosa usimamizi wa aina yako
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 месяца назад
huyu jamaa wakwanza kuhojiwa ana dii mbili maelezo yake yamenyooka sana baba yake bila shaka anafulah sana kuona kujana wake
@odingamalambilo9070
@odingamalambilo9070 3 месяца назад
TIA Rais huyu alindwe na kuombewa Mungu ambariki
@LetcialAlphonce
@LetcialAlphonce 3 месяца назад
Amen,Damu ya Yesu amfiche
@LivingstoneShayo
@LivingstoneShayo 3 месяца назад
​@@LetcialAlphoncee😢5trwe53e
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 3 месяца назад
Raisi Yuko sawa Hata Mwenyezi Mungu Anataka watu wavae Mavazi ya kujistiri ,Ktk hili Hata Mungu amefurahia Sana Hongera kijana unadhawabu yako mbinguni maana watu wengi wataikosa mbingu kwa kwa ajili ya Mavazi
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 месяца назад
Hilo la mwenyezi Mungu anataka watu wavae mavazi ya kujisitiri ni uwongo wa shetani kwa sababu kama ni kweli Mungu angetupa nguo tukiwa ndani ya tumbo la mama. Kwa hiyo msilete upumbavu wa dini ya kiislamu ndani ya shule.Pelekeni msikitini hizo sheria
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 3 месяца назад
Ubarikiwe rais wa wanafunzi👏👍 uko vizui sio chuo cha madanga ni chuo cha wataalamu.
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 3 месяца назад
Karib kwenye ajira mtaan
@baddiekid
@baddiekid 3 месяца назад
😂😂😂
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 месяца назад
😂😂😂
@mariamkaniki-if1iw
@mariamkaniki-if1iw 3 месяца назад
Ehh mungu kumbe kunampak vyuo vya mada*ga😢😅
@HamisHemed-yl5ke
@HamisHemed-yl5ke 3 месяца назад
Soma maliza ondoka mengine achana nayo
@SOPHIAMICHAEL-zz7xu
@SOPHIAMICHAEL-zz7xu 3 месяца назад
Hongereni sana viongozii kazi nzurii daima huwezi kukubalika ukiwa mkwelii.karibuni Mwenge catholic university 😂😂
@hassanlubola414
@hassanlubola414 3 месяца назад
Pale kulikuwa na jamaa anasimama mbali haraf anacheki walio vaa vibaya na kuwarudisha
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 3 месяца назад
Hongereni Viongozi Na Msiishie Hapo Tusonge Mbele. Hakuna Chawengi Wape. Bali Sheria Ifuatwe.
@AliceChentesa
@AliceChentesa 3 месяца назад
Chawa ww sio bure na uwazir upat😅😅
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 3 месяца назад
@@AliceChentesa Uwaziri Huo Vepe. Shida Niyakuwa Mnatakiwa Muishi Kwamaadili Nakutwii Sheria Bila Kushurutishwa. Msiishi Au Tusiishi Kwakukopi Nakuposti.
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 месяца назад
Wamezidi, nadhani tuanzie huko kufinyanga maadili ya vijana wetu. Kusema kwamba huko ofisini kuna watu wanavaa open shoes nadhani amepotoka anatafuta huruma. Hakuna ofisi inayoruhusu open shoes labda kama anaugua miguu. Vyuoni kumekuwa ni sehemu ya kuhifunzia tabia za ovyo badala ya sehwmu ya kujifunzia maadili. Waraka wa Mavazi uzingatiwe kama Chuo ni cha Serikali
@Geofrey-Martin-Kaputa
@Geofrey-Martin-Kaputa 3 месяца назад
Hongera sana Raisi wa chuo uko vizuri vyuo vingi vimeharibu maadili ya Kitanzania
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 3 месяца назад
Hongera sana kiongozi embu tupende uafrica wetu mbele haya mambo ya kuiga na kuona wazungu wanamadili mazuri tunakosea sisi vijana tukumbuke kesho tutakuwa na watoto tukiwaona watoto wetu wanavaa nguo za kuonyesha tupu zao kweli tutafurahia tuvae uafrica wetu
@sophiamalisa5816
@sophiamalisa5816 3 месяца назад
😂😂 ajira zenyewe amna kikubwaa someni tuu Muondokane na izo SUP zenu
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 3 месяца назад
Huyu mwanaume aliyesema si sawa ana support ushoga
@selemanifaikii1276
@selemanifaikii1276 3 месяца назад
Jamaa simuelewi huyo kama sio mwenzetuu
@saintbrotawfiq
@saintbrotawfiq 3 месяца назад
?
