Тёмный

RAS MKOA wa ARUSHA AJIBU ALIPO RC MAKONDA - AFYA YAKE kwa MARA ya KWANZA KUPITIA GLOBAL TV.... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 160 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 423   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 2 месяца назад
Mungu wangu dah!
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 месяца назад
Mwanangu kama unaumwa Mungu akupe afya njema kwakweli. Tunakupenda sana❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 месяца назад
Makonda tunakupenda Sana mtumishi wa Mungu, Bwana Yesu Kristo asimame nawewe katika Hali zote
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 2 месяца назад
Kaka yetu Makonda Mungu amlinde sana. Mungu amlinde sana tunachukia sana kua na ukimya. Hatupendi ujue na taarifa yenu Paul Makonda yupo mioyoni mwetu.
@yassinerasmus7400
@yassinerasmus7400 2 месяца назад
Mungu ww ndo mwenye majibu sahihi ya Makonda ee Mungu wetu mpe Afya njema
@ZainabMilanzi
@ZainabMilanzi 2 месяца назад
Jamani jamani jamani inauma Sana Allah ndiye anajua atakavyomsaidia shujaa wetu Amina
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky 2 месяца назад
Mungu umlinde Mh. Makonda awe mzima wa afya . Ninaachilia nguvu ya roho mtakatifu imponye .
@SarahLetion
@SarahLetion 2 месяца назад
Moyo unauma sana kusikia hivyo Mungu mlinde shujaa wetu popote alipo kumbuka kazi nzuri aliofanya kwa ajili ya watanzania , Baba hatujui yuko wapi ila wewe unajua tunamfunika kwa damu ya Yesu Kristo na kila atakapo pita Mungu mbariki maadui zake wakae mbali kwa jina la Yesu Kristo, amen.
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 2 месяца назад
Mungu amesikia maombi yako
@ELIAMbise-sy5ue
@ELIAMbise-sy5ue 2 месяца назад
Kabla yakupaparikia aliyo yafanya katika uenezi wake , angalia back ground yake. Muuwaji uyo.
@erickmsigala138
@erickmsigala138 2 месяца назад
Shujaa wawa wapumbavu wasiyo jielewa, wavivu, wajinga na masikini wa fikra
@ElygloryKilango-qu1kj
@ElygloryKilango-qu1kj 2 месяца назад
Wew ndio hujielewi​@@erickmsigala138
@pambanassoro
@pambanassoro 2 месяца назад
Mtu anaependa kula jasho LA watu Huwa afurahishwi na Mtu atakae jitokeza kutengeneza haki za walio na haki maana aliekuwa anatumia jasho La watu atakosa haki mungu wape maarifa watu wako ameen
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 2 месяца назад
Eeee Mungu wangu mbona sielewi jamani Mr. Makonda popote ulipo Mungu akulinde
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 месяца назад
Mungu mlinde huyu shuja wetu mpe afya njema Na maisha marefeu inshaallah 🤲🤲🤲🤲🤲
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 2 месяца назад
Aamin Aamiin YaaRabbal Alaamiin
@jaliamkubilasidi
@jaliamkubilasidi 2 месяца назад
Aaaaaaminy
@Elizabethmwanga-y5e
@Elizabethmwanga-y5e 2 месяца назад
Jamani makonda mungu akulinde tunakupenda sana mungu wangu msadie
@MapenziMalanda
@MapenziMalanda 2 месяца назад
Msh Makonda yupo mikononi mwa Kristo na hakuna Hila Wala nguvu yeyote ya Giza inayo weza kumgusa.✝️💪
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 месяца назад
Amen 🙏
@gabumkono
@gabumkono 2 месяца назад
Acha mawazo mgando,,, ukiwa kwa kristo ndo hupatwi na mauti?
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 2 месяца назад
Amen!🙏
@VelonikaMwamakimbula
@VelonikaMwamakimbula 2 месяца назад
Amen
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 2 месяца назад
Mkono wa Mungu ukawe juu ya baba Keagan, mabaya yasikupate .
@philomenaPhilipo
@philomenaPhilipo 2 месяца назад
Mungu akulinde na maadui zako
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 2 месяца назад
❤PCMakonda Mwenye'Enzi'Mungu'Mlezi AmLinde na AmTangulie❤
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 месяца назад
Mungu wangu akampe Afya njema Kijana wetu Makonda.
