Hakuna kitu kibaya kama msongo wa mawazo, sikia tu isikukute jaman. Poleni sana kwa wafiwa Mungu mwaminifu awarie nguvu aki, Na haha watu amazon sio waongeaji sana alooo. Mungu atusaidie tu.
Nakumbuka kuna company moja tulikuwa tunafanya kazi siku mmoja kuna dogo alienda kuangalia kwenye Tank kama kuna maji bahat mbaya aliteleza kazama ndan na kulikuwa na maji ni kama MUNGU tuu nilikuwa napita naona miguu inacheza kwa haraka nikaenda kumuokoa na nikaita watu tulifanikiwa Kwahyo uwezi juwa labda Situation ilivyo kuwa ila nimeshuudia yanatokea R.I.P apumzike kwa Amani
@@Officialjidaa-sn9csacha uongo ww mbona Dar hatusikii matukio ya ajabu km huko Arusha!? Waandishi wapo kila mkoa sema huko Arusha, Geita, Njombe ndio mna matukio ya kutisha
@@Officialjidaa-sn9csarusha kuna matukio mengi zaidi by nature. Kipindi naishi Arusha mitaa nayotoka Kila siku Kuna tukio linatokea ila nilipokuja dar kuishi nakaa hata mwez sjaona tukio lolote ktk mtaa nayoishi
Poleni wafiwa lkn kwa wale tuliofanya kazi za mabomba na kusafisha hayo matenk mtakubaliana na mimi kwamba marehemu maji yalimzidi na joto kali la ndani ya tenki ikapelekea kukosa hewa akatutangulia.
Hapo kwanza waangalie vizuri inawezekana kuna wizi umefanywa alafu kaona apoteze ushahidi na hao walio fanya njama wote, kwanini kawaza kwenye tank na kwanini anasema jana alikuwa anakosa utulivu, ?