Тёмный
No video :(

TUTAKUULIZA USPIKA WAKO UMETUSAIDIA NINI WANAMBEYA? TUTAKUULIZA NA UTATUKUTA 

IPINDA ONLINE TV
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 4,6 тыс.
50% 1

IPINDA ONLINE TV...........Asante kwa kuchagua Ipinda online tv........usisahau kusubscribe Channel yetu

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@user13375
@user13375 Месяц назад
Wamezalisha ajira ya Uchawa😮😮😮
@user-nd4tq6nd8s
@user-nd4tq6nd8s Месяц назад
Wametuzalilisha mno
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Месяц назад
OkAcson tulia is the palament speaker lakini laa hii nchi shida alipata madaraka kwa uchawa kuwa speaker wa bunge nikiangalia akili ya acson tulia na nafasi yake ni vitu viwili tafouti hiyo nafasi ilitakiwa kuwa na watu wenye akili kubwa km mpina sio acson tulia japokuwa mpina sio mwanasheria km acson tulia ubovu wa ccm watu wenyewe akili kubwa ndio wanapigwa vita ndani ya ccm nikisema toka mwanzo wa kumtambua mpina uwezo wake nikakumbuka walipita wenye uwezo km mpina wakipigwa ndani ya ndani ya ccm hiki chama kimekufa sikunyingi toka alipoachia ngazi mwalimu nyere ndipo waliingia watu wasio na uwezo ktk madaraka mpaka wanganga wa kienyeji Wana nguvu ktk ccm wenye elimu yao nyeupe pembeni ndio maana ccm muda mwinengine wanavyofanya vingine havina kichwa wala miguu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Месяц назад
Putin hawezi msikiliza mpuuzi kama tulia,hivi mnadhani putin ni sawa na nyie nyani ambao mnahamahama vyama mkikosa vyeo huku mnahamia kule,putin hawezi ongea na huyo shoga wa ukraine,putin anaongea na miamba tu,ataongea na kim jong un,ataongea na ibrahim traore,na miamba mingine,putin hawezi ongea na wajinga,kwanza tulia nani atampa hiyo nafasi hata ya kugusa viunga vya klemlin????acheni ujinga,huyo ataweza ongea na wajinga wenzake tu
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
Далее
Simple Flower Syrup @SpicyMoustache
00:32
Просмотров 1,6 млн