@djumaally5536
@djumaally5536 2 месяца назад
Ewe mungu amlinde mkuu makonda (we need you)
@NeemaNjera-ho6ln
@NeemaNjera-ho6ln 2 месяца назад
Ngoja.makonda.asionekane Mtatueleza.vizuri..au Mtaka.tuandamane
@DamianNdoka-e7f
@DamianNdoka-e7f 2 месяца назад
Pole RC wetu mungu akuambirije 'mwanakaya tupo pamoja kwa sala uppate nafuu wabeja from TAWESO MToWAmBUAR
@VeronicaMungure
@VeronicaMungure 2 месяца назад
Mungu akuponye Bado tunakuhitaji sana
@odilomwakamela4889
@odilomwakamela4889 2 месяца назад
Dah Mungu amfanyie wepesi makonda ni aina ya kiongoz ambaye taifa linamhitaji sana sanaa
@JosureNassary
@JosureNassary 2 месяца назад
Mungu akulinde baba yetu tunakupenda sana mungu akutangulie popote ulipo mabaya yakae mbali na wew kipenz Cha R Chuga inshallah wa Ina Lillah 😢
@EmmanueliZani-ur9bi
@EmmanueliZani-ur9bi 2 месяца назад
Jamani, tuambieni ukweli, Makonda yupo wapi? Msije mkatuambia amekufa, hatutawaelewa. Tunataka kumuona Makonda akiwa mzima. Asante.
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 2 месяца назад
Umepagawa?Kwani ni Nani anastahili kufa?Acha uzwazwaa
@CHIIZATV-hl4zu
@CHIIZATV-hl4zu 2 месяца назад
Huyu jamaa ni fala bac kufa wewe yeye abaki😂😂😂
@iddykivu050
@iddykivu050 2 месяца назад
​@@reubenkissinga5802Mbona Unaingilia Mawazo ya Mtu nini Shida Au Ulishawai kulawitiwa
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 2 месяца назад
​@@reubenkissinga5802bwege
@marymgimwa
@marymgimwa 2 месяца назад
Yaani mhhh muumba MAKONDA APONE KWA LOLOTE
@zainabunizota3540
@zainabunizota3540 2 месяца назад
Mungu amlinde na ampe afya njema makonda wetu sisi ndio anayetufaa basi watuachie,
@albinombungu4294
@albinombungu4294 2 месяца назад
Mungu umlinde mkuu wa mkoa arusha
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 2 месяца назад
Hizi habari zinatisha sana lakini tusichoke kumuombea Kiongozi wetu Bora kbs.
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 месяца назад
Mungu siku zote ni wa haki ikiwa siku yake ya kufa haijafika hatokufa ng'o mpaka atimize kusud la Mungu aliloitiwa na Mungu
@henrykigugwe5112
@henrykigugwe5112 2 месяца назад
He is a Hero ! Will still Be A Hero!
@saidpatrick-j2b
@saidpatrick-j2b 2 месяца назад
May god protect him
@ibrahimdaudi5823
@ibrahimdaudi5823 2 месяца назад
mwenyezi mungu amlinde popote alipo
@honorascusmatembe2987
@honorascusmatembe2987 2 месяца назад
Makonda wherever you're be protected and preserved in the name of Jesus Christ and Come back safe and strong 💪🙏
@jacquelineswila5798
@jacquelineswila5798 2 месяца назад
AMEEN
@ErnestSolomon-m7o
@ErnestSolomon-m7o 2 месяца назад
Mungu naomba umsaidie rafiki yangu makonda wanaopigana name mungu pigana nao usiogope mungu atakushindia
@JenipherCharles-z2j
@JenipherCharles-z2j 2 месяца назад
Makonda mungu akulinde akuepushe na mabaya yote akufiche ktk mbawa zake amina
@wilybinamungu9731
@wilybinamungu9731 2 месяца назад
IPO siku uvumilivu utakwisha, hatuwezi kukaa tunaona tu Viongozi watetezi WA wanyonge wanafanyiwa MATUKIO makubwa arafu tunakaa kimya siku zote, tutakuja kuamka tu!. Niombe mwenyezi Mungu amjahaliye Afya njema
@NellyMusic-vc6iz
