Тёмный

TRENI YA UMEME YAZIMA GHAFLA USIKU, BUNDI NA NGEDERE WATAJWA “IMEZIMA MASAA 2” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 102 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 414   
@ben2themusic
@ben2themusic Месяц назад
wew unae soma hii comment mungu akubariki saaana❤
@wilbrodwemaonlinetv8379
@wilbrodwemaonlinetv8379 Месяц назад
Amen
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Месяц назад
Amen
@mohammedalishamis9405
@mohammedalishamis9405 Месяц назад
@@rithadonatus8110Amen
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Месяц назад
Amen
@SUPERMANAGERVIBEZ
@SUPERMANAGERVIBEZ Месяц назад
Amen
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 Месяц назад
Mola wetu tujalie mwisho mwema amin
@shkubabawarsh5628
@shkubabawarsh5628 Месяц назад
Mbona Mapema Sana Sana Tena😮😮😮😮😮😮
@jamesmsalilwa8733
@jamesmsalilwa8733 Месяц назад
Nchi zilizoendelea ambako treni za umeme zinapita hakuna hao ngedere. Wanyama wakikatiza, mfumo wa umeme umewekwa kwa namna ambayo utajikata Ili kutoleta madhara. Hivyo siyo tatizo la TRC hilo.
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 Месяц назад
masikini ngedele wetu na bundi washasikiziwa kesi jamani akuna alie salama mpaka bund na ngedele munawapa kesi kweli selekali imechoka sana
@robertphilip385
@robertphilip385 Месяц назад
Hao bundu na gedere wapelekwe mahakamani kwakosa lakuletea usumbu binadamu
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Месяц назад
​​@@robertphilip385Wana kesi ya kuhujumu ya kuingia kutembea kwenye reli bila kibali (trespassing) hukumu yake kifungo miaka miwili jela kwa mujibu wa kanuni za sheria na kosa la kuhujumu uchumi (economic sabotage) kifungo miaka watapona kweli?
@florahozza7414
@florahozza7414 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@renatuskweyamba6460
@renatuskweyamba6460 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂.... Yaani nimecheka kama bwege...😂😂😂😂
@yusuphsalum1486
@yusuphsalum1486 Месяц назад
Tuliambiwa kuwa treni inauwezo wa kutunza umeme kwa muda wa lisaa limoja
@djwinnertz
@djwinnertz Месяц назад
Acha kukalili mzee itilafu ipo hata ww unagombana na mwezawako😂
@yusuphsalum1486
@yusuphsalum1486 Месяц назад
@@djwinnertz sijakataa ila inamaana haina power backups
@MillenMlay
@MillenMlay Месяц назад
Shida moja tanzania uchawi mwingi ..na hurka ya mchawi apendi maendeleo...hakunaga kitu kizuri tanzania cha serikali kinacho dumu sijui kwanin....Mungu komboa tanzania
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Месяц назад
Akija mtu mzuri ataangamizwa kikija kitu kizuri kitazuiwa kisiende yani nchi ya ajabu mnoo mnoo
@nelsonkazaura5713
@nelsonkazaura5713 Месяц назад
Uchawi + Ujuma = Haya Tunayoambiwa!
@wilsonthuo9639
@wilsonthuo9639 Месяц назад
kube nyie ni wachawi😢😢
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Месяц назад
Ndiyo maana tunadumaa miakiliwa kuamini kila tukio baya.ni matokeo ya uchawi! Huwezi kujipa nafasi ya kitafiti chanzo cha tatizo unatumia shortcut ya uchawi kuwa kisababishi. Ni lini tutanipa uweo wa kutafakari mambo kimantiki? Hapa nilipo umeme umekarika mara mbili ndani ya dakika kumi, nao nu uchawi?
@arnold9406
@arnold9406 Месяц назад
Uchawi ni imani tu,
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 Месяц назад
Kwa sisi Mafundi Tunakubali...changamoto kama hizi ni kawaida katika kazi...na tufahamu ndo kwanza kwa Treni kama hii kutumika Tanzania...Yatakaa sawa Tutakuwa wazoefu kadri siku zinavyokwenda...pole Wasafiri kwa changamoto hii.
