Тёмный

RICARDO MOMO AFUNGUKA KUVUNJIKA KWA NDOA YAKE-"SITAKI KUHUSISHWA NA HABARI ZAKE KABISA" 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 57 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

9 фев 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@felistersmejumaa
@felistersmejumaa Год назад
Nampenda sana huyu jamaa yaani yupo smart kwa matendo yke ,,,, Inshallah Allah atakupa mke mwema momo
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 Год назад
Kweli there you are
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
Mh kupata mke/mume mwema nyakati izi za mitandao inahitaji miujiza dear
@dottohami
@dottohami Год назад
Dr mwaka njoo uwaone wanaume wenzio nasio ww unagoma kutoa talaka Insha Allha mungu atakujalia utapata mke mwema
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Inshaallah
@magufulitvkenya6315
@magufulitvkenya6315 Год назад
Mungu. Amupe. Muke. Mwema
@maabadmmanga2896
@maabadmmanga2896 Год назад
Momo Yule Mwanamke Hukuendana Maye Hata Kidogo Kwa Kila Kitu🙌
@georgekaduga2918
@georgekaduga2918 Год назад
Kabisa hata mimi niliona hapa🤔🤔🤔🤔
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Год назад
Momo Anaongea kwa Huzuni sana, Pole ostadhi kwa Kuachika" kuachika kunauma sana"
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Hahaha eti kuachika🤣🤣
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Dida Vs Kumbilamoto Queen Vs Mwaka Rushayna Vs Manara Kajala Vs Harmonise Duh! Hatari sana,,,,,,,,wote wamepigana chini!!
@abdourazakndeze4157
@abdourazakndeze4157 Год назад
Ricardo Momo busara nyingi ...umeweza kabisa...Allah asimamie amali zako
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Год назад
Pole sn momo mungu yupo na ww yule ni kahaba cha aende zake utapata mwingne
@fedhandunga5935
@fedhandunga5935 Год назад
Unaroho nzuri wwe kaka Mungu atakulipa kwa iloo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Yaan wanaume wote wangekuwa hivi ingekuwa raha sana
@safyunaathumani2110
@safyunaathumani2110 Год назад
Duuuh pole momo
@salehegiza3305
@salehegiza3305 Год назад
Dunia inaenda mbio sana wambea wanafurahi noma sana
@fatumaali4275
@fatumaali4275 Год назад
Momo kuwa na amani. Shukuru shetani limekuepuka, njoo Pemba 🤲
@mbanga6759
@mbanga6759 Год назад
She Pemba kwakua huku Kuna waume watupu.? Au huko Pemba hawana visa .?
@aika3024
@aika3024 Год назад
Mganga Juma (Dk Mwaka) njoo, umwone Mwanaume mwenzio
@abdourazakndeze4157
@abdourazakndeze4157 Год назад
Yule Dr Mwaka aje ajifunze kitu hapa, ndoa sio karaha...ubishi mwingi huna maana ...ujanja ukizidi unaharibu..Mwqka kubali yaishe.
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Год назад
Mbona ndoa zinaenda mitandaoni wanatulilia wasomaji alafu inaonekana mwanaume bado anampenda bibie
@lifeonearth94
@lifeonearth94 Год назад
Mbona dem zuri hvyo
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Год назад
Dada alikuwa anadanga sana dubai anakaaa uchi sana machupi
@aminamatumbo2519
@aminamatumbo2519 Год назад
Umeaona eeh anamdharirisha mumewe
@salimhassan3369
@salimhassan3369 Год назад
Kama ndoa yko ulipo ifanya uliusisha watu mitandaoni basi jua aitawai sahaulika utausishwa mpaka mwisho wako, tuwe makini Sana Katka maisha sio kila kitu kina paswa kuwekwa mitandaoni..... Mungu atupe wepesi wa maisha kwa kuyafata alio tupa muelekeo..
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Год назад
Sio wanawake wazuri tu ndo wanaozingua bali wanawake wote kwa ujumla
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Год назад
Siyo kweli
@gabbyhenrgy1157
@gabbyhenrgy1157 Год назад
Dr. Mwaka umesikia huyu ndo mwanaume mwny uelewa na Talaka
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Год назад
Kila mtu ana ukurasa wake wa mahusiano ya Dr mwaka na momo kila mtu ana yake
@zaharahussain5734
@zaharahussain5734 Год назад
@@mtzhalisi2232 kuwowa nikuwowa kuwaca ni kuwaca
@dr.madevualcantara4775
@dr.madevualcantara4775 Год назад
Nilimuona kitambo yule mwanamke na kma momo atakumbuka vizuri niliwahi kumfuata kwenye dm yake ya IG nikamshauri vitu vingi ila nashkuru alinielewa na hakunijibu vibaya this guy so smart kma mwengine angesema nifuate mambo yangu ila jambo nililokua silijuwi ni kwamba nilijua yeye ndo anaekubaliananae kuvaa nguo za uchi ila kumbe ni umalaya wake tu..good broo Allah amekuvua hili akuepushie na jengine siri na dhahiri..aamin🤲
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Anaonekana mstaarabu sana
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
Daah inauma kweli
@socialtv9879
@socialtv9879 Год назад
Yani hii Wasafi sijui hawa Watangazaji wao wanawatoleag wapi maana inafika kipindi huelewi Anayehojiwa ni nani na Mtangazaji ni nani ? Maana unakuta mtu kaulizwa swali analijibu ten hapo hapo Mtangazaji anarukia kuongea bas unakuta inakuwa ni Makelele tu.
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Год назад
Media zote za Tanzania ni hizo.