@NellyMusic-vc6iz 2 месяца назад
Global media is best to me 🎉🎉
@edfinelmas5245
@edfinelmas5245 2 месяца назад
Maombi yangu kwako Mh. Paul Makonda🙏
@MariaMollel-m9m
@MariaMollel-m9m 2 месяца назад
Mungu yupo na mkuu wetu
@brendasamson2086
@brendasamson2086 2 месяца назад
Nguvu ya Mungu ni kubwa kuliko nguvu ya maadui Mungu atamlinda paul makonda na atakuwa salama sana
@mwankenjatv9330
@mwankenjatv9330 2 месяца назад
Mnaongea stori wakt mtu wanamkuta😅😅😂😂
@PiusKimaro
@PiusKimaro 2 месяца назад
Nbona maana hauna pakipatia chakula.ombaomba
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 месяца назад
Ee Mungu Nakuomba Umponye Makonda, Sitaki kulia Tena, Mungu Usiyeshindwa Nakuomba Usikie maombi yangu na wote wamaompenda Makonda🙏
@jacquelineswila5798
@jacquelineswila5798 2 месяца назад
Amina
@ConfusedFrog-lc9db
@ConfusedFrog-lc9db 2 месяца назад
Duh Tanzania ina shida sana Mtu mwema watamfanyia hila tu😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@faisalnasser5895
@faisalnasser5895 2 месяца назад
.ungu Akulinde kakayetu makonda tunakupenda sana sana
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 2 месяца назад
Jamani 😢😢😢😢😢 Nimelia mie Mungu wangu akamfqnyie wepesi ashindi hali yoyote mbaya inayomkabili jamani 😢😢😢
@churicharles7978
@churicharles7978 2 месяца назад
Mungu amulinde popote alipo bdo tunamwitaji Sana tunakuombea daima ulipo
@EVELIUSSEBASTIAN
@EVELIUSSEBASTIAN 2 месяца назад
Mungu akiwaupande wake ninani aliyejuuyake!!
@mofungoya9729
@mofungoya9729 2 месяца назад
Mungu akujalie afya njema
@NeemaNey-mp2fi
@NeemaNey-mp2fi 2 месяца назад
Duu Kama wamemuua Tena makonda kwa kweli Nchi hii sio ya Aman Tena tutakua tuu na mungu aishivyo Bora tu makonda awe salama maana hata mbingu na ardhi kutulia kimya Ila Kama wamemwondoa Tena mtetezi wa wanyonge Kama Rais wetu Duu Bora Kenya maisha ni laivi hawana unafki kwa kweli
@marcoakyoo760
@marcoakyoo760 2 месяца назад
Hiki kikundi cha wahuni hakilitakii mema taifa letu Inauma sana pale tunapopata mtu wa kazi wanapita nae😢😢😢
@NajmaMomo
@NajmaMomo 2 месяца назад
Mungu akulinde na kukutunza Makonda kipenz cha watu
@ruthdavie1175
@ruthdavie1175 2 месяца назад
Mungu amlinde Mh. Makonda
@Lighttemba
@Lighttemba 2 месяца назад
Roho inaniuma sana jaman shujaa wa wengi, mungu mlinde na kila Hila mbaya
@BarnabasMphuru
@BarnabasMphuru 2 месяца назад
Mungu akulinde broo makonda
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 2 месяца назад
Mungu wewe ndiye unae majibu sahihi ya makonda alipo ee mungu wetu mpe Afya njema mlinde na maaduwi wote
@firdausqutty2067
@firdausqutty2067 2 месяца назад
Tz ukionekana shujaa tu unapotezwa, kiukweli Makonda nimpiganaji sana na nimsema kweli ila kila kilichokizuri kinatuachia maumivu...jamani Mungu mlinde huyu baba hakika nishujaa.
@naturelle1097
@naturelle1097 2 месяца назад
God forbid.Angels of protection encamp around you Makonda.❤
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 месяца назад
Mwenyezi Mungu amlinde Mh Makonda. Ampe afya njema huko aliko
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 месяца назад
Hivi kwann huwa hawa tuambii kiongoz wetu alipo?
