Тёмный

TOZO NA KODI ZINAZOFANYA GEN-Z WAANDAMANE WANATAKA RUTO AJIUZURU. 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 2,8 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 14 дней назад
Safi mwalimu 💚💚💚
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 13 дней назад
Ruto must go. Nasisitiza nikiwa Hapa Dar es salaam Tanzania. Ruto must go
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 15 дней назад
Mbona Kenya kama Tanzania tuu ala utofauti wake wenzetu wanajitambua
@issamyinga5874
@issamyinga5874 14 дней назад
Kodi ya nyumba haijaongezeka.
@coolbz133
@coolbz133 15 дней назад
Hamna nikuhusu mashamba ya matajiri ambayo yamekaa bure kati kati ya mji ndio serikali wataka yakodishiwe watu wafanyie biashara na maana matajiri ndio wameamua kutoa vijana wao waingie barabarani kutetea mali zao ila sio vat kama ni vat ipo miaka yote
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 14 дней назад
Sio kama tz mijitu michache ikiwa bungeni inapitisha miswada ya kipuuzi harafu raia wana kaa kimya tu kisa yameshiba majani ya ugali na mchicha
@ramadhanurassa2410
@ramadhanurassa2410 14 дней назад
Huku tozo ya luku imeongezeka sasa ni 2000
@elvisnzovu8282
@elvisnzovu8282 12 дней назад
Kumbe!
Далее
Minecraft Pizza Mods
00:18
Просмотров 2 млн
ЛУЧШАЯ ПОКУПКА ЗА 180 000 РУБЛЕЙ
28:28
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Minecraft Pizza Mods
00:18
Просмотров 2 млн