Тёмный
No video :(

SAKATA LA KARIAKOO NA TRA MAKUBWA YATAJWA, AONGEA YOTE YALIYO MSIBU 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@estermwakatundu3028
@estermwakatundu3028 Год назад
Safi Sana mmetutetea na sis WA Hali ya chini km litafanyiwa kazi umeongea point sana
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Год назад
Kaka anaongea point Sana Serikali haingalii mbali ,walaji niwengi Sana ndiyomaana Magufuli alikuwa hataki ujinga km huu
@barakadanieli1440
@barakadanieli1440 Год назад
Samia anatia mikataba mikubwa ya mikopo kutoka kwa wazungu Koo ili madeni ya wazungu yalipwe lazima tu raia tuumie maana Samia anapenda sifa Sana na Cha ajabu anakopa akiamini wananchi watambanwa walipe Kodi na wakilipa Kodi zinapingwa nawalaji sasa unafili Nini kifanyike ? Maana wakipunguza Kodi madeni ya wazungu watalipa na Nini Wapigaji nao wataishije na wamezoea kupinga? Rais mwenyewe mpigaji
@AlhajiBayakas-pl4cx
@AlhajiBayakas-pl4cx Год назад
Tatzo sio samia acha ujinga hao tra wala rushwa
@NeemaSelemani-dy6ul
@NeemaSelemani-dy6ul Год назад
Good job tunaipenda nchi yetu. Kweli💪💪💪💪💪💪💪.
@NyageMachiya-ns7se
@NyageMachiya-ns7se Год назад
Chezilando unaakili sana ndiyo maana ni mfanya biashara,hawa viongozi wetu sijui huwa wanadhani wametoka mbinguni na hawazijui shida za watu wao badala yake wanasoma maandishi tu hawaendi kukukusanya mawazo ya watu walioko kwenye mazingira halisi da! One day yes
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 Год назад
Jamaa kajieleza vizuri mno
@MbarakSoud
@MbarakSoud Месяц назад
Wewe hiyoooo rohoooo mbaya hayoooo ni maandeleo ya Tanzânia yetu wachina ni watu wa bei poaaaa
@naomisanga6980
@naomisanga6980 Год назад
Wekaka no 1 nimekuelewa sana
@NeemaSelemani-dy6ul
@NeemaSelemani-dy6ul Год назад
Daaaaaaaaaaa tunauhuru kweli kuzungumza tumeaminiwa na tukawaamini viongozi top. Level. Na low level jaman 💪💪💪..
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Год назад
Tumekosa ajira tumejiajiri bado ni shida...
@NeemaSelemani-dy6ul
@NeemaSelemani-dy6ul Год назад
Mheshimiwa Rais kweli hicho kiti ni kikuu lakini unabaraza lako hapo hebu fanya jambo kazi kweli iendelee❤❤
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 Год назад
Bado wenye nyumba za wageni kodi ya kitanda😃😄😂😃😄😂🤣😁😄
@saminamohamed2862
@saminamohamed2862 Год назад
Kaongea vzr sana
@Kipotaboemanuely-et6mq
@Kipotaboemanuely-et6mq Год назад
Jaman tunateseka kweli wafanya biashara, Mimi walinikamata na kunizungusha kwenye gari Yao siku nzima Tena nilikuwa mjamzito ila awa watu wamezidi
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
Pole mamy
@venantrugabela6798
@venantrugabela6798 Год назад
Sheria zinatungwa Bungeni.
@agnesssanga6544
@agnesssanga6544 Год назад
Akili nyingi saana brooo
@thelight-ur3oi
@thelight-ur3oi Год назад
Daah huyu jamaa anaona mbali sana
@yohanakisoka6377
@yohanakisoka6377 Год назад
0:24
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Год назад
WACHINA HATUWATAKI ,WACHINA WAMEZIDI WAONDOLEWE HAPA , BORA KUFANYA KAZI NA WAZUNGU LAKIN SIYO WACHINA ,WAONDOLEWE HAPA TZ HATUWATAKI
@Mobmob2013
@Mobmob2013 Год назад
Ukisikia wamesaini mikataba yenye masharti nafuu unafikiri hizo lugha ni zakawaida? Acha waje mpaka tukome
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
MAMBO YA STOO NI MIPAMGO YA MFANYA BIASHARA MWENYEWE. JE KAMA UTAAMUWA KUWEKA MIZIGO YAKO NYUMBANI JE NAYO INAKUWAJEE?
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Год назад
HARUTAKI WACHINA WOTE WAONDOKE NCHINI KWETU HATUWATAKI KABISAAAAA
@aishaalhabsi21
@aishaalhabsi21 Год назад
ndio maana tanzania masikini haishi kwa sababu ya kuzulum watu
@NyageMachiya-ns7se
@NyageMachiya-ns7se Год назад
Chezilando unaakili sana ndiyo maana ni mfanya biashara,hawa viongozi wetu sijui huwa wanadhani wametoka mbinguni na hawazijui shida za watu wao badala yake wanasoma maandishi tu hawaendi kukukusanya mawazo ya watu walioko kwenye mazingira halisi da! One day yes
@yohanakisoka6377
@yohanakisoka6377 Год назад
0:24
Далее
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 14 млн