USIKU WA VITASA: Tazama jinsi Mtanzania Stumai Muki alivyomshughulikia Himanshi Raghav kutoka nchini India na kushinda kwa pointi katika pambano la raundi nane
Katika pambano hili, Stumai ametumia mkono mmoja tu kukamilisha jambo lake… hebu tazama raundi zote nane….
Ni pambano la sita la utangulizi, hapa PTA Sabasaba, Dar es Salaam kuelekea pambano kuu kati ya Ibrah Class vs Xiao Tao Su. #RingItaongea
27 окт 2023