@amosmchuma-t5p
@amosmchuma-t5p 2 месяца назад
Mungu simama na kiongozi huyu imani yetu ni kubwa sana kwko❤
@rodymtakimwa3205
@rodymtakimwa3205 2 месяца назад
Mungu atusimamie atuonyeshe mwanga
@ElizabethPalanjo
@ElizabethPalanjo 2 месяца назад
Mungu tunajua wewe ni mwaminifu ktk maisha yet sisi hakuna tunacho weza mungu wangu ,, wala hakuna tunacho jua juu ya kaka yetu makonda,, mungu tunakuachia wewe tu kwan sisi sote ni binadam,, mungu pigana na kila anae pigana nae , tunakuamini mungu wetu
@CosmasLeza
@CosmasLeza 2 месяца назад
Umh mungu amlinde huko aliko tunajua wewe ndo mwenye majibu sahihi
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 2 месяца назад
Kwann jaman mbona ukiwa mpenda hak wszete wanyonge, unaambatana na wanyoge zaid unapigwa vita kwa nn jaman, tukumbuke haya ni maisja mafupi ya hapa duninian tupendane kwaajili ya maisha ya milele mbingun, tulizaliwa uchi na mwisho wa maisha yetu tutaviacha vyote hakuna tajir wala masikin mbingun,Mungu mbarik mdogo wangu makonda
@DoreenNyange
@DoreenNyange 2 месяца назад
Mungu wangu wa mbinguni naomba umlinde makonda
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 2 месяца назад
My brother Makonda tunahitaji tumuone katika media mtafanya tuunganishe matukio ni mtu pekee mtetezi wa Rais wetu katika umbo la kibinadamu mwenye pua mdomo na masikio ambae moyo wake mweupe kuitumikia nchi hii🇹🇿
@AmourHaji-gh6pp
@AmourHaji-gh6pp 2 месяца назад
Mungu akulinde Makondaaaaaaa😢
@JISUSIDOKTA
@JISUSIDOKTA 2 месяца назад
Eee mwenyezi mungu tunakuomba umlinde sana makonda
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 2 месяца назад
Mungu amlinde na kumuepusha na mabaya yote ,amen
@kagombaEnok
@kagombaEnok 2 месяца назад
Mungu amlinde
@rhodakulwa1774
@rhodakulwa1774 2 месяца назад
Mwenyezi Mungu akulinde mtumishi hila za mbovu zishindwe kwajina Yesu
@AswilaSeif
@AswilaSeif 2 месяца назад
Makondo hatujuu yupo wapi makonda mungu mnusuru yupo wapi😢😢,hili ningiza lakutofaham??????2
@amedeustesha5947
@amedeustesha5947 2 месяца назад
Mbona taarifa za kuhuzunisha Kwa shujaa wetu
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 2 месяца назад
Damu ya YESU inenayo mema ikanene mema na malaika wa ulinzi waendelee kukuatamia makondo mungu awe nguzo ya moto ,pona kwa jina la Yesu ,afya ikishaimarika arudi kwa neema ya mungu ni mshindi amen
@culturaltourism8594
@culturaltourism8594 2 месяца назад
Mungu baba katika Jina La Yesu tulindie Makonda..tusikie anaendelea vizuri..Amen
@cejnimedia
@cejnimedia 2 месяца назад
Kama yasemwayo ni kweli, basii ni marufuku kuwa mtu mzuriii na mwenye kujali kwenye nchii ya Tanzania.
