Тёмный

TRAORE AMEKWEPA TENA MAJARIBIO YA KUMPINDUA MFARANSA BADO ANAMSAKA KUMUUA 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@KADALAtv255
@KADALAtv255 10 дней назад
Washindwe kwa jina la Yesu,. Tunamuombea sana IBRAHIM TRAORE HUYU NI MAGUFULI WETU MUNGU AMLINDE,🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 12 дней назад
Hao ni manyang'au wanauchafua uislam kwa ushetani wao mungu awalaani kabisa
@musamuchi8882
@musamuchi8882 11 дней назад
Bwana Isaya hapa Kenya tunakutambua, mungu akupe maarifa zaindi
@JacksonFrances
@JacksonFrances 12 дней назад
KAMA WAAFRIKA TUNGEUNGANA TUKAWA NA UMOJA MATAIFA YA ULAYA YASINGETUONEA. ILA KWASABABU SISI WAAFRIKA HATUPENDANI SISI KWA SISI, WAZUNGU WANATUMIA HIYO FULSA KUFANYA WANAYOYATAKA IKIWEMO KUTUPANGIA VIONGOZ WA KUTUTAWALA na KUTUINGILIA KWENYE MAAMUZI"
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 10 дней назад
Unasema ukweli kwakweli Wazungu hawatupendi .wazungu wanataka Marais pepo .tinzama walivyo Muuwa Lumumba.wakamuuwa Magufuli .leo tena wanataka kumuuwa huyu kijana kwa sasa hatuta kubali. Wazungu watupangiye Maisha apana Wa Afrika tuamke jameni
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 9 дней назад
​@@stefanomasolwa8979Wazungu watakuwa na mtu nyuma ya panzia. Lazma Kuna mtu ana husika tena wa karibu
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 8 дней назад
Usijali Bora awenanduguzake wanyonge kuwatetea mungu Yuko naye
@chrispinegervas1681
@chrispinegervas1681 12 дней назад
Thanks God leo nimekuwa wakwanza
@ZitoJose-cl3pt
@ZitoJose-cl3pt 12 дней назад
Yani mungu awalinde sana
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 11 дней назад
Traore must remain
@yayananajota5838
@yayananajota5838 11 дней назад
Ooooyes our king our hero's
@TwahaAliMtumbi
@TwahaAliMtumbi 12 дней назад
Isaya mungu akurehemu Sana. Mkuu wewe MTU. Nakupata kutoka Ujerumani Berlin Bw mtumbi
@AllySully
@AllySully 9 дней назад
Waislam ndio magaid katka akili za makafiri walio wengi ila ww ni mkweli tofauti na akili za makondoo wenu wa makanisani ila wataelewa baada ya mda Nan gaid baina wazungu ambao ndio mabwana zenu na waislam ambao ni watu WA mungu.
@emanuelsichone8027
@emanuelsichone8027 12 дней назад
Big up brothers
@chrispinegervas1681
@chrispinegervas1681 12 дней назад
Sasa kazi iendelee
@zakazakazi-fn6zy
@zakazakazi-fn6zy 12 дней назад
Traore vivaa
@TwahaAliMtumbi
@TwahaAliMtumbi 12 дней назад
❤ isaya
@HabasuFamily
@HabasuFamily 9 дней назад
Kila kitu mnasingizia waislamu kwa ujinga wenu wa kugombea madaraka na kuikashifu dini wkt watu weupe ndio magaidi wakubwa
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of 9 дней назад
Magufuli namba 2
@gideongiga3382
@gideongiga3382 10 дней назад
Ubarikiwe
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 11 дней назад
Eti kiboko ya Wachawi ??? Jamaa makini sana hibraim
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 10 дней назад
Wengine waliobaki ni blue print za Tinubu.
@user-ij9te1ck9p
@user-ij9te1ck9p 11 дней назад
The angry wolves of the people properties
@user-yl2br2ts3i
@user-yl2br2ts3i 12 дней назад
nakukubal sana mkuu kwa mafundsho yako
@MikaMika-ve1ip
@MikaMika-ve1ip 12 дней назад
Mwenye upanga atakufa kwa upanga
@user-hd8vi1cu7q
@user-hd8vi1cu7q 10 дней назад
watu ya mangaribi niwalozi ya African
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 11 дней назад
Magaidi wazungu. Waisilamu wanatum8wa tu
@user-mp6zd2ui7r
@user-mp6zd2ui7r 11 дней назад
Komaa kamanda.
@AmosMukiza
@AmosMukiza 11 дней назад
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 10 дней назад
Waafrica huwa tunajifunza nini nchi yako lakini kuna mijitu unaona wewe sio MTU unahaki ya kuishi kuendesha nchi yako na tuna viongozi vibaraka wa hawa maghalibi lakini ni watu wanatamani waafrica wote wangekufa ndio mawazo Yao jinsi gani kuangamiza Kwa Aina yoyote lakini wakisha shiba na mitumbo mikubwa wanajiona ni madalali wa madini ya Africa hawafikili jamii zao wapate technology
@user-pt4ml7gr3j
@user-pt4ml7gr3j 12 дней назад
Ni ukweli
@karimacro
@karimacro 11 дней назад
kiboko ya wachawi mkuu😂😂😂
@SoudShuraim
@SoudShuraim 10 дней назад
Putin mpe ulinzi Ibrahim kwa kumpelekea makomqndoo
@user-py3mz6xd2t
@user-py3mz6xd2t 10 дней назад
Katika viongozi mwenyehakili afica huyo mwamba pia anauchungu kukosa maalifa kwaviongozi naona wengi wapo kmya mana uwelewa wao wakufikili mudogo pia wapo kwenyekanuni ya manyawau kazi yao kutesa wanyonge nakudili vitu havina tija nikunyanyasa raia kwanafasi tulizo wapatia
@obongobongo77
@obongobongo77 12 дней назад
So far hii ni jaribio la ngapi kwa mwana wa putin "traore".
@lucasbatano333
@lucasbatano333 12 дней назад
Vijana ndo wapewe uongozi mkubwa hasa kwa bara la afrika tuachane na wazee
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 11 дней назад
Wazee ni masnichi tu. Vitambi ulaya sana
@hamadimziraymziray-ry4vi
@hamadimziraymziray-ry4vi 12 дней назад
Mwalimu wa neno la mungu
@melkiorykweka438
@melkiorykweka438 12 дней назад
Kaka usiongee sana tumeshaelewa unampenda nyooka kwenye point
@PaulinaSinyanya
@PaulinaSinyanya 12 дней назад
Kabisa jamaa ana ongea sana yani muda mwingi ana malizia
@abduljuma7807
@abduljuma7807 11 дней назад
Hapana sio vijana tu wapi wazee wako vizuri sisi tumetapeliwa kwenye elimu mitaala ndio tatizo futa mitaala yote ya kutulaza masok
@paxpaxina9810
@paxpaxina9810 11 дней назад
Sasa najiuliza sana tufanye nn ili africa yetu ikombolewe?
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 11 дней назад
Wanaweza afrika ya kati tu. Sisi uku tumekubali kua vibaraka wa wazungu na ushoga juu
@maase2023
@maase2023 10 дней назад
Huyu kama alivoingia kwa mabavu na yy ataondolewa kwa mabavu tu!
Далее
Лайфхак для дачников
00:13
Просмотров 17 тыс.
MATANGAZO YA JIONI 17 07 2024
Просмотров 3
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00