@lusakaone7782
@lusakaone7782 3 месяца назад
Binafsi npongeza Rais wa Chuo, mimi nilipigania wanafunzi kuvaa vizuri nikafanikiwa mpk leo wapo vizuri
@rosemneney3244
@rosemneney3244 3 месяца назад
Fala kweli huyo
@lusakaone7782
@lusakaone7782 3 месяца назад
@@rosemneney3244 Fala nani sasa sijakuelewa
@sheilashomary48
@sheilashomary48 3 месяца назад
C ww​@@lusakaone7782
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 3 месяца назад
Tutii Sheria Bila Shuruti. Imekaa Vizuri Rais Chuo. Kama Hautojali Ungekuja Huku Mtaani Yaani Watu Wanatembea Uchi Na Hawajali. Mazoewa Sio Sheria. Hongera Brother
@AliceChentesa
@AliceChentesa 3 месяца назад
Huna akili ww peleka kijijin Kwenu huko
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 3 месяца назад
​@@AliceChentesaAsiekua na akili ni yeye au ww??
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 3 месяца назад
​@@hamadsuleiman5177nimemshangaa yy ndo hana akili pimbi huyo
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 3 месяца назад
Na yeye pia miongoni mwao ndio maana anamuona mwenzie hana akili kumbe yeye ndio hamnazo mvaa uchi mkubwa
@hamisathuman2729
@hamisathuman2729 3 месяца назад
@@hamadsuleiman5177we bwege
@GetrudaSeif
@GetrudaSeif 6 дней назад
Shikamo rais kazi indeleee
@VictorGosbert
@VictorGosbert 3 месяца назад
Ni wazo zuri ila namna ya kuliweka sawa,ameshindwa.
@happynesslamecky8268
@happynesslamecky8268 3 месяца назад
hapo anajikuta rais wa tanzania kabisa😂
@jamilahhamis
@jamilahhamis 3 месяца назад
Km nchi kaibeba yy😂
@NyangeBoytz
@NyangeBoytz 3 месяца назад
😂😂😂aliukamia Kweli uo uongozi tutamshona
@tawheedislamiccomplex980
@tawheedislamiccomplex980 3 месяца назад
Anafaa kabisa
@Dipeson700
@Dipeson700 3 месяца назад
Ofcoz ​@@tawheedislamiccomplex980
@kamgishaomary2371
@kamgishaomary2371 3 месяца назад
Hyo raisi anaongea kama reporter wa mchongo😂
@HappyCaptainHat-ce7ku
@HappyCaptainHat-ce7ku 3 месяца назад
😂😂😂
@KMOfficial401
@KMOfficial401 3 месяца назад
😂😂😂
@AnnaJesse-qu1wg
@AnnaJesse-qu1wg 3 месяца назад
Ni mdgo ake @lupiana
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 Месяц назад
🇹🇿Yeah!Ungewekwa na utaratibu wa kupima afya pia Ili kubaini mashoga na wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile haiwezekani tukawa na wahasibu wa nchi wanatembea na pampasi ni aibu na uchafu kwa taifa.kazi nzuri ❤nimeipenda hii.🇹🇿
@stevenjoseph3192
@stevenjoseph3192 3 месяца назад
Kaka iyo nzuri sana kiongozi atabiliki piga kazi
@storytownTv
@storytownTv 3 месяца назад
Mkuje kampala ,uku hata chupi njoo nayo..kikubwa we usisapue..😊😂 ila yote tisa la 10 Raisi wa chuo anawasaidia wanafunzi wake wawe watu wa maana kabisa kwenye taifa letu
@evanswinston5102
@evanswinston5102 3 месяца назад