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m Месяц назад
Acha ujinga wewe, we need expert sisi tunataka mainjinia hapo hatutaki watu mlio ajiliwa kimichongo ili mje mjifunzie hapo KAZI uzoefu kachukue chuo ulkija hapo fanya kazi
@azizaj776
@azizaj776 Месяц назад
@@JonasMathias-s6m, treni kama hizo ziko uchina , India , Uturuki nk nk nk je wanapata matatizo kama hayo?????! Au ndiyo kwetu tuuuuuiii !!!!!!!!’ KUNA VITU HAVIHITAJU UFUNDI KUVIJUA
@user-yj7yg8uz9b
@user-yj7yg8uz9b Месяц назад
​@@JonasMathias-s6mp
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Месяц назад
Umezungumza kitaalam sana mwamba Safi Hussein
@johnmlay4759
@johnmlay4759 Месяц назад
​@@azizaj776hawanaga hizo ujinga mafundi wao wapogo job 24hrs kuhakikisha operation zinafanyika 24/7
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 Месяц назад
kama kweli ngedele na bund wanapewa lawama we binaadam utatoka vp
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Hahahahahahahahaaaa
@techsavvyswahili
@techsavvyswahili Месяц назад
Mambo ya tz bna, ikisha kuwa ni public transport mizengwe ni mingi mno
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 Месяц назад
KWELI TENDA WEMA UWENDE ZAKO.NIKIONA TREIN HIYO,NAKUMBUKA JPM,ALIPAMBANA,ALAFU HUYOOOO....😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@modomfupi9972
@modomfupi9972 Месяц назад
Hao BUNDI na Ngedere wenyewe wangehojiwa uskute wamesingiziwa😂😂😂😂
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Месяц назад
😂😂😂
@elizabethmiho9574
@elizabethmiho9574 Месяц назад
😂😂😂😂
@TumainiAkyoo
@TumainiAkyoo Месяц назад
Kwakweli, kwani ngedere wenyewe wanasemaje
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Месяц назад
😂😂😂😂
@SaidiMakuwango-yi4gn
@SaidiMakuwango-yi4gn Месяц назад
Milard ayo tnataka ripoti toka kwa ngedere wenyewe😂😂
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 Месяц назад
Si kama kigamboni pantoni za Serikali mbovu za baharesa nzima ten oersent ssnhata Railway watapewa ten persent yabaki mabasi. Mwendokasi ataoewa muwekezaji akitoa ten persent yatabaki dala dala na mwendokasi. Barabara za mwendokasi Imegengwa bure reli zimejwngwa bure tren Itakuwa gest ya mjusi kafiri kenge.
@joycelinelyimo-fenske8745
@joycelinelyimo-fenske8745 Месяц назад
Tanzania 🇹🇿 hakuna kukubali washamba wachache wasimamishe maendeleo. Kweli aliyetuloga waafrika keshakufa. Ni kuvunja laana uchawi, nguvu za giza husuda na kadhalika kwa damu ya yesu kristo. Waislamu ndugu pia ombeni sana kwa kumpitia Mtume Mohamed salalah wasalamu.
