Тёмный
No video :(

SAKATA LA MSIGWA CHADEMA WAWASHA MOTO KOBOKO WA CHADEMA ATEMA CHECHE BILA WOGA AWAONYA CCM 

HATUA TV
Подписаться 100 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

#subscribe #hatuatv

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 2 месяца назад
❤❤❤❤ chadema ndo talajio la wengi kuondoa umaskn maana ccm wemesalit ichi yetu ccm kimekuwa chama cha mabepali mabebelu
@gangan4618
@gangan4618 Месяц назад
Kweli Kamanda Mbowe ni Mwamba. Pamoja na Chuma "LISSU" Tunauona ukombozi wa TANGANYIKA HATIMAE TANZANIA ILIYO BORA ZAIDI. Well said Kamanda, Viva kamanda viva.
@simpsonisoe8994
@simpsonisoe8994 2 месяца назад
Msingwa ameniangusha sana,nilikua na muaminisana ki sisiasa ,mudooomoo tu ,njaaa kamupeleka ccm
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 2 месяца назад
❤❤❤❤ chadema ndo talajio la wengi
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 2 месяца назад
❤ Yaani umesema kweli kabisa. Mimi ni zao lako la kwanza diwani mwanamke wa kuchaguliwa ktk jimbo la Kyela na kanda ya Nyasa. Asante Mungu akubariki na kukulinda mwenyekiti wangu 2015.
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 2 месяца назад
Demokrasia ni kura Wanachama wakichagua kiongozi yuleyule ni demokrasia haijalishi ni mara ngapi kiongozi yuleyule atachaguliwa .
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko Месяц назад
Baba imeongea vizuri sana
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 2 месяца назад
Viongozi waanzilishi wote huongoza vyama vyao kwa muda mrefu.Mfano mwalimu Nyerere,akina Mandela,nk
@prospermalala6636
@prospermalala6636 Месяц назад
Mzee wetu IQ yako IPO juuuu sana ndani ya Taifa letu
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 месяца назад
Saaafiiii saaaanaaaa kamanda.Wanataka kumtoa Mbowe Ili waweke mamluki Ili kuudhofisha chdm
@estachengula3902
@estachengula3902 Месяц назад
Chadema tunawategemea sanaaa watanzania
@SirajiHamis-pc1kh
@SirajiHamis-pc1kh 2 месяца назад
Mzee uko vizuri sanaa ❤
@mertus.nestory.bishirangon4624
@mertus.nestory.bishirangon4624 2 месяца назад
Good
@benjamalila9942
@benjamalila9942 Месяц назад
Safi
@user-cw4tr5bn1v
@user-cw4tr5bn1v 2 месяца назад
Umenena vema sana mzee🙏🙏🙏🙏
@JosefuSwai
@JosefuSwai Месяц назад
Iko wazo chadema ni chuo Cha wanasiasa njooni ccm mchukue wahitimi wapo wengi sanasana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Месяц назад
Kupitia msigwa imenifanya nisimwamini mtu,kweli msigwa Ni msaliti
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 2 месяца назад
umeongea point tupu
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 Месяц назад
Mbowe hata miaka 50 aongoze mpaka tupate ukombozi kama mandela
@gangan4618
@gangan4618 Месяц назад
Chadema ni lichama Imara sana TENA SANA.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Месяц назад
Na hiki Chama kinaendelea kusimama imara. Mungu awatangulie
@user-uq5vm2ge4q
@user-uq5vm2ge4q 2 месяца назад
safi sana
@user-bf7sr1cv1g
@user-bf7sr1cv1g 2 месяца назад
Mzee unamadini sana wew
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z Месяц назад
Mzee ni wazi mbowe ni Mwenyekiti wa milele
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Месяц назад
Wapigania uhuru hawabadirishi mwenyekiti
@bonifacemwanga3115
@bonifacemwanga3115 Месяц назад
MSIGWA UMEAMUA KURUDI (MISRI) umerudi utumwani je utakuwa na ujasiri wa kukibadilisha CCM MAFARAO hawatakuacha, historia inaonyesha ukila matapishi lazima utaarisha/tumbo litakuuma, wakat utazungunza
@rwakyenderajulius3861
@rwakyenderajulius3861 2 месяца назад
Busara
@PauloMwansyani-h8t
@PauloMwansyani-h8t Месяц назад
Chadema msikubali mbowe aachie uwenyekiti ccm wanahaha sana na mbowe kwa uongozi wake thabiti.
