Тёмный

SELASINI AMLIPUA MWAMPOSA BUNGENI - "YULE ROHO MTAKA VITU, NI UTAPELI TU" 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 218 тыс.
50% 1

SELASINI AMLIPUA MWAMPOSA BUNGENI - "YULE ROHO MTAKA VITU, NI UTAPELI TU"
MBUNGE wa Rombo, Joseph Selasini, ameitaka serikali kuhakikisha wanapitia upya usajili wa vikundi au wachungaji wanaoendesha makanisa ili kujihakikishia kama kweli wanafanya kazi zao kihalali..
Selasini ametoa hoja hiyo kufuatia matukio mengi ya kushangaza yaliyotokea hivi karibuni yakiwahusisha wachungaji likiwemo tukio la watu 20 waliofariki mkoani Kilimanjaro wakigombea kukanyaga mafuta ya mchungaji Mwamposa..
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
ru-vid.com?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
ru-vid.com?list...
GLOBAL RADIO TV:
ru-vid.com?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
ru-vid.com?list...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

4 фев 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 468   
@habibukhamis5589
@habibukhamis5589 4 года назад
Allah nijalie mwisho mwema wewe ndie unaepaswa kuabudiwa pekeako 🙏
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 2 года назад
Aamiin
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 4 года назад
Amen amen. Kazi ya Mungu siyo ya kiganga. Kinacho tajiwa jina la Yesu kimesha kua takatifu. Tbs yetu ni Roho Mtakatifu. Amani posipo watumishi wa Mungu akuna. Hao wanaojita awatumishi uku wanachochea watu mabaya ukumu ipo juu yao. Uko kwenu rombo tumewamsha wengi kwa nguvu ya Mungu. Na hata wewe upo leo kwa ajili ya maombi ya hao watumishi unao wasema vibaya. nikweli mimi ni mwombaji sana lakini sijawa kumuombea mtu akapokea hela ,bali nimewaombea wengi wakapokea uponyaji na kubarikiwa kazi zao na kufunguliwa vifungo mbalimbali katika maisha. ( Neno moja toka kwa Mungu tupendane). Mh karibu nyumbani Ccm kumenoga. Mungu atusaidie. Amen..
@denisijosephat2361
@denisijosephat2361 Год назад
Asante kwa maneno yako maana yesu anahubiriwa ktk roho na kweri sio ktk mahi na mafta.
@nurusunday3547
@nurusunday3547 4 года назад
pongezi kubwa kwako mweshimiwa Selasini. msema kweli mpenzi wa Mungu.
@ephraimmwandemange5083
@ephraimmwandemange5083 2 года назад
Imeandikwa nyakatiza mwisho wengi watakuja kwa jina language na watafanyà miujiza mingi kupitia jina la yesu jihadharini nao
@janejohn2060
@janejohn2060 Год назад
Shida mko gizani hamuoni wala jua kinachoendelea
@generosemandari5537
@generosemandari5537 4 года назад
Ewe mwenyezi mungu naomba uzidi kumtiya nguvu mtumishi mwamposa
@benjamenshepa1000
@benjamenshepa1000 2 года назад
Wewe umeshatiwa nguvu
@henesysolomon8196
@henesysolomon8196 Год назад
Amen
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 4 года назад
Waacheni watu wapige neno kama wa kweli kama wa uongo wote waacheni ila mwisho ukifika kitaeleweka upi mchele zipi pumba
@rubyshamlaha2181
@rubyshamlaha2181 4 года назад
Mwisho unaujua
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Год назад
Mungu akulinde baba aione hekima iliyo ndani yako
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 4 года назад
Mungu akubariki kwa kukemea Makanisa yasiyo na asili ya KRISTO...
@frankjohn8570
@frankjohn8570 4 года назад
Ili kumjua anaezungumza kama ni wa NURUNI au GIZANI ni matendo na maneno yake, maana imeandikwa kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake, mtu wa siasa hawezi kujua NENO LA MUNGU wala kumhofia MUNGU lkn mtu wa ROHONI anaweza siasa ,na kama ni imani potofu anajua mtu aliyena ROHO MTAKATIFU sio aliejaa roho mtaka siasa,wala kwa siasa hatoki pepo kwa mtu , inaitwa siHASA bali HASA ni NENO LA MUNGU
@theodosiavenasi3066
@theodosiavenasi3066 Год назад
Tunapo wacha Mungu bungeni barikiwa mtumishi wa Mungu
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj День назад
Mungu akusaidie sana mtumishi wa Mungu alafu kiongozi
@andreaassenga7663
@andreaassenga7663 4 года назад
Hongera sana Mh.Ubarikiwe kwa Baraka zako.