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 Месяц назад
Mh hao bundi kama hawana mwanasheria watakua wameshakufa kwa pressure 😂😂😂😂
@Gersah
@Gersah Месяц назад
😂😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 Месяц назад
@@karibunyumbani3824 kamata hao bundi na ngedere sukuma ndani
@khamisamoss4641
@khamisamoss4641 Месяц назад
Matajir washaanza kulalamika mabas yao yanaenda matupu hayana abiria wakutosha kwaio wameshaanza vitimbi na hujuma watu warud kwenye mabas hakuna bundi wala ngere hapo nimpango kazi wa matajir flani hv 😅😅
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 Месяц назад
Kumekucha 😂😂
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt Месяц назад
Huyo ngedere kafikaje kwenye hizo nyaya tena zenye umeme mkali wenye nguvu😊
@user-hd5bg8qw1b
@user-hd5bg8qw1b Месяц назад
WANAFIKA BILA SHAKA NAPIA WANAPIGWA SHOTI WANAKUFA HATA WANYAMA WANAMITIHANI YAO MUNGU AWALINDE
@adambago
@adambago Месяц назад
Yaani! Na hata usafi tunaouona ni wa muda tu. Daladala zilianza hivi 1977, kulikuwa hakuna kusimama, mwendo kasi ilikuwa ya kwanza ya kistaarabu Afrika. Leo hii, daladala watu wanarundikwa, mwendo kasi watu kama samaki wabichi, kuambukizana magojwa, wanawake wajawazito wanabanwa. Watu wanagombania nani awe wa kwanza kupata kiti. Wazee na wagonjwa ni watu wa shida. Waziri wa usafirishaji bado hajiuzuru! Waziri wa akina mama na watoto bado upo? Zebra haziheshimiki tena, boda ndiyo usiseme kugonga watoto. Hivi sisi ni watu au fotokopi? Mbona Waganda na Kenya wamebadilika? Kwa nini kusiwe na vituo vya mafuta punguzo ili watu wawe kwenye level seats? Treni hii kwa ustarabu duni tulio nao tutegemee wajinga kuchafua soon!
@robertphilip385
@robertphilip385 Месяц назад
Asee umuongea pots
@johnjilala415
@johnjilala415 Месяц назад
Hujuma zimeanza mapema hivi tutafika kweli
@eliadlema7421
@eliadlema7421 Месяц назад
Duh! Inasikitishwa sana, ndugu zetu wamekwama, usiku huu, wamekwama, serekali iangalie hili jambo, ni aibu.
@BabuallyAbdul
@BabuallyAbdul Месяц назад
Kwani Ngedele na Bundi wenyewe wanasemaje! Mbona bado wapo kimya au mpaka waongee na mwanasheria wao ndo watoe tamko😀
@Fatma-up9qs
@Fatma-up9qs Месяц назад
Mmeanzaaa. Haya yalishasemwa.... Tembeeni na power bank.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Месяц назад
Kwani hakuna backup 😅😅
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 Месяц назад
Aliyetutangazia bundi na ngedere kuwa sababu ya tatizo yapaswa awe serious!
@saluuhans
@saluuhans Месяц назад
Tanzania ni ya Hovyo kabisa 😂 haya Leo kisingizio ngedere na bundi kesho utaskia kunguru kagusa nyaya😂
@tommunyoro
@tommunyoro Месяц назад
😂😂😂
@shaabanyusufu2997
@shaabanyusufu2997 Месяц назад
Yaani Tanzania sijui ni lini tutakuwa serious na mambo yetu ya msingi. 🇹🇿
@muhan_de_coco3567
@muhan_de_coco3567 Месяц назад
tutafika tu
@ziggertv3185
@ziggertv3185 Месяц назад
​​@@muhan_de_coco3567kwani tunaend wap
@tweakingtricks1087
@tweakingtricks1087 Месяц назад
Sio issue ya nchi bhana....Kama unadhani unaweza ku avoid all problems unajidanganya........ Labda uwe kaburini.... Unaweza kuwa serious na ukakumbwa dhahama vilevile.....
@efatauroki867
@efatauroki867 Месяц назад
Eti kunguru kunguru ananguvu ya kupigisha shoti yakukata hadi waya wa wenye umeme kweli doo
@CasmirKiwale
@CasmirKiwale Месяц назад
Mbona hata ulaya zinazima
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba Месяц назад
Si mlisema umeme ukizima itaendelea kuchapa mwendo, mbona mnatudanganya mno sisi watanzania jamani
@ankotemba7369
@ankotemba7369 Месяц назад
😅😅😅😅
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 Месяц назад
😂😂😂😂
@masoudkatiba1484
@masoudkatiba1484 Месяц назад
Dah hapo sio wewe tu hata Mimi nmeshangaa
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 Месяц назад
Hawakusema itaendelea hadi ifike kituoni, itaenda kama kilomita kadhaa tuu kisha umeme ukikawia itasimama. Jamani tuwe tunafatilia mambo vizuri. Lakini hata hivyo, hivi ni vitu vilivyotengenezwa na mwanadam, haviwezi kukosa itilafu. Ni jambo la kawaida tuu hilo tuwe waungwana kutosha.
