Тёмный

HII NDIO GARI AINA YA FIAT, NI BALAA INA GIA TISA INABEBA MZIGO MKUBWA, DEREVA AIELEZEA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 81 тыс.
50% 1

Gari aina ya Fiat ni miongoni mwa gari za zamani ambazo zina nguvu sana kutokana na uwezo wake wakubeba mzigo mkubwa,dereva anayeendesha gari hiyo amesema ina gia tisa ukijumlisha na revised

Опубликовано:

 

8 июн 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 147   
@muddychanga7909
@muddychanga7909 3 года назад
Inaitw 682 N3 torino fiat.A.k.a mbaula,mkasi juu mkasi chini,kula laik wazeee wenzang wa ngoma ngumu,w wazeee wa popo umetukuna ipasavo axe,usiku ndo mida yetu,mchana tunapak tunaenda kula bata kwa sokota,ucku kama mchana vile,mwandish uje Azam tunakupa na uendesh kbxa,ila kumbuka kuja na kidum cha diesel tu.
@muddychanga7909
@muddychanga7909 3 года назад
@@mohamedslh5478 kama kawaida mzeee,njo trip town wazee wa popo tupo
@imanijohn6069
@imanijohn6069 3 года назад
Nakubali 😂😂
@ozzyjama145
@ozzyjama145 3 года назад
Mkasi juuu mkasi chini
@gerkombo6512
@gerkombo6512 3 года назад
F.I.A.T meaning = Fabbrica Italiana Automobili Torino, hiyo chuma magari mengine yote yanaipigia salute.
@nmctanzania
@nmctanzania 3 года назад
Sio kweli
@nmctanzania
@nmctanzania 3 года назад
Sio kweli
@ahmedmohammed-zy4yz
@ahmedmohammed-zy4yz 3 года назад
@@nmctanzania kama hauamini nenda ka google
@jessicabrown5885
@jessicabrown5885 3 года назад
@@nmctanzania haya twambie ww ukweli
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 года назад
Kabisa hizo gari si mchezo
@makuzaeliud7036
@makuzaeliud7036 3 года назад
Kwajinsi ninavoijua hii mashine hakii, Dereva hakuitendea haki katika maelezo na kuielezea, hii kitu inabeba mzigo inapita rafu load inapanda milima yaani kazi juu ya kazi a,k,a MBAULA. Saluti kwa mtaliano kutengeneza hii kitu
@hilalionhilaliont2324
@hilalionhilaliont2324 3 года назад
Umenikumbusha hilo jina Mbaula. Kiukweli dereva hajaitendea haki kuielezea
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 12 дней назад
Sababu kuu ni ina double high na double low kwenye transmission yake
@wellbrand3415
@wellbrand3415 3 года назад
Hatariiii🔥🔥🔥 Muitalia alipiga kazi kuiunda hiyo mashinee
@edinaikunda1259
@edinaikunda1259 3 года назад
Huyu dereva hajaitendea haki kuielezea fresh aisee....ivi anaelewa shughuli ya chuchu mbili pale mbele kwa chini.....😃😃😃😃vipi kuhusu honi ya mbaula....atariii...hiyo inapigwa kwa mguu mzee achakabsa huo mzigo sio wakitoto...nataman huyo mwandishi angekutana na mimi nahisi angenitafuta zaid na zaidi bna
@supertal2943
@supertal2943 2 года назад
Ama kweli WW unaifaham vzuri hii machine👍
@ramaturuku863
@ramaturuku863 3 года назад
Gari still sana hiyo, ina sifa nyingi mnoo sema dereva kidogo hafunguki,hajaichangamkia kuichambua.