@rechoraymond3396
@rechoraymond3396 3 года назад
Acha kuukumu watumishi wa mungu kwani wew ni binadamu2 kama ni wa kweli au si wa kweli wakuwaukumj ni mungu acha kijitafutia laana
@msellemsaid9348
@msellemsaid9348 4 года назад
Respect Muheshimiwa💪
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 2 года назад
Mtetezi wangu yesu anaishi Leo mtetezi wangu yuhai Leo kesho na kesho kutwa ,na hata milele,
@abelbenedicto5392
@abelbenedicto5392 4 года назад
Hoja ya Mh. ni nzuri Sana, Tatizo la Dini ni watu hutiwa Hofu Tena Hofu isiyo wiana na Utashi wa Fikra Halsii. Ninyi mnaotaka watumishi wasiaswe Ukweli mnataka kutwambia Watumishi ndo wenye haki ya Kufanya chochote Hata kikiwa hakiko sawa???? Tusipo ambiana sisi kwa sisi mwataka nani atwambie Ukweli huu??? Tufungue Utashi wetu tutajua mengi zaidi ya tunayoambiwa kwa vinywa vya Watumishi wetu. Acheni Imani za Uoga za kuwaogopa Watumishi. Mtumishi si Mungu ni Binadamu na anakosea Kuliko ww usie na Kanisa. Huu upuuzi wa Iman umekithiri na Madhara yake ni Makubwa tukizidi kunyamaza. Kama Mungu hadhihakiwi Mbona Watumishi ndo wanadhihaki kwa Kukufuru kwa Imani za Upotoshaji??? Tuweni na Utashi tuliopewa na Mungu.
@fidiankwera530
@fidiankwera530 4 года назад
Umenena... Nimekuelewa. Ukweli lazima usemwe
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 10 месяцев назад
Kubishana sana ipo siku utajikuta unamkosea Mungu bora ukakamata Biblia na quruan vitabu vitakatifu ukapekua ukaujua ukweli basi utaijua kweli ya Mungu
@lusymakinya2229
@lusymakinya2229 4 года назад
Safi sana umeongea point sana
@rubyo.masuku5684
@rubyo.masuku5684 4 года назад
🙏
@emmanuelkimath2881
@emmanuelkimath2881 4 года назад
AKILI KUBWA NI AKILI KUBWA TUU.
@namsamson3443
@namsamson3443 4 года назад
Very true Mr..usipofanya kazi huwezi kula eti mtu anasimama anafungua pochi zijae hela
@rubyo.masuku5684
@rubyo.masuku5684 4 года назад
Wapo siyo mwamposa lani Wapo WENGI
@seyaorongo7466
@seyaorongo7466 4 года назад
Yuster Zacharia Ni ujinga mkubwa sana yani mimi niliona clip moja Rwakatare anawaombea upepo wa kisulisuli wafungue pochi zao na wallet wanapokea muujiza wa pesa alafu anamalizia kwa kicheko cha kejeli yani anawaona wajinga kupitiliza
@seyaorongo7466
@seyaorongo7466 4 года назад
Yuster Zacharia Ni ujinga mkubwa sana yani mimi niliona clip moja Rwakatare anawaombea upepo wa kisulisuli wafungue pochi zao na wallet wanapokea muujiza wa pesa alafu anamalizia kwa kicheko cha kejeli yani anawaona wajinga kupitiliza
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 года назад
We mzee sio kweli si bola washinde kanisa kumuomba mungu kuliko kushinda bar au kuvuta mibangi ushakunywa nyagi povu lakutoka wacha watu wamuombe mungu amini kile unachokiamini kinakuuma nini kama mtu alikua hajawahi kupata ujauzito miaaka gedegede leo kwenda kuombewa kafanikiwa eti akitoa sadaki anaibiwa mbona kwa waganga na mbuzi Hadi n.gombe Kaa kimya
@brigithashirima7760
@brigithashirima7760 4 года назад
Kweli kabisa Mbunge wetu Mungu akubariki sanaa umenena vyema,Waambie ukweli hao wataelewa tu🙏🙏
@neemamsanga253
@neemamsanga253 Год назад
Baadhi ya wachungaji wanapoteza watu na kuchafua dini ,maana watu wanajikuta wako njia panda ,mungu atupiganie,🙏
@faisalwaafrica7478