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES Месяц назад
Ngedele na bundi watakuwa wameshilikiana na Mzee magoma kuharibu miundombinu Komba wote sukuma ndani😅😅😅
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve Месяц назад
😂😂😂😂
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂acheni basi jamani tusicheke kupita kiasi..........
@elifarajajackson9573
@elifarajajackson9573 Месяц назад
Mbona mnakinzana na maneno yenu wenyewe, what happens to umeme ukizima abiria hata jua sabb treni itaendelea na mwendo, Hii ndo tanzania
@gracesuguta
@gracesuguta Месяц назад
Poleni sana, mafundi na wasafiri, ni kawaida ya mwanzo wa kila jambo huwa kuna changamoto
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c Месяц назад
Mtaomba radhi sanaaaa na bado mm ili niwapongeze baada ya mwaka C A G awakague aseme hakuna hasara ndo nitawapongeza sasa hv ngoja tuwaangalie tu niwaulize ile tren ya abiria isiyo ya umeme walipanda kina mond na pole pole iko wapiiiiii
@htx1873
@htx1873 Месяц назад
Poor Quality Equipment that’s what we get, I knew this type of incidents would happen. Poor Tanzania 🇹🇿 poor us poor leaders
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 Месяц назад
Mlituambia hicho kichwa kina Betri inayohifadhi charge dk 45 ?? Au ndio mmepigwa??
@shabaniathumani1789
@shabaniathumani1789 Месяц назад
Wazee wa dili
@hallin9561
@hallin9561 Месяц назад
Ayo ni maskrepa yaliyopakwa rangi mpya, ngedere gan anazurula usiku
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 Месяц назад
Umakin mdogo juu ya miundo mbinu je ingekuwa ndege angan si ni kifo hicho😢😢
@egdldm4981
@egdldm4981 Месяц назад
😢Visingizio vimeanza kama kwamba umeme sio wa Tanesco.
@allymwijarubi8932
@allymwijarubi8932 Месяц назад
Lakini wataalamu hawa wako vizuri bhn🙌🙌🙌
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika Месяц назад
Aya bana. Tuwachie wenyewe. Na Mungu mkuu ajuaye ukweli.
@gastonhamaro8877
@gastonhamaro8877 Месяц назад
Kwa hyo Mna mpango au mkakati gan wa utatuzi wa kudumu wa hili tatizo??? Au mtakua mnasubiri hao ngedere na Bundi wakisababisha short au wakinasa mkawatoe na kuwasha tena?????
@salumuselemani-km2ee
@salumuselemani-km2ee Месяц назад
🤣
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Mkakati soon utasikia kapewa Ubia Dubai.maana hakuna tunachoweza kusimamia Taifa hili😢
@JactonKai
@JactonKai Месяц назад
kwahiyo hizo injini hazitunzi umeme?
@bashirbaruan3969
@bashirbaruan3969 Месяц назад
Jaman ngedere usiku kweli hii hapana Trc acheni kufanya hujuma tunafaham wenye mabasi hawataicha train yetu bila ufumbufu lazima watashirikiana na wakati kuihujum train yetu.
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Месяц назад
Ahsante sana wewe kwa taarifa
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Месяц назад
Mmeanza kuwasingizia Bundi wetu na ngedere bado hajasema nansababu zenu nyepesi hiyo motimba yenu mliyo tuletea imeanza kuwa mazombi!