@baboyhustler3633
@baboyhustler3633 3 года назад
Iveco Fiati 682 aka super mbaula ni🔥🔥🔥
@neemanyerere5160
@neemanyerere5160 3 года назад
Duuuh Atari 🔥🔥
@passianmaningi8479
@passianmaningi8479 3 года назад
Waooo Asante sana mmenikumbusha mbali sana
@junioryasin5306
@junioryasin5306 3 года назад
Wazee wa ngaramton ya juu karb na olmtony
@alexmihayo5723
@alexmihayo5723 3 года назад
...Fiat aka mbaula,iyo ukianza kuiendesha mnene(kg90) Ukija kukabidh mwembamba(kg45)..maamaaye!!! Kona mnakata watu wa2
@casmiraugust6853
@casmiraugust6853 3 года назад
🤣🤣 Acha utaniambia Kaka Sasa Kama upo mwenyewe inakuaje
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 3 года назад
Tz Ina watu wanajua kuchekesha aiseee, jamaa umeuaaaa
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 года назад
@@johnmwandu2116 Hata pedo ya mafuta unaisimamia ukiwa unapanda mlima na handbrake mnavuta wawili
@Mswanotv
@Mswanotv 3 года назад
😂
@othmanally1230
@othmanally1230 3 года назад
Unanikumbusha lailand kona ilkua mm na dereva wangu ukilala mbavu zoto hoi
@mejalomayani1606
@mejalomayani1606 3 года назад
namkumbuka huyu dreva juma tukiwa donyo sambu maeno ya flota
@nyanjuigeorge3561
@nyanjuigeorge3561 3 года назад
Wating all the way from quter
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 3 года назад
Is very unfortunate anae hoji ajui namna ya kuhoji issue za magari... Huyu alitakiwa a hoji technical issues za hii gari zinazo itofautisha latest malori.. mfumo wa injini na giabox na pamoja na uimara wa axle..., Mifumo ya brake na ubora wake ukilinganisha na wa leo... Pia kama ingewezekana angeuliza matoleo mengine yalio fuata kama fiat iveco.....
@freduallughano2301
@freduallughano2301 3 года назад
Dere mwenyewe haijui vizuri technical questions zingemshinda
@mejalomayani1606
@mejalomayani1606 3 года назад
naikumbuka maeneo ya nading'oro na kitaakuu😃😃😃
@harounaman7473
@harounaman7473 3 года назад
Mbaula daah adimu sana hii
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 3 года назад
Mkasi juu Mkasi chini
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 года назад
E e baba!
@braystuskibassa3077
@braystuskibassa3077 3 года назад
Nakubali sana hizo chopa kama vile Mafinga
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 2 года назад
Nadung'oro zinaenda beba magogo mjomba wangu ni dereva mmoja makini sana
@jejofurniture285
@jejofurniture285 3 года назад
hii gar ni noma inaweza kubeba hata mara 2
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 3 года назад
"Nimejifunzia gari hi hii, Sijawah Endesha gari Nyingine"🔥
@abdulaziz703
@abdulaziz703 3 года назад
Italian Machine 💪
@othmanally1230
@othmanally1230 3 года назад
Mbaula mzee wa play staring
@fadhilisalum8640
@fadhilisalum8640 3 года назад
mmh great
@denissemfuko3373
@denissemfuko3373 3 года назад
Hizi gari zilikuwa zinapaki eneo moja mbeya hapa ambalo sasa nikituo cha mafuta.. Hilo eneo kwa sasa ni maarufu kwa jina LA MAFIATI...
@hasanissantambarasamata3419
@hasanissantambarasamata3419 3 года назад
Sana Kaka mafiati mbeya is home nimepamiss kinoma,
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 года назад
Mbaula
@richardmwandali7722
@richardmwandali7722 3 года назад
Mfumo wa Massey fagason 1 high moja low nomaaa AAA
@meleckzedecklaurence6254
@meleckzedecklaurence6254 3 года назад
Hii sindo ile inaenda forest Ngaramtoni??
@rogersdavis3058
@rogersdavis3058 3 года назад
Ndo hii mzeee😆😆😆
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 3 года назад
Hata Mimi nimeiona Arusha kule mianzini
@bakariathuman5123
@bakariathuman5123 3 года назад
Haya mbona yako mengi tu forest yanaenda
@hasanissantambarasamata3419
@hasanissantambarasamata3419 3 года назад
Izo gari kwetu mbeya zamani walikuwa wanaendesha wasomari tu walikuwa wanavua hadi mashati
@freduallughano2301
@freduallughano2301 3 года назад
Wasomali walizipenda sana hizi kama zimetoka kwao vile,mbeya kuna sehemu inaitwa mafiat zilikuwa zinapaki eneo hilo nyingi.