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free Год назад
Show inaitwa mashamshamu , I think unajua maana’ke
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim Год назад
Wote motoni mbwa nyinyi mnafurahia kuvunjika ndoa
@AmCool_
@AmCool_ Год назад
Sawa wameachana, lakini sasa AMEMLA? 😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣
@saidiyahya2432
@saidiyahya2432 Год назад
mwajuma lokole loooh jamani mwakaa na jishoga studioni
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Год назад
Maskn momo.mwaka wenu huu
@fredymasawe2862
@fredymasawe2862 Год назад
Kuachika kunaumaeee
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Год назад
Zaaandaaaani momo katemana na bibie
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Год назад
Pazito kwa kweli
@tonygee5680
@tonygee5680 Год назад
Hapa nakumbuka story ya Esma na Msiizwa. Esma alipata msge za Msiizwa kwa mke wa Momo hapo nikajua hamna kitu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Lisemwalo lipo aisee
@alexdukes5547
@alexdukes5547 Год назад
Huyu kaka kashikiwa ndoa yake na dada yake ndo kuvunja hiyo ndoa Esma hana adabu,pengine wanaume sie mafala kweli siku zote dada zetu tunapooa huwafanya mawifi zao fimbo ya uongo kuwachonganisha kwa kaka ili tu uachike waaze kumcheka,momo hebu chutama kwa mkeo, epuka sana mkeo kuwa na urafiki na dada mtu huwa dada zetu wajinga kweli,utakaa bila mke.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Год назад
Watu wakiachana pambe tu, tuko uku nje tunawakaribisha kwa shamrashamra zoteeee
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim Год назад
Dada lokole lini utaacha ushoga
@elisanteshayo3882
@elisanteshayo3882 Год назад
Ktk hali ya kiustaarabu mke wake alikutana nae club dada alikuwa muuza kuma alitegemea atambadili ila ki ukweli ilishindikana dada kaenda zake kuuza kuma dubai jamaa kabaki na wasafi
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 Год назад
Pole kaka utampata tu wako utapata amani
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 Год назад
Ukifikiria haya matatizo yaliyo ndani ya ndoa mtu ungetamani bora ungekuwa Padre wa kikatoliki maana ungeepuka hizi kadhia.Lakini ndio tumeshaonja lile tunda la Aden wacha tuchapike tu na ukiona Mambo yamekuzidi basi jiondoe taratibu kila mtu angalie ustaarabu wake.
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Год назад
Kaka soko salama hida unamkumbuka
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 Год назад
Esma alitabiri hyu malaika alikua hataree fire, ndio yashakukuta ssa tuliza mdomo
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 Год назад
Lakini kaka watoto wako huyo mama atawaharibu na uhuni wake wake wa vichupichupi?
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Год назад
Zandaaaaaaaaani zimepatikana zakwake.fyuuuuuuuuuuuu
@shabanadam1604
@shabanadam1604 Год назад
Manara kaachika na Hela zake,Dr mwaka kaachika na nguvu za kiume zake,momo kaachika na ujana🤣ukiwaelewa wanawake hupati tabu
@neemawilliam8415
@neemawilliam8415 Год назад
Manara ana hela gan Sasa na wew
@neamusic2601
@neamusic2601 Год назад
Ricardo Momo mbona umehamaki wwe sio wa kwanza kuacha au kuachwa.kaka.
@gracemsalila7735
@gracemsalila7735 Год назад
Shemeji amesema hivi momo alimuumiza mke wake japo pia hata mkewe anamapungufu chanzo ni momo
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim Год назад
Maisha fake ya mitandaoo ndio hao mwisho wake unamwagwa
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Год назад
Domo Sasa unavyolibenjua
@tumainimatembo8688
@tumainimatembo8688 Год назад
Poz la Domo limenikela
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Год назад
Momo mbona unalia ss piga moyo kondeboy
@rhodarobert5610
@rhodarobert5610 Год назад
Acha akae pengine ndo wanawake ULOKUA ukimzalilisha nao ameona afanye upendavyo wewe
@djtiffa9664
@djtiffa9664 Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-B0GL2_UUk4k.html JINSI YA KUMWITA JINI MAIMUNA , AKUPE UMALI NA PETE YA UTAJIRI *# ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-B0GL2_UUk4k.html
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Год назад
Didah na domo lako Hilo huna KAZI,momo alipokuambia ni serious wewe ukaendelea kutoa maneno ujue ametoa simu akamtumia diamond text msimamishe kazi
@jan6703
@jan6703 Год назад
Dida akera sana kujifanya kujua kulikoni yule aliyeulizwa swali. Ndio maana hata ndoa zinamshinda. Kelele kama honi ya treni atavumilia nani?
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Год назад
@@jan6703 halafu yeye mwenyewe aliolewa wiki moja Tu akaachwa sababu ya domo lake
@zainabukimolo5827
@zainabukimolo5827 Год назад
Anaonekana bado anampenda,ndoa hz jmn
@mathiasmanonga3939
@mathiasmanonga3939 Год назад
Kwani hii redio inazungumuzia stori za mshusiano ya watu kuna mambo mhimu ya inchi kuliko kuongea mambo ya kitandani hii redio kiboko they run unprofesional CEO wa redio hii nae ajitathimini ajiri watu wanaojielewa
@renatusndege
@renatusndege Год назад
Unaujua hicho kipindi kinaitwaje lakn?,Au we ni mgeni eeh
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 Год назад
Kama umeshamzalisha achanaye wewe angalia wtt,waliyomdanganya nao watamtosa tu atakuja kuomba msamahaa,mwache wakamcheezee kama mpira wa kona
Далее
Tom🍓Jerry 😂 #shorts #achayanarmyfamily
00:14
Просмотров 13 млн
Жалко эту собаку 😥
0:34
Просмотров 3,8 млн