@rickiusrockius7980
@rickiusrockius7980 Месяц назад
Ila bongo🙌 mi nilijua tu hatutoboi😅 kikubwa hapo nashauri lipite sako la nyani tu😂😂😂😂😂
@MirajiMahamudu
@MirajiMahamudu Месяц назад
Nanunua machumachuma mabovu 😂😂😂nishawah yooote yangu
@Shadia544
@Shadia544 Месяц назад
Mungu hawalinde wasafiri woote ngedere nae hatulii na huyo bundi wakee😂😂😂
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 Месяц назад
😂😂😂😂 changamoto wanajua ni matawi ya miti
@Shadia544
@Shadia544 Месяц назад
@@athumaniamiri880 🤣🤣🤣🤣hawajui kama hule umeme jamaniii 🤣🤣🤣🤣
@PhilipoMabula-ky9vs
@PhilipoMabula-ky9vs Месяц назад
Mhmh kwamba ata kwenye tran skuhz kunawachawi😂
@robertphilip385
@robertphilip385 Месяц назад
Ajabu na kweli
@methuselamisana4115
@methuselamisana4115 Месяц назад
Hapa inaonekana kuna upiga wa fedha za mafuta huwa wanaandikia mafuta hewa ya emergence kila siku endapo umeme utakata kama taarifa yao ya awali kuwa endapo umeme utakata mafuta yatatumika iliujue wamepiga kama kungekuwa na mafuta inakuwaje ikae saa mbili bila kwenda kama ni tatizo la umeme hawa huwa wanaandikia mafuta kila siku ila mungu kaamua kuwa umbua mapema kwa namna hiyo
@user-cz5oy1od5d
@user-cz5oy1od5d Месяц назад
SGR lazima ifuate nyayo za Vivuko vya Kigamboni, Mwendokasi, ATC, MV Bukoba etc. Hamuoni kwanini MaMa anatumbua kila kukicha!.
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 Месяц назад
Lakini si tuliambiwa umeme ukikatika treni Hiyo Ina tunza umeme wa ziada ambao unaweza kutumika kwa umbali mrefu sana
@barakarobert1029
@barakarobert1029 Месяц назад
Yaaan hili tumepigwa masaa mawili mpo porini
@lukoyamedia5765
@lukoyamedia5765 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 Месяц назад
@@barakarobert1029 kweli kabisa Tena waliosema inatumia umeme na mafuta Kiko wapi sasa
@waluohopaulo2116
@waluohopaulo2116 Месяц назад
Ndio ineza songa kidogo lakini kwa sababu ya signals pia zime zima heri treni isimame iepushe ajali.
@elizabethsjoberg5734
@elizabethsjoberg5734 Месяц назад
Hayo ni kawaida hata ulaya hitilafu zipo. Wabongo muelewe hilo 😅
@mohammedalishamis9405
@mohammedalishamis9405 Месяц назад
Kweli ni vitu vya kawaida kutokea kwa wanao elewa
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Месяц назад
Kwenye upumbavu mnajilinganisha na Ulaya ikija kwenye mambo ya maana waliyofanya Ulaya mnajiita maskini, akili za hovyo sana!
@user-dm6bv1ho5r
@user-dm6bv1ho5r Месяц назад
Wabongo wanafikiri Ulaya hakuna changamoto. Zipo tena nyingi ila zingine hazitangazwi.
@RaymondKilomeye
@RaymondKilomeye Месяц назад
Yaliyo tabiliwa ndo yameanza, walisema inatunza chaji ht umeme ukikatika itaendelea kutembea Kiko wap, treni yenyewe yamkopo ila bado udalali uliofanyika nimkubwa San, machawa endeleeni kupungeza ht kungulu akikata umeme
@lulugama1547
@lulugama1547 Месяц назад
Tuombe tuu Mungu huu mradi wa treni hizi usifitiniwe na walioathirika kwenye biashara zao za mabasi ukashangaa ziko juu ya mawe zooote
@rwelamira
@rwelamira Месяц назад
Hiyo ni kawaida. We are in Tanzania
@paschalmanumbu572
@paschalmanumbu572 Месяц назад
Hivi hao bundi na ngedere hawajakamtwa tu... Vyombo vya usalama mko wapi?😂😂😂
@levinaernest4364
@levinaernest4364 Месяц назад
😂😂😂🙌
@Gersah
@Gersah Месяц назад
😂😂😂
@davidonelinetv4576
@davidonelinetv4576 Месяц назад
Mi wakwanza Leo naomba like zenu
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 Месяц назад
Ili mradi mashirika ya serikali yatakuwa yanashindana na mashirika binafi, na mashirika hayo binafsi yanamilikiwa na viongozi wa serilali, basi kila wakati patakuwa na migogoro wa kimaslahi (conflicts of interests) mashirika ya kiserikali yataathirika tu.