Kiut hatutaki izi mbwembe Kila kiumbe kipige mikato yake mradi hajaonyesha uchafu wake Uyo raisi mwenyewe hata kuongea hawezi
@JamesKirita
@JamesKirita 3 месяца назад
Wamezid naoo uongozi mzur big up
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 3 месяца назад
Hili swala ni zuri Sana raisi nampongeza Sana Kuna siku nilienda posta kuchukua passport office za uhamiaji nikiwa nimevaa Jez ya Chelsea asikali wakasema Jez aina yoyote hailuhusiwi nikawa nimefeli hiyo siku
@w_media_house
@w_media_house 3 месяца назад
Huyo askari alikua shabiki wa arsenal 😂😂
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 3 месяца назад
@@w_media_house 😅😅😅 daaaah afu wakaanza kunitania nimevaa Jez ya team mbovu
@Mbinga_01
@Mbinga_01 3 месяца назад
Jamaa kawageuka waliompigia kura 😂😂😂 Sema hongera zake
@Taito-brand
@Taito-brand 3 месяца назад
Aaah nzur hy eet kuvaa buti inachosha jamn ofisi gan wanavaa kobaz we kenge😂😂😂😂
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 месяца назад
Itakuwa ya Babu yake😂😂😂😂
@Sultan-o7m9s
@Sultan-o7m9s 3 месяца назад
Ukiwa kazin mda mwengine unavua viatu unakuwaa miguu peku uliza hili
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 месяца назад
Kijana anatafuta huruma. Kuvaa nadhifu ni maadili ya watumishi wa Umma sasa kama mtu anaenda pale kuvaa kivyake eti ni mwanamuziki, atafute shulw ya muziki wanaokaa uchi na minywele ya ovyoovyo akakae huko.
@mbtwinsentertinment8124
@mbtwinsentertinment8124 3 месяца назад
Kazi nzuri kwa uongozi. Mimi Nimesoma Hapo na utaratibu wa kurudishwa ulikuwepo ila ulikuwa haujatiliwa mkazo. Asimamie kikamilifu kabisa Maana TIA ni kweli Baadhi ya wanafunzi wanavaa ovyo.
@MultiBice
@MultiBice 3 месяца назад
Kweli kabisa mngewapa muda wanafunzi sio gafla gafla hata viatu mngepunguza Sheria kidogo
@anethkyaruzi8080
@anethkyaruzi8080 3 месяца назад
“MABADILIKO SIKU ZOTE LAZIMA YAWE NA UPANDE WA MAUMIVU” Great point
@oswardrupiah5510
@oswardrupiah5510 3 месяца назад
big up Mr Rais, Mungu akutunze
@florianhenry7198
@florianhenry7198 3 месяца назад
Nenda SAUT na vimin vyenu VYA kikahaba kama mtatoboa
@nancyg8664
@nancyg8664 3 месяца назад
ah saut ni noma
@navukalunavatanzi6227
@navukalunavatanzi6227 3 месяца назад
Sawa kabisa huwezi kwenda shule na nguo za disco au za kuvaliwawanaume
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 месяца назад
Aina ya mavazi ya wanafunzi ni jukumu la Administration, au kuna Matron wa chuo ndio jukumu lao, na kama alivyosema kijana aliyehojiwa kwanza Taarifa ingetumwa kipindi barua ya kukubaliwa chuo sio mwisho wakati wa mitihani, Raisi simamia yanayokuhusu mengine waachie wenye chuo chao wafanye kazi zao
@gwakisakaswaga5249
@gwakisakaswaga5249 3 месяца назад
Unaishi dunia gani boss wangu??