@elishameshack5561
@elishameshack5561 3 года назад
Inanikumbushia nilipokuwa mdogo olmotonyi forest. Hii gari ikiunguruma nilikuwa nakimbia .
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 3 года назад
😀😀😀Kawaida mpaka sasaa mkoanii
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 года назад
Kwakwel hata MMI nilikuwa jaiogopa mno
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 года назад
Watoto wa kiarusha ni washamba sana lazima wakimbie wakiskia mlio wa gari
@elishameshack5561
@elishameshack5561 3 года назад
@@Ndu-wa.uroony2 hujui miungurumo ya FIAT ww.
@petronzengelele7137
@petronzengelele7137 3 года назад
About noise engine yoyote inayotumia diesel lazima itoe noise
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 года назад
Hongera fiat
@josephkauki6094
@josephkauki6094 3 года назад
Iyo ni diesel engine ndo maana inatoa sauti kubwa kutokana na vibration
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 3 года назад
Msgari ya zamani hayo fiat 682. Hayo yalikuwa wakati wa kwenda Zambia hasa na wasomali. Halafu hao watu wanakaa juu ya magogo au juu ya cabin ni hatari kama gari ikipata ajali.
@ema4west689
@ema4west689 3 года назад
Mbaulaaa🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 года назад
Kudadaaake! Mbaula baba!
@wellnaton6013
@wellnaton6013 3 года назад
Waliotengeneza Fiat ndio Waliotengeneza Ferrari, Bugatti
@giovannir.restone182
@giovannir.restone182 3 года назад
FIAT Mbaula..Hatari sana
@malongofalu5261
@malongofalu5261 3 года назад
Inanikumbusha chuon olmotonyi
@husseinmarusu4359
@husseinmarusu4359 3 года назад
Kuna mzungu pori na Mwafrika pori oooh hizo ni shida pale chuga
@bonaventuremabula4113
@bonaventuremabula4113 3 года назад
hizo ndio ngoma zangu. naztengeza pale gereji kwetu.
@mdl6463
@mdl6463 3 года назад
Gari naliona sawa lakini siliamini kabisa
@sankofaman4112
@sankofaman4112 3 года назад
Kichefuvhefu😆😆😆. Speed mia mpaka uipige free.
@sarananyaro9089
@sarananyaro9089 3 года назад
Huyo dereva ni mjomba wako?mnafanana kweli,vichwa mviringo
@jafaramily46
@jafaramily46 3 года назад
Hahahahaahhaha
@mweyoms5548
@mweyoms5548 3 года назад
Bidhaa ya Italy hiyo.Chuma kwa chuma
@amirikoshuma3039
@amirikoshuma3039 3 года назад
Wewe umeanza kuijua fiat leo ikibeba gogo nyingi ivyo Sasa zipo Masai fagasoni na benzi za kizamani
@zedekiannyagawa3521
@zedekiannyagawa3521 3 года назад
huyo aliyekaa juu ya magogo amejitoa ufahamu
@kingkongmadiba3174
@kingkongmadiba3174 3 года назад
😂🤣😇😂
@shamisshamis888
@shamisshamis888 3 года назад
Sisi wazamani tunaita mbaula
@fadhiripila442
@fadhiripila442 3 года назад
MH hiyo gari noma
@mwadhinjuma8883
@mwadhinjuma8883 3 года назад
Ila hao walio kaa mbele ya maggo nihatar kwao
@suleimanismail8414
@suleimanismail8414 3 года назад
Mbaula hiyo kumamaaae oyoooooo
@helawisolomon8291
@helawisolomon8291 8 месяцев назад
Is this kenya
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 3 года назад
Hii gari nilikutananayo njia ya Olmotonyi forestry kuja Ngaramtoni. Ukiiona unaweza kimbia.