@faisalwaafrica7478 4 года назад
Wanaopenda mafuta ya upako na pochi zao ziwe wazi kanisani tujuwane👍
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Год назад
😄😄😄🖕
@kabweharuna5569
@kabweharuna5569 3 года назад
Mbona waganga hamuwasemi au kwa sababu wanafanya GIZANi acha hizo
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 10 месяцев назад
Hawa watu wanaomuelekea Mungu tusiwachukulie poa au kuwasema vibaya maana ukweli anao Mungu na wao wenyewe ni suala lakujiuliza mtu au mtumishi wa Mungu aliyeamua maisha yake n kusali yaani yeye na Mungu masaa zaidi ya kumi au kila iitwapo leo au mtu anachambua na kusoma quruan na Biblia anatenga muda mwingi kwa Mungu Ila sisi rumetenga muda kuzungumza na Mungu? au kusoma vitabu vyake tujisemeze wenyewe muda wetu tumetenga tupo ktk majukumu ya dunia au kaisali wengine tupo kwa starehe ivyo hawa mashekhe ,na watumishi wa Mungu yaaani wachungaji, mapadre na wengine waliojitosa ktk Mungu nawapa maua yenu hivi najiulizaga mwisho wangu nitapeleka hesabu gani kwa Mungu nilikusanya au nilitawanyisha kondoo wake toka nilipopata ufahamu wa zuri na baya kazi ninayo
@peterfania1005
@peterfania1005 4 года назад
💪🏾🇹🇿 safi sana
@halimageorgesanga1018
@halimageorgesanga1018 4 года назад
Nimeelewa,Assnte sana
@saulindama3697
@saulindama3697 4 года назад
Hakuna mtu wa kumteteaYesu yeye ni mwenye uweza na mamlaka anajitetea mwenyewe.
@tymchanneltv1143
@tymchanneltv1143 3 года назад
Hapana SI kweli Mungu ndie mwenye kumtetea Yesu,, yeye Hana uwezo. Kwa maana Yesu sio Mungu., Soma Biblia. Huo Ni moja katika Aya nyingi. Mathayo 26:39.
@edwinelias8554
@edwinelias8554 2 года назад
Hapo kwenye makanisa umeongea point less Mungu haziakiwi kila mtu anachokiamin ndio kinampa majibu yake hatuwez kutembea kwenye maono ya aina moja , hivyo acha wivu wewe mabrich kwa kutoa kasoro za imani za watu juu ya kile wanachokiamini waache watu na imani zao wasonge mbele
@amanijosiah5205
@amanijosiah5205 4 года назад
Ww huna akili angalia usimzihaki Mungu acje kukuhukumu acha kazi ya Mungu iendelee
@neemamsanga253
@neemamsanga253 Год назад
🙏 Amina, kiongoz mungu akutie nguvu maana msema ukwel mpenz wa mung hakika unatunz I ebu ona huyu mchungaj alikuj huku njombe alikusanya watu walikufa sana jmn ,.
@nicolausnyongole5611
@nicolausnyongole5611 4 года назад
Tunaangamia kwakukosa maarifa naikisoma bible kumcha mungu nichanzo chamaarifa mungu atuongoze kwenye njia zake
@TheSalma1999
@TheSalma1999 4 года назад
Asante kuhusu watu tulio nje kupiga kura asante
@herriethmwakifulefule165
@herriethmwakifulefule165 2 года назад
Haya tangu lini Mbunge akaongelea dini???Mungu amekupumzisha naajungu,huwezi kumpiga majungu Yesu Kristo ukabaki salama
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 4 года назад
😂😂😂 Ukigeuka nyuma unajkuta peke ako😂😂
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 года назад
😄😄😄
@stuartkamba1598
@stuartkamba1598 3 года назад
Leo mzee Wang nimekushusha sana thamani.
@moriscollins4494
@moriscollins4494 Год назад
Tafakari
@daviesoscar1603
@daviesoscar1603 4 года назад
Asante Mbunge
@eugenyraphael4334
@eugenyraphael4334 4 года назад
We ni mpumbavu natena umechanganikiwa natena mwaka ujao bungeni waRombo hatukurudishi, piga tatu mzuka achakumpiga vita Mungu.