@stephenmagoti2588
@stephenmagoti2588 3 месяца назад
Kuropoka tu hoja anhhh
@JosephMwinula
@JosephMwinula 3 месяца назад
Rais mwenyew mshambaa tu..yey aendelee na uchawa atakuja afinywe na wachawi wa himaya ya mwakatobe..msengerema sana muheshimiwa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 месяца назад
We jitie ufundi utafikiri kwa mungu ni picnic
@samwa9496
@samwa9496 3 месяца назад
Mpuuzi Malaya kwani chuoni ndio sehemu ya umalaya
@JosephMwinula
@JosephMwinula 3 месяца назад
@@samwa9496 malaya baba ako muheshimiwa😂
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 месяца назад
Ni utaratibu uliokuwepo, 1975, binafsi nilikamatwana mgambo kwa jambo hili hili , issue ya uvaaji wa mavazi liliabzushwa toka 1975, tulivaa nguo za heshima kabisa hadi leo wachache wakorofi si waelewa. Big up Rais wa TIA
@CTM.24Updates
@CTM.24Updates 3 месяца назад
😂😂
@saidshaban8110
@saidshaban8110 3 месяца назад
Hao waalimu wanavaa ivyo pia uwo mwaka 1975 unaleta leo MTU kama tabia mbovu ni mbovu2 jalbuni kutembea hata nchi jilani Rwanda,Zambia,Malawi na Kenya uone wabafunzi wanavyo vaa tena wasekondari unamkuta kajiachia kama anaenda disco alafu flesh ije kuwa hao WA chuo na nguvu hii mgekuwa mnaitumia kupata boom na kupata ajira baada ya kumaliza chuo ingekuwa poa sana
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 месяца назад
Your "freedom is limited by other people's freedom" headmaster wangu Milambo high 2012/2014 alifanya niijue hii
@mkorinthomgalilaya6700
@mkorinthomgalilaya6700 3 месяца назад
Head master alikuw nan kipindi icho
@mkorinthomgalilaya6700
@mkorinthomgalilaya6700 3 месяца назад
Nimesomea pale 2018
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 месяца назад
@@mkorinthomgalilaya6700 kumbe we mwanaume mlambo,,,enzi hizo alikuwepo mlambo mwenzetu mkongwe zaidi yetu E.shiloti
@isackismail690
@isackismail690 3 месяца назад
Mrambo
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 месяца назад
@@isackismail690 naaam
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 3 месяца назад
Adabu na nidhamu ni MUHIMU vizingatiwe ,Hongera Kwa Serikali ya wanafunzi big up sana
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 3 месяца назад
Safi Rais Mungu akulinde sana imekaa vizur
@JosephAlex-m1k
@JosephAlex-m1k 3 месяца назад
Pongeziii kubwa kwa bwana mkubwa..
@Joseph-l9r2l
@Joseph-l9r2l 3 месяца назад
Viongozi wapo sahihi kabisa spana ziendelee kabisa Mungu awasimamie maadui ni wengi na wengine wapo wamekoment vitu vya ajabu humu wanaona mmekosea lakini mko sahihi Magufuli alisema ukipendwa na watu wote na nikiongoz jiulize zaidi
@hilaryroberts7466
@hilaryroberts7466 3 месяца назад
Hapo anajiona Raisi Mwenyewe, Sema Hayo Mambo Yanamwisho wake
@dianachacky6434
@dianachacky6434 3 месяца назад
😂😂
@FranceKomba-sn3ui
@FranceKomba-sn3ui 3 месяца назад
Rais wa chuo apewe maua yake 👍🧠 smart sana ✍
@ZABRONKANDI
@ZABRONKANDI 3 месяца назад
Sisi ma boy hatuna shidaaa shidaaa ipo kwa ma bibiee wanaume hatuna shidaaa sieee👊👊👊
@simonsadala2386
@simonsadala2386 3 месяца назад
Hongeraaa sanaaa presider ww ni kiongozi simamia hapoooo
@heavymachineproduction.4613
@heavymachineproduction.4613 3 месяца назад
Karibu mtaaniii kuna ajira
@badymedia9648
@badymedia9648 3 месяца назад
Office gani tena TIA , mbona nimemaliza TIA saizi nauza karanga😂😂😂😊
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 3 месяца назад
Ndio maana ulisoma TIA chuo cha biashara za karanga ungesoma udaktari ungeenda kuuza dawa za binadamu.
