@@AlphonceKomba-go3xu nadhani bado hujatembetembea, kwa kifupi unatakiwa utembee uijue nchi hii, makutupora ni kata wilayani manyoni singida ndio reli ya sgr inapoishia, wewe uliona sgr imeishia makotupora uliyokuwa ukiishi wewe. Tembeatembea ujifunze...au unaweza ku google sgr inaishia makutupora ya wap kabla ya kuja kubisha juu ya kitu usichokijua vema