@heavenlinkmedia2834
@heavenlinkmedia2834 4 года назад
Hivi ww unaelewa alichokisema yesu au unalaumu tu paspokujua , brother omba mungu akupe uelewa au tafta kujua nn maan ya injili
@restutarhamis4609
@restutarhamis4609 4 года назад
Safi sana waache kutuwekea turbai
@herriethmwakifulefule165
@herriethmwakifulefule165 2 года назад
Haya tangu lini Mbunge akaongelea dini???Mungu amekupumzisha na majungu,huwezi kumpiga majungu Yesu Kristo ukabaki salama
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Год назад
Ya Mungu MPE Mungu ya Kaisari MPE kaisari we we endelea kuibia wananchi hapo bungeni na Mwamposa mwache afungue watu Nina LA Bwana lihimidiwe. Mwamposa tembea na jeshi lisiloonekana achana na madhabahu feki ya Hugo huko aliko
@sungula100
@sungula100 4 года назад
Mmh, umeongea vitu vyepesi sana kuhusu suala zito sana la imani!
@zephaniakisumo4477
@zephaniakisumo4477 4 года назад
Najua wengi watanuna sababu kweli inauma,lakini wanayesimama katika njia ya kweli wamekubaliana na haya yaliyosemwa.
@PastorsTz
@PastorsTz 4 года назад
Aminaaaa sana asiyefanya kazi na asile
@magrethmagreth8900
@magrethmagreth8900 3 года назад
Roho mtaka vitu
@lilianmbangwa6151
@lilianmbangwa6151 4 года назад
Amen Mungu tusaidie kwa hawa watakavitu
@barnabamollelysaruni4613
@barnabamollelysaruni4613 4 года назад
Umesema kweli Baba kuna roho mtaka vituuu
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Год назад
Kwa huyo roho mtaka vitu usitoe kabisa😄Ila Kwa Mungu toa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Truly!!!!!!
@meshackraphael9638
@meshackraphael9638 4 года назад
Mmzeeee umeongea point MUNGU akubariki
@offecalmsechu8739
@offecalmsechu8739 4 года назад
Ungekuwa ata mh rais wewe kweli tungekutoa ndo maana watU kama nyie pepo ingekuwa adisi tu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 года назад
IS Trueee!!
@mariasimon7545
@mariasimon7545 4 года назад
UBARIKIWE MPENDWA NAKUUNGA MKONO KWA HILI, UTAPELI KWA NYAKATI HIZI ZA MWISHO UMEKUWA MWINGI WATU WANAIFEDHEHESHA IMANI YA MUNGU WETU MWOKOZI YESU KRISTO. WAMETUMWA NA shetani KUHARIBU IMANI YA KWELI YA KRISTO.
@richimuniko3578
@richimuniko3578 Год назад
Ni kwa Nini hujaongelea waganga wa kienyeji wanaopiga pesa ndefu na kuibia raia wema zibiti wachawi kama Wewe unaweza.
@matridawilium9945
@matridawilium9945 Год назад
Jina la yesu ndo jibu
@neemamsanga253
@neemamsanga253 Год назад
Nimejalibu kupitia comment Kuna watu wa mafuta wanekupinga hakuna kukata tamaa baba 30 ni heri ufe Kwa kusema ukwel kuliko kunyamaza damu ya yesu ikutawale milele Niko nyuma Yako, me Huwa naira shujaa twende mbele binadam wa sasa ni wanyama,.
@ibrahimmusician2355
@ibrahimmusician2355 4 года назад
KwA wenye akili njema,umeongea pointi Sana,
@lazarominga896
@lazarominga896 4 года назад
Kbsa
@hosianajosephu4296
@hosianajosephu4296 4 года назад
Big up mheshmiwa...