@jemketakene6558
@jemketakene6558 Месяц назад
Si tuliambiwa itakuwa na uwezo wa kuji_switch automatically kwenye matumizi ya Mafuta? Kumbe ilikuwa ni kuipamba tu hakuna ukweli
@MG-wx8yx
@MG-wx8yx Месяц назад
Changamoto kama hizi ndo zitatukomaza kama nchi. Kwa mazingira yetu ya nchi na maeneo ambayo reli inapita ni vitu vya kutegemewa kuona wanyama au ndege wakigusa miungombinu ya umeme na kusababisha hitilifu kama iliyotokea. Lakini wahusika ni vizuri kufikiria jinsi ya kupunguza uwezekano wa wanyama hao kuingia au kufka kwenye miundombinu hiyo. Binafsi sioni sababu ya watu kupanic.
@jamescyprian-jz7ft
@jamescyprian-jz7ft Месяц назад
Navojua mimi Mnyama au ndege anapogusa waya wa umeme anakufa hapo hapo nakunyauka sasa yan ,,,,,,Hatujiiiiiii hatuji tenaaaaa
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 Месяц назад
Mh isije ikawa kama Mv Kilindoni waliiuwa wakabaki na mitumbwi yao. Mzowea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi Hivi wabongo tutaacha lini uchawi ili watu wakate tamaa warudi kwenye mabasi yao, wanaanza kamdome kamdome. 😂😂😂😂advertising hiyooo.
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 Месяц назад
Mm sijaelewa hao wadudu wamekataje umeme.....??
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 Месяц назад
Jamani Tuko vizuri sana Nivitu vidogo tu
@chamyDee
@chamyDee Месяц назад
Waambie wajaze luku
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky Месяц назад
Mlisema umeme ukizima kunakifaa maalum kinachaji safari zitaendelea kama kawaida
@jamesbilafumba6902
@jamesbilafumba6902 Месяц назад
Maybe Low voltage na sio underground trip, maana muda wa masaa mawili ni makubwa zaidi kuliko fault appears
@ramajuma5620
@ramajuma5620 Месяц назад
Kwa Tanzania bado sana kwa matumiz ya umeme ona sasa hadi ngedere anatak kuwamaliza ndgu zetu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Месяц назад
Tutakuwa sawa tujue ichi yetu ndogo tusifananishe na ichi zilizojipanga na wameendelea miaka 50.b4 cc wengine kuja duniani izime iwake cc tunayo mama piga kazi sema kumtoa jerry silaa umetupiga na ki2 kizito
@magorymara5515
@magorymara5515 Месяц назад
Umeongea kizembe sana kama vyote umenunua kutoka nj'e basi kopy na mfumo wa ulinzi na uendeshaji kopy kila unachoona kitakusaidia ili uwe salama na si kujiona we bado sana huku unaharibu
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu Месяц назад
Bundi na ngedere China pia wapo lakini hatusikii wsla kuona jambo kama hili
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Месяц назад
😂😂😂😂😂kiwang cha kimataif imezimwa na bundi😂😂
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r Месяц назад
Inchi inaendeshwa kama kikundi cha sacos😊
@amonidafa9665
@amonidafa9665 Месяц назад
It is OK. Hapa mwanzoni lzm changamoto ziwepo
@cashbilly23
@cashbilly23 Месяц назад
You were never ready for this
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Kwakweli mama ameupiga mwingi kazi iendee IENDELEE kuzima kabisa
@jinnahsameer
@jinnahsameer Месяц назад
😢😢😢 kiukweli hilo ni tatizo hmmm?