@HekimaMwambegele
@HekimaMwambegele 2 месяца назад
Daaaaaaaah
@EnockNanyaro-lk1zi
@EnockNanyaro-lk1zi 2 месяца назад
Mungu mlinde shujaa wetu
@sawiabatenga3554
@sawiabatenga3554 2 месяца назад
Duh! Imenishtutua saana
@EdwinAmbakisye-li4zq
@EdwinAmbakisye-li4zq 2 месяца назад
Jamani makonda mbona hatumuoni. Boss wetu
@RamlahNassoro
@RamlahNassoro 2 месяца назад
Makonda makonda makonda wetu jamani Allaah akujaalie uzima na afya popote ulipo makonda twakupenda jamani kiongozi wetu mahiri
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 2 месяца назад
Mahasidi Mungu awashinde hawana kher maana wakipata mtu anae ongoza vizuri hawaridhiki watatafuta Kila njia ya kumdhuru lakin yarab tunakuomba hifadhi yako muhifadh na kulinda Makonda na Shari za walimwengu yarab
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 2 месяца назад
Yesu yesu simamiya Taifa hili
@Clex-f5s
@Clex-f5s 2 месяца назад
Naamini utakuwa uchovu wa kazi anatakiwa awe anapumzika aisee🙏🏽
@JuliasMipawa
@JuliasMipawa 2 месяца назад
Dah makonda yuko wapi jamani
@jangalavolcano
@jangalavolcano 2 месяца назад
Wazalendo wanne wanchi hii wanao utambua uafirika wetu,na shida zetu mungu awalinde1) mama Samia. 2) idolis mipango, 3) kasmu majaliwa,4
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 2 месяца назад
Yarab Mungu wetu tunakuomba yarab mlinde shujaa wetu Makonda muhifadh kwenye hifadhi yko mlinde na maadui yarab kama anaumwa mpe shifaa muinuwe Salama ndugu yetu yarab tutakabalie dua zetu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 месяца назад
Allahuma amin yarab laalamin 🤲🤲
@maulidijselemani9392
@maulidijselemani9392 2 месяца назад
Tafadhali mwenyezi mungu tunakuomba utulindie Mh Paul Makonda wetu kwani walisha tuondolea sokoine, Augustino lyatonga Mrema, maalim seif, Edward Lowassa na kipenzi chetu Hayati John Joseph pombe Magufuli. Tuna kuomba mwenyezi mungu tulindie kiongozi wetu Makonda 🙏🙏
@amankachira
@amankachira 2 месяца назад
Kazi ya Mungu hua hainaga makosa
@TwalibuYahaya-o7l
@TwalibuYahaya-o7l 2 месяца назад
Hakika inaumiza sana tz
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 2 месяца назад
Mungu mlinde kaka ang makonda
@evasilaa9064
@evasilaa9064 2 месяца назад
Duh jamani jamani
@ngayoklanguna4929
@ngayoklanguna4929 2 месяца назад
Huu ni mfano wa kuiga🌺
@PeterSarwatt-n8n
@PeterSarwatt-n8n 2 месяца назад
e mwenyezi mungu mlinde na mnusuru na baya lolote Rc makonda
@pyelesyamwakatika540
@pyelesyamwakatika540 2 месяца назад
Mungu amuepushe na yote mabaya Mungu amjaalie afya njema Mungu wewe ndio dawa ya wote wenye uhitaji mlinde Makonda wetu
@RICHMINDEDSKILLS
@RICHMINDEDSKILLS 2 месяца назад
Mungu mlinde mlinde mlinde mlinde mlinde mlinde mlinde mlinde amen 🙏
@zefamange7281
@zefamange7281 2 месяца назад
WAMEANZA KAMA KWA MAGUFULI 😢😢
@KashinjeShija-rk9fv
@KashinjeShija-rk9fv 2 месяца назад
Kwa taarifa kama hizi Tanzania hakuna amani Mungu mlinde makonda popote alipo huyu mwamba wa🇹🇿
@janecolleter
@janecolleter 2 месяца назад
Daaah! Mungu wa mbingun amtunze Makonda popote pale alipo amuepushe na kila baya
@AishaShabani-e6r
@AishaShabani-e6r 2 месяца назад
Mungu mlinde baba etu po makonda
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 2 месяца назад
Watanzania tumwomve Sana Mwenyezi Mungu Nchi yetu isiangukie mikononi mwa wamwaga damu ya Viongozi waadilifu wa Taifa letu: Isije ikatokea Kama ilivyotokea kwa hayatii Magufuri: Ninyi Wana Arusha ebu nwulizeni mke wake au nendeni nyumbani kwake mpate ukweli
@janethjuliasi7500
@janethjuliasi7500 2 месяца назад
Hakika Mungu Wa mbinguni Akulinde Makonda Wetu popote ulipo Mungu akupatie ulinz kila kona
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 2 месяца назад
Mmeanza tena kama yale ya rais wetu JPM yaani mmezoea kila kiongoz anayeinuka against viongozi waovu huwa hacheleweshwa hii miharamia ikishaona tu kiongozi anayeitaabisha haimchelewesh! Ila Mungu yupo na Mungu amsaidie kaka yetu kipenzi mh.Paul Makonda maana ana nyayo za baba yetu jpm!
Далее
The Future of Brawl Stars in 2025!
04:27
Просмотров 2,3 млн
Пряный осенний баббл чай
00:44
Просмотров 324 тыс.
Não sabe esconder Comida
00:20
Просмотров 4,5 млн
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 7 млн