Sasa alelewe wakati yeye amesomea rubani huko ndo kulelewa.sijui mwatakaje waja wivu na hasadi zimewajaa hata wewe watamani lkn tu ndo hivyo hujapata nafasi
@mejumaahuyu kalenga demu wake babaake ana mawe tukiachana na kusomea urubani na hiyo chanell kaipatia kwa demu na aache uongo anapenda sana wanawake wenye shepumwachirero7324