@yusuphmarijan3704
@yusuphmarijan3704 Месяц назад
Wabongo sasa wamepata cha kusema😂
@allymwijarubi8932
@allymwijarubi8932 Месяц назад
😂😂😂😂
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Месяц назад
KWA SISI MAFUNDI TATIZO KWENYE MFUMO WA MTAMBO MPYA NI JAMBO LA KWAIDA ILA SASA KUSINGIZIA NGEDERE ENGINEERS MMEKOSEA
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Месяц назад
Ukiwa muongo usiwe mwepesi kusahau! Mlituambia Hata umeme ukikatika Ina uwezo wa kwenda zaidi ya kilometa mia nne.Hii imekuwaje tena😢
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
Elewa ndugu hilo ni tatizo tofauti, nyaya ndizo zilizochezewa na hao wanyama kwa hiyo hata kama ingekuwaje treni isingeweza kwenda kwa sababu zinapita chini ya hizo nyaya. Nyaya zikiwa sawa hata kama umeme utakatika kwa muda flani treni inaweza kwenda lakini zinapopita ndipo palipoharibiwa sasa itawezaje kupita?!
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 Месяц назад
Wanaona waTz kama hawana Kumbukumbu vile.
@steveanthon5523
@steveanthon5523 Месяц назад
Haipiti chini ya nyaya, inapita kwenye trein nyaya zipo juu, pia walisema inahifadhi umeme wa ziada, maana yake hitilafu kama hizo zikitokea ilitakiwa iendelee kuchapa mwendo kwa saa nzima, wewe unasema ingepita wapi kwani umeambiwa reli imebomoka? ​@@rayisadesigns2646
@ChukiMjinga-jw2ql
@ChukiMjinga-jw2ql Месяц назад
Leo na kesho!!!!!!!
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Месяц назад
Hao bundi waache ujinga tunawafahamu
@julianmsele3880
@julianmsele3880 Месяц назад
kwa tulio fanya kazi sgr kilosa na kidete tunajua wingi wa ngedere , ni wengi hatari alafu ngedere wana utani hadi wanakera😅, sasa c changamoto itatokea kila siku
@danielsamwel3628
@danielsamwel3628 Месяц назад
Hivi toka lini ngedele akatembea usiku ? Au ndo yale mto mara ulichafuliwa na mikojo na vinyesi vya ngombe 😂😂
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
USHIRIKINA UMEANZA KUCHUKUA NAFAS YAN HUJUMA LAZIMA WAFANYE TU ATA KWA USHIRIKINA YAN BINADAM DUH
@DeanWallace-lm1pi
@DeanWallace-lm1pi Месяц назад
Sio kwelli.....kabisa. haiwezikani UKA unda kituo Cha kupooza umeme. Lakini usi zingatie madhara ya ngedere na bundi. Hizi ni changamoto tu za awali tunazo pitia tukizoea MFUMO. Huu kama raia nge sema kuungana mkono na uwekezaji huu APA mkubwa, tupo pamoja na shirika hili. Na tunge nufaishwa zaidi na winginwa report kutoka watu binafsi namna VIPI, usafiri huu ume weza raisisha au kuezesha maisha.
@hafsasaif8004
@hafsasaif8004 Месяц назад
Mbona hizo tern Zimeshaonekana gerej😂❤❤❤
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 Месяц назад
😂😂
@businessngoni5334
@businessngoni5334 Месяц назад
ila mbona kama walisema hata umeme ukizima,treni zina auto system ambayo itajibadirisha na kutumia mfumo mwengine hapo hapo ili safari iendelee.... ila sawa ili tuone panapovuja ni lazima inyeshe kwanza.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Месяц назад
Kwa tabia hii ya ngedere na bundi kuchezea nyaya za umene wa reli ya SGR, nawashauri TRC watenge fungu kwenye budget yao ya kutoa semina elekezi kwa ngedere na bundi kuhusu umuhimu wa kutunza na kuthamini miundo mbinu ya SGR na hatari ya kuchezea nyaya za umeme. Vinginevyo watashitakiwa kwa kosa la trespassing na economic sabotage! Poleni abiria kwa adha, kadhia na usumbufu mliokabiliana nao!