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 3 месяца назад
Yaaani siruhusiwi mm kuja na jeans yangu je😢
@gloryeliaita8938
@gloryeliaita8938 3 месяца назад
NYIE vaeni vizuri jamani. Yan apo hakuna mgonjwa wala nini. Vaeni vizuri
@josephifanda5626
@josephifanda5626 3 месяца назад
Mbona sheria ipo wazi, inajulikana
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 3 месяца назад
Vaeni mavaz yampendezayo Mungu,,.Njooni huku maofisini hasa mabank ya NMB ni balaa tupu vimin ambavyo havina tofauti na mavaz ya madada poa.
@delphiniusalex
@delphiniusalex 3 месяца назад
We NMB unafata maadili au unafata huduma za kifedha?!
@chazyjacks673
@chazyjacks673 3 месяца назад
Mm najuta kujiunga SAUT na mashart yao
@frankanania7810
@frankanania7810 3 месяца назад
tumwambie RAIS wa chuo kama kuna maisha baada ya chuo au tumuache kwanza amalize chuo aje mtaani
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 3 месяца назад
😂😂😂😂mwambieni aache unaa
@JuliusNyika
@JuliusNyika 3 месяца назад
Hana akili uyu jamaa
@sesiliahussein7774
@sesiliahussein7774 3 месяца назад
Mwache usimtishe toto juliii 😂😂 atajionea mwenyewe
@davidgustavkomba2521
@davidgustavkomba2521 3 месяца назад
Hahahaaa😂
@ChimboTZ
@ChimboTZ 3 месяца назад
Hongera sana mzee
@heripaulo6484
@heripaulo6484 3 месяца назад
Ni Sahihi kabisa Sheria Hiyo Iletwe Na Kwetu Hapa SUA Kwetu.
@boemzungu411
@boemzungu411 3 месяца назад
Koo unawez kuingia ofisi ya mtu umevaa kitovu kipo nje vina mda kwan😂
@mansurirectification
@mansurirectification 3 месяца назад
Raisi wa ajabu mim NAsoma uhasibu sasa viatu na professional vinauhusiano gani yani jamaa kabadilika zaidi ya zuwena wa mondi an
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 месяца назад
Ushamba wa vijana wa Bara vijijini huko mambo ya mjini huwachanganya sana, na vichembe vya mfumo dume navyo kaja navyo mjini
@jamilahhamis
@jamilahhamis 3 месяца назад
😂😂😂usukuma mwingii
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 месяца назад
@@jamilahhamis akizoea mji ataacha kwi kwi kwi😄😁😁
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 3 месяца назад
WEWE NDIO MSHAMBA.Fuata Taratibu usivae kihole hicho ni CHUO SI DANGURO
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 месяца назад
Itakugharimu siku unaenda kwenye usahili, so anza kujiandaa kimaadili ukiwa ktk mafunzo chuoni
@ChoroTesla
@ChoroTesla 3 месяца назад
Nilivyosikia serekali yetu chini ya mama samia nkajua rais wa chuo chenga Huyu sista nae shelia , Vizuli kiswahili bado kigumu sana.
@fredykayenze8246
@fredykayenze8246 3 месяца назад
Mwenge Catholic University chuo changu pendwa tunavaa vizuri sana
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 3 месяца назад
Hongera sn Rais wa Chuo..
@albertomwambapa
@albertomwambapa 3 месяца назад
T.I.A This is Africa na si chuo hicho...😅😅😅😅
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 3 месяца назад
Huyo dada wa mwishoni 10:00 nampongeza sana 🎉 haya mambo faida yake wataiona siku wanaenda kuomba kazi. Sasa nyie vaeni uchi uchi sasa kama vile mnaingia kudanga akati mnaenda kusoma
@presidentking5966
@presidentking5966 3 месяца назад
Vyuo vyetu ni mahiri sana kutengeneza waajiriwa na sii wawekezaji. Sijui tutafika mbali lini.