@frankjohn8570
@frankjohn8570 4 года назад
Ili kumjua anaezungumza kama ni wa NURUNI au GIZANI ni matendo na maneno yake, maana imeandikwa kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake, mtu wa siasa hawezi kujua NENO ila mtu wa ROHO anaweza siasa na kama ni imani potofu anajua mtu alive na ROHO MTAKATIFU sio aliejaa roho mtaka siasa,wala kwa siasa hatoki pepo kwa mtu
@janethjackson1257
@janethjackson1257 4 года назад
Nakuelewa
@beatricesoka3134
@beatricesoka3134 4 года назад
Ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu
@ramadhaniamiri4535
@ramadhaniamiri4535 4 года назад
Safi sana mbunge 30
@eliakanyika8443
@eliakanyika8443 4 года назад
Amina
@loner_wolf
@loner_wolf 4 года назад
Mzee akili kubwa Sana kuhusu makanisa ya kitapeli na wajibu was serikali kulinda raia na Mali zao ......BIG UP Hilo la wafungwa kupiga kura ni jema lkn kwanza kabla hawajapiga kura wangepata Haki ya kuhabarika ili wasije chagua mazuzu bure😂😂😂
@nyamtayachamriho7065
@nyamtayachamriho7065 4 года назад
umeua baba big up sana uwe unaongea una point hamna mrombo mjinga wote point tupu
@daudirajabu6798
@daudirajabu6798 4 года назад
Mzee yuko sawa point sana ila kwaharaka haraka huta muelewa chunguza utapata jibu
@frankjohn8570
@frankjohn8570 4 года назад
Mheshimiwa je ukiletewa mtu mwenye pepo utamtoa ili tujue ulivyosimama? Maana imeandikwa aliemwanafunzi wa YESU atatoa pepo na kuweka mkono kwa mgonjwa akapona VP hapo imani iko wp Mana bila matendo imekufa
@christophermwandemange796
@christophermwandemange796 Год назад
Acha Mambo ya kanisani, ngumu sana kuyaelewa ukitaka kuelewa jiungeni Acha mambo ya kanisa
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 4 года назад
Mauaji ya Rwanda ni ya kikabila sio ya kidini. Huko uarabuni wote ni waislamu na wanauana
@hassanshaban4168
@hassanshaban4168 4 года назад
Jamaaa we kila kitu unapinga tuuu sikiliza point usibishe tuu
@rubyshamlaha2181
@rubyshamlaha2181 4 года назад
@@hassanshaban4168 ndo shida yakukanyaga mafuta kila point unaona ya hovyo mwee
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 года назад
Wanapo wafutinisha wakauana ni hao wazungu wanao tafuta kwa dunia mzima faida mnao wafata dini zao za kutungwa mzungu lini akawa na dini. Hata isa atawakana Na makanisa yao ya ushoga na kuva uchi isa asili yake ni kutoka kwa ibrahim na ibrahim na isa ni waislam safi hakuna alie toka marekani na rome isa bin mariam hajaleta maji ombeni wenyewe msifate watu wawaombee ni utapeli tu
@syliviakente9460
@syliviakente9460 2 года назад
Hukusikiliza viziri
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 года назад
Point
@byabatotv3283
@byabatotv3283 4 года назад
Mungu akubariki sana mkuu
@jumamwita9995
@jumamwita9995 Год назад
Nikweri abarikiwe amenena
@rebeccajohn724
@rebeccajohn724 4 года назад
Mheshimiwa mseme wasaudieye tanzania
@hussenimlimati9592
@hussenimlimati9592 4 года назад
Apo kabisaaaaaaa kuna roh mtakatifu na rooooooo MTAKAVITU. MWAMPOSYA
@noahmbalwa4167
@noahmbalwa4167 4 года назад
Sio kweli
@faustinmarko3472
@faustinmarko3472 4 года назад
Moto unakuhusu wewe
@burkardkayombo5271
@burkardkayombo5271 4 года назад
Huwezi kuingilia matatizo ya mtu mwingine na kumsemea, hii ni kama ajali tuu, kama ni hivyo basi hata wabunge wafutwe. Tunakwenda kwenye uchaguzi Arubino wapo mashakani. Hapa panataka busara tu, siyo vijembe.
@samadoushujaa7028
@samadoushujaa7028 4 года назад
Mnaangamia kwa kukosa maarifa..
@rubyshamlaha2181
@rubyshamlaha2181 4 года назад
Ajali ungekufa ww au ndugu yako
@elizabethbwire1480
@elizabethbwire1480 Год назад
Imani yako ndio inakuponya hataukisali zehebi lolote bila Imani nikazi bule kinacho tufanya tuamini maneno ya mwaposa nimaandiko kwani anayo yahubiri yamo kwenye bibilia
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 Год назад
Tutapaka sana mafuta na hayo majungu yako hayashindani na Nuru wewe ni giza tembea nalo tuache sisi tutembee na Yesu vipi babuuu
@joshuamatagane8105
@joshuamatagane8105 4 года назад
MBONA NINYI MNAKWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI NA MNAKAA UCHI HUKO WENZENU HAWASEMI?? AU TUWAITE HAPA WAWAUMBUE????