@coolruler6820
@coolruler6820 2 месяца назад
Sijaona wa kumfananisha na mbowe kwenye upinzani, amejaa utulivu, hekima na ni mpends amani na ni mtu asiyeyumbishwa na asiyekata tamaa. Hata wanaomsema kuwa chama ni chake acha wamseme kwani anastahili kuwa kiongozi hadi pale chama kitakapotimiza ndoto ya kuishika dola.
@bonifacemwanga3115
@bonifacemwanga3115 Месяц назад
Msigwa kuwa makin, wakishakutumia wanasep na ww huna mahal pakutua wakt utaongea
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s 2 месяца назад
Mbowe Tena mbowe Tena mbowe Tena, mbowe Tena. Mbowe tena
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 месяца назад
safi sana Nyerere alikaa miaka 30
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 месяца назад
NI KWELI KABISA MH. MBOWE NDIYE MWAMBA WA SIASA SI SIASA TU SIASA SAFI MBOWE NI MFANO WA KUIGWA, RUSHWA ZA CCM ZIMEGONGA MWAMBA KWA MH. MBOWE!!!! CCM WANA FEDHA CHAFU YA KUVURUGA VYAMA VYA UPINZANI NI CHADEMA PEKEE IMEBAKIA IMARA NCHI NZIMA!!!
@bulayamoffatmwmbilu5750
@bulayamoffatmwmbilu5750 2 месяца назад
Mbowe msimamo.Wasaliti wrote wataondoka ili wabaki wanamageuzi
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 месяца назад
Sisi hatuna shida lakini mbowe ni mvumili ila tunamuitaji lisu kuwa raisi ktk taifa hili ili sishooshe nchi bila kuangalia sura za watu aangalie sheria tuu hatutasema kuwa ilipize kisasi hapana Bali sheria
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 месяца назад
Ccm Wana Wana siasa wazuri tuu shida ni sheria hazifuatwi sio kwamba ccm Haina Wana siasa wapo wana siasa wazuri wenye mvuto elimu kubwa wenye PhD shida ya ccm uongo kwa sababu wapo kina bashiru makonda na wengineo ndani ya ccm mm siamimi kuwa ccm Haina Wana ccm wazuri hapa wapo chadema inasimamia haki huo ndio uzuri wa chadema
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Месяц назад
Vipngozi wote Chadema ni wazuri na wanaweza kuongoza nchi hii kwa haki na utulivu na pia kwa demokrasia endelevu
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 2 месяца назад
Watoe katiba mpya wasitoe wataondoka tuuu
@PauloMwansyani-h8t
@PauloMwansyani-h8t Месяц назад
Huo ndio ukweli
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 месяца назад
Mbona ccm walianzaga kampeni za Magufuli wa Milele? Wanahoji vipi ya CHADEMA ? Hizo ni politics, Mbowe songa mbele
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Месяц назад
Mungu aendelee kukulinda mwamba wetu❤
@christosiadanieli6512
@christosiadanieli6512 Месяц назад
mandela
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 2 месяца назад
Mbowe aongeki
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 2 месяца назад
Msigwa afadhali ameondoka alikua ni kijani.alitaka kukivuruga chama tu
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 2 месяца назад
Na walosalit cuf walikuwa kutoka bara sio znz mana mahakama mpaka mkuu wa siasa police matukio yote bara
@judicatendengerio-ndossi1583
@judicatendengerio-ndossi1583 2 месяца назад
Washindani hutumia walinzi au watu wakaribu nae Kiongozi wa juu kummaliza. Lilitokea kwa wafalme, manabii na viongozi wengine. Nixon alisemaga Kila mtu anauzika mradi ufike bei. Maisha ni mafupi wacha anaejiuza ajiuze. Muulizeni aliyebomoa madanguro kinondoni alifanikiwa? Si bado wapo? Siasa ni hivyo hivyo. Kisa cha Shakespear na Brutus Brutus ni hikihiki.
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 2 месяца назад
Mbowe km maalim seif alivyokuwa na znz kiufupi anayo yapata mbowe maalim aliyapata mengi.cuf ya zaman haikuwa na kubadilisha yaliyo fanyika cuf mnayajuwa lipumba hakuwa na uwezo kuvunja chama lakin chadema imekuwa km shule ya kufundisha viongozi halafu wanatoka.