@Gersah
@Gersah Месяц назад
😂😂😂
@ahmed-shakirmwamba4992
@ahmed-shakirmwamba4992 Месяц назад
Kama kawaida ya Mashirika ya Umma, Uzembe unaanza mapema asubuhi.
@leonardkarumuna4905
@leonardkarumuna4905 Месяц назад
Tulihakikishiwa ifuatavyo😢 Tanesco ikiwa na tatizo yafuatayo yatanyika: 1. Treni Ina backup power ya kwenda Dak 20 2. Kuna generator zitawaka na kutoa umeme 3. Injini Zina diseli ya kuiendesha. Sasa Kwa massa mawili hakuna lililofanyika. Kadogosa sema ukweli
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Месяц назад
Viongozi waongo sana wanatuona wajinga
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Месяц назад
hawa ngedere watu na bundi watu 😂😂😂😂hawa
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k Месяц назад
Mnaparamia msiyoyaweza,ili mradi mpige pesa.Fikiria mliua Uda,mkaja mwendo kasi,nako kama tanga ndugu,mnamalizia. Huruma hamna,aibu hamna,ccm mbele kwa mbele.Hiyo tren hamuiwezi mtauwa raia,biashra mnayoiweza labda kununua upinzani,akina Msigwa.
@rafiurashid1021
@rafiurashid1021 Месяц назад
Ndugu!!! Wanawezaa,,,🤫🤫🤫🤫🤫🤫ila usiseme. Makonda Yuko wapiiii,,, mi naendaa 🚣🚣🚣
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 Месяц назад
Wameanza kutafuta sababu ya kugawa treni yetu kwa Waarabu, HATUWEZI KUSIMAMIA!!😊
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 Месяц назад
Ngedere na bundi kweli ina maana haobundi ndio wamekuja leo ? Umeme haukuepo kabla ya bundi au ni baada ya bundi kuwepo.... HIVI MNAONA WATANZANIA NI MAFALA
@amankamba8090
@amankamba8090 Месяц назад
Maaajabu haya😂
@mosesmpesa9
@mosesmpesa9 Месяц назад
Hakun kitu hicho hiyo ni mitambo ilizingua sio popo wala ngedere
@user-kv4zd2mz7y
@user-kv4zd2mz7y Месяц назад
Mbona niliambiws tren inahifadhi umeme?
@Algo.delaif
@Algo.delaif Месяц назад
Ngedere washenzi sana
@EdwinJohn-vo8uf
@EdwinJohn-vo8uf Месяц назад
Yani nime jikuta nacheka kama mazuli ila hii nchi ya hovyo sana😢😢😢😢😢😢
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Месяц назад
Duh
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 Месяц назад
Umeme wenyewe unaakatika mda wote harafu treni asisimame ngoja tuzidi kuona vimbwanga
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 Месяц назад
Mnaposema Ni ngedere,Nyani au bundi mnamaanisha Nini?,Kwa maana hiyo Bundi ngedere au Nyani ndiyo wataamua treni iende au isiende!?, njooni na sababu yenye mashiko!!
@danielkabambi4199
@danielkabambi4199 Месяц назад
Mhhh vitu vya bongo jmn
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r Месяц назад
Zitakufa tu mbona viongoz wenyewe niwafanyabiashara wamabasi nama roli.
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 Месяц назад
Yani sijui aliewaza kuhusu hii tren alikuwa na maono gani
Далее
Modus males sekolah
00:14
Просмотров 11 млн
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
KADANGANYA
10:21
Просмотров 270 тыс.
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Просмотров 47 тыс.
CHURCHILL SHOW S1E3 PART 3-3
9:01
Просмотров 545 тыс.