@jackpaul9825
@jackpaul9825 Год назад
Wewe huna Sera ulaaniwe mala 7
@venerandamagesa9509
@venerandamagesa9509 Год назад
Waambie ndugu yangu maana waganga hawaongelewi kabisa mbona tunatumiwa mpaka sms za waganga Hilo haliwakeli😂😂
@kuburilinyama8111
@kuburilinyama8111 4 года назад
respect
@rutakihama3523
@rutakihama3523 4 года назад
Safi sana leo umenena point
@pettymbomela7663
@pettymbomela7663 4 года назад
Uko sawa Mheshimiwa hawa Mitume wamezidi
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 4 года назад
Acha kuchafua kanisa la katoliki unachokifanya mzee mwaka huu tutaona kama wale waganga wako kama watakusaidia kitu kurudi hapo.
@fahadfaraj1822
@fahadfaraj1822 4 года назад
Anachafua nini unajua nini historia ya kanisa 1994 rwanda watu walichinjwa ndani ya makanisa na kuna maaskofu walishiriki kuchinja waumini wao kisa ya tofauti ya kabila hope we ndo hujui ila dunia inajua na hata papa john paul akiwa hai alipata kulaani ilo jambo kama una mengine sawa ila si hilo alilotoa mfano
@happinessseroin2336
@happinessseroin2336 Год назад
Mungu aendelee kyongeza viongozi wenye hekima
@crintonkapamba1290
@crintonkapamba1290 4 года назад
Amina baba maana sikuhizi matapeli wameingilia pabaya
@jenifamtima9325
@jenifamtima9325 Год назад
Watu ni wavivu kweli unaombewa kupata gari wakati unauza ndimu wanataka mseleleko,,,eti munaombea watu,,,wakati Mungu anasikia sala na dua ya mtu mmoja mjomba. Mukafie Mbele uko na maombi yenu ,,,,watu wamechoka viongozi wa dini munazingua si makanisani sio wachungaji kwenye makanisa yenu....amko tofauti na wana siasa waongo munajali pesaaaa tu yaani,,,ubatizo pesa kipa imara pesa sahani ya upendo..gari la Mchungaji ifike mahala wachungaji wafanye kazi ...na nyinyi wengine uko muache kuwaongopea waumini watapata magari ...selekali itowe tamko viongozi wa dini wawe na kazi ndio wasajiliwe kutegemea sadaka uku ndio maana wanakuwa waongo ili waumini watowe pesa ....
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 Год назад
usiwaseemee watu ndugu yangu wanaosali na wenye shida walopata nafuu kupitia kwenye ayo makanisa ndo wanajua ndugu yangu mda mwengingine upweke unawafanya wakae makanisan ww endelea kula kiyoyoz chukua posho bungeni enda kula na familia ako serikali ilinde kdg cha raia akat ndo mnaanzisha sera za kuchukua pesa zao mkuu
@kuziririzaisabatosiitegeko7088
@kuziririzaisabatosiitegeko7088 2 года назад
Wa Tanzaniya muwe hange munapo ongeya kuhusu rwanda,ya rwanda ni marefu kiasi kwamba hamuwezi kuyaelewa.kinyarwanda ni lugha mbali nanyi hata ukoloni ni tofauti .
@nelsabugo3613
@nelsabugo3613 4 года назад
Mungu ndie muhukumu
@slyvesterkameo6847
@slyvesterkameo6847 4 года назад
Kama ni waongo, matapeli na malaghai watendelea kuhukumiwa hapa duniani maana wanaolaghaiwa na kuibiwa wapo duniani!