@ImeldaIsdory
@ImeldaIsdory 3 месяца назад
Sawa sawa kabisa. Hata office binafsi kuna mavazi hayaruhusiwi kabisa.
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 месяца назад
saf sana selikali ya hapa inajiweza huwezi kutembea kama mbuzi
@saintbrotawfiq
@saintbrotawfiq 3 месяца назад
Wanafunzi wa hapa TIA baadhi yao wanapenda sana maonesho 😢
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 3 месяца назад
Nakupongeza sanaaaa kumbe unazo Akili nyingi SANA sanaaaa Tena unastahili sanaaaa
@mrNovatus
@mrNovatus 3 месяца назад
Uyo rais anataka wanafunzi wawe smart alafu ajira hakun anataka wakienda mtaani washindwe kubeba zege ajira hakuna
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 месяца назад
😂
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 3 месяца назад
AJIRA ZIPO KAMA UNAONA HAKUNA NI WEWE TU. Chuo wanafunzi wote wanasoma somo la UJASIRIAMALI Kama ulikuwa hujui ujue. AJIRA NI PAMOJA NA KUJIAJIRI SIO TU KUAJIRIWA.Ukibisha utaumia kwasababu uwazavyo moyoni ndivyo utakavyokuwa KWA NJE.POLE KAMA unaumia ila ni kama SINDANO KWA MGONJWA NDIO UNAPONA HIVYO
@hemedmwandaro1264
@hemedmwandaro1264 3 месяца назад
Kugoma imekuwa trending sasa jaman wap tunakwenda???
@BakariAdamu-h1k
@BakariAdamu-h1k 3 месяца назад
Mungu amuongoze kijana wetu
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 3 месяца назад
Safi sana Huyo Rais wa Chuo, Mungu Ambariki sn ❤
@zabibucyprian1971
@zabibucyprian1971 3 месяца назад
Walimchagua kwa mbwembwe😂😂😂
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 3 месяца назад
hongera sana raisi wa chuo
@Notfunny-e2y
@Notfunny-e2y 3 месяца назад
Shida hawa wakitoka chuo wanaenda pale liquid moja kwa moja 😂
@ommydabysertz5499
@ommydabysertz5499 3 месяца назад
Uy jamaa kam Ruto😂😂 Kama Vp waandamane tu Km Wenzetu😃
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 3 месяца назад
Ha jaman chuo bdo tu wanambiwa wavae inavyotakikana😂 na shule ya primary na secondary
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 3 месяца назад
Yes maadili yazingatiwe chuo kisigeuke kua cha madanguro
@Dipeson700
@Dipeson700 3 месяца назад
Ushauri wangu, raisi aendelee kusimamia hapohapo, vijana waache upumbavu
@Lynnalice217
@Lynnalice217 3 месяца назад
Huyu kijana wa kwanza nimempenda ameongea point
@jonijoo23
@jonijoo23 3 месяца назад
Rais gani huyo hata kuelezea hoja hawezi? Vigezo gani vilitumika kumpitisha huyu awe mgombea😂😂😂😂
@frankwilliam144
@frankwilliam144 3 месяца назад
Rais wa chuo wazo lake liko vizuri kwa lengo la kulinda maadili. Mwanachuo anatakiwa awe mfano wa kuigwa kwenye jamii, sasa anapokuwa amevaa nusu uchi au mavazi yasiyostahili nafikiri haitokuwa sawa
@alistairelias536
@alistairelias536 3 месяца назад
Huyu rais anapaswa apigiwe vote of no-confidence.
@jacobnorbertchenga9465
@jacobnorbertchenga9465 3 месяца назад
Reegan Pius bado ana ndoto ya kujiriwa mimi namuombea dua
@Deadskytz
@Deadskytz 3 месяца назад
Walitucheka NIT hatimae tumekuwa role model wa vyuo vingine 😂
@Ndegejrtz
@Ndegejrtz 3 месяца назад
Wengine wanadanga2 ukimwi mwiingiii kutulia mmh mamae😅😅
@Ndegejrtz
@Ndegejrtz 3 месяца назад
Rais wa chuo yupo sawa🎉🎉wanavaa uch mpaka maoficin wasenge wadada woote wasiojielewa
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 3 месяца назад
Big up kwa Rais🎉🎉🎉🎉 ao madogo waach upumbvu wao wakishenz.