@eligiusvitalis3504
@eligiusvitalis3504 3 года назад
Kwanini?
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 3 года назад
@@eligiusvitalis3504 linajaza kinoma, njia ndgo afu mlio wake km unaboda ndg kupishana moyo wa uvumilivu n muhimu asikwambie mtu asee.
@sostenfestor2369
@sostenfestor2369 3 года назад
Hii gari sio poa hiyo mzigo inabeba na hiyo milima inapanda haifai kabisa
@kusiriemunuo5047
@kusiriemunuo5047 3 года назад
Rose muhando kenya
@namanga9786
@namanga9786 2 года назад
Huyama anazaaa awu mm nahitajii
@ezekielkimaro1647
@ezekielkimaro1647 3 года назад
chuma hatar zaid porini F.I.A.T
@kelvinmgwattu184
@kelvinmgwattu184 3 года назад
Unatusogezea vitu vya nyumban kabisaaa,izo ndinga zipo nyingi kwa mromboo zinaenda mirongo ata wajeda wanapandaga wakienda kambini
@nas9071
@nas9071 2 года назад
“Number moja Ndio inanguvu au hii ni tofauti?” Huyu chalii wa wapi asee.
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 3 года назад
Aloo...fiati c mchezo duh...
@mwigakatumpula9817
@mwigakatumpula9817 3 года назад
Hiyo gari ina uwezo mkubwa Sana na kumbuka kipindi naiendesha maana nilikuwa niki ikimbiza Sana mwishoe inaanza kuruka juu 🤔😃🏃🙌
@evalinemfoi2624
@evalinemfoi2624 3 года назад
Hahaahha we muongo xana
@mwigakatumpula9817
@mwigakatumpula9817 3 года назад
@@evalinemfoi2624🤔🤣🙆🏃🏃
@edinaikunda1259
@edinaikunda1259 3 года назад
Wapi states bazooka,,hamisi darumenda....hao walikuwa madereva wa iyo kitu bna...mitaa ya ngarenaro apo..
@burudaninamatukio5389
@burudaninamatukio5389 2 года назад
Kwanini Fiat huwa haifeli brake au hazishindwagi kupanda mlima?
@nmctanzania
@nmctanzania 3 года назад
FIAT 682 N3. Machenical
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 года назад
Kiukweli mmi nilovyokuwa mdgo Kila nikiiona hii gari kwakwel nilikuwa nakimbia balaaa😁😁😁na mbya hyo mimacho yake mbele ilivyo
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 3 года назад
Accident waiting to happen
@jastinekanjost8073
@jastinekanjost8073 3 года назад
100😌😌
@iddyathman5504
@iddyathman5504 3 года назад
682
@shamisshamis888
@shamisshamis888 3 года назад
Hiyo chuma achana nayo sio mchezo
@machiavelshakur8939
@machiavelshakur8939 2 года назад
Hii gari mbona naijua inetaga magogo huku kwa M/Chai Kwa Aloyce
@shinipapaya846
@shinipapaya846 3 года назад
Niwe mkweli hakuna tv 📺 ninayo ichukia kama hii yaani waweke billion 90 za Somalia na hii tv naichukua hii tv 📺 pasipo kupepesa macho yangu mimi nilijua anaenda kuhoji hiyo shehena ya kikausha misitu yetu kisha kila siku tunalia na ukame mara oh mito inakauka wakati hao ndio chanzo acheni kukata miti ovyo ovyo sasa swali kwenu nyie vitv uchwara hivi mimoyo yenu haijaogopa kuona hiyo migogo? Daa RIP 🙏 mzee baba nakupa salaam Tanzania yetu pendwa tayari tupo kwenye chukuwa chako mapema iwezekanavyo😳😳😳😭😭😭😭😭
@allyabdulrahman1793
@allyabdulrahman1793 3 года назад
Ukiona wamekata wana vibali
@ramadhaniomary2530