@justinekashiriririka8690
@justinekashiriririka8690 4 года назад
Duh mzee umeongea point leo
@salamhapachavi5371
@salamhapachavi5371 2 года назад
Sema kweli
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 Год назад
Askofu Kakobe alifafanua Mambo mengi wanayofanya utapeli. Sio wakweli ni waongo. Wa DRC CONGO aliumbuka. Hospital tusiache Kwenda. Serikali ichunguze wataumbuka
@yankstyma1966
@yankstyma1966 2 года назад
Ooh my God hii ni giza ya sina gani?Mmesikia kuna roho ya mpinga kristo itakuja lakini maandiko yanatuambia roho tayari inafanya kazi hata sasa.Kupinga ni kwenda ya kitu au mtu.yule asiyekuwa upande wetu yu kinyume nasi.Hii ni laana ya kuitafutia maana vita ya watumishi wa Mungu ni juu ya Mungu sio yao.yaani kwa kifupi unapofanya vita watumishi wa Mungu unagombana na Mungu, who are u to judge someone's servant
@maryberege3093
@maryberege3093 2 года назад
Imeandikwa watatokea wachungaji wa ukweli na wa uongo. Ukiona hakufai ukung'ute mavumbi na utokomee
@janetkiwelu2429
@janetkiwelu2429 4 года назад
Kweli kabisa baba
@musahassan4606
@musahassan4606 Год назад
Kweli
@waboyboyboy402
@waboyboyboy402 4 года назад
Awo wanaojifanya manabii kwaajili yakutowa watu kafara kwa tamaa zao za pesa mlaaniwe wote kama mkekosa kazi zakufanya nenden ata mashambani mkalime nasio kuwamaliza watu wasio na hatia kwa tamaa zenu za pesa muache .....
@jumamwita9995
@jumamwita9995 Год назад
Amina
@cecilhaule9837
@cecilhaule9837 Год назад
Sasa mnaanza kupambana na nyumba wenu hamuwezi, tupambane na wanaoibia fedha za serikali jamani
@kilungodionizi1865
@kilungodionizi1865 4 года назад
Kama mkongoman nahz nywele zake. Nahz ndevu😂😂😂😂😂😂mafuta ya mzaitun wee mzee marangi. Maji yamepimwa ndy maana yapo kwny kakej wee mzee marangi na pia katorik jee maji yale ya baraka vip 😂😂😂😂
@bahatimwase3432
@bahatimwase3432 4 года назад
Mh. mambo ya imani yaache kama yalivyo usije ukapata laana ya kizazi hadi vizazi. Ni vizur zaidi kunyamaza
@rubyshamlaha2181
@rubyshamlaha2181 4 года назад
Hakuna laana kwa hili
@evethaasey1791
@evethaasey1791 4 года назад
OK OK OK BABU ubunge 2020 kz unayo
@jovithaabraham6375
@jovithaabraham6375 4 года назад
Kabisa evetha. Mimi jovitha Asey
@eugenyraphael4334
@eugenyraphael4334 4 года назад
Kura yangu sitompa kichaa ka huyu.
@rubyshamlaha2181
@rubyshamlaha2181 4 года назад
@@eugenyraphael4334 Hana shida kishafaidi
@najiangamanishanamathabahu1475
@najiangamanishanamathabahu1475 2 года назад
Kwaza huyu mbuge jisi alivyotu anaonekana niwagizani acha kthi ya mungu isonge mbele ww baba
@hellenmasasi3850
@hellenmasasi3850 4 года назад
Mi naona kufungua pochi sio kosa kwasababu ni jambo LA kiimani akimaanisha katika kazi zake Mungu atampa pesa
@danielmizaike1728
@danielmizaike1728 4 года назад
Hakuna uponyaji wa hela, yesu anasema mlipata bure toeni bure
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Год назад
Mtawa tambua Kwa maneno na kutembea kwao ataukipinga anatawala tuu ata useme Sana anatawala tuu Bora unyama........
@annajustine5104
@annajustine5104 4 года назад
Unajua hapo mheshimiwa unaongea kirahisi kwasababu hujawahi pitia pito linalohusu imani..ww unaongelea habari ya hela! Unaweza kutana na kubwa ht hiyo hela isikusaidie hapo ndo utamtafuta huyu Yesu anayehubiriwa leo
@anicethpeter4944
@anicethpeter4944 4 года назад
Unachesema ni kweli mzee wanao maindi ukweli umewafika moja kwa moja
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 25 дней назад
HUYO MBUNGE aliyejaribu KUIPINGA KAZI YA YESU KUPITIA MTUME MWAMPOSA yuko wapi saizi? Ni nani awezaye kuipinga Kazi ya Yesu na akafanikiwa ?
@pamelakasambala9589
@pamelakasambala9589 4 года назад
Acha hiyo
Далее
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
Sijawahi Kusema, Ninao Maadui Mtume Mwamposa
41:00
Просмотров 55 тыс.