@Time-ev3dw
@Time-ev3dw 2 месяца назад
Hakika mbor ni maalim seif wa Tanzania asiache sits mpka kifo
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 2 месяца назад
uk vr simp😊
@WilliamMwangwa
@WilliamMwangwa 2 месяца назад
Huo ndio ukweli. Mwandishi hakujiandaa kwa mahojiano inaonekana maswali yake hayana utafiti wa kiuweledi
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 2 месяца назад
Ujinga wa CCM wanalia usiku na mchana Mbowe atoke CHADEMA.NEVER,NEVER,NEVER.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Месяц назад
AND NEVER AGAIN
@josephbundala1475
@josephbundala1475 2 месяца назад
Tuambieni dira yenu kuhusu nchi, achaneni na vimatukio vidogovidogo. Hatujaelewa vyema mtatufanyia nini katika nchi hii mkishika dola.
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 2 месяца назад
Haki, Maendeleo ya watu, Uhuru wa kweli, Utu, Demokrasia makini, Sera ya, majimbo, Katiba mpya ya wananchi, Tume huru ya uchaguzi, Taasisi imara zinazojitegemea (Serikali, Bunge, Mahakama huru), Uchumi imara zaidi, kodi za haki, maslahi bora zaid kwa wafanyakazi wote ( kuondokana na vikokotoo gandamizi; vya hovyo), na menginebmengi tu! Haya yote hayakutoshi? Yote hayo yanapiganiwa na Chadema! Unajitoa ufahamu kwa makusudi au kwa uchawa? Unatafuta uteuzi? Barabara nzuri, mashule, hospitali na miundo mbinu mingine yaweza kujengwa hata na dikteta na watu wasipate furaha nayo. Mkoloni aliacha vitu vingi hapa na bado akatimuliwa! Kwa nini asingeachwa? Hiyo hali niliyoitaja huko juu haikuwepo! Kugawa mapesa kwa watu huku wana hofu ya kutekwa, kuzushiwa kesi za uongo, kupigwa risasi, hakuleti furaha kwa wananchi. Tunahitaji taifa imara kiuchumi, katika haki, usawa na itawala bora wa KIDEMOKRASIA! Piga kazi CHADEMA!
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 2 месяца назад
Chadema lazima kusimama imara. Msisikilize maneno ya watu. Hao wanataka kukidhohofisha chama. .Mawazo yenu ndo sahihi.
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 2 месяца назад
Hakuna mtu yeyote wa CCM anayependa mbowe aondoke mbowe yupo kimaslahi sana kipesa .Hayupo kimaslahi kuwasaidia Watanzania. Miaka 24_nimwenyekiti wa chadema taifa yeye ni chifu hakuna lolote amewaowa wote
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA 2 месяца назад
Pole
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 2 месяца назад
Wewe kazi kuiponda chadema lakini wap nakuambia chadema itadumu mana ni mpango wa mungu
@user-lt1nr4tk9r
@user-lt1nr4tk9r Месяц назад
Hakuna boya Kama wewe wamepita wangapi kwenye mikon ya mbowe
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 2 месяца назад
Kama ni kweli kwa nini mnahangaika na Msigwa? Hangaikeni na majukunu yenu achaneni na watu waliohama chama. Hata huko ccm wamehama wengi tu mbona hawahangaiki nao? Kuendelea kumfuqtilia Msigwa ni kupoteza muda na ni kumpa kichwa na pengine kuonyesha kuwa anayoyasema ni kweli. Kumbukeni kuwa hata Slaa alitoka ccm na Lowasa , Kingunge, na walipewa madaraka makubwa huko chadema jee ina maana chadema hawana watu?
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 2 месяца назад
CCM ndio wanaohangaika Acha uchawa
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 2 месяца назад
@@ezekielkiduge8730 Kama CCM inahangaika nyie fanyeni kweli acheni kupoteza muda na Msigwa huyo ashahama . Kuwa chawa sawa lakini ukweli ni ukweli tu uwe imesemwa na mimi chawa au wewe kunguni. Muwe mnakubali ukweli wakati mwingine ,kuwa chadema ni saccos ya mtu mwenye ubabe na ubinafsi na hamuwezi kumwambia wala kumhoji.na ukitaka jaribu uone kitskacho kukuta au kamuulize Mwambe.
Далее
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,4 млн
Mwanzo Mwisho Hotuba ya Mbowe Babati
58:07
Просмотров 8 тыс.