@ramadhaniomary2530 3 года назад
682 N3 mbaura
@kingtv5600
@kingtv5600 3 года назад
Kama umeona hi video upo kilosa na hizo gali kwetu zipo gonga link😜😜
@nassorsalum8018
@nassorsalum8018 Год назад
Eti 100 anamaliza😂😂
@freduallughano2301
@freduallughano2301 3 года назад
Kuna mdogo wake anaitwa FIAT 110 tani 7 kuna basi ziliitwa mawenzi zilikuwa na injini ya fiat 110
@fadhiliswidhun9779
@fadhiliswidhun9779 3 года назад
Dereva hana wenge hata akpewe scania mpya ataitunzaa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Gari la miaka mingi hilo 🙄
@ahmadhamis5134
@ahmadhamis5134 3 года назад
Inaitwa fiat 682 mkasi juu mkasi chini
@edinaikunda1259
@edinaikunda1259 3 года назад
Kisusio iyo kitu....😄😄
@marthageorge559
@marthageorge559 3 года назад
Zakitambo izo
@machinefannatic99
@machinefannatic99 3 года назад
Hilo gari bovu tu
@ibrahimjoseph9417
@ibrahimjoseph9417 3 года назад
Tafuta mtaalam na wakongwe wa hiyo gari utaifurahia huyo dereva anaijua hiyo gari ila hawezi ielezea maana hajui gari zingine nachojua kuna mahali hiyo gari inapanda na mzigo Scania hauendi
@vicentflavour9992
@vicentflavour9992 3 года назад
Kila siku unawahoji watu wa chuga Tu bro shida nini shida nini
@morganrobinson3542
@morganrobinson3542 3 года назад
Sa si ndo eneo lake la kazi....tanga moshi chuga na manyara
@vicentflavour9992
@vicentflavour9992 3 года назад
@@morganrobinson3542 Okey mekusoma mwana tanx
@user-ds3qd7jq4z
@user-ds3qd7jq4z 2 года назад
موجود باليمن فياتf
@rashidyally8715
@rashidyally8715 3 года назад
Fiat iveco Hilo gali hatali ya mapoli
@charlesmartine3467
@charlesmartine3467 3 года назад
Gia9
@serijofesto9068
@serijofesto9068 3 года назад
Hiyo Ni chuma tupu Kama kifaruu
@edinaikunda1259
@edinaikunda1259 3 года назад
Achakabsa dereva hana mzuka kivile katika kuielezea hiyo mashine bna..mkasi juu mkasi chini inaitwa kisusio bna...hapo kwenye kibin unaeweza kuchemsha chai bna.😃😃😃😃... kwenye accl.plate unaweka kipande cha tofali baada yakumaliza gears mzee...duh kumbuka mbali sana
@rogersdavis3058
@rogersdavis3058 3 года назад
Kuna watu wanasemaga dereva wa fiat ni mwembamba hahahah
@serijofesto9068
@serijofesto9068 3 года назад
Hiyo hunenepi Zilikua xinapigwa HIZO mashine dsm to Zambia na Tani 80,,kila kitu mechanical,, Afu dereva anakaa upande upande na lazima avue shati,sigara kwa wingi Acha kabisa hiyo
@willyngowi3162
@willyngowi3162 3 года назад
Higari inasifa nyingi sana dereva haijui vizuri huyu🤔🤔
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 12 дней назад
Mbaula
@davydmlay3264
@davydmlay3264 2 года назад
Mbaula
@adammaro7836
@adammaro7836 3 года назад
Mbaula
@richardommy1610
@richardommy1610 3 года назад
Mbaula
Далее
Четыре тормоза
00:53
Просмотров 50 тыс.
ГРАБИТЕЛЬ ИСПУГАЛСЯ МАМЫ
00:37
Просмотров 117 тыс.
Guess The Drawing! ✍️✨🧐 #shortsart
00:14
Просмотров 3 млн
April 19, 2024
1:29
Просмотров 6 тыс.
Fiat 682 N3
2:19
Просмотров 271 тыс.
Четыре тормоза
00:53
Просмотров 50 тыс.