Тёмный

RELI NA MATUKIO | SAFARI ZA SGR DAR - MORO, ZIARA YA RAIS WA GUINEA - BISSAU 

TRC RELI TV
Подписаться 78 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

UVCCM WASAFIRI KWA SGR HADI PUGU, WATOA WITO KUITUNZA NA KUILINDA

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 12 дней назад
R.I.P.JPM
@khamissaleh921
@khamissaleh921 14 дней назад
Zile Treni za mchongo jaribuni Mbele kwenye pua pafunikwe kukaa wazi hazileti mvuto maana Ile ni EMU Sasa Haina.sababu ya kuwacha wazi
@giftchristianmeela1409
@giftchristianmeela1409 13 дней назад
pale ni kwaajili ya kuunganisha na seti nyingine ila panaweza kufunikwa.
@mussamussa8181
@mussamussa8181 13 дней назад
Wafunike bana
@giftchristianmeela1409
@giftchristianmeela1409 10 дней назад
@@mussamussa8181 yeah wako katika majaribio ila inafunikwa kama hivi ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-GXZG74zipkk.html
@Abdumfaume
@Abdumfaume 13 дней назад
HONGERA SANA TRC..
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 13 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@phillipmatola6964
@phillipmatola6964 13 дней назад
😂😂😂Hizo takwimu mnazitoa wapi??
@aliyahmed9328
@aliyahmed9328 13 дней назад
Kwa Nini ask me...? Na sio niulize Mimi tuache ujinga
@mussamussa8181
@mussamussa8181 13 дней назад
NGOJA WAKAT. WA MVUA TUONE MANA IZO PAA AZIJA SOGEA KABSA......MAAYAI 4BILION NA AATUYAON TUNAKULAA YAKISAASA
@AliAli-r9c
@AliAli-r9c 14 дней назад
Mie natumia wheelchair, je nipanda je, nataka kusafiri
@bnyangoma
@bnyangoma 14 дней назад
Nenda station utajua huko huko
@kisutabora5914
@kisutabora5914 13 дней назад
@@bnyangomahii si ni mtandao wao TRC, wajibu hapahapa, halafu mtandao wao wa intaneti hawaweki maelezo ya msafiri wa SGR ili asafiri anahitaji afanye nini, kwa mfano mabegi yamezidi uzito au kama kuna toroli station ya kubeba mabegi kama airport.
@khamissaleh921
@khamissaleh921 14 дней назад
Wasichana wangekuwa kofia kama zile za wale wenzao wa Kenya Railways wangependeza Sana..
@user-cn9br7en7w
@user-cn9br7en7w 11 дней назад
Sio Kila cha kuiga
@NM-yl2uw
@NM-yl2uw 14 дней назад
uyu jamaa wa ng,ombe yupo theoretical na porojo hizo hizo kila siku ambazo kila mtu anazijua embu tuongee vitu ambavyo vina impact sio ivyo ivyo anavyoongea mkirugenzi na yeye anaongea ivyo ivyo
Далее
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 6 млн
Hamster Kombat 20 July Mini Game
00:13
Просмотров 10 млн
World Record Tunnel Glide 🪂
00:19
Просмотров 22 млн
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 6 млн