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 месяца назад
Mbona wadada wa bank wanapiga pin za hatali unaweza kosea kuandika hata account number hii imekaaje? Na vyuo kama hivo ndio vinawaproduce
@sumbaonline4002
@sumbaonline4002 3 месяца назад
😂😂😂
@joycekarondo2472
@joycekarondo2472 3 месяца назад
Uko sawa kabisa Rais wa Chuo.
@hamishatibu699
@hamishatibu699 3 месяца назад
Ndio maana Rais wao amekataa ayo, TPA uwezi kuingia na sketi iliyo juu ya magoti, wanafunzi wanapenda kutembea uchi tu wapate mabwana basi
@MWAMBWAMWETVkviewshoursago
@MWAMBWAMWETVkviewshoursago 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@joycesteven3692
@joycesteven3692 3 месяца назад
😂
@advocatepetermbogoro1192
@advocatepetermbogoro1192 3 месяца назад
Safi sana mh. Rais mm km mkufunzi katika vyuo vikuu mbalimbali nakuunga mkono kwani mavazi ya wanachuo ndio mwanzo mbaya wa mmomonyoko wa maadili. Lazima tutengemeze jamii inayoendana na muktadha halisia.
@Mikajosehp
@Mikajosehp 3 месяца назад
naungana na rais hiyo ni vizuri sana. Vijana. Mabiti acheni uchizi vaeni vizuri acheni uchoko
@juniorkamafa3391
@juniorkamafa3391 3 месяца назад
Hakuna Ajira ndugu yangu aseee..
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 месяца назад
Huyo rais wa chuo mama yake alimlea.hongera kwa mama yak3
@kelvinlushiku8431
@kelvinlushiku8431 3 месяца назад
Mmemchagua mwenyewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@geofreyhilmary9450
@geofreyhilmary9450 3 месяца назад
Huyo wa kwanza alitakiwa awe Rais huyo mwengine sijui amepitaje
@AsteriaPatrick
@AsteriaPatrick 3 месяца назад
Basi waanzishe sare tu ijulikanee tunaokuja kuanza tujue ni rangi gani🏃🏃
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 3 месяца назад
Rais yupo sawa shida ipo kwenye ubongo wa wanafunzi kama atafanikiwa hilo atakuwa kiongozi mzuri sana
@glorymungure7740
@glorymungure7740 3 месяца назад
Uyu Raisi Yuko vizuri sana
@NyamtigaIbrahim
@NyamtigaIbrahim 3 месяца назад
Huyu Rais Apewe Ulinzi Maana Saizi Waschana Wanajikuta Kama Wamedata Tunapoteza Maadili Yetu Ya Kiafrica Kw Kufuata Ushetani Wa Ughaibuni Hapo Nakuunga Mkono Rais
@shirimabenedict5431
@shirimabenedict5431 3 месяца назад
Uyo raisi atàkua msabatò
@AROLATWINA
@AROLATWINA 3 месяца назад
Sura sio Roho Jamani😂😂😊
@eliaseliusmjabi1562
@eliaseliusmjabi1562 2 месяца назад
Mna uhakika mkimaliza Kuna kazi 😅😅😅 au mnasumbuwa wenzenu
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 3 месяца назад
Hiyo hata Kampala University ilituletea shida ila Rais wetu alisimama na sisi hadi hiyo sheria imewekwa kando...maana hata ukivaa sandals zenye kufunika vidole unakatazwa kuingia ukivaa sandals ambazo ni official unakatazwa hadi ufunike mguu wotee ni kitu ambacho kilikuwa kigumu mfano kwa mjamzito ni ngumu kuvaa viatu vya kufunika,kwenye mavazi lazima ufuate ethics ya uvaaji.🎉🎉🎉
Далее
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 858 тыс.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 116 тыс.